Mheshimiwa kikwete hongera sana kwabusara ktk,uongozi wangu nahata sasa wakati wa ustafu wako mungu akueke ktk,maisha sahihi ya dini yako na ufe ktk,imani ya dini yako.
Ruge kama binadamu asingeweza kuwadhirisha wote....kwa msingi no kwamba wengi amewagusa wachache wameachwa ndo maana hatuwezi kumhukumu vibaya ruge kwani binadsmu lazima kuna watu utawakosea tu.
watanzania sisi kwa unafiki hatujambo mh kikwete yupo madarakani wamemtukana weeeeee leo wamehamia kwa mh magufuli sasa msiba wa ndugu yetu ruge na kashfa na matusi kwa magufuli wapi na wapi? sisi tuhuzunike tuna msiba wa ndugu yetu na ktk hili hakuna mkamilifu ruge ana mazuri yake na mabaya yake kama mwanadamu yoyote hawezi kumpendeza kila mtu. mh kikwete na mazuri na mabaya yake kama mwanadamu mh magufuli ana mazuri na mabaya yake.kwa hiyo hapa tushikamane ktk msiba ndiyo muhimu kumuombea ruge mwenyezi mungu ampunguzie adhabu ya kaburi maana haya sisi wakati ukifika tutakufa.pumzika kwa amani ruge mutahaba AMEN
Ndugu kumjua Mungu nikutenda mema. Na mema yote hutoka kwa Mungu. Tukiiga mema yake aliyetangulia mbele ya haki tutakuwa na kibali chake Mungu. Ndiyo maana ya ufuasi. na si kama wewe ndugu Kishosha unavyotaka kutuaminisha. Epukana na "misguided piety".
Hapo nmekupata dogo maana hata ktk bifu la wcb na clouds kusaga alikua kimya then bashite akajoin na wcb yan kweli walimwengu wakikugeuka dunia utaiona chungu hata kifo cha ruge wanasema kuna vimambo vyetu vya kibongo ndo sababu yan km walivyompoison yule msanii flan ni balaa
Msh Rais msitafu nakukubali sana wewe ni MTU katika watu ulituongoza vizuri sana na sasa bado unashirikiana nawatazania katika kila Ali Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu
Wakuu najua sote tuko kwenye kuomboleza,ivi kati ya Luge na Kusaga nani akua bosi zaidi na kwann kusaga amekua akiishi Dubai? Na je ile TV Station iliyoko Dubai ni ya CMG au ya kusaga peke maaana maelezo ameyatoa Luge kwenye video yake ya nyuma( Nazani ni Mikasi) sikumuelewa kabsa
Wote ni wamiliki wa clouds. Wanashare sawa kila mmoja, luge amejikita kwenye clouds ya hapa bongo. Ndiye misimamiz mkuu wa shughuli zote za hapa, ile ya dubai pia ni ya wote isipokuwa kusaga ndiye anaisimamia kwa kiasi kikubwa. So ruge hakuwa na mkono wake moja kwa moja kwenye operation ya clouds ya dubai. ILa ni kwamba CMG yote ndani na nje wana mgawo sawa
@@teddykassinde4608 kuhusu wcb wengi hatuna uhakika ila kuna viashiria vinavyoonesha kuna mkono wa Kusaga . Moja ya viasharia ni upatikanaji wa frequency ya Wasafi Radio hapo dar. Kwa kuwa kwa sasa ukianzisha radio hapo dar huwez kupata frequency kwa kuwa zime jam yaani zime jaa so kilichotokea ni wasafi kwenda kwenda zanzibar kununua frequency ya radio iitwayo coconut inayokamata Dar na inasemekana hiyo radio inamilikiwa na Kusaga maana usajiri wa hiyo radio unajina la Kusaga. Ndiyo maana leo hii wasafi inakamata hapo dar na isingewezekana kama wasingenunua hyo frequency. Kwahyo uki connect dot unaona kuna mkono wa kusaga sasa wadau wanaenda mbali zaidi kwamba ni zipi sababu za kusaga kufanya hivyo!! Ndiyo hao hao wadau wanakuja na majibu kwamba kuna mgongano wa masrahi kati ya kusaga na ruge ndo maana kusaga anaunga mkono juhudi za wasafi na kuwekeza pesa zake huko ili alete ushindani kwa clouds na ikiwezekana waiangushe kabisa clouds ibaki wasafi( mji mzito huu kessy) Kwahy ndo ipo hivo. Ila zote hizo ni fununu tuu na hakuna mwenye uhakika lakini hapa bongo tupe picha tu, stori tutatengeneza
kuna ma zuzu humu yanamtukana Rais magufuli....nawashangaa sana maana hata huyu mzee mlimtukana sana akiwa madarakani na sasa mnamwona wa maana sana....acha tuomboleze msiba wa kaka etu Ruge na msilete upuuzi humu
Nakukubali sana jakaya Mungu akupe maisha marefu
Yan kikwete mungu akupe maisha marefu....daima!!
