HAJI MANARA AFICHUA SIRI CHAFU ZA ENG HERSI RAIS WA YANGA KUMZUIA ASIRUDI KUFANYA KAZI YANGA........

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 230

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 หลายเดือนก่อน +21

    Haji ni funzo Kwa wale wote wenyekujiona ni Bora,Allah katuonya sana kujifaharisha ,pia tumeonywa kujiepusha kutoka Siri/aibu ya mstiri wako baada ya kuvunjika mapenzi yenu iwe ktk ndoa,kazi au urafiki tu

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน +4

      Kwani hajijui kuwa amechokwa abaki tu na Tv Media yake kila jambo linakwenda na wakati kazi kuoa hovyo akae na mke wa kwanza tu

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi หลายเดือนก่อน +1

      Funzo kwa nini haji atabaki kuwa haji imegn simba alitoka twambie simba leo ikoje utapata jibu kila mwanadam mungu kampa kipaji chake tatzo watanzania aslimia kubwa mna roho za kinafk wivu kutokukubali uwezo wa mtu manara ni mmoja tu tanzania uwez kumfananisha na hawa madogo wote wanaobana pua

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz หลายเดือนก่อน

      Umeishiwa pumzi wewe. Uwepo wa Simba ilivyo na Manara vina mahusiano gani hapo? Wewe ndio mnafiki wanao bana pua wameajiriwa na umaarufu umetaradadi. Wewe sasa ndio unakorosho na kijiba. Lazima Tukabali kila Nabii na Zama zake. Manara alifanya yake kwa ubunifu wake na kwa wakati wake. Nahao unao waonea ndunda kwa sasa wana fanya mazuri kwa ubunifu wao na kwa wakati wao. Tuache Wivu tuwaache vijana wafanye kazi nasio tuwaseme kama hauna kazi shika jembe ukalime tu. ​@@JohnsonBagambi

    • @ShaabanKhamis-mm5ef
      @ShaabanKhamis-mm5ef หลายเดือนก่อน

      Mashaallah kwel kaka

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz หลายเดือนก่อน

      @@JohnsonBagambi Nashukuru Umejitambua katika sifa ulizo zitaja za mnafiki Chuki wivu na wewe unazo hiyo % kubwa ya wa Tanzania wenye chuki na wivu . Hao unao waita wabana pua huo tayari ni wivu unamtoaje mtu kasoro wakati hauja muumba wewe? Hawa wapo kazini tena ni waajiriwa wanaisemea Timu zao na ndio Mwenyezi Mungu ndivyo alivyo waumba wewe una wako soa kwa chuki zako binafsi Kilicho kukasirisha bila sababu hapa ni nini? (A) kuajiriwa kwao(B) Kua katika idara moja ya habari na Haji wakati wewe hupendi. Jitafakari ukishapata majibu ya swali (A,B)hapa unge mzungu mzia haji kama haji tunge pita tu. Nawewe ni miongoni mwa asilimia kubwa ya hao ulio waita wanafiki kwa hizi sifa ulizo zioanisha hapa. Tuache tabia za Nyani analiona ..................la mwenzie tu kumbe na yeye lake liko vilevile.

  • @RamadhanYassin-b7h
    @RamadhanYassin-b7h หลายเดือนก่อน +3

    Brooh alizinguwa xanaaaa achaa ya mkutee 😂😂

  • @johnpeter745
    @johnpeter745 หลายเดือนก่อน +13

    Koma kiherehere kibaya we huna tofauti na mwanamke malaya

  • @HassanSalum-w5v
    @HassanSalum-w5v หลายเดือนก่อน +12

    Dunia haijawahi kumuwacha mnafiki salama

  • @charlesmahuna
    @charlesmahuna หลายเดือนก่อน +10

    Simba msimpokee huyo ni mtego mkubwa kutoka GSM ili watuangushe tena, tego hilo

    • @kachabisnea8815
      @kachabisnea8815 หลายเดือนก่อน

      Upo sahii kabisa ndugu huyu msenge anatumika

  • @mwalagokache375
    @mwalagokache375 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu anajibrandi Kila mahali anataka KUINGIA kama brand bila anufaike yeye zaid kama brand
    Sasa utaratibu ni KWAMBA kama anaingia kama Brandi ajitangaze anatakiwa kuweka pesa ndio ajitangaze aidha kama anataka ajira YANGA aweke maswala ya brand pembeni jambo ambalo hawezi .
    Brandi kukutana na brand lazima kuweka mkataba WA kuweka fedha yaani kama YANGA inataka kujiingiza Kwa manara YANGA iweke mpunga au manara kujitangaza kama Brandi Kwa YANGA aweke mpunga
    Hiyo ndio win win situation
    Asilete ujanja mbele ya vichwa vya kisomi na vijana mahiri

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 หลายเดือนก่อน +7

    😂 Hajji Manara acha yamkute. Mwana kulitaka Mwana kulipata! KUDADEKI..

