Alikiba - Mbio (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 10K

  • @TswagZ
    @TswagZ 9 หลายเดือนก่อน +88

    TULIO RUDI KUITAZAMA NGOMA YA KING 2024 GONGA LIKE TUKISONGA🔥👍

    • @SalumMuhsin
      @SalumMuhsin 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ni bora unipe moyo wangu niuficheeeeh🎉🎉🎉🎉🎉

    • @SalumMuhsin
      @SalumMuhsin 6 หลายเดือนก่อน

      Ni bora unipe moyo wangu niuficheeeeh🎉🎉🎉🎉🎉

    • @samwelrobert7746
      @samwelrobert7746 6 หลายเดือนก่อน

      🔥

    • @ngabungabrain6574
      @ngabungabrain6574 6 หลายเดือนก่อน

      2024 mpaka 2078

    • @officialisaiah3979
      @officialisaiah3979 6 หลายเดือนก่อน

      Kumanake af niko na bebe

  • @fetymwamba8685
    @fetymwamba8685 5 ปีที่แล้ว +66

    King!nishida#hatari fire#utabaki kileleni utabaki mawinguni its nice song

  • @josekabati9426
    @josekabati9426 5 ปีที่แล้ว +76

    Kingkiba siyakuelewa vizuri we star gan mbona nyimbo zako zote Tam pia nikali jamani rockstar

    • @fettymsuya340
      @fettymsuya340 5 ปีที่แล้ว +1

      Jose Kabati sanaaaaaaaa

    • @benardmanyama3415
      @benardmanyama3415 5 ปีที่แล้ว +2

      Kweliii aiseeee hiii ngoma imeandikwa miaka 10 iliyopita jamniiii fundi ni fundi

  • @taylorrae3922
    @taylorrae3922 2 ปีที่แล้ว +6

    Mimi siwezani nawe Ali Kiba.....much love from Kenya❤️

  • @duniayetu6272
    @duniayetu6272 5 ปีที่แล้ว +86

    mzigo umeandikwa miaka Kumi ilopita lakin bado hatari.
    kama wewe ni fan wa good music gonga like bas..

  • @kanejafari379
    @kanejafari379 5 ปีที่แล้ว +50

    Xaxa hapa kwenye number one ndio sehemu yetu na huwa wanjua tikikaa hapa kazi inakuwepo let us keep in watching #mbio ndio habar ya town ukibisha kunya jiwe then limeze tena

  • @lilianekeny7819
    @lilianekeny7819 5 ปีที่แล้ว +156

    From Kenya with love...Alikiba We love your music...😘😍😘😍😍...King Kiba endelea ivo ivo

  • @selemanibalezi6182
    @selemanibalezi6182 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed brother! Your words go right on the point. King's music always.

  • @lamecksmernestntaki3894
    @lamecksmernestntaki3894 5 ปีที่แล้ว +43

    daaaah hamna king mwingne zaid ya king kiba tz namkubali sana huyu jamaa forever am team kiba

  • @johngodlovenderingo.7591
    @johngodlovenderingo.7591 5 ปีที่แล้ว +134

    Rock star, King of music Tanzania nzima hakuna kama King Kiba kama vp tupia likes zenu wadau twende sawa.

    • @lulumbowe9784
      @lulumbowe9784 5 ปีที่แล้ว

      King kiba utabaki kuwa juu

    • @hadijaabdallah5477
      @hadijaabdallah5477 5 ปีที่แล้ว

      @Elisabeth K hata mama ako Malaya maana pia mwanamke na ww pia mamako

    • @johngodlovenderingo.7591
      @johngodlovenderingo.7591 5 ปีที่แล้ว

      @@hadijaabdallah5477 Mm sijamuelewa anazungumzia kitu gani mana haeleweki @Elisabeth K

  • @joekenya
    @joekenya 5 ปีที่แล้ว +206

    Alikiba wetu.. Kenya loves you so much 🇰🇪 🇰🇪
    Your music always on top kwa playlist yangu
    Nipeeni likes wadau.. Alikiba fans!!

