Alikiba - Maumivu Per Day (Unofficial Release - Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6K

  • @jumaomary6528
    @jumaomary6528 6 ปีที่แล้ว +22

    Ngoma kali...video...kali...900...itapendeza zaidi Big Up..King we ndio Sura ya Africa !!🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 ปีที่แล้ว

      Juma Omary Sema wewe inakuwaje?
      Karibu kwenye channel yangu hapa TH-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

  • @ahmadothuman190
    @ahmadothuman190 4 ปีที่แล้ว +864

    Siku ukija kutazama tena maumivu per day achia like yako

  • @Msonjo
    @Msonjo 6 ปีที่แล้ว +33

    video ya kwanza kutoka kwa kiba niliyo ielewa ni hii kwa style hii nahamia rockstar4000 yoooooo

  • @sheilakavita4849
    @sheilakavita4849 5 ปีที่แล้ว +34

    Alikiba I love the song ♥️ but inanifanya nifikiriye Bali sn from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ahmedahmeed8966
    @ahmedahmeed8966 6 ปีที่แล้ว +11

    kiukweli huyuuu kijana yupo juuu em naomba uwendelee hvy hvy katika kazi zako Ally kiba

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 ปีที่แล้ว

      ahmed ahmeed
      Assalamualaikum!
      Karibu kwenye channel yangu hapa TH-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

  • @mosesouta4144
    @mosesouta4144 6 ปีที่แล้ว +35

    Mm sielewi kiswahili lakini kiba nakukubali 1000000% nyie waswahili nielezeni asema nn na kama wamkubali huyu kingi usipite bila kilike hapa💪💪💪👑

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 ปีที่แล้ว

      moses Outa
      Hi there!
      Karibu kwenye channel yangu hapa TH-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

    • @francisdidas1667
      @francisdidas1667 6 ปีที่แล้ว

      yani nikisikiliza huu wimbo najikuta nimesinzia gafula kwajili Ya utamu nahousikia kupita imbo huu ❤❤❤

    • @happinessnyambita8139
      @happinessnyambita8139 6 ปีที่แล้ว +2

      moses Outa uelewi kiswahili kwaiyo apo umeandikiwa?

  • @barakaalan1741
    @barakaalan1741 6 ปีที่แล้ว +24

    acha waseme wao sisi tumemaliza 👑 kiba mfalme WA bongo frever

  • @gabrielnyambu8287
    @gabrielnyambu8287 4 หลายเดือนก่อน +35

    2024 Ooooyooooh! maumivu per day. eti eee gonga like tukisonga

  • @mongalibaraka7548
    @mongalibaraka7548 6 ปีที่แล้ว +27

    Wow karibu sana 👑 👑 👑 king kiba mfalme wetu kama huna kubali gonga like
    Form America Albuquerque

  • @shayrrakalama283
    @shayrrakalama283 6 ปีที่แล้ว +118

    nkaumia sababu bado nakuhitaj, yale
    maumiv
    💖💖💖💖💖💖💞💞💞💞

    • @allysaid9458
      @allysaid9458 5 ปีที่แล้ว

      Shayrra Kalama naona tabusamu lako..

  • @frankiekalogi5617
    @frankiekalogi5617 6 ปีที่แล้ว +12

    #ali kibaaaa jamaniiii unakeraaaa daaaah wimbo umeubikiri tenaaa! watajipanga wapinzani! 😂😂😂😂😂😂👑

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👑Asante kwake yy

  • @nicelyrutakyamilwa4388
    @nicelyrutakyamilwa4388 4 ปีที่แล้ว +2

    Upo moyon mwangu.......dah hii song inanifanya nilie daily.....

  • @humidalramialramimi4401
    @humidalramialramimi4401 6 ปีที่แล้ว +23

    Bora kiba maumivu nimeielewa ;nini mond waka waka mbovu!

