NANDY AMUONGEZA MSHAHARA MARA MBILI DADA WA KAZI KISA MTOTO AAHIDI KUMPA IPHONE 15

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 117

  • @sporastica7174
    @sporastica7174 ปีที่แล้ว +14

    Wazazi kndani ya nyumba kama unaacha watoto na dada wa kazi tujifunze kuwaheshim ni watu muhimu Sana jamani

  • @FatmaOthman-t9u
    @FatmaOthman-t9u 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤ nakupenda sa nandy hongera sanaaaaaaa

  • @BeatricePeter-s7j
    @BeatricePeter-s7j ปีที่แล้ว +2

    Mungu awazidishie Nandy na mumewe make walio wengi ni vigumu kutambua madada wa Nazi. Kiukweli nimependa❤❤❤❤

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 ปีที่แล้ว +17

    Mungu habariki Sana hyo Dada na ww una mapenzi na hyo Dada hongera sana❤❤🙏

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 ปีที่แล้ว +21

    Angemnunulia kiwanja hiyo hela ya iphone maana mil 3 unapata kiwanja cha bei rahisi ingekuwa ni asset nzuri kwake na future uko mbeleni ila simu angempa ya samsung kawaida

    • @RachelMethod-rt1qx
      @RachelMethod-rt1qx ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @magrethtuma5843
      @magrethtuma5843 ปีที่แล้ว

      Umeongea point sana

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 ปีที่แล้ว

      We una akili sana

    • @faidhacute
      @faidhacute ปีที่แล้ว

      We unasema kiwanja baada ya kuniambia mtaji aisee Ili uiendelezee hyo mil 3

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaa, shda wanaona iPhone ndio maisha, yaan hiyo uliyosema ni akili ya hatari

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 ปีที่แล้ว +9

    Serikali iangalie mishahara ya wasichana wa ndani na usalama wao kuna wasichana wakazi wanapitia magumu mungu awalinde

  • @joycejackson2320
    @joycejackson2320 ปีที่แล้ว +6

    Ukimshirikisha Mungu kwenye malezi hakuna kinachoharibika!!
    hata nyie mmelelewa na wasichana wa kazi!!

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +16

    Mashallah, hongera sana Nandy kwa kutambua muhimu wake. ❤

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 ปีที่แล้ว +7

    Hongera nandy kwakumjali dada kwamazawad ya Bei gal,kwa ujinga wangu nawaza ingekuwa Mimi ni ndohuyo dada wako ningekuomba uairishe hiyo iPhone yamamilion uninunulie kiwanja angalau kila mwaka ajenge hata chumba kimoja chakawaida aweke mpangaji ili ata akija kuwa namaisha yake awe nachakujivunia,hayo ma iPhone yanaharibikaga,yanapotea,yanapitwana wakati Ila ardhi huongezeka thamani kila kukicha

  • @furaha.
    @furaha. ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe sana nandy kwakutambua kuwa dada apo nimuhim sana kwako hadi roho wa Mungu akakuingia nakumuongeza uyo dada mshahara. Ubarikiwe sana.much love you ❤❤❤❤❤

  • @selinathindwa9754
    @selinathindwa9754 ปีที่แล้ว +6

    Mi Nina miyaka 9 na boss wangu Mungu amubariki sana ni boss Bora sana

    • @JennyJma
      @JennyJma ปีที่แล้ว

      Hongera sana na Mungu azidi kumbariki zaid

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mbona mimi sipati hizo kazi kwa watu wanaojua umuhim wa mdada wa kazi? Nakulelea wanao mpk ufurah nilikaa kwa Aziza ally na mdada nilikuwa na miaka 18 nilikaa na wanae miaka 13 nimeondoka watoto wamekuwa wapo secondary sasa alinifanya nitoke bibi mama wa boss wng alikuwa na gubu mno mno nikashindwa kuvumilia now nataka kwingine hata nje ya nchi mm sawa tu nipo taar napenda kujitafutia sana sana

  • @CatherineKaria-fk7fq
    @CatherineKaria-fk7fq 7 หลายเดือนก่อน

    Mziki mkubwa wooi, maintainini mziki na sound isikike very calm n clearvizurii kwa record

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 ปีที่แล้ว +5

    Yatokea hata mm niko kwa mwarabu nnalea watoto 5 na wote wakianza kuongea waita jina langu
    na wanipenda hata kuliko mama hata hawajui km kuna mtu km huyo mpk wakue