  • @esseesse2348
    @esseesse2348 10 หลายเดือนก่อน +29

    Ambaye tupo naye p1 2024 agonge like

  • @giziberthjakobo7856
    @giziberthjakobo7856 5 ปีที่แล้ว +48

    Moto juu ya moto jaman japo nimechelewa naomba like zangu

  • @jameskasekele1705
    @jameskasekele1705 5 ปีที่แล้ว +169

    The only musician u listen to and never get tired or bored,, respect Alikiba

    • @nitaally2190
      @nitaally2190 5 ปีที่แล้ว +1

      😘😘

    • @stephanoiddy696
      @stephanoiddy696 5 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/nZSp_0Dn_jg/w-d-xo.html,, PLEASE
      SUBSCRIBE ,, SHARE LIKE AND COMMENT THIS CHANNEL.

    • @annkamau5338
      @annkamau5338 5 ปีที่แล้ว +1

      Sure

    • @stephanoiddy696
      @stephanoiddy696 5 ปีที่แล้ว +2

      Naitaji kupiga wimbo na alikiba nipo marekani nahongeya swahili na kingereza natowa 15.000 dollar

    • @babasupa4035
      @babasupa4035 5 ปีที่แล้ว +1

      True.

  • @Bigkissafricano
    @Bigkissafricano 5 ปีที่แล้ว +61

    ALI # BILLIONAIRE # wa love
    Big up sana #KING KIBA# much love to you
    Naomba Like# kama umekubari ngoma hii kali

  • @swabrahnaigaga3349
    @swabrahnaigaga3349 9 หลายเดือนก่อน +2

    2024 still here enjoying the jam, mob love from Uganda 🇺🇬

  • @lazarophilipo925
    @lazarophilipo925 5 ปีที่แล้ว +126

    Motooooo like zenu jaman I love good music

  • @godwin-daudmusika2697
    @godwin-daudmusika2697 5 ปีที่แล้ว +187

    Alikiba ndiyo msanii pekee Tz anaye jua mziki Gonga like kama zote hapa.🔥🔥🌟

    • @catherinekiango4933
      @catherinekiango4933 5 ปีที่แล้ว +2

      GODWIN-DAUD MUSIKA

    • @petershawa2206
      @petershawa2206 5 ปีที่แล้ว +2

      Alikiba anapendeza sana kuliko wasanii wengine wote kule Tanzania.

  • @praytz907
    @praytz907 5 ปีที่แล้ว +162

    Are we still dating?
    Mana hueleweki
    Ama ndo nimechokwa
    Ama umetekwa
    Nawaza na kufikiri
    Majibu sipatii
    Na moyo unachosha akili
    Kwa mapenzi ya kuforce😓
    Kupenda pasipo thamani
    kwangu taabani
    Sio sawaa
    Bora unipe moyo wangu niufiche..
    Mi siwezaanii na weweee (mbio mbio mbio )
    Moyo unanienda moyo unaniendaaa🎵🎵🎶🎶💔💔
    King kibaaa💥🔥🙌🏾🙌🏾

    • @omabizo686
      @omabizo686 5 ปีที่แล้ว +5

      Pray Tz waah patamu sana bradhee

    • @officialmamuu_kdt4822
      @officialmamuu_kdt4822 5 ปีที่แล้ว +5

      Upo fasta kushika

    • @mamybotha1761
      @mamybotha1761 5 ปีที่แล้ว +3

      Haaaah sio kwa ufasta huo

    • @fixmor5433
      @fixmor5433 5 ปีที่แล้ว +3

      Daaah umenifumbua ,,saluteeeee

    • @traicymnale8735
      @traicymnale8735 5 ปีที่แล้ว +1

      @Pray Tz this is my fav verse in ths song🔥🔥salute to yah brodah

  • @RehemaSanga-gc2fg
    @RehemaSanga-gc2fg 5 วันที่ผ่านมา +1

    Alikiba ni hatari sana gonga like kama na ww unamkubali

  • @bellaferrer3390
    @bellaferrer3390 5 ปีที่แล้ว +95

    From Spain Valencia... We are loving it!!! Sweet song!!!

