Siku tano sasa tangia hihi mahubiri kuhubiriwa. Sija ona watu waki hi like ingelikuwa ni ya diamond like zingeli kuwa mamia ila ni ya Yesu nani waku like?. Mungu wetu tu wezeshe tukuone
😭😭😭hizi injili za hivi na ukweli wa namna hii watu hawautaki tena😭tunataka kuambiwa tutapata waume, wake, kazi, tutaponywa magonjwa, tutatajirika baasi🙌hii ndio injili ya kweli! KUPONYWA ROHO, INJILI ITAKAYOKUPELEKA KATIKA UZIMA WA MILELE
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu,, kwa ujumbe wakuponya,, natamani uendelee kudumu milele ili kuendelea kuwaambia kizazi cha sasa ukweli jinsi ya kumtumikia Mungu,,
Kuna watu wanajiita wenye upako lakini injili kama hii hawaijui wao wanajua Yesu hakuingia kanisani....sasa sijui hapa BWANA alikiwa akiongea na visinagogi?...,konyagi mbaya sana
Mungu ni mwenye watumishi hata leo
Ubarikiwe sana kwa Neno hiyo ni kweli
Siku tano sasa tangia hihi mahubiri kuhubiriwa.
Sija ona watu waki hi like ingelikuwa ni ya diamond like zingeli kuwa mamia ila ni ya Yesu nani waku like?.
Mungu wetu tu wezeshe tukuone
Ikikuwa translated in English, watu wata like
Ni Neno safi sana
Nimebarikiwa kabisa .
Tunabarikwa sana Kwa mafundisho yako
😭😭😭hizi injili za hivi na ukweli wa namna hii watu hawautaki tena😭tunataka kuambiwa tutapata waume, wake, kazi, tutaponywa magonjwa, tutatajirika baasi🙌hii ndio injili ya kweli! KUPONYWA ROHO, INJILI ITAKAYOKUPELEKA KATIKA UZIMA WA MILELE
Wewe vitu vyote umeisha,pata mwanaume,pesa magari,hongera,kilajambo nakila mtumishi,,abakitu kwaajili yawatu,mimi chakwanza Kristo chapili pesa,utaua pamoja nakuridhika nifaida kubwa
Hata ukiwa napesa nakumuamini Kristo yesu mbinguni unaingia, Raha Sana kuwa napesa aafu umeokoka
Ninaelgeoffrey wewe bando yu mtoto wa Kiriho huelewi lolote
@ninelgeoffrey. Wewe uko bali sana na wokovu omba Mungu akupe Ufunuo wa neno
@@micahnjoroge3685 did you understand what i wrote? Hebu sikiliza tena na ufananishe nilichoandika halafu utajua umenijibu kitu very opposite
Asante baba yesu azidi kukupa mda mlefu Ili kutengeneza na kuzalrisha watumishi watakaobadiri kijiti hiki Cha injili ya kweli
Asante baba nimebakikiwa
asantee baba mtumishi nimepokea
Asante Kwa kuwa mkweli.huku south Africa Hakuna kanisa linalo SEMA ukweli.nikija Tanzania lazima nije kuowa uko
Injili nzuri sana hii
Ubalikiwe saana mtumishi tunakufatilia from Burundi
Hii ni injili tuliyo ikosa kanisani
Hii ndiyo T,AG ninayoijua siyo hii ya kisasa
Asante kwa ujumbe, basi Mungu akupe kunena kwa nguvu hekima na uwezo
Ndio Mungu ananikutanisha na mtumishi huyu hakika sitabaki nilivyo nitamuona Mumgu
Nimekuelewa saana baba mchungaji
Hakika Baba hii ndiyo injili isiyogoshiwa ubarikiwe Baba Mchungaji
Hongera kazi hii ni njeeeeema
Napendezwa Sana'a na mafundisho
Mungu azidi kukuongoza hii ndio injili tunayoitaka wakati huu mambo yapokea gari pokea nyumba mke niubatili
Nimekuelewa baba mchungaji
Asante Mungu kwa mtumishi huyu
injili Kama hii ndio tunaitaji barikiwa sana
Jamani watanzania mna wahubiri!Barikiwa Baba.