Baba una busara sana mashaAllah
Mzee nakukubali san maneno ya busara mungu akubalik
Safi babu mkwe
We miss you so much JK. Chief comforter
Amen,may his soul test in paradise
Hongera sana Rais mstafu nitakukumbuka daima na maneno yako ya busara Mungu akupe maisha malefu
Mungu akubariki mzee Jk
Aliyemmiss President kama mimi naomba like
Safi !.
Olewa naye
Mheshimiwa kikwete hongera sana kwabusara ktk,uongozi wangu nahata sasa wakati wa ustafu wako mungu akueke ktk,maisha sahihi ya dini yako na ufe ktk,imani ya dini yako.
mheshimiwa mstaafu...nakubali....R.I.P MY BOSS RUGE WE NDO ULINIFAYA NKAJUA KIPAJI CHANGU
Nakupenda sana muheshimiwa kikwete
Ahsante mweshimiwa kwa busara mingi tunakumiss katika utawala wako rest in peace ruge
Mzee unabusara wewe!
Allah akuongezee umri na afya njema
Asante kwa kuona hilo
THE BEST PREZZO TV EVER HARD, SAHII MATESO TU.
RIP ruge poleni sana watoto
Kutembelea wagonjwa ni ibada pia, mungu akubariki kwa moyo wako wa upendo na ukarim
R I P Ruge mutahaba Nyuma yako mbele yetu
Una busara sana kikwete wewe mungu hakubariki sana mzee wetu
yupo vizuri mzee wetu
Siri hiyo mungu tu ndiye anaeijua vlvl tukumbuke kuwa wema awana maisha ila wale wasiojua umuhimu wa binadamu wenzao
Wabongo bhana kweli wanafiki !! Baada ya mzee kutoka madarakani sasa mwampenda
Congratulations our president kikwete
Sopher The Heag Safari nafikiri tuzungumzie msiba tu wa Ruge RIP
His legacy will remain. Let him Rest In Peace
Safi Baba
R i p ruge
Utawalawako mzee nilinufaika sa biashara ilikua inakwenda
RIP Amani
RIP ruge
Duuu nakukubari sana kiongozi ulikaribia kutupa katiba Mpya ambayo ni historia katika taifa ili
Mzee jakaya anasema angekuwa na uwezo wa kifeza kumbe hakuwa mapesa jakaya???km unaamini ivyo km mm gonga like
Elewa hyo ni kabla ya urais...
RIP RUGE
Ruge kama binadamu asingeweza kuwadhirisha wote....kwa msingi no kwamba wengi amewagusa wachache wameachwa ndo maana hatuwezi kumhukumu vibaya ruge kwani binadsmu lazima kuna watu utawakosea tu.
Mmm binadamu bwana mmm Atari sana
Kwakweli Jana ilikuwa ni nzuuuri kuliko leo. We have missed you JK
Hongera sana mzee wetu, hivi kwani katiba haiwezi kubadirika urudi kutuongoza mzee wetu? ukweli tunakupenda sana
acha unafiki
R. I. P
jamaa ana busara sana,na katika maendeleo ya mtu mmoja mmoja kiukweli alikua ametufikisha mbali sana.hakika hatuta msahau.
tatizo mlimuponda sana
Uncle hajaenda msibani
Hatatokea tena rais kama kikwete wala hatakujatokea rais kama magufuli kila mtu na part yke
jk kawatoa watu wengi pind lake sema watu shukran ndohivo tena
Saf sana
Daima naendelea kukumbuka mzee wangu
r.I.p
kikwete...nukuonapo natamani kulia...rudi 2020....duuu thamani ya MTU .huonekana asipokuwepo....