  • @FabiolaTriphon
    @FabiolaTriphon หลายเดือนก่อน +8

    Akachekiwe naafya Hawa wanawake wameoza kamavip dozi mapema

  • @ZainabSimith-ey6vm
    @ZainabSimith-ey6vm หลายเดือนก่อน +11

    Mkataa pema pabaya panamwita simba ilimpa jina lakini alitunyea wanasimba Sasa Kiko wp

    • @NasraSaidi-l2h
      @NasraSaidi-l2h หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa

    • @HabibaChunganguo
      @HabibaChunganguo หลายเดือนก่อน +1

      Haji manara hakupewa umaarufu Simba haji manara maarufu kutokana na jina la ukoo wake manara msipende kujisemea tu

    • @KulwaGuga
      @KulwaGuga หลายเดือนก่อน

      Simba ndio imempa umaarufu zaidi​@@HabibaChunganguo

  • @boscoShama
    @boscoShama หลายเดือนก่อน +10

    Akiwa simba alikuwa anaheshimiwa lakini hawa yanga hawana heshima

  • @ArafaMkomwele-vi2hp
    @ArafaMkomwele-vi2hp หลายเดือนก่อน +3

    Hapo mmeona huyu sio Manara wa simba huyo ni manara wa utopolo kachooooka ngozi imezeeeka kweli mdomo uliponza kichwa kupata ngewe

  • @EdwardMayega
    @EdwardMayega หลายเดือนก่อน +3

    Huyo manara apimwe afya ya akili tusije.mpoteza😂😂😂

  • @OZamgina
    @OZamgina หลายเดือนก่อน +1

    tamaa mbaya

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg หลายเดือนก่อน +5

    Aje awe chawa wa konde mjeshiiii tutampokea

    • @f.a6043
      @f.a6043 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 Dah! Mbavu sina 🤣🤣🤣👉🏼🐸🐸🐸

  • @mahonanjile6007
    @mahonanjile6007 หลายเดือนก่อน +4

    Atampokea nani simba huyo mnara sisi tuna semaji la CAF

  • @florangido202
    @florangido202 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuwa na Nidhamu Baada ya Muda wako kuisha
    Uliita Press Conference na Akiwa na Mkewe na Mama yake, Kuzungumza wewe ndiyo Msemaji na Kumponda Ally Kamwe, Kutumia Mabavu.
    UNGEMUHESHIMU ALLY KAMWE KAIONGOZA YANGA MIAKA 2, ALLY AMWE HAWEZI KUTOLEWA KSB UMERUDI

  • @cynthiapwani1383
    @cynthiapwani1383 หลายเดือนก่อน

    Acheni unafki kadhazeeka nyoosha maelezo kisa sio aliko yanga tuna raha na tunanenepa kila siku kazi mnayo kma mnateseka kwaajili yake mchukueniiiiiiiiiiii daima mbele nyuma mwikooooooooooooooooooooooooooooooooooo👌👌🔥🔥🔥💪🖐🔥🔥

  • @LilianMpenda-gw5pp
    @LilianMpenda-gw5pp หลายเดือนก่อน +2

    Ukiichukia Simba huwezi kufika mbali
    Senzo fyuuuuu
    Manara fyuuuu

  • @dismasidis8990
    @dismasidis8990 หลายเดือนก่อน +1

    Haaah, akufanya haki kwa makabila, ndiyo majibu yanarudi mdogo mdogo

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo ndio malipo ya mnafiki
    Ulikuwa Simba uko safi kiakili kimwili ss hv angalia ulivyo Bugatti
    Mapenzi yana kupeleka kichurachura Maisha nayo Yana kupiga pushapu Yanga ndio imekushika masikio
    Poleni msiotakiwa Poleni
    Simba nguvu Moja Jana na leooo🤣💪🏽🙏🏼