  • @nyikarappa8604
    @nyikarappa8604 6 ปีที่แล้ว +142

    jaman team 👑 mko wapi hadi masaa 8 tuko na view 30 k tumelala bado kama uko Pamoja na mm achia like yako hapa 👑 kiba

  • @djb2kzer0
    @djb2kzer0 6 ปีที่แล้ว +89

    King is back king
    Mzee asie kuwa na papara ya nyimbo unatowa pale tunapo jiisi hamu ya kula Kama upo nami gonga like ,from canada🇨🇦

  • @godwinegacharo9001
    @godwinegacharo9001 4 ปีที่แล้ว +253

    Wangapi wanafatilia Maumivu per day, Mbio, Mshumaa, Dodo et.c etc

  • @jumamisinzo9234
    @jumamisinzo9234 6 ปีที่แล้ว +65

    achatu nikae kimya maana bonge moja nyimbo. gonga like for King Kiba

  • @josebrownbongo9777
    @josebrownbongo9777 6 ปีที่แล้ว +13

    kali kinoma before 5k 😂😂..nani mwingine anasubiri hii ngoma ifike 1milion kabla ya 1wik

  • @philiposhilingi8066
    @philiposhilingi8066 6 ปีที่แล้ว +10

    Team markia was nguvu mkaisome namba big up king #kiba

  • @richardsalm7734
    @richardsalm7734 4 ปีที่แล้ว +2

    Sijawahi kuchoshwa kusikilza ngoma zako king unajua mpaka unaboa

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 5 ปีที่แล้ว +55

    Huu wimbo ulivyo mtamu haunishi hamu nani. Nani bado ana ukubali wimbo huu.gonga likes kama unaukubali😍💔💓🎤🎵♩🎙🕪🎼🎧🎧?????????

  • @salmambongo8443
    @salmambongo8443 6 ปีที่แล้ว +35

    Nothing to say hamna utimu nasaport kitu kizuri 😍😘😘😘😘keep up👏👏👌👌

  • @sammyfrancis2213
    @sammyfrancis2213 6 ปีที่แล้ว +76

    kama umeona video queen ni mrembo weka like 900 itapendeza

    • @wanenetv9672
      @wanenetv9672 6 ปีที่แล้ว +1

      mbaya mnooo

    • @iddafr7171
      @iddafr7171 6 ปีที่แล้ว +2

      +Wanene Tv asante kwa view yako

    • @pelodieudonne9968
      @pelodieudonne9968 6 ปีที่แล้ว +1

      Wanene Tv awezi akakujukuwa wewe unavimba sana afadhali wale wagonde awezi kukuzungurusha

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว +1

      +Pelo Dieudonne 😂😂😂😂😂😂😂😂😂kwanz atadondoka nae 😍😍👑

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 ปีที่แล้ว

      😂🤣

  • @AugustinNkundimana-g1q
    @AugustinNkundimana-g1q 2 หลายเดือนก่อน +2

    August from in Burundi I love you sana allikiba!

  • @donacianahipoliti6884
    @donacianahipoliti6884 6 ปีที่แล้ว +24

    simple, smart, fantastic and awasome video with talented artist. big kiba ur the king salute for u

  • @kvkenzo
    @kvkenzo 6 ปีที่แล้ว +241

    KIBA WEWE NI LEGEND NA UTABAKI KUA IVYO
    GONGA LIKE KAMA UNA MKUBALI

  • @tlmonlyonegoals6198
    @tlmonlyonegoals6198 6 ปีที่แล้ว +12

    Before 1M views
    Pamoja roho safi 🔥❤️❤️💯💯

  • @YospinoWerah
    @YospinoWerah ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda ❤️❤️❤️❤️💋💋💋💋jinalangu Rex N'ikomwanaume Nakupenda sana🌹🌹🌹🌹💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹

  • @andulilemwanyamaki9190
    @andulilemwanyamaki9190 6 ปีที่แล้ว +25

    Its unofficial but make my heart bum bum ....... ..wakuache miaka 100000000000000

  • @silverrichard2975
    @silverrichard2975 6 ปีที่แล้ว +136

    Kali video ila najua umejifunza kutoka na makosa watu wanahitaj video kal kw sasa kuliko wimbo wenyewe Gonga like kw hapa kama umeikubal

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว

      Makosa gan ametenda kwani?

