Ben pol feat harmonize kwa kweli huu wimbo kma mmeniimbia mmi wallah Why 😭😭😭😭💔 ila ni kweli malipo ni duniani kma na wwe unauwakika malipo ni duniani pls like zenu
Kama umeirudia kuitazama zaid ya Mara 2 LIKE& reply. hapa Ngoma Kali sana hii #benpol hii ndo midundo tunaoitak toka kwako brah! #kondeboy umemurder wallah!
I don't know why I love this song....I just find myself rewinding it... I think its the best version of my Ben Pol and best collabo with Harmonize.... nice scriptures, nice melody, nice voice....
Aisee Harmonize Ni king wa Lyrics yaaani Mistari imenyooka kinoma "Hayaniishi mawazo nyingi zinajirudia Penzi lake ndo chanzo,,mmmhhhhhh Malipo Ni duniani AHera kuhesabiwa Mi nipo bado rehani nimejitela Mwana mkiwa
Yani harmo. ujeshi ameanza muziki nao,,ni msanii ambae uezi jutia kumshirikisha Kwenye nyimbo yako🔥🔥❤ anashirikishwa lakini anaimba kushinda mwenye ngoma👊👊
East Africa got more than Diamond we Love our Simba🦁 and our Harmonize ❤ Keep releasing such kind of music and we will not stop listening King Harmonize 💫
Harmonize this song really show me how versatile you are in music. Bro keep it up you are the best musician to ever come out of East Africa. Your vocal and delivery is the best. Someday you will own your record label 🙏🙏. Naija boy 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬
Aisee tuache roho mbaya ngoma kali kinouma daaaah, nikiifikiria naona kbxa huu ujumbe unaweza kua wangu kwa baadae lazima nibadilike aisee 🤔🤔 mungu anisamee kwa wanawake wote nilowatoa machozi😢😢 naombeni like zenu wapendwa plz😩😩😩
Ben Paul umetumia nguvu na ukongwe wako Katika hii ngoma ila ungejilegeza basi huyo mmakonde kutoka ntwala harmonize angekuficha Japo amekuficha ila sio sana....Harmo mwaka 2019 namuona mbaliiiiiiiiiiiiiiiiii Sana na wataanza mwita fremason tu
Asanteee....pale mafundi wanapokutana nyasi zinawaka motoooooo.Nashauri tu huyu fundi nae Ben Paul ahamishie makazi USAFINI ili moto uendelee kuwakaaaa.
Hii nyimbo konde boy uliitendea haki kwa 100% baada ya Interview na salama nimekubali Ben na naangalia ngoma zake zote b4 sikuwahi kumwelewa japo ndo mtu mkali wa rnb now nimeamini he deserve more
Duuuhhh!! Ben Pol ft Harmonize kwa hili goma mmekosha moyo wangu sichoki kulisikiliza kudadeki, unaweza kuchukua chapati uikande upate ngano 😂😂. Big up sana 💪💪
As a member of the comments reading association (C.R.A), I'm only here to read comments. Pls make your comment short and simple. We do appreciate your typing effort👍 and also watch your spelling. Thanks Say HI🖐✋ if you're also a member of the C.R.A
Ally Juma clouds watapata tabu xana ,mana redio yao itakosa nyimbo za kupiga xaxa wimbo kama huu unaacha kuupiga kisa unabfu na WCB , watapata tabu xana
Hosea Nobocka wanaroho mbaya toka kitambo tunackia wao wanagombana na wasanii sasa safali hii wamekalia moto wa mtt wa Tandale watatafuta pakutokea huyu siyo sugu wala jide cku hizi mambo yote kwenye cm co zama zile za kuwaburuta watu kikubwa wasanii waungane wafanye kazi .