    • @mikeboss2441
      @mikeboss2441 5 ปีที่แล้ว

      valencia should start before saying spain

    • @bellaferrer3390
      @bellaferrer3390 5 ปีที่แล้ว

      @@mikeboss2441 .....heeee!!! Mwalimu wa walimu!!!!

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 5 ปีที่แล้ว +47

    King atabaki kuwa Ali kiba good music Rockstar for live#+254

  • @elimozeewaniperadhi9583
    @elimozeewaniperadhi9583 5 ปีที่แล้ว +71

    Alikiba sio mtu wa mchezo mchezo..........# BORA MOYO WANGU NIUFICHEEE AMEANDIKA SANA HUMU MASHAIRI KUNTU# tunao msapoti Kiba tujuane bas kuna party yetu uki like nakufollow instagram

  • @allyhassan8131
    @allyhassan8131 5 ปีที่แล้ว +40

    Nmerudia zaidi ya mara 15 ngoma kali wajina mziki mzuri bro respect da legend

  • @inommjn5033
    @inommjn5033 5 ปีที่แล้ว +54

    "Mwnangu,umeelewa alivosema King Kiba...asiyekuthamini achana naye....254 wengine wakichoshwa akili hutumia shoka...."

  • @jamesmayunga5802
    @jamesmayunga5802 5 ปีที่แล้ว +59

    Nitawatukana sana mnaotumwa kukosoa mziki mzur huu wa ally kiba pumbavu zenu wimbo wa kubebea mkwe ukweni huu love you kiba

    • @sofiaasukuku8238
      @sofiaasukuku8238 5 ปีที่แล้ว

      Kaka nimekupenda Sana namba zangu izo apo +1816 642 3112 nipigiye WhatsApp Niko marekani ndo nasomeya ,,,nahona umetumia maneno makali Sana Sababu ya kiba ,,,siyo kosa ,,lakini mond nisani mkubwa Sana kuliko kiba ,Texas Houston USA

    • @sideboy1299
      @sideboy1299 5 ปีที่แล้ว

      Tukana lkn wimbo mbovu

    • @salimmwasene3283
      @salimmwasene3283 5 ปีที่แล้ว

      @@sofiaasukuku8238 Haha hao wasanii hawafai comparison ni kama kufananisha messi na Cristiano both wko na fanbase kubwa

    • @dellysikujua4763
      @dellysikujua4763 5 ปีที่แล้ว

      Mbona wakaida sanaaa

    • @jamesmayunga5802
      @jamesmayunga5802 5 ปีที่แล้ว

      SIDE Mp3 mbuvz kweli

  • @organicchiaseeds.tanzania8993
    @organicchiaseeds.tanzania8993 5 ปีที่แล้ว +116

    Best song of the week,best song of the month,1st Tz song to my gallery this year..& I bet itakua best song of the year..big up 👑 for the good song.

  • @MalegesiMakunja
    @MalegesiMakunja 4 ปีที่แล้ว +229

    Tuliokuja kuangalia mwaka 2020 tufahamiane

  • @haibasalehe3568
    @haibasalehe3568 5 ปีที่แล้ว +60

    Kizur hakina prom
    🔥🔥😍😘 wanakukubali ila kusema ndo wanaumia sanaa

    • @ngeaplatenumber4692
      @ngeaplatenumber4692 5 ปีที่แล้ว +1

      Kiba banha Ujawai koxea aixeee we ni xhida wi love ma boe

  • @joelyemmanuel8530
    @joelyemmanuel8530 5 ปีที่แล้ว +88

    Yeeeh babaaaa nyan ni fire respect 4 blood Kings music.... Ni motoo

  • @kuntahkhan2696
    @kuntahkhan2696 5 ปีที่แล้ว +131

    Yea baba 🎶🎤🎶 10 years song buh still rocking today..... Nibora unipe moyo wangu niufichee

  • @halunamaneno9986
    @halunamaneno9986 4 ปีที่แล้ว +3

    Moyo wangu niufiche hii ngoma inanikumbushaga mbali Sana kweli wewe ni king

  • @maureenodegi9307
    @maureenodegi9307 5 ปีที่แล้ว +137

    Ali Kiba your videos are becoming more and more sophisticated man!...and the quality of your music! I give you credit