    • @dailummala3792
      @dailummala3792 6 ปีที่แล้ว

      +Khadija Khadija king kiba

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว

      +Dailu Mmala yes king pasua kichwaa yaan maumivu. per day 😘😘

    • @jameskimani755
      @jameskimani755 6 ปีที่แล้ว +1

      Yatibu matege ya akili au sio wadau

    • @nellymollel4672
      @nellymollel4672 6 ปีที่แล้ว

      +Khadija Khadija talented blessed rock star

  • @dochdodava
    @dochdodava 6 ปีที่แล้ว +7

    Thank you @Alikiba, We Really miss Bongo Music

  • @mkijomutv9633
    @mkijomutv9633 4 ปีที่แล้ว +5

    Maumivu par day

  • @kibondosadiki456
    @kibondosadiki456 6 ปีที่แล้ว +14

    The king is back Maumivu per day likes or comments if you believe it sauti nibala ☺️

    • @kedebway9313
      @kedebway9313 6 ปีที่แล้ว

      Kaka kiba uko bomba sana

  • @kezangwangmo8858
    @kezangwangmo8858 6 ปีที่แล้ว +12

    Every time I listen to your songs
    I feel like seing u live...even though I don't really understand swahili. U the best man...

  • @latifaayoub5750
    @latifaayoub5750 6 ปีที่แล้ว +110

    Wakenya wenzangu gonga like hapa👍👍👍

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 ปีที่แล้ว

      Latifa Ayoub Karibu kwenye channel yangu hapa TH-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

    • @gisellamallya2025
      @gisellamallya2025 6 ปีที่แล้ว

      inatibu nguv za kiume

    • @massimomassimo6632
      @massimomassimo6632 6 ปีที่แล้ว

      Latifa Ayoub tuko

    • @nellymollel4672
      @nellymollel4672 6 ปีที่แล้ว

      +Gisella Mallya hahaha better than music from rock star

    • @janeachieng9574
      @janeachieng9574 6 ปีที่แล้ว

      hehe

  • @WazirSebastian
    @WazirSebastian 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nyimbo Kari sana 🎉🎉🎉🎉🎉😂🎉😮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍🕺💃

  • @lusajoyuda442
    @lusajoyuda442 6 ปีที่แล้ว +31

    King kiba jamani tuangalie hii video as much as we can

  • @karemboally7756
    @karemboally7756 4 ปีที่แล้ว +61

    Yaan hii ngoma jaman kama ndio imeachiwa leo, kama na wew umeiangalia hii ngoma 2020 nipe like

  • @kbdmsafi_tz8094
    @kbdmsafi_tz8094 6 ปีที่แล้ว +269

    wanao mpenda alikiba like hapa sasa

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว +2

      Tupooooooo

    • @SemajiLaMasqaroda
      @SemajiLaMasqaroda 6 ปีที่แล้ว +3

      Khadija Khadija khadija mamboo

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว +3

      +Flavian Andrey yaaan ww acha tu ninafurah ya ajabu coz tumefanyiwa supris ajabu sijawaikuona jmna 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

    • @ndoroesther5445
      @ndoroesther5445 6 ปีที่แล้ว +2

      Tupoooo

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว +2

      +Ndoro Esther huyo Hana kitu kazi kukimbilia Nigeria hahahahah unalo la kusema povu ruksaaaaaa

  • @kudibabrian5139
    @kudibabrian5139 5 ปีที่แล้ว +4

    Hii ngoma ni tamu naipenda kabisaaa... Team Kiba mpoo

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 6 ปีที่แล้ว +144

    King Kiba👄👄👄team Kiba frm kenya tugonge likes..#maumivuperday

  • @salamamohammed5446
    @salamamohammed5446 4 ปีที่แล้ว +11

    Uyu mseng anawez mpk anaboa gong like km umemuerew king kiba ❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯😂😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰💞💞💞