  • @ahamadially8351
    @ahamadially8351 23 วันที่ผ่านมา

    Wanafki hao hao washalipwa hela yao waje kumchafua manara sasa wanawake na yanga wapi na wapi wanafki hawa

  • @OswardMandikilo
    @OswardMandikilo หลายเดือนก่อน +2

    Na bado,utakufa mbwa Koko na ilo domo lako, na usiludi kwetu ,

  • @AhmedMattar-t8g
    @AhmedMattar-t8g หลายเดือนก่อน +3

    ashura yupo hoi sana mnafiki huyu

  • @doctormitishamba
    @doctormitishamba หลายเดือนก่อน +2

    Akili Huna ww uliona ukitoka simba utatoboa sasa umeangukia pua

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 หลายเดือนก่อน +2

    Sura imepowaa sana ana stress kabisa haja changamka

  • @Omarimakuka
    @Omarimakuka หลายเดือนก่อน +4

    Kurjuan ya Mzee magoma😮😮😮😮

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 หลายเดือนก่อน +1

    Manara kajifunze kitu kinaitwa "Rule of Engagement " Kanuni na vigezo kuzingatiwa ni msemo maarufu sana. Manara haelewi kabisa kuzingatia kanuni na vigezo. Mfano hai. Baada ya kufunguliwa kifungo chake, kwa akili ya kawaida tu ya mwajiliwa yeyote, hakupaswa kuita press conference na kuongea aliyoongea. Kwa akili ya manara alipofungiwa,Cheo chake pia kienda kifungoni ndiyo maana mlimsikia akisema hana boss kitengo cha habari na yeye ndiye KING OF THE MIC wakati huo timu iko pre season South Afrika. Huo sio weledi wa kiofisi, yanga ni taasisi kubwa yenye maono makubwa. Inaendeshwa kitaaluma na kwa kuzingatia mifumo ya kiutendaji inayotumika kimataifa. Haji hajui hilo. Anaanza kuwasimanga waliokuwepo kuwa wameifanya yanga kuwa wanyonge. Akatangaza kuwa amerudi enzi za unyonge zimekwisha.Mafanikio makubwa yamepatikana manara akiwa hayupo. Fainali ya confederation, robo fainali club championship, na hapa nyumbani NBC Premier back 2 back. Hiyo sio namna ya kurudi. Hersi ni muungwana amejua kumchukulia manara, but angeamua kuvaa urais na kumwadibisha angemweka pembeni, ila kwa kuwa ni muungwana akambeba. Yanga ilipo na inakoelekea watu aina ya manara hawana nafasi. He is too full of himself kiasi kwamba anajiona ni mkubwa kuliko yanga yenyewe. Anachojivunia ni uwezo wa ushawishi. Hilo halina ubishi. But kinachoweza kuupa thamani na nafasi huo uwezo NI TABIA. Kama hana tabia atatupwa nje na uwezo wake. Kama alipata nafasi kwa sababu ya uwezo ni swala muda tu, TABIA ITAMUUMBUA ndicho kinachotokea. Bahati mbaya sana kwake, tabia ndiyo ilimtoa simba pia. So nyie wachambuzi acheni kumpamba hapambiki huyo. Anayempenda manara atamwambia ukweli.

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 หลายเดือนก่อน +2

    kwa kawaida ukiwa Mzee Ruziki zako nazo hupungua Manara pole sana!

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 หลายเดือนก่อน

      Nani kakudanya!? Bakharesa Mzee lkn kila sku anaingiza mabilioni ya fedha

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 29 วันที่ผ่านมา

    Haji ni simba lakin njaa ilimchanganya

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mjanja mtu wa propaganda anataka Simba tumsamehe iliatuingize chaka

  • @gilbertmaganga9370
    @gilbertmaganga9370 หลายเดือนก่อน +3

    Usaliti hua haumuachi mtu salama

  • @AdamLeyan
    @AdamLeyan หลายเดือนก่อน +2

    Manara kwani niyanga Kuna kazin hapo naenda hata Manchester united

  • @doctormitishamba
    @doctormitishamba หลายเดือนก่อน +2

    Sasa umenyoa upara na mkichwa huo jaman

  • @JumaSharifu-e9p
    @JumaSharifu-e9p หลายเดือนก่อน

    Hahahaaaa saf sana mnafik mkubwa huyo mungu amemuhuzunisha sana na bado atakonda Abaki kama sindano