  • @rukundorehemarehemarukundo5353
    @rukundorehemarehemarukundo5353 5 ปีที่แล้ว +55

    I can't explain how much I love you alikiba 😭😭😭😭 tusio penda matusi tunakuelewa💃💃💃💃

  • @djb2kzer0
    @djb2kzer0 5 ปีที่แล้ว +65

    From Canada no time to sleep still waiting for dis it everyBody say YeBabaaaaa. Like alafu twende Sawa #Mbiooo👉🏾🏃🏾

  • @Josesidi
    @Josesidi 3 ปีที่แล้ว +1

    This was a hit song bt ikawa under rated....... just listen to the relycs walai.... noma sana.....

  • @anjelineonjoma6325
    @anjelineonjoma6325 5 ปีที่แล้ว +56

    I just love Kiba's talent. He gets it right with no too much effort. Mungu akuwezeshe

  • @shaniaamida3310
    @shaniaamida3310 5 ปีที่แล้ว +48

    I can't believe this song means my life now 🤔🤔 . Alikiba how did know my right moment?? . Walah watu wanasumbuwa

  • @djsalazza8779
    @djsalazza8779 5 ปีที่แล้ว +83

    KingKiba on top always...
    much love from Mogadisho..
    nipeeni malikes if you are big fan like me...👊😍

  • @drazzadrazza4165
    @drazzadrazza4165 26 วันที่ผ่านมา +1

    Njoo hapa tufunge mwaka na ili jiwe Kali sana 24-25

  • @mutevas7624
    @mutevas7624 5 ปีที่แล้ว +118

    mamaaa sisi ndio mabilionea wa malove kama na ww bilionea wa malove like twende sawa

  • @abdulfrance1548
    @abdulfrance1548 5 ปีที่แล้ว +120

    Hapana hizi viewers sio za ukwel ht million tulishafikisha ila kuna figisu youtube mana zimeshuka tena sana hii nyimbo inaangaliwa sana ndio mana imeingia moja kwa moja kwenye trend namba nane na baada ya hapo namba tatu halafu namba mbili sasa vp jaman watu wakaribu wanaoweza kutufikishia ujumbe watusaidie ujumbe ufike king kiba uwe unaingia walau kuangalia aisee tunaumia

    • @chollo_simba_tz8892
      @chollo_simba_tz8892 5 ปีที่แล้ว +5

      Hii ni kweli hats nimeona huu mchezo unafanya na wale waimba matus

    • @godifreyfilimoni8566
      @godifreyfilimoni8566 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli mzbb

    • @adamrobert8869
      @adamrobert8869 5 ปีที่แล้ว +1

      Sasa aibiwe nn, sasa hapo kuna nyimbo jamani, au ndo majina makubwa.

    • @deusdeodavid5360
      @deusdeodavid5360 5 ปีที่แล้ว

      Sasa hii nyimbo nayo

    • @mtncakes2247
      @mtncakes2247 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kbd hadi leo laki 8

  • @jimson53
    @jimson53 5 ปีที่แล้ว +45

    Big up king kiba...from Tokyo 🇯🇵🇯🇵🇯🇵

  • @edwinoyugi8963
    @edwinoyugi8963 4 ปีที่แล้ว +2

    best rnb...napenda sana huu wimbo

  • @justinepaulomaheomahe3582
    @justinepaulomaheomahe3582 5 ปีที่แล้ว +148

    Congratulations to you king kiba for the beautiful song

  • @hamidahamadi3609
    @hamidahamadi3609 5 ปีที่แล้ว +130

    Nyimbo kali Sijakosea kuwa team kiba wallah!! 😘😘😘

  • @lucyhonore9050
    @lucyhonore9050 5 ปีที่แล้ว +117

    You’ve got to love this man 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @ashalang2275
    @ashalang2275 2 ปีที่แล้ว +1

    Ali pls more of you ,my heart melts when ihear your voice.

  • @allysaid9458
    @allysaid9458 5 ปีที่แล้ว +79

    mashabiki wa king kiba twendeni kazi tusisikilize umbeya kabisa punda afe mzigo ufike.

