AFISA HABARI ANAYETAMBULIKA NI ALLY KAMWE NDANI YA YANGA/ MANARA ANATAFUTIWA CHAKUFANYA - ENG. HERSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 105

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 26 วันที่ผ่านมา +12

    I Salute you Mr Heris, ( The Chairman for Young Africans ) YANGA ,Well said, Hiyo ndiyo Misimamo ya Kiongozi. Big Up 💪

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 26 วันที่ผ่านมา +15

    Wow!❤ Ally Kamwe mitano tena!

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 26 วันที่ผ่านมา +32

    Msemaji wetu pendwa Ali shaban kamwe tunae natunatamba nae

  • @jovinusmutabuzi4647
    @jovinusmutabuzi4647 26 วันที่ผ่านมา +15

    Nakupongeza sana Rais wetu wa yanga.
    Manara alikosea sana,alijirudisha kazini bila kutoa taarifa rasmi kwenye uongozi.
    Aliifanya yanga kama ya watu wahuni.
    Hata yanga day haikuwa na mvuto kwa vile alionekana kama wote tuna shabikia mambo ya ajabu.
    Apumzike

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 26 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa!!

    • @DenisSanga-bj5ud
      @DenisSanga-bj5ud 25 วันที่ผ่านมา

      Ukweli mtupu Kila nabii na zama zake huyo manara atuachie kidogo akiitajika ataitwa

    • @zubeiramlanzi2480
      @zubeiramlanzi2480 20 วันที่ผ่านมา

      Akafie mbele

  • @musicinafrica5758
    @musicinafrica5758 26 วันที่ผ่านมา +23

    Likes za hersi hapa

  • @pastorstevenmdoe5143
    @pastorstevenmdoe5143 26 วันที่ผ่านมา +15

    Safi sana, mh Rais

  • @Amiriallyameir
    @Amiriallyameir 25 วันที่ผ่านมา +7

    Eng Hersi kapima utendaji wa Manara na Ally Kamwe kaona Dogo anafaa sana. Sio Mropokaji, anajieshimu, na speech zake zimenyooka; yani zinampangilio unaoeleweka, pia hana uchangudoa kama Haji Manara. Ally kamwe yuko vizuri.

    • @user-bk4ug8tj3n
      @user-bk4ug8tj3n 25 วันที่ผ่านมา

      Ni kwel na ni mtabiri mazuri

  • @jacklinembuya2749
    @jacklinembuya2749 26 วันที่ผ่านมา +9

    Umeeleweka vizur

  • @issiryAlly
    @issiryAlly 5 วันที่ผ่านมา

    Rais tunaye na tunatamba naye❤
    kamwe pia tunaye na tunatamba naye.BIG UP Eng.Hersi❤❤❤

  • @Marjeby
    @Marjeby 26 วันที่ผ่านมา +5

    Nimefurahi sana kusikia ALLY SHABAN KAMWE tunayee yule mzee wetu mzungu apangiwe tu majukumu mengine yanga yetu ni dude kubwaaaaa so nafasi za kazi zipo nyingi sana😂😂

  • @dizzomontana7219
    @dizzomontana7219 26 วันที่ผ่านมา +12

    Aende azam tu sisi tuna mtambua Ally kamwe

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 10 วันที่ผ่านมา

      Sawa ukishba uwez jua mwenye njaa nilikua wa kwanza swala la manara kuondoka simba mimi kama mwana simba leo tumepotea tuna wabana pua tu

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 26 วันที่ผ่านมา +10

    Kulingana na kauli ya mwenye Yanga yake , Haji Manara kwa sasa ni kama Mzee Mpili.

    • @shaffihsiraji3141
      @shaffihsiraji3141 26 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂

    • @julianamwalongo6047
      @julianamwalongo6047 26 วันที่ผ่านมา +1

      Mzee mpili ana cheo gani? 😁😁😁😁😁

    • @Marzzzzzz20
      @Marzzzzzz20 26 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂

    • @saidimkongos324
      @saidimkongos324 9 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅umetishaaa

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 26 วันที่ผ่านมา +5

    Rais MAKINI.... swali limejibiwa ki-rahisi saana Oscar 😂😂😂

  • @Mjita
    @Mjita 26 วันที่ผ่านมา +4

    Hakuna anayehukumiwa kwa mtazamo wake au mapenzi yake , dogo yuko vizuri upstairs ktk kuplan speech