Ulimwengu Nyakanga clouds watajuta kuwa na bifu na WCB , ndo mana mpaka sasa hawaja tangaza fiesta ni lini ,ngoja WCB wawanyooshe kwanza tena wakianza wasafi festival moto utakao washwa lazima watafte pa kuelekea mana wasanii kibao hawataweza kuungana nao lazima waingie wasafi festival
Sasa hv ndio mara ya kwanza kuuona huu wimbo na nimerudia kuusikiliza bado naurudia tu, kilichoimbwa hapa kama vile nimeimbiwa mimi dah! Juzi leo siku ya tatu sipati usingizi kabsaaa na asubuhi lazima kazini naingia saa kumi na mbili yani mateso juu hadi kazi naiona chungu kula pia nashindwa dah!
Tumerudi kuuskiliza Muziki mzuuri mwaka huu2024. Asanta saana JESHII🎙️🎼
Ben pol feat harmonize kwa kweli huu wimbo kma mmeniimbia mmi wallah Why 😭😭😭😭💔 ila ni kweli malipo ni duniani kma na wwe unauwakika malipo ni duniani pls like zenu
Chama Cha Wasoma Comment Tanzania CHAWACOTA ...tupite hapa ... Two Best vocalist in East Africa ..ngoma kali sana
umenifurahisha sana hicho chama
Kaz nzur mnoo
Tupo wasomaji
Alex Alexis nice
Tupo mzee bba nasi hatulali
Aliyekuwa anasubiri part anayoimba konde boy anipe LIKES zangu hapa!
Jamaa anajua
konde boy sings so nicely in Swahili. napenda mashairi yake
Na bado.
Ngoma fire kabisa ! Kunayeyote anabisha hapa? Kama unaielewa hii ngoma Kama vile vilishakitokea wanavyosema basi likes nyingi twende!!
anyone watching from Kenya 🖐acheni like,, but either way ngoma Kali you guys never disappoint 🔥🔥🔥
Brother
yeah bro✊✊
True dat
Mising
🔥🔥
Ben Pol Kitambo Nyimbo Zako Nzuriiiii 🇹🇿 Pamoja Sana Unaangalia Huku Unasoma Coment Like Hapa 👍
Kama umeirudia kuitazama zaid ya Mara 2 LIKE& reply. hapa
Ngoma Kali sana hii
#benpol hii ndo midundo tunaoitak toka kwako brah!
#kondeboy umemurder wallah!
Who else believe this song is better than views it is having!
Prof.anatory upo hukuu🙌
Me
Me
Malipo...apa apo kabla Kudanjaaaaa....Weka Like za Ben Pol.....Apa Mfalme wa Ryms
I don't know why I love this song....I just find myself rewinding it... I think its the best version of my Ben Pol and best collabo with Harmonize.... nice scriptures, nice melody, nice voice....
Damn, this is what happens when two bad ass artists come together....big up Kondeboy na Ben pol .......naikubali Sana outta+254 Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wallahy harmonize mkali🙌 duuuuh🔥🔥 kama unamkubali gonga like apa 💪
Aisee Harmonize Ni king wa Lyrics yaaani
Mistari imenyooka kinoma
"Hayaniishi mawazo nyingi zinajirudia
Penzi lake ndo chanzo,,mmmhhhhhh
Malipo Ni duniani AHera kuhesabiwa
Mi nipo bado rehani nimejitela
Mwana mkiwa
Acha like kama wamkubali konde boy na Ben pol sauri Tamu.
Nakubali ngoma tulivu producer kafanya kazi nzuri.
Toka 254 nakubali.🔥🔥🔥🔥
Jamani leo nimekuwa wa kumi na tatu ku comment . Kaliiiiii sana tupia like yako hapa kama umeikubali video
Hatari sana
Lifat simba xawa
Nc
Pamoja ndugu zangu lazima tuvikubal vitu vikaliii
👋👋👋👋👋👋👋👋🖖🖖🖖🖖🖖
Best video, Good Music, watoto wa Magufuli mpo vizuri sana!!! Kila kona nasikia ni midundo ya wimbo huu tu....
nooomaaaxana
kwel
Nouma san
🙏🙏
@@johnmwinuka8314 h
Harmonize never dissapoints Aisseee gonga like kama unakubaliana
Yah
kabisaa..mwanatalanta huyu
Ben pol ulivoanza kuimba nikazani mond
Kuza biashara yako mtandaoni kwa kutangaza biashara kupitia tovuti ya guliostore.com
Konde boy kamficha huyu tozi
Defenetly
Ben Pol, pole.