    • @sofiaasukuku8238
      @sofiaasukuku8238 5 ปีที่แล้ว

      Kiba afe mziki uhendelehe ,,analolote

    • @rayanalhabsi8029
      @rayanalhabsi8029 5 ปีที่แล้ว

      mimi naangalia kila saa ila views aviongezeki jamani kwanini

    • @abdulfrance1548
      @abdulfrance1548 5 ปีที่แล้ว

      Et mzk uhendelehe cjaelewa hapo uhendelehe ndio nn

    • @ezrongodwine9989
      @ezrongodwine9989 5 ปีที่แล้ว

      Wala

    • @sofiaasukuku8238
      @sofiaasukuku8238 5 ปีที่แล้ว

      @@rayanalhabsi8029 msani wenu kiba ana swaga ,,,, WCB juuuuuuu

  • @mushabisajrvictor7781
    @mushabisajrvictor7781 5 ปีที่แล้ว +77

    The king 🤴🏾 only speaks by actions ❤️#Alikiba🔥🔥🔥🇦🇺🇦🇺

  • @nelsonthomas3811
    @nelsonthomas3811 5 ปีที่แล้ว +69

    Wowwwwwwwwww king always is king ❤️ gonga like hapa kama wewe huu wimbo umeupenda kama mimi nilivyo ukubali

  • @ashanzeyimana1063
    @ashanzeyimana1063 3 ปีที่แล้ว +3

    Daaah nimeachwa

  • @adknimmoja
    @adknimmoja 5 ปีที่แล้ว +110

    King of bongo flava...much love from +254..... Lemme get those likes for the lovers of King kiba

  • @muwongevincent238
    @muwongevincent238 5 ปีที่แล้ว +55

    King wetu huyoooo wapi like za kenya

  • @leemassawe8968
    @leemassawe8968 5 ปีที่แล้ว +51

    Unaimba na unasaut nzuriiii mpk unakera jaman kha naiangalia marambilimbili sichoki kukutazama bad Nakpenda

  • @slycecilia451
    @slycecilia451 4 ปีที่แล้ว +1

    If kama una mkubaki yeee baba the king of bongo ..nipe hi ataka ma ni moja lv from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @shaniaamida3310
    @shaniaamida3310 5 ปีที่แล้ว +125

    Guys the only thing that I don't understand to our brother Diamond is that he thinks that people all over the world are jealous of his love 🤣🤣 but KING of MUSIC he is always there for different flavors of songs 😘😘😘 we love u KING

    • @samwelmashaka5044
      @samwelmashaka5044 5 ปีที่แล้ว +3

      Daaaaah!huyu jamaaa ni the really king music Kiba mwenyewe

    • @shaniaamida3310
      @shaniaamida3310 5 ปีที่แล้ว +2

      Yani mm na kings music damu moja

    • @sajraizadin8645
      @sajraizadin8645 5 ปีที่แล้ว +2

      GREAT AMIDA kaliii sanaaa maako

    • @rocksstartv7686
      @rocksstartv7686 5 ปีที่แล้ว +4

      Sisi tuendelee kuview na sio kununua views ata kama wanashuka tusikate tamaa

    • @martinemayunga2357
      @martinemayunga2357 2 ปีที่แล้ว

      Hi

  • @hamiduidris4397
    @hamiduidris4397 5 ปีที่แล้ว +57

    Ngoma Kali imekamilika kila idara kuanzia beat,mellod video ndio umeua mzee kwangu mii hii ndio video Kali ya mwaka kama name ww umeielewa sema yee babaa

  • @attakerattack1652
    @attakerattack1652 5 ปีที่แล้ว +60

    King kiba much love all the way from west Africa

  • @nurumwangoka7424
    @nurumwangoka7424 4 ปีที่แล้ว +4

    Huwa sichokiiii kuusikiliza huuu wimbooo!!!! Kama na ww unapita pita huku gonga like tujuaneeee❤️❤️❤️❤️❤️

  • @jacobjames757
    @jacobjames757 5 ปีที่แล้ว +50

    Good music from #RockstarAfrica Nice song Alikiba.yeeeeeebaba!!! Tume win game la Tanzanian

    • @ameenaramadhan2499
      @ameenaramadhan2499 5 ปีที่แล้ว

      Daaaah nimekukubali mungu akufanyie wepesi mambo yako yazıdı kuwa mazuri

  • @aminajoshua9522
    @aminajoshua9522 5 ปีที่แล้ว +71

    wew ni wa juu, i can't explain my appreciation to u❤❤❤😍 king kibaaa

  • @htxworld7268
    @htxworld7268 5 ปีที่แล้ว +117

    Alikiba always give us the Authentic Bongo flavor , The original swahili flavor NOT that Diamond platnumz style ... Alikiba You will always be the Best.

