ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Dash, kasaloo kyanga, kyanga songa,nguza Vikings, skas kasambula,lista elia Ilikua balaa
Kasaloo Kyanga na Kyanga Songa mmoja alijiita bwana shamba na mwingine alijiita mkulima. Hawa waliisimamisha Iringa. Pamoja na baridi kali ya Iringa lakini watu hawakuthubutu kuacha kwenda dansi lao!
Kasaloo Kyanga na Kyanga Songa. Wanamuziki wa karne
Najua mtasema hii ni zilipendwa,Lakini ukweli unabaki kuwa ukweli.Hizi ndizo nyimbo za kusikiliza maana zina ujmbe ktk maisha ya kila siku.
❤❤❤❤❤❤❤
Kasaloo na Kyanga walikuwa ni maajabu ya dunia
Kumbukumbu kumbukizi safi sana
Marc Je unaweka kuwatofautisha ki Sauti? Mimi wananiconfuse Sijui Yupi anaimba Wapi.... nitajie nyimbo aloimba kasaloo
wadau niambieni Hawa ni Kina kyanga na kasaloo?
Hapana shaka yoyote ndio wao! ila sina hakika kama wote wapo hapo!!
Asante
Kasaloo Kyanga na Kyanga Songa wote walikuwepo