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo9238 ปีที่แล้ว +7

    Hongereni Sana Mungu azidi kuatunza jamani❤❤❤❤❤❤

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 ปีที่แล้ว

    Kuna dada alikaaga Kweti aiseeee anaitwa Dada amatilda Uwiii Yule Dada Ni Heaven sent alikua anatutreat Poa Hadii Unaona wazazi wako hawakupendi kama Yy

  • @SifaMukandikwa
    @SifaMukandikwa 2 หลายเดือนก่อน

    Na nyinyi ma boss wazuri kabisa hata tumeona kwa yammi

  • @magrethtuma5843
    @magrethtuma5843 ปีที่แล้ว +2

    Nliwah kukaa na mtot akawa ananiita mama alaf mama ake mzazi anamuita jina lake

  • @carolineotieno8154
    @carolineotieno8154 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Nandy sio wote wana moyo kama ya kwako

  • @aminarashidi5649
    @aminarashidi5649 ปีที่แล้ว +1

    Dada angemwambia amnunulie kiwanja tuu hiyo iphone14 aliyonayo inatosha

  • @samsonimwashitete4921
    @samsonimwashitete4921 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie

  • @DijaMriri-wc4qd
    @DijaMriri-wc4qd ปีที่แล้ว +61

    Mim sijui Watu wengine Kwa Nini hawana shukran Mimi nafanya kazi na nalea mtoto ana miaka 9 nmemlea tangu ana miaka 6 mpaka Sasa mwezi wa kumi anafikisha miaka 10 lkn bosi wangu hata hathamini nachofanya Yani ata mshahara kakataa kuniongezea kwanza ana dharau ananambia unakula bure unalala wenzio wanalipwa ata elfu 60 Sasa guy kwanza mtoto hakai na mamake mzazi anakaa na mamake wa kambo lkn Hana ata abari mtoto ale asile Hana bari Mimi ndo nahakikisha kala nampeleka Shule namfata nmpeleke saloon Yani Kila kitu mpaka event za shule naenda Kama mzazi Kwa sbb babak ni mtu wa masafar hapa yenyew yuko Ivory coast Sasa uyu mtoto asijikwae juzi tumbo lilkua lamuuma nilitukanwa naambiwa ulitaka kufanyaje eh nkampeleka hospital doctor akasema Hana shida ni inatokeaga mvurugo wa tumbo we guy miaka minne saiv lkn naambiwa Ivo siku ikitokea bahat mbaya SI ntapelekwa jela namsubr mamake wa kambo namuacha mtu amekataa kuniongezea Hela na ni ye aliniahid mwanamke wake kasema basi atatoa Hela yake aniongezee bdo kakataa ni mtu uyo adi mwanamke alitaka kunisomesha ada yake mwenyew mwanaume kakataa SI mnyama tu uyo ipo siku atanikumbuka na mtoto anavonipenda nikiendag a kusalimia siku mbili tu hanaga rah nikimwambia me naondoka ni analiaga adi uruma ananambia me sitaki dada mwingne nmekuzoea Kama mamangu nisubr nikue kaa na mim ntakutengenezea maisha sa swezi roho inaniuma sana rizk popote

    • @Agath45
      @Agath45 ปีที่แล้ว +4

      Msamehe bure bure mwaya binadamu ndo walivyo.

    • @janetahmed6948
      @janetahmed6948 ปีที่แล้ว +4

      pole dada jamani wengiwao tunatafita riziki kwa watu wana roho mbaya tulia pambana hivo hivo

    • @redemptervictor5006
      @redemptervictor5006 ปีที่แล้ว +8

      Natafuta mtu kma wewe lakini simpati kwanini huyo hathamini uwepo wako hapo wadada wenye roho kma yako mmebaki wachache.