  • @JuliusKideula-qt4pq
    @JuliusKideula-qt4pq หลายเดือนก่อน +2

    Hebu nyie waandishi acheni habari zenu za kutaka kuanza kuivuruga Timu yetu,hizo zote mnataka kuanzisha chokochoko ndani ya club,hampendi utulivu uliopo na mafanikio yaliyopo

  • @AloyceSiwingwa
    @AloyceSiwingwa หลายเดือนก่อน +1

    Wote mnao msema manara ninyi ni makolo sisi wanayanga tuko kimya!!!! na manara wetu nyooooo

    • @Rukaiya-lt3hm
      @Rukaiya-lt3hm หลายเดือนก่อน

      @@AloyceSiwingwa tulia kimya haujui lolote

  • @allyabdalla4228
    @allyabdalla4228 23 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ana shida sana kwa sasa inaonekana anapitia wakati magumu sana

  • @sefubakari
    @sefubakari หลายเดือนก่อน

    Anadharau broo manara sana. Anawaita wachambuzi mabata.

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 หลายเดือนก่อน +1

    Ulitakaje wakati Wako umepita shida yako huna busara unakuwa na maneno makali

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix หลายเดือนก่อน +2

    Sasa inabidi tuletee Sili za juma mwiko

    • @Costantinejustine
      @Costantinejustine หลายเดือนก่อน

      Sili Gani alete akati hayupo kwenye kamati yoyote nishabibi kama ww tu😅😅😅

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 หลายเดือนก่อน +1

    Awaachie watoto wafanye kazi zama zake zimeshapita

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa aseme tyu tunajua anatak kurundi kwenye kiki

  • @Vivia-m7g
    @Vivia-m7g หลายเดือนก่อน

    Mh kumbe bwana Haji ni mtu mzima sana.Hapa anaonekana vizuri kabisa.

  • @YussufJuma-f8f
    @YussufJuma-f8f หลายเดือนก่อน

    Nyinyi mnaongea nyinyi tuu kama kweli yote mnayoyaonge

  • @cleartzboy
    @cleartzboy หลายเดือนก่อน +1

    Kwahyo mjomba kafanyiwa kama dem wa mwanzo ataufute vizee vyenzake tu

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน +1

    Cyo kakonda semeni ukweli kazeeka vp mnaficha ficha?

  • @kelvinnhungo5771
    @kelvinnhungo5771 หลายเดือนก่อน +1

    Njia ulopita ukiwa unaenda usiwele miba ipo cku utapita tena huyu mzungupori mjinga sana

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm หลายเดือนก่อน +1

    Manara ndio basi tena

  • @abdulmsuya8542
    @abdulmsuya8542 หลายเดือนก่อน

    NI Kweli manara kapungua sana, ana stress sana,😢😢😢 na mwanamke yule ni mpigaji tu hakuna mapenzi hapo! Kwa ushauri wangu manara atulie amlilie mungu ampe mke aliye tulia na sio stress za media na mwanamke kila kukicha!

  • @AyubuDanieli
    @AyubuDanieli 26 วันที่ผ่านมา

    Injinia kaamua kumhalibia kabisa mazima

  • @MwalauMagawa
    @MwalauMagawa หลายเดือนก่อน

    Wacha ajifunze wahenga walisema usitukane wakunga............,usitukane mamba.......,kabla ya kuruka agana na............

  • @malilosaid6495
    @malilosaid6495 หลายเดือนก่อน +1

    Akzi yake tayari jmeisha katumika basi Tena yanga kama maerkani wanajutumiya ukimaliza wanakuhuwa mwisho k wisha kabisa Simba atukutaki wewe m ariki mkubwa na dawa ya mnafiki ni moto

  • @HasanKisome
    @HasanKisome หลายเดือนก่อน

    Alitakiwa Kushuka Jukwaani Wakati Jamii Ilikuwa Bado Ina mpenda Na Kumthamini Lakini Anapoelekea ni Kule Kule Kwenye Kudharirika Na Kudharauliwa Hamna Jinsi.