  • @shughaibabdi5408
    @shughaibabdi5408 6 ปีที่แล้ว +10

    I am not getting tired watching this new video...i am at the office but i put ear phones on my ears for this sweet song...thanks king kiba for the adorable song

  • @princessemmy2347
    @princessemmy2347 4 ปีที่แล้ว +1

    Jmn huyu kaka cjui kwakwel hakoseag kabsa napenda nyimbo zake zooooooooteeeee
    King kiba mfalme wa wanamuziki

  • @aludanickson9020
    @aludanickson9020 6 ปีที่แล้ว +77

    hatari sana kwanza kofia ni ya JoHo 001 mombasa

    • @zeitunsalim2885
      @zeitunsalim2885 4 ปีที่แล้ว +1

      Aluda Nickson 🤣🤣🤣🤣🤣imeandikwa joho

    • @bekita3386
      @bekita3386 4 ปีที่แล้ว

      Lol

    • @rosemartin2984
      @rosemartin2984 4 ปีที่แล้ว

      SKU ikipita bila kuisikiliza sauti yako Mimi napata homa nakupendaaa saaaanaa nakukubali kkb I love you so much

  • @princenewton
    @princenewton 6 ปีที่แล้ว +17

    First to comment as usual +254 Kenya in the building baby 🔥 kama unamkubali king kiba wapi likes zake ngoma mbili siku moja tena kwa Mpigo. 🔥 baby

  • @shabanclement6062
    @shabanclement6062 6 ปีที่แล้ว +70

    Wallah nimefurahi sana kukutana na hii amaizing surprise, heshima kwako mzee

  • @elizabethsamwel5502
    @elizabethsamwel5502 4 ปีที่แล้ว +2

    Alkiba if you can see this,I pray that someday I see you and just shake your hand....your Cinderella song got into my memory when I was in primary school and till now you're my favorite

  • @deekiwonyi4395
    @deekiwonyi4395 6 ปีที่แล้ว +234

    Mzee baba unofficially unatolea US Kwel rockstar 4000 co wa mchezo kisport atar inangusa sana hii song

    • @swagyluckme1897
      @swagyluckme1897 6 ปีที่แล้ว +3

      Milady ayo kiba katisha apo tuu unofficial ndo kaniacha njia panda

    • @mchiamoses7185
      @mchiamoses7185 6 ปีที่แล้ว +2

      Milady ayo hatareeeeeee

    • @sammymwaikambo3163
      @sammymwaikambo3163 6 ปีที่แล้ว +1

      Milady ayo we nawe mnafiki tuu

    • @swaxboychanel2345
      @swaxboychanel2345 6 ปีที่แล้ว +3

      Milady ayo mkubwa ni mkubwa tu usishangae baba

    • @kipunga_thedon_tz8279
      @kipunga_thedon_tz8279 6 ปีที่แล้ว +3

      Milady ayo huyo ndo kipuxa 😁😁😁

  • @myshylysh3554
    @myshylysh3554 6 ปีที่แล้ว +105

    Tanzania kumewaka wakati chibu hakomi king kiba nae maumivu per day! Wakenya pita na like Kama kawa 😂😂😂🇰🇪🇰🇪

    • @shayrrakalama283
      @shayrrakalama283 6 ปีที่แล้ว +1

      myshy lysh mishy long time sijakuona kwenye movies upo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @jpozp1245
      @jpozp1245 6 ปีที่แล้ว +2

      we bro ni hataree sana big up king kiba

  • @mikemissedcall9606
    @mikemissedcall9606 6 ปีที่แล้ว +29

    Big up my bro Kiba n u my all time favorite. +254 here.