R.I.P. ruge
Daa xita kusahau mzee jakaya ume tufanyia mengi maisha bora kwa kila mtanzania tuta kukumbuka jk
umeongea busra sana hua nakuelewa sana
ok
Mzee wetu mungu akubariki
Kwema kikwete
Ktk,uongozi wako
Maneno kuntu ya rais mstaafu
Ok.....
Tumuamini Dudu baya au
Tumuamini Mzee Kwekete...?🤔🤔
Dudu baya analia kuwa kabaniwa sana Ruge🤔🤔🤔
Hivi kwa tabia za dudubaya hata mie ningembania anaonekana hana dicpline ni mtu wa jazba na kukurupuka aende na bangi zake
watanzania sisi kwa unafiki hatujambo mh kikwete yupo madarakani wamemtukana weeeeee leo wamehamia kwa mh magufuli sasa msiba wa ndugu yetu ruge na kashfa na matusi kwa magufuli wapi na wapi? sisi tuhuzunike tuna msiba wa ndugu yetu na ktk hili hakuna mkamilifu ruge ana mazuri yake na mabaya yake kama mwanadamu yoyote hawezi kumpendeza kila mtu. mh kikwete na mazuri na mabaya yake kama mwanadamu mh magufuli ana mazuri na mabaya yake.kwa hiyo hapa tushikamane ktk msiba ndiyo muhimu kumuombea ruge mwenyezi mungu ampunguzie adhabu ya kaburi maana haya sisi wakati ukifika tutakufa.pumzika kwa amani ruge mutahaba AMEN
huyu ni kiongozi mzuri katiba yetu ingeruhusu arudie kutawala anabusara sana hata akiongea anatufurahisha na kutufariji sisi wanyonge
hata yeye alisema wazi mtamkumbuka mala hii tu, tiar
Eee baba bado unasafiri...!?
Kamwe hatuwezi kuishi kwa kumfuata mtu baali tutaishi Kwa kumfuata Mungu nyumbaji wetu
Ndugu kumjua Mungu nikutenda mema. Na mema yote hutoka kwa Mungu. Tukiiga mema yake aliyetangulia mbele ya haki tutakuwa na kibali chake Mungu. Ndiyo maana ya ufuasi. na si kama wewe ndugu Kishosha unavyotaka kutuaminisha. Epukana na "misguided piety".
Safi mzee wewe ndo ulikua rais wa wanyonge
Hapo nmekupata dogo maana hata ktk bifu la wcb na clouds kusaga alikua kimya then bashite akajoin na wcb yan kweli walimwengu wakikugeuka dunia utaiona chungu hata kifo cha ruge wanasema kuna vimambo vyetu vya kibongo ndo sababu yan km walivyompoison yule msanii flan ni balaa
Umeongea kwa busara sana JK tunamis hotuba zako... kuna jamaa akianza kuongea tu unazima tv...
Nyie ndio mlikuwa mnamtukana sana mzee wa watu leo ndio mmemuona mtu, watz kwa unafiki!
Hahahaa steven mwaiko umenichekesha" jamani nimemiss sana jk jamani
@@vonostus Uliniona lini nikimkosoa au unanijua tangu lini?.. acha shobo za kifala
Kwani huyu na alikiba wakoje msaada jamani
Umeonaee
Rudi utuongoze hli mbay
Juma Mwalughelo hahaha simmenunua ndege bado standard gauge iyapo mtanenepa tu msijali hahah
Mimi kama machinga simpendi utawala wake nimedhurumiwa sana mali zangu na yeye ndiye alikua chanzo
Kweli tuweke sala family na watotto
mkae na kujuwa uwogozi ni hekima na busala inategemea na kabila na mila zao kwaiyo ukizugumziya jk unaona hofu yake kutoka moyoni mwake siyo jiwe
Hahah hahan haha umeona mbali sanaaaaa hii ni kwel kabisa
Jiwe kwa ukatili wa kutotenda haki huo sio ujasiri ni ukatili alionao
Unaona mzee anavyoongea Kama mwanaume! Sasa hapo mzee baba akianza kuaongea itakuwa balaa, Sasa mm niko karbu na TV ili akianza tu nizime TV.
