MAHAKAMA YAKUBALI MWILI WA TAJIRI WA MADINI UZIKWE "MKEWE AFUNGUKA HAWARA ATAJWA NA WENZAKE ""

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 หลายเดือนก่อน +10

    Sawa kabisa. Acheni kunyanyasa wajane enyi ndugu. Wnawake simamieni. Changamoto ikitokea usinyongonyee kiasi cha kudhulumiwa. Amkeni na kutetea haki zenu. Asante sana serikali na mahakama kwa kusimamia haki. Tena mumlinde huyu mke wa marehemu

    • @geey7893
      @geey7893 หลายเดือนก่อน +1

      Shida yenu mtoto wa mtu akifa mnasahau kuwa naye alikuwa anategemewa na mama yake na baba yake. Mnakomba Kila kitu mnasepa mnamuacha mama wa mtu anateseka na maisha wakati aliteseka kumsomesha na kumkuza mwanae. Anakuja kufa na shida huku wewe na ndugu zako mnajilamba na Mali za mwanaye. Shida ni hiyo tu. Na nyie muwe mnakuwa na Utu, msisepe mazima na Mali zote

    • @GloryNnko-br7lb
      @GloryNnko-br7lb หลายเดือนก่อน

      ​@@geey7893Mali ni za watt syo za ndugu mama nae c atumie za mumewe

    • @geey7893
      @geey7893 หลายเดือนก่อน +1

      @@GloryNnko-br7lb sasa ngoja nikurekebishe Leo uache mazoea. Kisheria hakuna Mali za watoto, ila Kuna Mali za kulelea watoto wakiwa chini ya umri wa Miaka 18. Mfano, kama watoto wanasoma shule (adda) na chakula na malazi na matibabu kwa wale wako chin ya Miaka 18 tu. Zaidi ya hapo mtoto hana urithi wowote Kwa baba yake. Ndio maana Marehemu Huwa anaacha hotuba ya Mirathi na Huwa Ina msimamizi. Na zile Mali Kuna % flani Huwa inaenda Kwa wazazi wake na marehemu ni laZima. Sjui umeeelewa sasa.

    • @geey7893
      @geey7893 หลายเดือนก่อน

      @@GloryNnko-br7lb Lakini nyie wanawake mnasemaga Mali za watoto ndg hazimuhusu. Sasa Mbona unakuta nyie mnazipeleka kwenu na mnasomeshea ndugu zenu na kujenga kwenu?. Mimi ili kuepusha yote hayo ndio maana Mali zangu zingine naandika Hati majina ya Baba yangu na mama yangu. Chache ndio naandika Majina yangu. Ili baadae hata nikiwa sipo basi Mgao iwe pasu Kwa pasu. 😆. Siwezi kufa Mali zangu zote zihamishiwe ukweni. Mahari hazikuwatosha?

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 หลายเดือนก่อน +4

    Asante mhkm.Mungu nimwema.Ndugu nitamaa tu hkuna kingine Mama kaza tumbo mzike mumeo kwaujasiri,Panga mambo yko,mungu atakusimamia,Baada yahpo ndio ulie dada.Hwa ndugu hswa hawajawai kupoa ndugu Yao mwenye pesa akifariki.

  • @lilyshayo761
    @lilyshayo761 หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana mahakama watu wajifunze❤kuleta kiherehere kwenye ndoa zawatu

  • @tinaminja5500
    @tinaminja5500 หลายเดือนก่อน +11

    Haijalishi alikuwa na michepuko au wanawake wangap ila mke wa ndoa ndio mwenye mamlaka ya ufanya maamuzi...... Ndoa na iheshimiwe na watu wote

  • @suzanmichael5793
    @suzanmichael5793 หลายเดือนก่อน +5

    Nilicho kuwa na kisubir ni hiki

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 หลายเดือนก่อน +4

    Angekuwa maskini kusingetoa haya

    • @JoyceMwita-e3w
      @JoyceMwita-e3w หลายเดือนก่อน

      Mambo ya michango ungesikia tuna shikna mashati ili tuweze kumsitiri mwenzetu apa kuna Mali wamejitokeza Kama wote

  • @GloryNnko-br7lb
    @GloryNnko-br7lb หลายเดือนก่อน +2

    Ndoa ni muhimu sana wanawake fungen ndoa na wanaume mmnaoishi nao

  • @AnitaApolinary
    @AnitaApolinary หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndo haki sasa 💯💯 yaani mwanamke kafiwa halafu ndugu waone umuhimu baada ya ndugu yao kufariki,mara mme kaacha mali nyng mara ana watoto nje inahuuuuu, kama hakusema mpm kwa mkewe hayo yote yanakuja vp, asanteni kwa kumtendea haki🙏🙏🙏🙏