  • @babramugo7944
    @babramugo7944 4 ปีที่แล้ว +2

    Please my favorite musician em tafuta management nzuri upige kazi.ujue unajua kuimba Sana yaani east Africa mzima ur the best.wengine wakasome.unaanguka tuu kwenye management jamaniiiiiiiiiii

  • @cedricmupiri5509
    @cedricmupiri5509 5 ปีที่แล้ว +69

    Moninga nazali awa🇨🇩lingala is the best language in the world,love you bruh

    • @bosslady4332
      @bosslady4332 5 ปีที่แล้ว +1

      Diamond azo lia ye kkk...

    • @husnahasna7161
      @husnahasna7161 5 ปีที่แล้ว +1

      Nice 😍😍😍😍😍😙

    • @justinadamiane3496
      @justinadamiane3496 5 ปีที่แล้ว

      Lol 😘

    • @canny255
      @canny255 5 ปีที่แล้ว

      Translate the Lingala words for us in English please @Cedric Mupiri

    • @golflima5392
      @golflima5392 5 ปีที่แล้ว

      Lol that’s what I thought too. Soon as I heard: nazali awa, I automatically knew it was Lingala.

  • @seifhilal9489
    @seifhilal9489 5 ปีที่แล้ว +61

    Hiii ngoma iwe namba 1 mwezi mzima au vp Tim kiba

  • @jimmiehunter7755
    @jimmiehunter7755 5 ปีที่แล้ว +147

    I love you Ali Kiba. Rock star for life. +254

  • @artburnsolutions1899
    @artburnsolutions1899 3 ปีที่แล้ว +1

    #KING u r on CHAT NOW! Umeyaamsha MASHETANIIIII!!!!

  • @artemisneoy9596
    @artemisneoy9596 5 ปีที่แล้ว +46

    Yeeeebababaaa king 👑 of bongo flavour, masauti, mature... Humble and down to earth

    • @nindwakulwameleka5220
      @nindwakulwameleka5220 5 ปีที่แล้ว

      Atarii

    • @twaha94abdoul21
      @twaha94abdoul21 5 ปีที่แล้ว +1

      You're billionaire of love😂😂 u kill it brother they can't competeU with youngers these is how King should be inspiring others

  • @shingwahemed3803
    @shingwahemed3803 5 ปีที่แล้ว +45

    King mwenye kiba zake, mziki mzuri bila #kiki bila #drama inawezekana

  • @mimokassim1887
    @mimokassim1887 5 ปีที่แล้ว +100

    From South Africa 🇿🇦 live zenu pls jamani

    • @nambilili4269
      @nambilili4269 5 ปีที่แล้ว +1

      Nimehiyelewa ngoma hii king we ni msanii bolla na sio bola usaniii watasubili kote kote 2po #weka #like we km team #KIBA. 👑👑👑👑👑

  • @ibrahimdiwanonlinetv1430
    @ibrahimdiwanonlinetv1430 5 ปีที่แล้ว +139

    U made us proud of u bro, Hautumiaa ngv nying ila u'r songs rock.. My favorite song again, #kiba fans, need your likes here, 💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @hyasintakundy369
    @hyasintakundy369 5 ปีที่แล้ว +42

    Nilishaapa hata uimbe visivyoeleweka i will still be your fans..love you kiba😘😘

  • @mayungapaschal7277
    @mayungapaschal7277 5 ปีที่แล้ว +43

    What a song kingkiba???? Kweli safari hiii hatulali njaa #Alikiba #Mbio weee noumaaaaa