  • @f.a6043
    @f.a6043 หลายเดือนก่อน

    Jamani mfuteni machozi haji manara 😂😂😂 👉🏼🐸🐸🐸 kama amezeeeka wamemroga nini utoh 🐸🐸🐸👈🏼🤣🤣🤣

  • @maikowela3694
    @maikowela3694 หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya umeludi

  • @fredyfrancis8011
    @fredyfrancis8011 หลายเดือนก่อน

    Jamaa limekonda lipua likibwaaa kudadadeek ,Yanga hawamtaki Tena duuh pole

  • @jimmymhina1264
    @jimmymhina1264 หลายเดือนก่อน

    Tuachane na maisha yake tuongee ya kikazi acheni umbea

  • @leonardlunguya7112
    @leonardlunguya7112 หลายเดือนก่อน

    Dawa ya watu Wanafiki kama Manara ni Hicho alichokipata.
    Njini Hersi amefanya Ubaya Ubwela

  • @Fofo-z6t
    @Fofo-z6t หลายเดือนก่อน

    Nan mngine kaona manara amepungua cjuy Ndo umri ushaenda

  • @valerianrugalabamu7528
    @valerianrugalabamu7528 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka wewe ni Simba uliteleza tu rudi nyumbani.

  • @shabannayopa5406
    @shabannayopa5406 หลายเดือนก่อน +1

    Ungetafuta kaz nyingine mambo ya usemaj waachie vjn

  • @BilaliBilaliamri
    @BilaliBilaliamri หลายเดือนก่อน

    Uyo roporopo aende zake

  • @BarnabaElias
    @BarnabaElias หลายเดือนก่อน

    Kaa huko huko yanga

  • @BahatiIsangu
    @BahatiIsangu หลายเดือนก่อน

    Kwani huyu ni timu gan jmn mbona haeleweki Simba msimpokee hiyo hata nyinyi baadae atakuja kuwachafua

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz หลายเดือนก่อน

    ile siku ya Yanga day alifanya makosa matatu makubwa sana sana kosa la kwanza kumsema bosi wa GSM Ghalib Hajui kusema alafu ghafla akampa makrofon kosa la pili kumweka mbele sana Aziz K na Hamisa kwenye Tamasha kosa la tatu Kajibrandi yeye na mkewake kuliko Yanga

  • @merycianshinda546
    @merycianshinda546 หลายเดือนก่อน +1

    Bado hujasema nabado hujasema mmpaka usemeeee

  • @allychongowe2025
    @allychongowe2025 หลายเดือนก่อน

    Kurujuan ya Mzee magoma haijamuacha salama

  • @saalumunyoha1140
    @saalumunyoha1140 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona amekonda sana

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 หลายเดือนก่อน

    Ungekuwa mkimya ingekupa heshima. Kupayuka kilawama kunakushusha! Yanga si mali yako binafsi yeyote anaweza kupewa nafasi yoyote wakati wowote!

  • @careenpatrick2759
    @careenpatrick2759 หลายเดือนก่อน

    Wewe uzeee huo unataka aendelee kung'aa wakati anazeeka

  • @LitoDossani
    @LitoDossani หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo mbinafsi

  • @OnesmoMwacha-wp4bo
    @OnesmoMwacha-wp4bo หลายเดือนก่อน

    Nataka simba tumsamehe manara ni ndugu yetu. Amekaa simba na amefanya kazi sana na kwa moyo simba

  • @aminumengo2123
    @aminumengo2123 หลายเดือนก่อน

    Engineer kashtuka , kishaambiwa jamaa mnafiki sn atakuja kukuharibia ss kabla hajaanza kamuua hi yy

  • @yakoubaliy7559
    @yakoubaliy7559 หลายเดือนก่อน

    Yani huu ni mtihani kwa Yanga mara hii hawana lao

  • @AdamLeyan
    @AdamLeyan หลายเดือนก่อน +1

    Rud Simba alavu punguza maneno mkuu bana ww niwakwetu Rudi nyumban haji

  • @RamadhanYassin-b7h
    @RamadhanYassin-b7h หลายเดือนก่อน +3

    Brooh alizinguwa xanaaaa achaa ya mkutee😂😂😂😂😂

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 หลายเดือนก่อน

    Sasa Tunakubaliana Na Maneno Hivi Sasa Haji Manara Amekuwa Bubu Kilakitu Anasemewa.