  • @GloriaChrisostoms
    @GloriaChrisostoms หลายเดือนก่อน +1

    Hawajakatazwa wao ndio wameleta dharau na kukutana ukubwani si tatizo na ndio maana neno la mungu linasema utawaacha wazazi na utaambatana na mkeo

  • @rhamlaally6930
    @rhamlaally6930 หลายเดือนก่อน +7

    Ndugu wanatokaga wap baada ya mtu kufa

    • @pendo8082
      @pendo8082 หลายเดือนก่อน +1

      Yaan

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo ndo pakujiuliza

    • @estherkibajiro3480
      @estherkibajiro3480 หลายเดือนก่อน

      Ebu muulize baba ako na mama ako kwamba mnatokaga wapi ukifa??

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo ndugu wameingiza tamaa wameonyesha live kuwa wanataka kumdhulumu Mali mke na watoto

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris หลายเดือนก่อน +2

    Kachoka mwenzenu mucheni

  • @chrissamani7921
    @chrissamani7921 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa sasa hakuna kufunga ndoa, hutaki sepa!

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน

    Ss ndugu mba g'ang'ania nn mwili wa marehem?
    Yaani kuna vituko humu duniani🙌

  • @davidmwandenuka1712
    @davidmwandenuka1712 หลายเดือนก่อน

    Ndo mkome mliyo ndani ya ndoa Kila kituna muachia dada wa kazi ndo meza ikapinduliwa na kuhamia....

  • @estherkibajiro3480
    @estherkibajiro3480 หลายเดือนก่อน

    Dunia shuka yaani mama mzazi na baba mzazi ananyimwa haki ya mwanae et kisa mke walio kutana wamezeeka😅wakati mama anateseka na mtoto wake uyo mke alikuwa anapiga udangaji tu et leo ndiyo ananguvu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน

    Arusha again
    Yaani matajiri wa arusha🙌

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 หลายเดือนก่อน +1

    Maskn watoto😢😢

  • @goodluckmoshi9169
    @goodluckmoshi9169 หลายเดือนก่อน

    Kusaga sababu ya make WA marehemu kuzuia ndugu wasishiriki kwenye mazishi ni nini?

  • @dianamoshi167
    @dianamoshi167 หลายเดือนก่อน

    Ila marehemu naye alitakiwa aandike mambo yake mapema bana

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 หลายเดือนก่อน

    Tunawaambiaga matajiri kula hela zenu mapema sababu kifo hakina masahihisho! Ukianguka chini mpendwa, vyote ulivyo navyo utaacha watu wanagombania! Ulicho kula ndo chako mapema

  • @annamussa185
    @annamussa185 หลายเดือนก่อน

    Yani hao ndugu wameonyesha kabisa wanataka mali,hizo mali haziwahusu alitafuta marehemu na mke wake kwaajili ya watoto wao,mbona family zingine hawana mambo hayo wachagha acheni tamaa jamani

  • @BarakaMalekela-nf6gv
    @BarakaMalekela-nf6gv หลายเดือนก่อน +6

    Kama umemuona mke wa mwalehem anamzigo gonna like 🎉🎉🎉

    • @paschalsafari9747
      @paschalsafari9747 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @EdnaMbowe
      @EdnaMbowe หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @JoyceMwita-e3w
      @JoyceMwita-e3w หลายเดือนก่อน +1

      Baraka tupo kwenye maombolezo😂😂😂

    • @magrethmshana6556
      @magrethmshana6556 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 nyie tupo tunaombeleza nyie mnaanz vituko jiulize alikuwa anafat nin nje zigo lot hil lipo ndani

  • @JehhusRaoul
    @JehhusRaoul หลายเดือนก่อน

    Atalia akiona mumewe anazikwa maskin amepambana sana angezubaa tu ndugu wangekula kila kitu

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv หลายเดือนก่อน

    Mimi siwezi kungombania malehemu wakitaka wazikewao wanaotaka kuzika

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama anaongea kama sio mfiwa 😳 Mbona hana huzuni hata kidogo!?

    • @magrethmathayo2800
      @magrethmathayo2800 หลายเดือนก่อน +1

      nikwambie kitu Kuna sababu na sisi wake tunapitia mengi sana we fikiria eti mchepuko Ambae alikua mfanyakazi anazuia wake anazuia mume asizikwe na Bado Kuna michepuko mingine Bado ndugu unazani moyo wake utakua na machingu kweli ?