Mbavu zangi
😂😂😂huyo mzee baba gani huyo anaongea hadi mic zonazomaa
😂😂😁😁😁 acha vichekesho kwenye majonzi bhana.
Msh Rais msitafu nakukubali sana wewe ni MTU katika watu ulituongoza vizuri sana na sasa bado unashirikiana nawatazania katika kila Ali Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu
Duu kwel ruge ulifanya kazi kubwa sio kitu rahisi kuongelewa kiasi hicho
Busara tele
Ruge atabaki kuwa mzalendo
00
Wakuu najua sote tuko kwenye kuomboleza,ivi kati ya Luge na Kusaga nani akua bosi zaidi na kwann kusaga amekua akiishi Dubai? Na je ile TV Station iliyoko Dubai ni ya CMG au ya kusaga peke maaana maelezo ameyatoa Luge kwenye video yake ya nyuma( Nazani ni Mikasi) sikumuelewa kabsa
Wote ni wamiliki wa clouds. Wanashare sawa kila mmoja, luge amejikita kwenye clouds ya hapa bongo. Ndiye misimamiz mkuu wa shughuli zote za hapa, ile ya dubai pia ni ya wote isipokuwa kusaga ndiye anaisimamia kwa kiasi kikubwa. So ruge hakuwa na mkono wake moja kwa moja kwenye operation ya clouds ya dubai. ILa ni kwamba CMG yote ndani na nje wana mgawo sawa
@@godfreywebiro4058 asante kwa ufafanuz nami sikuwa naelewa kwahiyo na wcb pia kusaga anashare? Mana nlisikia anahusika napo kamzunguka ruge vp khs hili?
@@teddykassinde4608 kuhusu wcb wengi hatuna uhakika ila kuna viashiria vinavyoonesha kuna mkono wa Kusaga . Moja ya viasharia ni upatikanaji wa frequency ya Wasafi Radio hapo dar. Kwa kuwa kwa sasa ukianzisha radio hapo dar huwez kupata frequency kwa kuwa zime jam yaani zime jaa so kilichotokea ni wasafi kwenda kwenda zanzibar kununua frequency ya radio iitwayo coconut inayokamata Dar na inasemekana hiyo radio inamilikiwa na Kusaga maana usajiri wa hiyo radio unajina la Kusaga. Ndiyo maana leo hii wasafi inakamata hapo dar na isingewezekana kama wasingenunua hyo frequency. Kwahyo uki connect dot unaona kuna mkono wa kusaga sasa wadau wanaenda mbali zaidi kwamba ni zipi sababu za kusaga kufanya hivyo!! Ndiyo hao hao wadau wanakuja na majibu kwamba kuna mgongano wa masrahi kati ya kusaga na ruge ndo maana kusaga anaunga mkono juhudi za wasafi na kuwekeza pesa zake huko ili alete ushindani kwa clouds na ikiwezekana waiangushe kabisa clouds ibaki wasafi( mji mzito huu kessy)
Kwahy ndo ipo hivo. Ila zote hizo ni fununu tuu na hakuna mwenye uhakika lakini hapa bongo tupe picha tu, stori tutatengeneza
Jk
kuna ma zuzu humu yanamtukana Rais magufuli....nawashangaa sana maana hata huyu mzee mlimtukana sana akiwa madarakani na sasa mnamwona wa maana sana....acha tuomboleze msiba wa kaka etu Ruge na msilete upuuzi humu
Magori Magori umeongea cha maana ndugu kuhusu makufuli
Kweli kaka nakumbuka wapo walio mwita jk legelege Leo wanamsifia duh
Magu pimbi tu
Baada ya kumtukana JK Alifanya nini mkuu?
nakuunga sana mkono jamaa yangu maana hauko mbali na mimi
Kwema kikwete