Hujaelewa logic hapo,mapacha huzaliwa sehemu moja Sasa inakuwaje huyu agombee bukombe mwingine busanda ambayo ni majimbo tofauti na yapo wilaya tofauti Sasa mapacha Hawa walkzaliwajeeew?
@@clintonkado6104 Tanzania ni moja, kila mwananchi anahaki yakugombania uongozi sehemu yoyote(kwakuzingatia sheria ya nchi), haitawezekana kila mgombea akagombee Jimbo alilozaliwa, kama hivyo wabunge wote wa Dar warudi mikoani kwao, kumbuka vigezo masharti ya kugombea sio lazima ugombee sehemu ulio zaliwa. Nukta ya msingi ni kwamba kila mwenye uwezo/kipaww apewe nafasi ya kugombea Ili tupate Viongozi wazuri wanaoweza kutengeneza sera zitakazopelekea maendeleo ya Taifa letu.
Tuliorudi hapa 2023 /2024 like hapa
Jamani magufuli wewe mh mungu tunaomba mrudishe jamani huyu mtu
Mzalendo WA kweli
Daaah jembe limeenda😢mungu jaman
Tunakukubali sana mkuu
Duh RIP baba
Nenepa tu baba laoooo
Afu kunawatu wanaota uraisi atausikia kwenye group magu ndio Habari ya mjini
HAHAHAHAHAHA, MKUU NLIKUPENDA NA NTAENDELEA KUKUPENDA, ZAIDI, MWENYEZI MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI, AMINA.
Mh rais mbona waitara alikuwa mbunge huko pwani wakti kwao ni Tarime😀
Mwache Kulwa awatumikie wananchi wake😀
Alimaanisha kwamba biteko ni familia moja na damu moja na pia ni ndg so hawawezi wote wakawa viongozi katika category moja
Mzee yuko reaa sanaa yaani vijana wapo wengii nafasi wapewe wale wale kasema hapanaaa
Unanyima watu haki kama anauwezo wakuongoza mwachie nafasi afanyekazi
sikiliza elewa elimika....
Huyu mzee kama yuko hai
Naomba nipite jamani mbona mko barabarani siye wengine tupite wapi?
simpo logic
Haina mashiko
Mwamba
sijaelewa ujue
Huyu lazima ni jamaa ako
Wambie hao machadema hayana hata mipangilio
Machagadema yatajibeba
Sasa lkn Mh. wakiwa na sifa ni Bora wote wapewe nafasi.
Hujaelewa logic hapo,mapacha huzaliwa sehemu moja Sasa inakuwaje huyu agombee bukombe mwingine busanda ambayo ni majimbo tofauti na yapo wilaya tofauti Sasa mapacha Hawa walkzaliwajeeew?
@@clintonkado6104 Tanzania ni moja, kila mwananchi anahaki yakugombania uongozi sehemu yoyote(kwakuzingatia sheria ya nchi), haitawezekana kila mgombea akagombee Jimbo alilozaliwa, kama hivyo wabunge wote wa Dar warudi mikoani kwao, kumbuka vigezo masharti ya kugombea sio lazima ugombee sehemu ulio zaliwa.
Nukta ya msingi ni kwamba kila mwenye uwezo/kipaww apewe nafasi ya kugombea Ili tupate Viongozi wazuri wanaoweza kutengeneza sera zitakazopelekea maendeleo ya Taifa letu.
@@solemba595 IQ yako ndongo
@@christophermalongo1577 how ? Au ndio akili za kuambiwa?
@@christophermalongo1577 how ? Au ndio akili za kuambiwa?