    • @elizamwacha7458
      @elizamwacha7458 หลายเดือนก่อน

      Huzuni baadaye mwache ajitetee

  • @elikanaernesti8440
    @elikanaernesti8440 หลายเดือนก่อน

    Watu wanajizima Sana data sijui hizi sheria zimebadilikaje kwasababu huyu ni mjna baadae anweza olewa akawa na maisha mengnne Nan ataendelea kulitunza kabri jamaa hawataki mali wanataka ndugu yao wakamzike ndugu ni milele mke au mme anakuja mwingne

  • @GloriaChrisostoms
    @GloriaChrisostoms หลายเดือนก่อน

    Na walidharau hata watoto wao ni nani familia ni mke mume na watoto

  • @justinamunuo8006
    @justinamunuo8006 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tusaidie

  • @GeraldMmbando
    @GeraldMmbando หลายเดือนก่อน

    Acha ujinga wewe huwezi kuangalia watoto wa ndugu mama ndio anauchungu na watoto tafuta pesa na wewe wenye hela hata hawa angaiki na mali za marehem

  • @florianhashimu1370
    @florianhashimu1370 หลายเดือนก่อน

    Mbona mke mwenyewe hana hata hudhuni?

  • @JohnMalengua-jh6ps
    @JohnMalengua-jh6ps หลายเดือนก่อน +2

    Duu. kweli dunia duwara,yanni ndungu wanakosa haki ya kumzika ndungu yao wa damu kisa mke ambaye walikutana ukubwani kweli

    • @KhadijaMwenda
      @KhadijaMwenda หลายเดือนก่อน +3

      Hujui maan ya family wewe

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 หลายเดือนก่อน +2

      Nafikri hujui maana ya mke na watoto,

    • @pendo8082
      @pendo8082 หลายเดือนก่อน

      Huji sheria ww

    • @consolathammari8186
      @consolathammari8186 หลายเดือนก่อน

      Washirikiane ndio jambo linaloitajika hapa

    • @MaselePatrick
      @MaselePatrick หลายเดือนก่อน

      Hujui maana ya mke eti?mke ana nguvu Sana kuliko hao ndugu.

  • @kamalabuberwa2001
    @kamalabuberwa2001 หลายเดือนก่อน +1

    Upuuzi huu sitaki, mimi niki R. I.P wenye maamuzi na death body yamgu ni baba au ndugu zangu kabla w

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 หลายเดือนก่อน +4

      Unajidanganya ndugu mke ana nguvu kuliko hao ndugu,ukitaka kulijua hilo kufa uone taarifa utaipata

    • @csato9415
      @csato9415 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@odilomwemeziernest646😂😂😂 eti afe aone taarifa atazipata huko huko.

    • @GloryNnko-br7lb
      @GloryNnko-br7lb หลายเดือนก่อน +2

      ​@@odilomwemeziernest646😅😅😅😅😅Tahari ztamfikia hukohuko

    • @Jokha1Jokha
      @Jokha1Jokha หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 หลายเดือนก่อน

      @@GloryNnko-br7lb ajaribu tu afe alafu ndugu walete kiherehere tunamuweka mchuari kwanza alafu ndugu tunawaburuta mahakamani.nilichogundua kuna familia zingine zina mifumo dume, mme akifa wazazi wa mme na ndugu ndo kama waume wa mjane,wanamnyanganya mali zote na ndo wanakuwa wagawaji,lakini kisheria hakuna jambo kama hiloo,mali zote ni za mjane na watoto wake ukiwemo na mwili wa marehem,wao inabidi wamsikilize anataka nini.mali zangu zote nimeandika majina ya watoto wangu wote wakike na kiume na nyingine mke wangu ikitokea nikatangulia mimi mke na watoto wasiadhirike.mali sikuzitafuta na ndugu bali mke wangu.kama yeye ana akili na anawapenda wazazi wangu ataendelea kuwatunza kama nilivokuwa nawatunza nikiwa hai.

  • @GloriaChrisostoms
    @GloriaChrisostoms หลายเดือนก่อน +1

    Hawajakatazwa wao ndio wameleta dharau na kukutana ukubwani si tatizo na ndio maana neno la mungu linasema utawaacha wazazi na utaambatana na mkeo

  • @GloriaChrisostoms
    @GloriaChrisostoms หลายเดือนก่อน

    Hawajakatazwa wao ndio wameleta dharau na kukutana ukubwani si tatizo na ndio maana neno la mungu linasema utawaacha wazazi na utaambatana na mkeo