Sisi ma fans tulikwambia usiowe
huyo dem
but hukuskiza.
We are still with you. God bless bro
Frm +254.wangapi wanaelewa kwamba after Benpol kumnyanyua Ebitoke na kumuacha sasa ana regret😃😃😃
Nami mnipe likes za Kenny kama za konde-boy zimeisha,.. Moto sana mbona mbona
nyimbo kali hongera kwako ben pol n harmonize woyooo 😘😘😘
Scolla umekubali nyimbo kali
yah ngoma kali sana
Huu wimbo ! 😭😭😭 Kweli machozii yanatoka Sasa IV napata malipo ya isaliti
Hiiii ngoma ni balaaaa....wajina konde boy unazidi tu kuonexha ......uwezo wakoooo endelea kuwa kalishaa tu
Kamba
Daaaah ujumbe WA humu sio kitoto be blessed broo
Yani harmo. ujeshi ameanza muziki nao,,ni msanii ambae uezi jutia kumshirikisha Kwenye nyimbo yako🔥🔥❤ anashirikishwa lakini anaimba kushinda mwenye ngoma👊👊
Kwa Wale wamekuja ku conform Kama hii ngoma ipo kwa account ya harmo.... Maana Ben pol kashaa ipost sjui yuasaka Attension gani sasa.... 😊😊
Dah huu wimbo unanigusa for real..its like kama wamentungia mie vile.. nice song Ben
TO ALL OUR KENYAN MUSICIANS....THIS IS WHAT GOOD MUSIC SOUNDS LIKE
deejay lazz yes, they should be learning from our neighbours
True
😮@@moviqlawfruitboy2457 ❤❤❤
Ben&konde boy mmeutendea haki mziki huu....🤒🤒
NGONGA LIKE KAMA UNAWAKUBALI HAWA MAFUNDI.
To all Kenyans, this is how good music sounds like.
Safi sana
Kabisa,kizungu lugha ya Kuja tu.😊😊
East Africa got more than Diamond we Love our Simba🦁 and our Harmonize ❤
Keep releasing such kind of music and we will not stop listening King Harmonize 💫
Harmonize this song really show me how versatile you are in music. Bro keep it up you are the best musician to ever come out of East Africa. Your vocal and delivery is the best. Someday you will own your record label 🙏🙏. Naija boy 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬
Answered prayer😊today he is a CEO of konde music worldwide,,, isn't awesome 😎
Harmonize hajawahii koseaa.......#wimboo mtamu kushindaa ata samosa za Nakuru*** +254 eka ishara apa....
mhuu nyimbo iko bomba coz wote nmafundi
Nice
Makonde ajawahi acha kichupa salamaaaaa
Twende sawa hapa!!!!!!
2023 konde one of my role model I like u much love from 254
Nice song... +254 kenya nmeikubali... Ka umependa Collabo ya nen na Harmonize Gonga like
Konde boy unaweza vibaya
Daaaaah,hiii ni zaid ya ngoma kaliiii aseee,kaz nzur brothers....Ben&Harmo..
Yaan kama unamkubali harmonize tz acha ubishi acha majungu uaione wivu gonga like yako hapa please
Daahh wimbo umenifany nitoe machozi Kwan ni kam vile umenirenga mim kam na ww umekugusa dondoxha like yako hapo
Sasa hizi ndizo WCB standard... Sio Kadamshi.. Wallah tena.. Umemsikiliza Harmonize the way anavyo-harmonize... ni shida!
Any one watching from uganda ?These 2 guys are too perfect and everything was spot on..........we love you neighbours.
