NAMNA YA KUJUA NA KUTATUA LAANA ZILIZOPO KATIKA MAISHA YAKO - 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • #Sunbella_Kyando #Chomoza

ความคิดเห็น • 22

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa huruma utuhurumie kama ungehesabu maovu yetu nani angesimama. Asante Mungu Baba kutosikiliza maapizo yao ukayabadili kuwa baraka kwa vile ulivyonipenda mimi. KUMBUKUMBU LA TORATI 23;5. Watu wa Mungu Baba mbarikiwe sana nimejifunza kupitia hii series na kubarikiwa.

  • @paschalkasebele7729
    @paschalkasebele7729 ปีที่แล้ว

    Mungu Akubariki sana naakutie nguvu

  • @ezekielezekielstephanochel3652
    @ezekielezekielstephanochel3652 2 ปีที่แล้ว

    Mnanibarik, sana watumishi wa Mungu

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi

  • @DosianaLulakuze-bv7fg
    @DosianaLulakuze-bv7fg 4 หลายเดือนก่อน

    Ukikutqna Na mtu mwenye laana kwenye maisha yako utajuta utajuta😭😭😭😭

  • @meilleurkitoko7487
    @meilleurkitoko7487 2 ปีที่แล้ว +1

    Somo lina nihusu sana tangu mwanzo Mungu anioneye huruma👐

  • @leahmwangonda805
    @leahmwangonda805 4 ปีที่แล้ว +1

    Hili somo linanihusu Sana nimeguswa,manake kila hatua nipigayo najikuta Niko palepale hasa katka kipato,hata nitie bidii vipi napata pesa mwisho wa siku sioni zilikokwenda.Naishia kukata tamaa.

  • @eunicekamau3323
    @eunicekamau3323 4 ปีที่แล้ว

    Somo nzuri Sana .mbarikiwe Sana watumishi wa MUNGU.naomba mnikumbuke Kwa maombi napitia mambo mingi Sana .hakuna lolote ninalo lifanya na fanikiwa nabaki palepale.

  • @Babuumkinze
    @Babuumkinze 4 ปีที่แล้ว +2

    Haya masomo ni mazuri sana, asante mtumishi maana haya mambo yanafelisha sana..

  • @rizikilyimo200
    @rizikilyimo200 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana mkufunzi

  • @janekuloba2506
    @janekuloba2506 4 ปีที่แล้ว

    mungu apewe sifa kwa kweli ninapo sikiza machozi yanitoka mungu anasababu hapa lazima nifuke asante mungu wangu

  • @vickiemerere4056
    @vickiemerere4056 4 ปีที่แล้ว

    Damu ya Yesu ininenee mema

  • @husnakibwana6944
    @husnakibwana6944 3 ปีที่แล้ว

    Damu ya YESU KRISTO ininenee mema mm na uzao Wangu

  • @millyaketch4968
    @millyaketch4968 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda bure nyinyi ville mnachambua Bible nyinyi Noma lazima mtu acheke akii nyinyi but am quoting points

  • @millyaketch4968
    @millyaketch4968 2 ปีที่แล้ว

    Nimecheka sana mahali paa msosi chakula cha mchungaji 😂😂😂

  • @husnakibwana6944
    @husnakibwana6944 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @veroyorcharles4661
    @veroyorcharles4661 4 ปีที่แล้ว

    asante mtmishi

  • @aishambise6529
    @aishambise6529 3 ปีที่แล้ว

    Mimi naona laana inafanya kz nakumbuka bb yangu alinipa shamba alipo fariki mtt wanguakaninyanganya alikataa ambalo baba yake alimpa anataka ilo nilio pewa na baba yg cha nguvu nilimwachia kwa machoz mengi na nilimwambia Kama umekataa shamba la baba yako unataka langu na nguvu basi utaangaika bila kutulia sai anatembea kila nchi bila mafanikio hatuogeagi ni miaka 10 sasa

    • @graceflorence3793
      @graceflorence3793 ปีที่แล้ว

      Musameyane .na lahana iyo iyondoke kwenu kwajina la yesu kristo vyahulimwengu vinapita
      Msamaha ni funguo

  • @advelakyando8836
    @advelakyando8836 4 ปีที่แล้ว

    tufundishe namna ya kutoka