  • @zaituniamiri7803
    @zaituniamiri7803 3 ปีที่แล้ว +1

    Sawa kaka kiba nakubali sanaaaaaaaaa

  • @rasaam7701
    @rasaam7701 5 ปีที่แล้ว +45

    Twaumia jamani ,king and ur management let this be the last time u face this problem, do something about this

  • @meshackwafula5837
    @meshackwafula5837 5 ปีที่แล้ว +100

    Alikiba knows how to draw his fans' emotions..a really loving song

  • @kalthamhassan4881
    @kalthamhassan4881 5 ปีที่แล้ว +178

    AliKiba knows exactly when we need his songs!!! I am so happy right now

    • @tygamk8278
      @tygamk8278 5 ปีที่แล้ว +4

      Mwaka huu rockstars mnajua kutusumbua

    • @swashabdul
      @swashabdul 5 ปีที่แล้ว +2

      Sure

    • @migwisamuel_
      @migwisamuel_ 5 ปีที่แล้ว +3

      He still has the Bongo sound that I so much love

    • @Emanuel-w3u4q
      @Emanuel-w3u4q ปีที่แล้ว

      @@swashabdul wa

  • @altonogola2827
    @altonogola2827 4 ปีที่แล้ว +3

    King kiba this' a great stuff.always on top of the game.

  • @Celebrating_Love
    @Celebrating_Love 5 ปีที่แล้ว +338

    Both Alikiba and Diamond are East Africa's best. The difference is Diamond's songs lasts decades but Kiba's songs lasts millenniums. Show your love for King

    • @POGMESSITV
      @POGMESSITV 5 ปีที่แล้ว +13

      Chukua chupa moja ntalipa. 💯 fact.

    • @aishahamad6464
      @aishahamad6464 5 ปีที่แล้ว +6

      💯% True...

    • @faridak.k193
      @faridak.k193 5 ปีที่แล้ว +9

      Rrrr...sa we ndo umeomgea mtu wangu

    • @drhonga8889
      @drhonga8889 5 ปีที่แล้ว +5

      Ofcoz

    • @dennismuasa7892
      @dennismuasa7892 5 ปีที่แล้ว +6

      Kweli kabisa

  • @erickstiven645
    @erickstiven645 5 ปีที่แล้ว +308

    Unajua kuna ngoma zingine huponya hata maradhi sugu!
    Mtaa wa pili wataelewa tu....
    Team Kiba jamani msininyime like zenu please!

    • @naomiallan2745
      @naomiallan2745 5 ปีที่แล้ว +5

      Erick Stiven nimeshiba nlikuwa na njaa sana kusikia tu huu wimbo meshiba

    • @bensonkalson3157
      @bensonkalson3157 5 ปีที่แล้ว +4

      @@naomiallan2745 daa kumbe tuko wengi tupost cover

    • @elizabethshabani3430
      @elizabethshabani3430 5 ปีที่แล้ว +2

      Erick Stiven m
      kweli kabsa

    • @tanzaniajoker9976
      @tanzaniajoker9976 5 ปีที่แล้ว +1

      Ali kiba mbio lyrics is out
      th-cam.com/video/X0pJz5hFg8o/w-d-xo.html

    • @tanzaniajoker9976
      @tanzaniajoker9976 5 ปีที่แล้ว +1

      @@bensonkalson3157 Ali kiba mbio lyrics is out
      th-cam.com/video/X0pJz5hFg8o/w-d-xo.html

  • @vanemolly4249
    @vanemolly4249 5 ปีที่แล้ว +217

    Sema ngoma 😘😘😘😘😘😘love from Kenya 😍😍😍😍😍 go go kiba tunakupenda gonna like if u from 254

  • @checkflame077
    @checkflame077 4 ปีที่แล้ว +62

    Alikiba is just a Legend!
    I can't get enough of this song and Kadogo

  • @bonniventuresylivester3133
    @bonniventuresylivester3133 5 ปีที่แล้ว +42

    Kama unatamani km Mimi hii ngoma iwe 1 Trending week nzima gonja like tuendelee kuiinua juu mawinguni