  • @254Bless
    @254Bless หลายเดือนก่อน +7

    My favorite song always,, if you're here 2024 nipee like all the way from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @uwesutv9619
    @uwesutv9619 6 ปีที่แล้ว +74

    Dah mamaeee king kiba unajua mpaka unakela nilikuwa hospitali naumwa nikivyoiskia hii ngoma daktari kaniambia nimepona kama unamkubali king kiba na kuikubali balaa jipya kabisa pita na likes kwa speed ya 4g👑👑👑👑👑

  • @kiki16805
    @kiki16805 6 ปีที่แล้ว +13

    Sauti tamu muziki tamu

  • @japharymzulu5678
    @japharymzulu5678 6 ปีที่แล้ว +38

    Kesho narudisha kadi wcb nahamia team kiba 4 life.....yanini maumiv per day wcb

  • @ahmedhassannoor9645
    @ahmedhassannoor9645 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama bado unaipenda na unaiangalia video hii ya maumivu per day gonga like ....

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 3 ปีที่แล้ว

      Naipenda kweli my ii nymbo lakin sasa medioc kapugi sijaielew

  • @aishaabdillahi4920
    @aishaabdillahi4920 6 ปีที่แล้ว +11

    I'll always be loyal to you....Nakupenda hadi naumwa...

  • @ruthamimo3095
    @ruthamimo3095 6 ปีที่แล้ว +62

    this song u liimba na visababu,, but king kiba wewe ni msiri kivyako na unajua kujipanga na mambo yako, long life king kiba

  • @barakasamwelijohn
    @barakasamwelijohn 6 ปีที่แล้ว +57

    Kibaaa no one like you# I like most your voice# And this song is related to my real life#👍👍👍👍👍👍

  • @neemasamwel9958
    @neemasamwel9958 3 ปีที่แล้ว +2

    nisipokua shabikiako nikamshabikie nan sasa kiba🔥♥️

  • @joyconstancemkangombe7611
    @joyconstancemkangombe7611 4 ปีที่แล้ว +35

    Bado nakuhitaji...maumivu per day😭😭😭

  • @salimuallyjumamohamed7092
    @salimuallyjumamohamed7092 6 ปีที่แล้ว +42

    Maumivu per day hii imekaa vzr sana,"NINAVYOPATA TABU YA DUNIA NA MWILI WANGU UMEKWISHA PIA, YOTE MALIPO YA KUPENDA ,ANAEPENDA WISHOWE ATATENDWA"
    THIS IS ALI KIBA

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 ปีที่แล้ว +1

      Salimu Ally Juma Mohamed Assalamualaikum!
      Karibu kwenye channel yangu hapa TH-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

  • @stanslauswillium7020
    @stanslauswillium7020 6 ปีที่แล้ว +25

    hii ngoma ya mwez gn jmn

  • @hushamkalinde4242
    @hushamkalinde4242 7 หลายเดือนก่อน +2

    Alikiba is the king of vocals in Tanzania,likes for him pliz🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @TheAceTv
    @TheAceTv 5 ปีที่แล้ว +49

    maumivu per day....feelin this s'heat this 2019 kama wamkubali kaka huyu like tukisonga tuzidi kuona upendo amin

  • @ritamo9083
    @ritamo9083 6 ปีที่แล้ว +15

    Watu wa kuimba kwa Kutumia lyrics tuko wapi? Much love kiba keep going bro, let the sky only be the limit
    Verse one
    Kwa ile imani ya enzi za kale
    Mi nliamini ntakufa nawe
    Ila mimi sikulaumu wewe
    Kwani Mungu ndo apangayee
    Yale yote ya zama za kalee
    Mi nilipanga kuishi na wewe
    Mwenye hali nsiye na mali
    Wenye mali wakawa na wewee
    Hukunificha matendo yako
    Machafu uliniacha nione
    Bila kujua yalisaidiaa
    Nikazoea ila nikaumiaa
    Sababu bado nakuhitajii
    Kwangu muhimu ni kama maji
    Cha ajabu bado nakuhitaji
    Atayekutenda njo kwangu mimi
    Chorus
    Yani maumivu per day (yani maumivu per day)
    Yani maumivu per day (ni yaleyale ya per day)
    Yani maumivu per day (kichwa mawazo everyday)
    Yani maumivu per day (ni yaleyale ya per day)
    Yani maumivu per day (yani maumivu everyday)
    Yani maumivu per day (oohoo)...
    Verse two
    Uko moyoni mwangu we everyday
    Bado namwomba Mungu everyday
    Uko moyoni mwangu we everyday
    Everyday ever everyday
    Nsikuwaze wewe niwaze mengine
    Labda ntakuja penda mwingine
    Ninavyopata tabu ya dunia
    Na mwili wangu umekwisha pia
    Yote malipo ya kupendaa
    Anayependa mwisho atatendwaa
    Sababu bado nakuhitajii
    Kwangu muhimu ni kama maji
    Cha ajabu bado nakuhitaji
    Atayekutenda njo kwangu mimi
    Chorus
    Repeat