Aisee tuache roho mbaya ngoma kali kinouma daaaah, nikiifikiria naona kbxa huu ujumbe unaweza kua wangu kwa baadae lazima nibadilike aisee 🤔🤔 mungu anisamee kwa wanawake wote nilowatoa machozi😢😢 naombeni like zenu wapendwa plz😩😩😩
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👋👋👋👋👋👋
Ngoma kali kichupa kikali.....km unaamn harmonize is coming star after Diamond i need ur like to drop down
Ben pol👌🏻 Tanzania the next hub of talent. Kama twakubaliana ebu like
Ben Paul umetumia nguvu na ukongwe wako Katika hii ngoma ila ungejilegeza basi huyo mmakonde kutoka ntwala harmonize angekuficha Japo amekuficha ila sio sana....Harmo mwaka 2019 namuona mbaliiiiiiiiiiiiiiiiii Sana na wataanza mwita fremason tu
2022 this song still amazing sweet melody. This is a timeless song
I wish these two could do something once again!
2023 still listening to this song
ukweli! harmonize umenena .... nawaona zanzibar gonga like
Nawaoneo huruma sana clouds!! Vituvizuri kama hivi vinawapita!! Daaaaaaaahhh!!!!!!!
Asanteee....pale mafundi wanapokutana nyasi zinawaka motoooooo.Nashauri tu huyu fundi nae Ben Paul ahamishie makazi USAFINI ili moto uendelee kuwakaaaa.
Hakika wimbo huu ni hatariiiii,,,,,Nguvu zinaniisha,,,nice song Ben Paul &harmonize
Kaz nzuri banaaaaaa,,, proudly artist's from mother land# Tanzania,,, @ harmonize ,,, @ benpol
I was remember some one else nilimkosea xn nilimuumiz bila kosa natman arudi tena
Huu wimbo unanifanya nimpate mrembo wa kuoa toka Kenya, yaan uki like nakuoa
inlove with harmonize verse so good inagusa sehemu
Hii nyimbo konde boy uliitendea haki kwa 100% baada ya Interview na salama nimekubali Ben na naangalia ngoma zake zote b4 sikuwahi kumwelewa japo ndo mtu mkali wa rnb now nimeamini he deserve more
Duuuhhh!! Ben Pol ft Harmonize kwa hili goma mmekosha moyo wangu sichoki kulisikiliza kudadeki, unaweza kuchukua chapati uikande upate ngano 😂😂. Big up sana 💪💪
Yan ni ..💥💥
..kama umeelewa hii song, like inakuhusu..
Kichupa kimekaaa vyema.
Malipo ni duniani ahela kuhesabiwa ...
Konde boy
simbahh TV
Naomba like2!!
Those kind of Man's who says minapiga na naangalia mbele iam sure they have learn something here..
Harmonize kila kukicha nazidi kukupend toka utok wcb piga kazi na songs mble usihof chchote mungu yupamoja nawe kwakila hatua upitiayo
As a member of the comments reading association (C.R.A), I'm only here to read comments. Pls make your comment short and simple.
We do appreciate your typing effort👍 and also watch your spelling. Thanks
Say HI🖐✋ if you're also a member of the C.R.A
CHAWACOTA na mark register apa 👏👏👏👏
Great job here harmonize killed it en Ben burried it🔥🔥🔥🔥
ben pol yuko wap ximuon umoo daaaah umemfichaaa kimnyama yan daaaah haonekan konde boy nomaa
Kama umeikubali combination hii gonga like tusepe WCB forever
2021 and am still rocking this song 🎵👌🏾🙌🏿😍
Harmonize part🔥🔥🥰
Kama unamkubali Ben pol Na kondeboy wamweeza apa nipe like🙏
nakubaliiii
IDDI MVUNGI thanks 🙏 bro
Izo like ni chakula kwan
🙏👄💓
🙏
After a valentine heartbreak nimekuja uku kuji console
Jaman nimetokea kuupenda huu wimbo mono na naskiliza kila mara yani. .... kazi nzuri sana Ben pol and Harmonize
Sisi wasafi ndo tunabeba muziki wa bongo kubaki ukatae🦂 🤗 #WCB4LIFE
Aaaa wacha maneno wewe nani kasema, au upo ndotoni
Ally N2C sio kwel
Pimbi wewe,, umeongea kitu ambacho hukijui,,
gud chemistry guys! keepin the good music alive
Harmonize killed it💯
Konde boy endelea kuwa Toa tu Hao machoz w n noma na Ben pol 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍👍
Iseee apana cheza na mapenzi..moyo ukikuamulia hakuna ujanja ...ngoma safi sana
But Harmonize ni moto I say. What a voice and lines.