  • @mulladomuller4487
    @mulladomuller4487 26 วันที่ผ่านมา +8

    Oscar maswali yko yakishoga ila umepat mtu makin sna

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 25 วันที่ผ่านมา +3

    Kila mtu mzuri ila Ally Shaban Kamwe ni the best to me

  • @user-jt7uv6vu1d
    @user-jt7uv6vu1d 26 วันที่ผ่านมา +4

    Nimependa san kubaki kwa semaji la kimaifa. Ally kamwe

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 26 วันที่ผ่านมา +1

    Good

  • @user-cq1wc9df3y
    @user-cq1wc9df3y 26 วันที่ผ่านมา +6

    Ni razima kuwa na M2 mwenye fikira kama huyu

  • @chazzmgonja4077
    @chazzmgonja4077 26 วันที่ผ่านมา +1

    Umetisha

  • @abdalla8193
    @abdalla8193 26 วันที่ผ่านมา +3

    HAJI huna kitu jitambue

  • @HassanMohamed-w7e
    @HassanMohamed-w7e 26 วันที่ผ่านมา +9

    Kamwe kaachwa mbali sana na manar

  • @anastahiliutawala3879
    @anastahiliutawala3879 26 วันที่ผ่านมา +4

    Yeye ni Rais, ni boss wa wa mawasiliano huyu ni sawa na Rais tz

  • @johnbahati478
    @johnbahati478 26 วันที่ผ่านมา +1

    No politics,facts

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe lokole yuko sawa 😂😂😂😂😂

  • @righitkileo
    @righitkileo 25 วันที่ผ่านมา +1

    Uwiiiiiiiiiiiiiiiiioo❤❤hii imeendaaààa❤Rais kasema❤❤Ally shaban Kamwe❤❤❤❤kuna mwenye nyonqeza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AbubakariKisuju
    @AbubakariKisuju 26 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana"manara misifa hatumtaki

  • @randomclips5474
    @randomclips5474 26 วันที่ผ่านมา +1

    best view

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 26 วันที่ผ่านมา +3

    Akufukuzaye hakwambii toka

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 26 วันที่ผ่านมา +3

    Oscar mkolofi

  • @georgekilwa2051
    @georgekilwa2051 23 วันที่ผ่านมา

    This Africa period!!!

  • @buberwazimbeiya7406
    @buberwazimbeiya7406 22 วันที่ผ่านมา

    Kumwembe na adela kaa vizur

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 26 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa haji alale tu asiropokeropoke Hana kazi maalum pale😂😂

  • @JosephManala
    @JosephManala 21 วันที่ผ่านมา

    Mpeni mhamasishaji supuday

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 25 วันที่ผ่านมา +1

    Manara adabu hana,wala heshima hana kwa watu,anaropokwa tu kwa kila mtu,Ali Kamwe anafaa,anajilewa,na ana limit ya kuongea kwa kila kitu,ana heshima,na kwasasa ka fit kuwa msemaji wa Yanga 100%

  • @seifnrashid
    @seifnrashid 24 วันที่ผ่านมา +1

    Tunaweza kuona interview yote national vipande vipande

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE 22 วันที่ผ่านมา

    kweli

  • @shukuruhalfani
    @shukuruhalfani 25 วันที่ผ่านมา +1

    Pyee pyee pyee pyee pyee pyee kwisha kabisa mdomo umekuponza kuda dadek

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 26 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa waandishi wanapenda chokochoko

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 26 วันที่ผ่านมา

    Confusion haikuwepo kwetu wengine. Taratibu za kikazi zilimuweka Ally Kamwe. Huyu mwingine aliporudi utaratibu ni uongozi kumpangia majukumu ya kufanya chini ya Kamwe au idara nyingine.

  • @JoJo-xh7ph
    @JoJo-xh7ph 22 วันที่ผ่านมา

    Mimi ni simba dam lakini Alli Kamwe ndiye anayefaa Yanga. Manara Njaa tu

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 26 วันที่ผ่านมา +1

    Manara yanga huwezi kuifanya kama simba bro huyu hersi ni kichwa sana hataki uje uitie shoti yanga kama simba na wangeendelea wawili pale yanga ingefeli mpasuko

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu 26 วันที่ผ่านมา

    Haja manara typing and deleting 😂😂😂

  • @GeorgeSagumo
    @GeorgeSagumo 14 วันที่ผ่านมา

    Rudisha yanga ww kwawenyewee kinamangomaa

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 25 วันที่ผ่านมา

    Sasa siku ya kutambulisha wachezaji Haji Manara Alienda fanya nn?