  • @ISAAC-gx8fb
    @ISAAC-gx8fb 6 ปีที่แล้ว +162

    Kama Umeikubali Ngoma Kama Mimi..Gonga Like Twende Sawa

    • @bahatimohamadi5904
      @bahatimohamadi5904 6 ปีที่แล้ว +1

      wowooooo ww ndo king bahna🙋🙋🙋 vijuso mpooooo! naomamba mkubali kuwa kiba hafai

    • @bahatimohamadi5904
      @bahatimohamadi5904 6 ปีที่แล้ว

      wowoooooo! huyu ndo king 🙋🙋🙋🙋🙋 naomba hilo mkubali hakunaga kabisa kama kiba🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nime nyoooosha

    • @erickjohn5734
      @erickjohn5734 6 ปีที่แล้ว +1

      Isack Sanga atali sana ngoma kali

    • @ISAAC-gx8fb
      @ISAAC-gx8fb 6 ปีที่แล้ว

      Kiba Kaumiza Saana Humu Ndani....

    • @ISAAC-gx8fb
      @ISAAC-gx8fb 6 ปีที่แล้ว

      Erick John Hataaar Hataar

  • @mammylightnureen4049
    @mammylightnureen4049 4 ปีที่แล้ว +1

    Maumivu everyday😪
    Mapenzi yanaumiza sana unampenda mtu lakini yy hakupendi 😪 maumivu pale

  • @shizzlemreal1811
    @shizzlemreal1811 6 ปีที่แล้ว +257

    Kiukweli Kiba sauti yako jomon af nahic Kam unaniimbia mm cjui nifunge safar nije tu from Nairobi staki uumie mpenzi wangu ,,,, Maumivu,Niache,Sikomi duuu mtatuua na vilio

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว +4

      Njoo tu Aliy yupo single 😘

    • @victorsomba867
      @victorsomba867 6 ปีที่แล้ว +1

      Single boy we kuja tu Hakuna Matata

    • @joh255tv4
      @joh255tv4 6 ปีที่แล้ว +3

      Shizzle mreal chukua namba uje nikupeleke Kwa king +2556921888 fasta

    • @pelodieudonne9968
      @pelodieudonne9968 6 ปีที่แล้ว +1

      kuja marecani ndo kwenye alishuti hiyo ngoma tuko naye week yote kuja ni follw

    • @joh255tv4
      @joh255tv4 6 ปีที่แล้ว +1

      Shizzle mreal

  • @musamnaly2433
    @musamnaly2433 6 ปีที่แล้ว +12

    video kali ngoma kali kwel ww king wa musc tz

  • @barnabasstanslaus6895
    @barnabasstanslaus6895 6 ปีที่แล้ว +95

    kiboko yaooo king kibaa ngoma kari video simple na mandhari iko poa sana if you like it please PRAY for him

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 ปีที่แล้ว

      Barnabas Stanslaus
      Karibu kwenye channel yangu hapa TH-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