Good work from both though.
So emotional icant get over it.. Lovely
lbraah
Craudz mtapata tabu sana. Wasani wazuri wengi wao wanaielewa WCB. Kwaiyo mwaka huu mtapiga gospo tuu
Ally Juma clouds watapata tabu xana ,mana redio yao itakosa nyimbo za kupiga xaxa wimbo kama huu unaacha kuupiga kisa unabfu na WCB , watapata tabu xana
Hosea Nobocka wanaroho mbaya toka kitambo tunackia wao wanagombana na wasanii sasa safali hii wamekalia moto wa mtt wa Tandale watatafuta pakutokea huyu siyo sugu wala jide cku hizi mambo yote kwenye cm co zama zile za kuwaburuta watu kikubwa wasanii waungane wafanye kazi .
hapo ndoo nawaona clouds wanayumba balaa af aib kwao
Ulimwengu Nyakanga clouds watajuta kuwa na bifu na WCB , ndo mana mpaka sasa hawaja tangaza fiesta ni lini ,ngoja WCB wawanyooshe kwanza tena wakianza wasafi festival moto utakao washwa lazima watafte pa kuelekea mana wasanii kibao hawataweza kuungana nao lazima waingie wasafi festival
Watapata tabu sana
Big up sanaaa kwa stage hiiii......gonga like kwa watanzaniaa hawa.........?
Director mnampenda lkn bado Sana video mbovu kama unamkubali director Hanscana gonga like twende sawa
Aiseee hii nyimbo ni kama umeeleza maisha yangu ninayopitia kimahusiano shikamoo mapenzi ngoma kali Mzee baba.. 😇🤗🤗🙌
October 2022 this is still my fav
mmetisha kinoma noma aiseee yan ngoma kaliiiiiiiiiii salute na respect mingi mingi kwenu
Huu wimbo una maana kubwa sana 👏👏Bravo guys
Sasa hv ndio mara ya kwanza kuuona huu wimbo na nimerudia kuusikiliza bado naurudia tu, kilichoimbwa hapa kama vile nimeimbiwa mimi dah! Juzi leo siku ya tatu sipati usingizi kabsaaa na asubuhi lazima kazini naingia saa kumi na mbili yani mateso juu hadi kazi naiona chungu kula pia nashindwa dah!
Noma sana❤️❤️
Ben pol mkaliiii sana wewe jamaaaa nakubar
Nimependa wapi likes za harmonize ameileta smaaart....
Wapi likes za 🇰🇪 Kenyans, Noma sana hii
2024 na Bado ngoma kama mpya!! 🔥
Daah Malipo Niduniani Kweli Khera Kuhesabiwa Hivyo Inatupasa Kufanya Mema Kabla Yakifo,, Nimeipenda Sanaa Jaman
Harmonize never dissapoints. Boy very talented.
like kwa Ben pol na Harmonize ngoma kali sana kamaume ikubali kama mimi acha LIKE APA.
ipo siku Kenny atakuja kupata tuzo ya director bora in africa.
Tru bro
Who else feels good while reading comments.....kama unakubaliana na Mimi like apa
HARMONIZE WE NI NYOOOOKOOO!!...IYO SAUTI NI SHIDA NYINGINE ASEEEE!!! WELL DONE!!...
Kama unakubali hawa the kings basi wape likes zao
Two of my best TZ singers on a song. Voooocals 💯💯💯
Harmonize youre trully a big tune🔥🔥🔥🔥🔥
Sijawahi ona mtu analia maumivu na machungu huku anakula bata na kuoshea like harmonize. But wimbo mtamu sana
Bonge la ngomaa,, ben pol amekaza na harmonize ameuwa kiuandishi... Wcb kwa uandishi shkamoooo