Asante baba Wengi tumekuwa mzabibu mwitu, moja ya vitu vinavyotunya tuwe mzabibu mwitu ni kujichubua, kalikiti, wigi,wiving, makucha ya bandia, kope za bandia rangi za kucha, na yote yanayofanana na hayo
Nikweli kabisa pst,usemayo umbwa mwitu wamekalia mathabahu now day's,. Ukosawa unahuri kweli. Lakini yaondoe hayo mabendera kanisani mwa MUNGU!! Kwa kuwa hayana nafasi katika ufalme wa MUNGU,,ila yanania fiche ,, kweli kabisa muchunguji yaondoe kabisa tumwabudu mungu kwa roho na kweli,,
Mungu akubariki mtumishi Kwa neno zuri
Nmeisikia saut ya mchuñgaj wangu yesu nami nàtubu dhambi zang kwa yesu amen yesu niokoe nakupenda
God bless you my class mate🔥🔥❤️
Injilihii kwa kanisa la sasa niadimu nyakatihisi,barikiwa mtumishi.
Balikiwa 🙏🙏🙏🙏 kwa mwendo huo Pastor tutakua kiloho san
Asante baba
Wengi tumekuwa mzabibu mwitu, moja ya vitu vinavyotunya tuwe mzabibu mwitu ni kujichubua, kalikiti, wigi,wiving, makucha ya bandia, kope za bandia rangi za kucha, na yote yanayofanana na hayo
Mungu akubariki sana
Amen mtumishi ubalikiwe amen mtu akioka ametangaza vita na adui Hilo tulijue Kwa umakini haswa !!!!!
Kweli kabisa pastor
Amina pastor
Amen baba
Nikweli kabisa pst,usemayo umbwa mwitu wamekalia mathabahu now day's,. Ukosawa unahuri kweli. Lakini yaondoe hayo mabendera kanisani mwa MUNGU!! Kwa kuwa hayana nafasi katika ufalme wa MUNGU,,ila yanania fiche ,, kweli kabisa muchunguji yaondoe kabisa tumwabudu mungu kwa roho na kweli,,
My God bless you pastor for word of God.
Ameeen
Jamani aaaa hapa sawa aaaa jamani TUPATE WAPI watu Kama hawa aaaana MUNGU AKUBARIKI MTU WA MUNGU TUNASHIDA NA INJILI HIZI JAMANI HAPA SAWA
amen.....................am blessed
Amina ubarikiwe
Amina
Nakukubali sana mtumishi
Aminaaaa
Naam Pasta
Amen
Ni kweli waabuduo halisi mmmh Ni WACHACHE Sana MUNGU wa mbingu na NCHI na MUNGU ATUSAIDIE SS na WATOTO wetu