Namkubali Sana huyu mtumishi wa MUNGU
Be blessed pst Magembe karibu pia Kenya utubarki
I’m watching nd get blessed with this powerful & anointed man of God. ( USA 🇺🇸) we need you
Mungu akulinde baba 🙌
Ameen, ameeen, ameeeeeeen...libarikiwe jina la Bwana.
AMEN BABA !!!MUNGU akutumie zaid na zaid kuponya taifa letu !!nakupenda mnoo you're talking the truth be blessed
We baba MUNGU akubariki,,,, tafadhari mtafute mbarikiwa mjenge ktk hili, anania njema lakini n mchang kwa. Maarifa, na mafunuo, nawapenda,
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu,, kwa ujumbe wakuponya,, natamani uendelee kudumu milele ili kuendelea kuwaambia kizazi cha sasa ukweli jinsi ya kumtumikia Mungu,,
Ubarikiwe sana Mtumishi. Nakufuatia KENTUCKY 🙏
Mungu atusaidie
Baba mchungaji ubarikiwe unatisha kwa kufundisha biblia mambo mengi hayajua mupitia ww
Ameeen BABA !!!!🙏🏾🙏🏾 MUNGU akutumie zaidi kusema injiri ya kweli nakupenda mnnoo
Mungu akubariki sana kwa mafundisho
Ee Mungu Tusaidie
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu kwa mafafanuzi yaliyoenda shule. Amina
Nakupenda baba yangu Mungu AKUBARIKI sana mtumishi wa Mungu hakika ndivyo ilivyo HALLELUJAH AMEEN
MUNGU ni mwema kwetu
Uwezi pata injili ya ukweli kama hii barikiwa baba ..::endelea kutujenga
Huu ujumbe unanigusa sana binafsi
Nitaponyaje nisiposikia nakujali haya eeh Mungu nisaidie
Baba Mchungaji, watu kama wewe mumebaki wachache sana
Amen Baba ubarikiwe sana kwa mafundisho ya kweli
Ameen jina la Yesu libarikiwe sana
Mavuno mengi ya meiva watenda kazi ni wachache lazima tumutumikie Yesu
amina nabarikiwa
Mimi ninasimama kwa Zamu yangu Yesu nisaidie
Yesu tusaidie
Kweli kabisa mutumishi
Wenikibiko unatisha wachug wajifunze kwako waache siasa makanisani.
Habari ya uzima mtumishi, naweza kupata mawasiliano yako?
Asante Yesu
God bless you pastor.. 🙏🙏
Amina Amina
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Naweza kupata location ya kanisa lako na ratiba za ibada tafadhari
Dar es salaam(ukonga -kituo cha Majumba sita, kanisa la Tag), Mch Moses Magembe
Kujipamba mwanamke ni dhambi?
AMEN🙏🙏🙏🙏
Kuna watu wanajiita wenye upako lakini injili kama hii hawaijui wao wanajua Yesu hakuingia kanisani....sasa sijui hapa BWANA alikiwa akiongea na visinagogi?...,konyagi mbaya sana
The truely Gospel
Amen amen
Hili kanisa lipo wapi
Ahsante
We truly need to know this things
🙏🙏
Umechukua ujumbe wa wakati na kuupeleka dhehebuni wahubil yote
AMINA
Bwana awe nawe Kwa mafundisho thabiti ya biblia.
Amina
Injili ya wakati huu , Ni wangapi tumeamini huyu ujumbe?
Sasa mpinga Kristo atapinga nani kama kanisa litakuwa hewani?
Wewe bado mchanga maziwa bado yanakuhusu
@@josephbukelebe1709 uliyekomaa jibu swali
Nice
Mtumishi naomba number yako please naitaji maombi nakusiii
Niko America
Mbona unajijibu mwenyew sasa
Jamani hili Kanisa liko wapi?
Lipo njia ya kuelekea gongo la mboto kituo knaitwa njia panda
Uongo mtupu
ila siumesikia,swala la kuamini au kutoamini ni lako.Hukumu itafanywa kutokana na maamuzi yako binafsi.
Ww huna dini ungekuwa na dini usingesema uongo
Asante kwa ujumbe, basi Mungu akupe kunena kwa nguvu hekima na uwezo
Amina
Ameeni
Amen amen
Amen
Amen