Kazi nzuri Mungu awabariki sana, endeleeni tena na tena. Mungu awabariki na kuwapeleka kwenye viwango vingine vya juu, na awapake mafuta mapya kila siku.
Pokeeni salamu zetu nyingi za upendo pamoja na pongezi tele kwa utumishi wenu uliotukuka namna hii. Tunafurahia na kusherehekea hiki ambacho Mungu anaendelea kututendea wahudumu wa ibada kwa Kristo Yesu barani Afrika, hususani katika malango ya Tanzania. Ni maombi yetu kuwa mzidi kuimarika katika Kristo Yesu na kufanikiwa katika kutimiza utume mliopewa. Shalom 🙌
Keep it up Gabriel Dishon Mziwanda well done umefanya vizuri Sana Mungu akubariki sana katika utumishi wako umeongoza vizuri Sana kwa kiwango cha kimataifa binafsi nimependa na Mungu azidi kukuinua. Barikiwa wote Diakonias gospel team
Hakika Mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake, kazi njema Ushauri tu, kwa upande wa wadada hiyo ni madhabu halisi, hivo mnamuhubiri Kristo Yesu kuanzia mavazi.
For sure within a short period of time we see Gospel music transformation here in Tanzania... I praise the most high Jesus for blessing us like this... Mungu awainue kwa viwango vya juu waimbaji wote...
At the beginning I expected South Africa music. This is incredible, impressive ...I'm deeply blessed. Damu ya Yesu yanena mema.Dawa ya makosa. Thank You Lord 🙏
I replayed and replayed and replayed. Full package. May the Mighty Name of our Lord be praised and blessed. You did justice to that song. The rendition and harmony and the traditionalism in it is just on another level.
TANZANIA YA IBADAA🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Taanzaaniaaaa Mungu ana nini naaaweeeeee😍😍😍😍😍😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bass MUNGU akubarik sana unanibarik sana kiukweli
Kazi nzuri Mungu awabariki sana, endeleeni tena na tena. Mungu awabariki na kuwapeleka kwenye viwango vingine vya juu, na awapake mafuta mapya kila siku.
Mziwanda... Mbarikiwe watumishi wa MUNGU
God is takin Tanzania somewhere and I like that😃❤️❤️
Mungu awabaliki sana watumishi wa bwana
Waw waw ndo mara ya kwanza nawaona. . Mbarikiwe sana
Tunsmuimbia Mungu
Proud of You Tanzania...Glory To Jesus.We Thank God Kwa muelekeo wa injili katika uimbaji kwa kweli
TANZANIA is going somewhere
Amen
@@stevenlevittt
Glory To Jesus
Wow! So this team is from Tanzania? Amazing.
TUNAPINDUA SHILINGI...TZ TUNAWEZESHWA NA ROHO WA BWANA..
greater...greater heights ...a new frontier of worship is springing from TZ
🇰🇪🇰🇪watching from kenya...Tanzanian gospel is international level
Naomba jina la Bassist tafadhari
gloire bass
🙌🏽 🔥🔥 Ila damu ya Yesu
Sioshwii dhambi Zang ila Damu ya Yesu
Be blessed all
Music arrangement Iko pw Sanaa
Mungu jitwalie utukufu
Nimeanza kuona nilichokua natamani kukiona kwa hii team🙌..Mungu akasimamie kila hatua yenu juu ya kumtukuza yeye
Pokeeni salamu zetu nyingi za upendo pamoja na pongezi tele kwa utumishi wenu uliotukuka namna hii. Tunafurahia na kusherehekea hiki ambacho Mungu anaendelea kututendea wahudumu wa ibada kwa Kristo Yesu barani Afrika, hususani katika malango ya Tanzania. Ni maombi yetu kuwa mzidi kuimarika katika Kristo Yesu na kufanikiwa katika kutimiza utume mliopewa. Shalom 🙌
Ladha ya MUZIKI wa Tanzania yalikua ni maombi yangu ya muda mrefu hatimae nimeona
Mungu anaendelea kuibariki Tanzania kwa viwango tunawafurahia mbarikiwe namwona Janet na Gabriel
Yashinda ulimwengu hakika hakuna dawa Ila Damu ya Yesu
Nimeiona TANZANIA Sasa mmejua kunifurahisha na wengine tuige mfano huu💪💪 Jonathan umenifurahisha na malimba hatar
Dah!!Huyo dada mwenye trumpet ni fundi kinomaa anapuliza dude si kitoto😍😍😍😍
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu...
Viwango 👌🏿👌🏿👌🏿
Wimbo umenibarikii mnoo aisee
Nimempenda mwanzilishaji, tamu sanaa!
Mungu awabariki Kwa wimbo mzuri sifa Na utukufu Ni vyake ❤❤❤❤
Kwakwel nimehudumiwa mno kupitia wimbo huu
Mungu awainue viwango juu viwango mzidi kuieneza Injili
Waaaaoow, niliirudia, nikairudia, nairudia Tena, moyo wangu umependa na kufurahia barikiweni sanaaaa
@@Danielmparanyi ngoja niangalie na kuusikiliza pia
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mbarikiwe Sana katika viwango vya juu zaidi
Woooooow 🥰 nakuona mdogo wangu ivo keep it up
Oooh!!!, Mungu Ni mwema sana. it's A very powerful song, Mungu anaenda kufanya high ways kwenye mbuga kwa kupitia hii huduma yenu.
Glory to God. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
ooh ila damu ya Yesu. Wimbo moto sana
Hongereni kwa utumishi uliotukukaaa.