    • @rickstyleboy9373
      @rickstyleboy9373 6 ปีที่แล้ว

      ngoma ya zman

    • @stivinboniphace7855
      @stivinboniphace7855 6 ปีที่แล้ว

      heshima king kiba Kwa bonge LA video Kali

    • @stivinboniphace7855
      @stivinboniphace7855 6 ปีที่แล้ว

      wengine wakasome Kwanz king noma

  • @fromgascity
    @fromgascity 3 ปีที่แล้ว +5

    Maumive until 2021

  • @freemanmboya9925
    @freemanmboya9925 4 ปีที่แล้ว +54

    Hii n 2019 lakin huu utafikil mpya Acheni King abaki kuwa king nipeni likes zangu kama mpo mnatazama sahii

  • @UTALIITV1
    @UTALIITV1 6 ปีที่แล้ว +18

    Gonga like km wewe ni team kiba damu, na usisahau kusubscribe oyooooooeeee

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว +1

      👍👍👍👍

    • @saidsoud1310
      @saidsoud1310 6 ปีที่แล้ว +1

      Bado sw wewe kwa Diamond..hujafik level ya simba..

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 ปีที่แล้ว +1

      j bizzo destinati
      Karibu kwenye channel yangu hapa TH-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo
      Kama vipi SUBSCRIBE kwenye channel yangu nami ntafanya Hivyo kwako.Pamoja

  • @ramadhanzmlay1331
    @ramadhanzmlay1331 6 ปีที่แล้ว +59

    Kavideo kazur tena katam kama chuma ya kwanza

    • @wanenetv9672
      @wanenetv9672 6 ปีที่แล้ว

      kazi kurudia biti za zamani

    • @mateoadrea9046
      @mateoadrea9046 6 ปีที่แล้ว

      Ramadhan Zmlay

    • @iddafr7171
      @iddafr7171 6 ปีที่แล้ว

      +Wanene Tv ndio tunapenda

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 ปีที่แล้ว

      Jamani Karibuni kwenye channel yangu hapa TH-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

  • @crocodinyhooo7387
    @crocodinyhooo7387 4 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma haifananixh ila wanajfanya hawaoniiii 2020 hh lakin bado cjaona mfano wake king is king

  • @mustijuma4770
    @mustijuma4770 6 ปีที่แล้ว +28

    hii ngoma kali sana inakushawishi utafute mapene

  • @officialkissmiva9778
    @officialkissmiva9778 6 ปีที่แล้ว +12

    ebwanaaaaaa

  • @jaymyovela8784
    @jaymyovela8784 6 ปีที่แล้ว +9

    Nyc song nyc video umeuAa

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 4 ปีที่แล้ว +7

    I real like this song ,lyrics ,melody and voice on point ,King kiba🔥🔥

  • @kizazijeuri2886
    @kizazijeuri2886 6 ปีที่แล้ว +22

    Gonga like kama upo hapa before 1 million kabla ya 24hours

  • @ewemadetvnollywood394
    @ewemadetvnollywood394 6 ปีที่แล้ว +329

    Hit the like button if you know kiba is the best .. Got so much love for kiba, all the way from naija (Nigeria)

  • @danielimeshack3712
    @danielimeshack3712 6 ปีที่แล้ว +225

    Kama umemkubali alikiba kwa kwa wimbo huu ungana nami like twende sawa

    • @timotheomollely1078
      @timotheomollely1078 5 ปีที่แล้ว +3

      Wimbo bomba kama huyo mtoto

    • @jumafarid8861
      @jumafarid8861 5 ปีที่แล้ว +3

      King unajua had nomaa mm naww milele aseee gonga like km tuko pamja

    • @mbangasylvester9827
      @mbangasylvester9827 4 ปีที่แล้ว

      Jamaa nooma sanaaaaa.