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 26 วันที่ผ่านมา

    Masikini Hajji,,,,dah!

  • @MapenziMalanda
    @MapenziMalanda 6 วันที่ผ่านมา

    Hi inaenda kuipasua Yanga, Raisi ame gusa uti wa mgongo wa Yanga....mtanambia nyie subirieni. Yanga aija cheza karata yake vizuri kuusu Manara

  • @augustshirima9726
    @augustshirima9726 26 วันที่ผ่านมา

    Mbona maelezo mengi manaraaa

  • @merycianshinda546
    @merycianshinda546 25 วันที่ผ่านมา

    Mhhhh aje anaumbea sana kavile nikwake akomeeeee.

  • @didamugya6039
    @didamugya6039 23 วันที่ผ่านมา

    Alikamwe is the best, hana lugha kali, kashfa na roho mbaya kama Manara

  • @Emmanuelbuyamba8037
    @Emmanuelbuyamba8037 21 วันที่ผ่านมา

    Uyu jamaa anaubinafsi ndani yake,na nawaona yanga wakifarakana sana msimu ujao.

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 25 วันที่ผ่านมา

    Manara yeye zaidi kazi aiyokuwa akiifanya ni kuisimanga Simba kila kukicha badala ya kuijenga Yanga

  • @Emmanuelbuyamba8037
    @Emmanuelbuyamba8037 21 วันที่ผ่านมา

    Utopolo hapa mmepigwa

    • @AshaMwamba-g3l
      @AshaMwamba-g3l 10 วันที่ผ่านมา

      Jamani alikuja shapu Sana jamani aibu

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 24 วันที่ผ่านมา

    Ndo mana mzee magoma anapigana na kutaka katiba ya zaman hapo unatak madarak yote usimamie ww

  • @williamsaulos8769
    @williamsaulos8769 24 วันที่ผ่านมา

    Kusema ukweli,Kamwe hafanyi bidii ya kufaamu taarifa/takwimu za Yanga,pia anasindwa kuipamba Yanga sawa na mafanikio tunayoyapata kwa wakati huu.#Mafanikio haya ya Yanga,angelikuwa Haji Bugati madarakani,kila mwana Yanga angelikuwa anatembea kifua mbele sana.Lkn wote ni watu wazuri kwa kila mmoja kadiri ya talanta yake.Ila ukiona comments negative kwa Haji ujue hao ni wa upande wa pili,wanamuogopa,wanajifanya ni Wana Yanga!🤝🙏

  • @bensonobiloosweya8265
    @bensonobiloosweya8265 25 วันที่ผ่านมา

    Haji amekwisha.

  • @kicmbermaestro3459
    @kicmbermaestro3459 26 วันที่ผ่านมา

    Kila mtu anataka uboss😂😂😂😂😂 yanga yangu hii

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 25 วันที่ผ่านมา

    Jamaa na zungu haziivi😂😂😂..
    Sema kamwe mtu saana anakpiga spana ila hana makelele kelele

  • @buberwazimbeiya7406
    @buberwazimbeiya7406 22 วันที่ผ่านมา

    Huo sio mkao mzur kwa mtu aliyekaa jirani yako

  • @user-pv3ip3uk2s
    @user-pv3ip3uk2s 26 วันที่ผ่านมา

    Saf

  • @liamlee7594
    @liamlee7594 25 วันที่ผ่านมา

    Oscar wa tabora kadhalilishwa saana na Engineer kama alikuwa anamletea utani ila ndani yake kuna ukweli

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 21 วันที่ผ่านมา

    Katiba ya magoma je

  • @mtokaboys2175
    @mtokaboys2175 26 วันที่ผ่านมา +6

    Me ally kamwe simuelewi

    • @elizabethkalinga0822
      @elizabethkalinga0822 26 วันที่ผ่านมา +1

      Umuelewe tu kwa sababu aliajiriwa kwenye hiyo nafasi, na ameitumikia kwa Miaka 2, sio 6 Months ya Matazamio hapana Wala sio kibarua.

    • @checkchannel3876
      @checkchannel3876 26 วันที่ผ่านมา

      Ok, kwa hiyo si tufanyeje?