Nawapenda bureee
Seba wane akojiwe Seba 💪💪💪💪
raha sana, hadi nywele zinanisisimka
Keep it up Gabriel Dishon Mziwanda well done umefanya vizuri Sana Mungu akubariki sana katika utumishi wako umeongoza vizuri Sana kwa kiwango cha kimataifa binafsi nimependa na Mungu azidi kukuinua. Barikiwa wote Diakonias gospel team
Mungu azidi kuwabariki sana wimbo mzuri sana😘🥰🥰
Najua MUNGU ndiye kaweka nguvu ya kufanya kitu kama hiki ndani yenu songa mbele.
Glory to God hakika mmebarikiwa
Muziki wa Tanzania unakua sana
My favourite team
Hakika Mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake, kazi njema
Ushauri tu, kwa upande wa wadada hiyo ni madhabu halisi, hivo mnamuhubiri Kristo Yesu kuanzia mavazi.
The identity of our nature. Tazania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ayeee... TANZANIA this is amazing.
For sure within a short period of time we see Gospel music transformation here in Tanzania... I praise the most high Jesus for blessing us like this... Mungu awainue kwa viwango vya juu waimbaji wote...
Powerful sana watu wa Mungu, hongereni mno...Hatua kubwa sana ya muziki wa injili Tanzania. Keep moving
TUNAOKUBALI IYO NI TUNI YA KIGOGO, GONGA LIKE HAPAA
goosebumps............aaah...... mbarikiwe
This song🙏 this is Africa 💪 Glory to JESUS
Wow. Kazi zuri. Munngu awainue Hadi utukufu mwingne
I have never known it Is the Tanzania Gospel Team. Creativity It is awesome glory to Almighty God.
Waooooooh😇😇😇😇😇😇😇😇🙌🙌🙌
Janet Jimmy and kaka u killed it ktk kuimbisha, I see leah mudy there🔥 good sana. Mbarikiwe nyote
Woooh
Kwa kweli wimbo ni mzuri sana hongereni ila hamjatuimbia melod ya cigogo niliyoitarajia .
At the beginning I expected South Africa music.
This is incredible, impressive ...I'm deeply blessed.
Damu ya Yesu yanena mema.Dawa ya makosa.
Thank You Lord 🙏
It's gogo tribe melody at the beginning
I tell you this is just creative we bless the Lord
mbarikiwe wana wa mungu kaz nzur
The drummer ❤💯💯💯👌
The vocals 🥰🥰
The bassist wah😍
Wooow woooow amazing
Nice song, utukufu kwa Mungu
Asanteni sana kwa kuuheshimisha huu Muziki wa INJILI.... IENDE MBELE INJILI YA BWANA YESU
Its the uniforms for me 👏👏👏
Nice job, they are looking good
NOTHING BUT THE BLOOD OF JESUS
Now this is what our JESUS deserves!!! Yes!!!🙌🙌🔥🔥🔥
Imetishaaaaa🥰🥰🥰
Waooh,,very powerful
MAY BLOOD OF JESUS MANIFEST
Amen mbarikiwe sana nyimbo nzuri saana
Huu ndio mziki Wetu Sasa na tunaenda kimataifa.Band wametisha sanaaaa Bassist anajua aisee.Sam Mboya kamix vyema sanaa 🙌🙌🙌🙌🙌
The MAESTRO himself ELDAD!!!!💯💯💯💯
Ashukuriwe Mungu wa vipaji,kila nnachoskia na kukiona n chema mbarikiwe
Janeth i knew hun unaweza tena unaweza love Mungu akutunze uendelee kumtukuza
He deserves all the glory !!!!
fantastic
Gory glory
Be blessed team......muinuliwe zaidi,nimebarikiwa mnooo 🙏🙏🙏
Utukufu kwa yesu❤❤
What a wonderful 🎵 🎶 🎵 🎶 🎵, may the Almighty bless you servants of God!!!! I'm so much blessed with this work.. Glory be to God...❤❤❤❤💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I replayed and replayed and replayed. Full package. May the Mighty Name of our Lord be praised and blessed. You did justice to that song. The rendition and harmony and the traditionalism in it is just on another level.
Hakuna Hakuna
Powerful song.
Great work.
Mungu awabariki sana diaconia.
Mmekuwa baraka kubwa.sana katika ufalme wa Mungu kwenye utumishi huu.
Mwanzo melody ilienda kama music ya kigogo, mmefanya mziki mzuri sana hongereni sana
What else can I say? Yaani on point kabisa. Nimebarikiwa mno. Congrats team, may God hide you under His wings
The sax 🎷 lady👏👏👏👏👏
Powerful 🔥🔥
Very creative too good to listen
Mwanzo nimesikia kisukuma hapo
Wow this is amazing landing here today wow...
Nabarikiwa hakika IPO raha ndani ya Yesu ..dawa ya makosa ni damu yako Yesu#
Sifa na utukufu ni kwa bwana nyimbo nzuri bhna
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tanzanian we are blessed ...sifa na utukuf kwake yesu
Jamani Jamani Jamani,. Fantastic, so amazing
Mara ya kwanza sikufikilia kama ni wabongo😀🤦. Haya yanawezekana kabisaa. Yajayo yanafurahisha kwa kweli😁
The chemistry in this song is on another level be blessed
This is super amazing. Uplifting music. God bless y'all.
Nime ilike hii kazi
Mbarikiwe mpaka mshangae
Amen Amen Amen..... #Hongereni saana.... Classic