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 4 ปีที่แล้ว

      🤪🤪✋✋💞💞💞💞

    • @zainabubakari3630
      @zainabubakari3630 3 ปีที่แล้ว

      Danieli meshack sio huu tu ngoma zote za kiba ziko vizuri

  • @NgungeNgige
    @NgungeNgige 2 หลายเดือนก่อน +1

    King 👑 kiba wewe ndie babalao

  • @mahmadougronkjaer8316
    @mahmadougronkjaer8316 6 ปีที่แล้ว +251

    hii nyimbo inanipa jeuri ya kwenda madale getini kwa mond na kuisikiliza kwa loud speaker

  • @williammbanga7971
    @williammbanga7971 6 ปีที่แล้ว +11

    maumivu per day

  • @Eric-rx8vg
    @Eric-rx8vg 6 ปีที่แล้ว +270

    Wakenya mko wapi.... Tumkaribishe mfalme wa mashariki

  • @amzasadiki2016
    @amzasadiki2016 3 ปีที่แล้ว +1

    King 👑 wetu nakubali kabisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @edwardmwaipopo2839
    @edwardmwaipopo2839 6 ปีที่แล้ว +133

    King kiba.
    Kama unamkubali king kiba Gonga like twende sawa

    • @neemashauri8965
      @neemashauri8965 5 ปีที่แล้ว

      Kiba fund inyimbo kam kaniimbia mm

  • @wistonmwasha11
    @wistonmwasha11 6 ปีที่แล้ว +373

    Uyu jamah ana k2 spesho kweny heard yke 2msaport jaman nakuomba uweke like apa m2 anguh wa nguvu

  • @tohokicks7872
    @tohokicks7872 6 ปีที่แล้ว +49

    Fan number one from Der es salaam | wapi like zangu jamani

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว +1

      pamoj sanaaa

    • @tohokicks7872
      @tohokicks7872 6 ปีที่แล้ว

      Khadija Khadija kabissaa hujakosea | pamoja sana tu...

    • @bahatimohamadi5904
      @bahatimohamadi5904 6 ปีที่แล้ว

      🙌🙌🙌 cna nenoo

    • @iddafr7171
      @iddafr7171 6 ปีที่แล้ว

      +Khadija Khadija nilikuw nakutafuta kumbe upo nilitaka kushangaa nisikuone mtoto mzr kipenzi cha kiba

  • @danielmzame1991
    @danielmzame1991 3 ปีที่แล้ว +4

    Just can't stop listening to this truck+ the other one mbio

  • @alexgeorge187
    @alexgeorge187 6 ปีที่แล้ว +11

    Gonga like if you have seen JOHO 001. Sultan mwenyewe... much love King Kiba

  • @patiencenimmoh3956
    @patiencenimmoh3956 4 ปีที่แล้ว +12

    Anayetizama huu wimbo wa King 2020 tujuane kwa likes tafadhali👇👇. King you're always my favourite artist bro you never disappoint. Kenya 😍😍😍😍

  • @daisonseilas3609
    @daisonseilas3609 6 ปีที่แล้ว +271

    kama we we team kiba gonga like hapa👍

  • @zuberm7129
    @zuberm7129 5 ปีที่แล้ว +2

    Hikii kichuuuuppppaaaa ni faaaaayyyyy team kkkkkkiiiiibbbbbb

  • @mcwillehard5422
    @mcwillehard5422 6 ปีที่แล้ว +23

    Daaaah... Sio kwa surprise hii!! Kama nawe ameku surprise gonga like ili tujue wangapi ametu surprise!!

    • @wanenetv9672
      @wanenetv9672 6 ปีที่แล้ว

      mpumbavu tu hajui kitu uyo

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว

      +Wanene Tv Alafu we unajulikan unajua Sana mpka una kera big up! ubarikiwe

  • @syliviabaruti4660
    @syliviabaruti4660 6 ปีที่แล้ว +29

    nmeingia TH-cam nikakuta nyimbo mbili zmepangana ya kiba na mond ya kiba ya pili ya mond ya kwanza chaajab nmejikuta nmeaanza kwa kuview nyimbo ya kiba hata cjui kwa nn😍😍😍😘 love u king

  • @deekiwonyi4395
    @deekiwonyi4395 6 ปีที่แล้ว +185

    Alikiba bongo flavor revolution

  • @aslamciteretse649
    @aslamciteretse649 9 หลายเดือนก่อน +1

    I think Ali he's a root of bongo music