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 หลายเดือนก่อน +1

    NDIO UKOME KUROPOKA NYAU WEWE

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np หลายเดือนก่อน +1

    Mmm ugali mtam sana

  • @NehemiahDaniel-v3e
    @NehemiahDaniel-v3e หลายเดือนก่อน

    Mwenye kujishusha atakwezwa mwenye kujikweza atashushwa kilichomtokea Manara

  • @RaphaelIjaga
    @RaphaelIjaga หลายเดือนก่อน

    Manala hakututendea vyema simba,,,inaumiza lakini Acha yamkute

  • @FaustineFeredinandi
    @FaustineFeredinandi หลายเดือนก่อน

    Yanga Wamuonyesha Nn Maana ya Ubaya Ubwela 😂😂

  • @jumannekambangwa3554
    @jumannekambangwa3554 หลายเดือนก่อน

    nimefurahi sana kwa timu ya yanga kumkata kidomodomo mpumbavu huyo alikuwa anajihisi kuwa yeye ni mwisho wa kila kitu

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 หลายเดือนก่อน

    Haji Manara kitu kubwa ababaishwi na chochote ❤❤❤❤

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 หลายเดือนก่อน

      Unampenda sana huyo . Aliondoka simba kwa vijibwaaa acha yamkute ❤

  • @AbdulrahmanHassan-j4i
    @AbdulrahmanHassan-j4i 29 วันที่ผ่านมา

    Kumamazenu ....weken sauti yake tuskie mwenyewe

  • @shaphiasabani5760
    @shaphiasabani5760 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona anavidonda kichwani au alikua hanabebeshwa mipira?

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 หลายเดือนก่อน

      Ila huyu bwana anaonekana kudhoofu sana. Anatakiwa kupima afya mapema; dawa zipo.

    • @lucianaligambasi
      @lucianaligambasi หลายเดือนก่อน

      Usimseme mtu hujui kesho yako na kizazi chako

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 หลายเดือนก่อน

    *ccm naombeni manara apewe jimbo la wahdzabhe akaunde timu kali haji namkubali tuuuu*

  • @JumaKilalile
    @JumaKilalile หลายเดือนก่อน

    Wakati yupo simba alikuwa na umri gani na leo anazeeka

  • @khamisroro4589
    @khamisroro4589 หลายเดือนก่อน +1

    Bdo mapema

  • @ZahorSalum-h9q
    @ZahorSalum-h9q หลายเดือนก่อน

    Hayo ndo malipo yamsaliti.

  • @DevotaMafwimbo
    @DevotaMafwimbo หลายเดือนก่อน

    Yanga hawajamkataa manala,kwa hiyo mlitaka kamwe afukuzwe baada ya azabu yake kuisha,je akirudi simba mtakubali ahamed ally atoke akae yeye,maana haeshimu waliyo fanya wengine wakati yeye kafungiwa

  • @Zivago12
    @Zivago12 หลายเดือนก่อน

    Namuonea huruma kapungua hadi sura.

  • @EmmanueliMasilu
    @EmmanueliMasilu หลายเดือนก่อน

    Sisi Simba hatumtaki.aje ameyakanyanga anywe TU maana kaitukama sana Simba katuita wadudunkatuita makolo na Nk wanini sasa.aende.zakemhuko Kwa Tim ya mama mdogo yanga.hatumtaki.simba aje

  • @GeorgeJusto-y4v
    @GeorgeJusto-y4v หลายเดือนก่อน +1

    Hata Simba hatukutaki nenda maji maji

  • @NurdiniShabani-b4x
    @NurdiniShabani-b4x หลายเดือนก่อน

    Binadamu mwenye akili timamu hawezi kumuamini manara,, zaylisa awe makini punde tutaambiwa kwanza ananuka k,,,,,,,, fala sana uyo

  • @selemanisalimu8377
    @selemanisalimu8377 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmm

  • @Costantinejustine
    @Costantinejustine หลายเดือนก่อน

    Aende ndondo cup akapandishe timu aje nayo😮😮😮

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 หลายเดือนก่อน

    Kuchamba kwingi huondoka na mavi, wamenena wa zamani

  • @MahamuduMgongolwa-rw6ep
    @MahamuduMgongolwa-rw6ep หลายเดือนก่อน

    Shida yake ni kujiona Bora kuliko mtu mwingine yoyote na na ujuaji mwingi na kujisikia sana Simba tulishindwana nae kwa ajili ya hivyo

  • @BabySheni
    @BabySheni หลายเดือนก่อน

    Hapa duniani binaadam hata umlaze godoro la kioo Bado Bado hatakushukuru