  • @mziwandaraur5594
    @mziwandaraur5594 5 ปีที่แล้ว +55

    saruti King utazeeka na eshima yk naomb like zen

  • @youngkingbaddmankiller3006
    @youngkingbaddmankiller3006 5 ปีที่แล้ว +59

    Wewe kama unamkubali 👑 kiba like apo chini twend sawa yebaba

  • @ramadhanyassin4644
    @ramadhanyassin4644 5 ปีที่แล้ว +3

    Unamiaka mingne kumi mzeee naomb unshangazeee kam hiiii mzeee #mbio kam ilivykaa ndan miaka yot bac kwang ndio mgom ya miaka yoteeeeeee

  • @abdiyathe6221
    @abdiyathe6221 5 ปีที่แล้ว +55

    Rockstar since enzi za senderalla paka sasa hivi u still rocking

  • @henrymulengera
    @henrymulengera 5 ปีที่แล้ว +89

    Number one on trending TH-cam now #AlikibaMbioOfficialVideo

  • @georgepetermfalme4600
    @georgepetermfalme4600 5 ปีที่แล้ว +44

    1 On trending gonga like chap chap

  • @henrikhenry3382
    @henrikhenry3382 3 ปีที่แล้ว +1

    Mi siwezani nawe I like the song and can't get enough of it

  • @sebastianmusira3060
    @sebastianmusira3060 5 ปีที่แล้ว +128

    "General never wrong" we soldiers believe that... And king Kiba is a General....

    • @abeidmayanga809
      @abeidmayanga809 5 ปีที่แล้ว +2

      True

    • @teddykariuki6044
      @teddykariuki6044 5 ปีที่แล้ว +2

      That's true

    • @sebastianmusira3060
      @sebastianmusira3060 5 ปีที่แล้ว +2

      Yeah...we keep the good music alive forever.... Kizuri kitadumu tu hata kikichukiwa na wengi...

  • @alexadam1219
    @alexadam1219 5 ปีที่แล้ว +62

    Mziki muzuli hujiuza wenyw hii ngoma sasa ivi iko namba 1

  • @samkoka3
    @samkoka3 5 ปีที่แล้ว +190

    Kiba blood let press like to show love for alikiba brother jonga like kama wew ni kiba fans

    • @nitaally2190
      @nitaally2190 5 ปีที่แล้ว +1

      Take 1

    • @hassanally583
      @hassanally583 5 ปีที่แล้ว +1

      Rock star watakubal watoto wadogo

    • @rukkyxarat
      @rukkyxarat 5 ปีที่แล้ว +2

      Inavyoonyesha hawa wanga WCB wameshaireport account ya alikiba kwa hiyo kila alikiba akitoa nyimbo atapata tatizo hili la kufanya tuongeze subscribers kwa you tube channel hivo views zake zitakuwa na uwiano wa subscribers wake hapo tutawashinda WCB na kila akitoa nyimbo itakuwa na viewers haraka sana jamani mashabiki wa kiba tuongeze subscribers kwa kiba kila anaempenda kiba bonyeza kitufe chekundu kimeandikwa subscribe itakuwa umesubscribe msione uvivu

  • @omarejoseph1607
    @omarejoseph1607 4 ปีที่แล้ว +3

    Heri kusema ukweli. King Kiba 👑

  • @oneslevinezagos2852
    @oneslevinezagos2852 5 ปีที่แล้ว +184

    Ali kiba knows very well what his fans expects from him and that's why his songs are always hits after hit. If you agree with me hit a like#team Kiba

  • @daudimbwahali7530
    @daudimbwahali7530 5 ปีที่แล้ว +140

    Jaman team kwanza naombeni samahan kwa kuchelewa kuview kucoment na malikes shusha malikes kama nmesamehewa bureee

  • @naizerramadhan5564
    @naizerramadhan5564 5 ปีที่แล้ว +65

    My choice always my brodah 👑 kiba your the best one more in yah music I appreciate it 💪💪💪💪

  • @mathewbicco7841
    @mathewbicco7841 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni mojawapo ya nyimbo zilizopangiliwa vyema sana, hii nyimbo itaishi sana.

  • @aishawanjiku9911
    @aishawanjiku9911 5 ปีที่แล้ว +37

    Mziki ulioenda shule na kuhitimu. Big up king kiba🕺💃🕺💃