    • @AdelinaLusekelo-xl4bm
      @AdelinaLusekelo-xl4bm 26 วันที่ผ่านมา +1

      Huezi kumuelewa Ally kama unakula maboga acha sisi tunao muelewa aendelee na kazi🎉

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 26 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂utaelewa tu pole pole

  • @RaineryChristian-xy1ss
    @RaineryChristian-xy1ss 26 วันที่ผ่านมา +2

    Hapo rais wetu kanena vizuri sana .. ni kweli mumpe manara kitengo kwani ni mtu wa mpira na anajua namna ya kuitangaza clab

  • @azizajamary576
    @azizajamary576 26 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂zungu chali

  • @shijacs23
    @shijacs23 26 วันที่ผ่านมา

    Kwa waliomwelewa raisi manara arudi tu simba au aende namungo yanga hatumtaki!!!

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 26 วันที่ผ่านมา

      Tuna semeji la caf huo uchafu tuupeleke wapi sisi labda watupieni tabora united😂😂😂

  • @MesiyaMesiya-kt8rk
    @MesiyaMesiya-kt8rk 26 วันที่ผ่านมา +1

    Vp ubaya ubwegez😬🐓🐰🐓🐓🐓🐓🐓😁😁⚽⚽🎧🎧⚽🎧⚽⚽

  • @VeronicaErasto-l5j
    @VeronicaErasto-l5j 26 วันที่ผ่านมา

    alikamwe imeisha hiyo

  • @hamishatibu699
    @hamishatibu699 26 วันที่ผ่านมา +2

    Ila yanga wanafki xna,kamwe nilimuacha nje yanga day.leo wanamtangaza tena Aliy komwe 😅😅😅😅

    • @flavianajohn5250
      @flavianajohn5250 26 วันที่ผ่านมา

      Kweli we ni mbumbumbu aliachajwe sasa we sanda fc

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 26 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 kazidi umbea acha wambwage

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 26 วันที่ผ่านมา

    Waandishi wa habari wachokonozi

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 23 วันที่ผ่านมา

    Ujinga mtupu timu za Afrika janja janja nylngi greey like aaa

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 26 วันที่ผ่านมา

    Alikuq msemajiq😂qqq maskini zeruzeru

    • @kassimualli1755
      @kassimualli1755 26 วันที่ผ่านมา

      Kijana kuwa na kauli nzuri

  • @BarakaSinginali
    @BarakaSinginali 26 วันที่ผ่านมา

    Njooni na huku kwangu Mu SUBSCRIBE basi

  • @yahomeshopllc5950
    @yahomeshopllc5950 26 วันที่ผ่านมา

    WANAO KUBALI MANARA APEWE NAFASI YA MAGOMA LIKES ZENU HAPA.😂

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael 26 วันที่ผ่านมา

    Hersi akiwa na interview nchi inatulia kumsikiliza kuliko hata rais wa nchi maana Kuna madini anatema ambayo yanatusaidia wengi ambao ata sio mashabiki wa mpira sio kma yule anaetutambulishia dada zake🤣🤣

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 26 วันที่ผ่านมา

      Akili yako iko matakoni wewe

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 26 วันที่ผ่านมา

      Rais Tena Umeenda Mbali Sana. President Ndio Kila Siku Hkuna Wakumfananiza Nae.

  • @BahatiIsangu
    @BahatiIsangu 25 วันที่ผ่านมา

    Safi sana rais wetu Ali kamwe ni kijana mdogo lkn anajitambua ktk nafac yake tunampenda

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 26 วันที่ผ่านมา +3

    Ali kamwe ndiyo bora sana kuliko huyo mzee jamani sasa hivi waachieni vijana.

    • @mbokanitaribo5106
      @mbokanitaribo5106 26 วันที่ผ่านมา

      Siyo bora kuliko MANARA

    • @julianamwalongo6047
      @julianamwalongo6047 26 วันที่ผ่านมา +1

      @@mbokanitaribo5106 Ni bora Sana tena sana Kuliko manara, tena zaidi kwa namna ya usemaji wake.

  • @HassanMohamed-w7e
    @HassanMohamed-w7e 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kamwe kaachwa mbali sana na manar

  • @HassanMohamed-w7e
    @HassanMohamed-w7e 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kamwe kaachwa mbali sana na manar