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 ปีที่แล้ว +2

      Dada hapana wakati mwingine huwezi kukaa ata kwa mumeo usigombane uyo bosi wako nae binadamu hamuwezi kukaa mizi miwili msipishane kauli ata ingekuwa kwa mzazi wako kulishana kauli kawaida usilaumu sn kwani naamini umekaa miaka yote iyo sizani Kama anaubaya kiasi icho pili akuongezee mshahara he unajuwa you anaponea mshahara shingapi na ww pia tunza pesa yako Weka malengo yako ya badae ili ufikie ndoto yako

    • @bakarimdeve8386
      @bakarimdeve8386 ปีที่แล้ว +2

      Aaah Sepa tu ndg yangu huyo Mnyama

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 ปีที่แล้ว

    Wamama wenye wafanyakazi mjifubze kwa nandi muishi na wadada km ndugu na wao watarejesha kile mnachompa kwasababu mkiwanynysa na wao watawafanyia visa mpka mkome

  • @veronicastephano8974
    @veronicastephano8974 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa sana kwakweli,mungu awazidishie na pia msiishie hapo kumsaidia na nyumbani alikotoka

  • @HazlaMwenda
    @HazlaMwenda ปีที่แล้ว +1

    Kuna wakati watu hawawathamin wadada wa kaz wakat ndani kwake hakuwez kukaa sawa pamoj na kupendeza bila dada wa kaz ikiwezekan waongezwe mshahar hata laki nne kaz za ndani ni kaz kubwa san kuna wazazi mpk hajui mtot kala kaoga kanywa kasuka ni mtihani san

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter ปีที่แล้ว +3

    Ishu ya msingi hapo ni kumuimbisha huyo dada wa kazi ili ule mema ya nchi kutoka kwa Nandy na Nenga 😂😂

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah hongera sna nandi bilinas amna bayaaaaaa

  • @missminnatz
    @missminnatz ปีที่แล้ว +1

    Siku zote ukiwa na moyo wa kutoa basi unapata zaidi, ila maboss weng hawalijui hili na weng hawapend maendeleo ya wafanyakz wao wa kazi tubadilike jamn sema ndio hvy binadamu hawafanani tabia kuna maboss wengn wanatesa wengn wanajali mpk wanawaozesha wanapopata wachumba af kuna wengn hawatak waskie unapiga hatua big up sana nandy ndio maan unazidi fanikiwa.

  • @zenawahindi2425
    @zenawahindi2425 ปีที่แล้ว +1

    kaka kanikumbusha mbali sana hiyo chumviii na nandy bigup maana wadada wetu wa kazi wanafanyakazi nyingi sana wantusaidia sana kulea watoto wetu ukipata dada mzuri raha sana tuwajali sanaaaa

  • @atupakisyemapuli8637
    @atupakisyemapuli8637 ปีที่แล้ว

    Na ukiendelea hivyo wanaowatakua vizuri sana. Mpaka huu umri nilionao nimeelewa na Dada wawili tuu. Wakwanza alipoolewa tukiwa wakubwa na wa pili tukiwa tumeshakuwa watu wazima. Namimi hiyo Tabia imenisaidia nimeishi na Dada wawili tuu na wote wameolewa na pia hadi sasa ndiyo ndugu zangu. Mwanangu WA Kwanza anamiaka 30 na wanawaheshimu hao wadada mpaka Leo na watoto zao ni wajukuu zangu

  • @vero57
    @vero57 ปีที่แล้ว

    Dida mriri , watumie kama hao wakongo wengi sanaaa , lakini MUNGU ni mwema sana MUNGU atakulipa

  • @sideally35
    @sideally35 ปีที่แล้ว +2

    Kwani dada mtangazaji hujui kupika nin?

  • @francisjuly5761
    @francisjuly5761 ปีที่แล้ว +1

    Fridaa vpee😂 mbn kama unaongea uku unakatakata kucha unaona aib😂

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว +4

    UKIWA NA PESA TU,,YOTE HAYO YA KAWAIDA,,,UWE NAZO KWANZA.

  • @anajohn8132
    @anajohn8132 ปีที่แล้ว

    ngozi ya aliyekulia kijijini kwenye maisha magumu ni ngumu sana ukaifanya sawa na ya mtoto wako wa mjini kwa hiyo hata ufanyeje dada wa kazi ataonyesha tu labda awe wa mjini

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 ปีที่แล้ว

    Dah nimesaha mchele wa mawe kazi inaongezeka,hivi hii mchele ya majuu mbona haina mawe jaman😃

  • @jamilaboma9999
    @jamilaboma9999 ปีที่แล้ว

    Jaman milard ukiongea harakaharaka hivyo naenjoy kusikiliza but hua haujingati kweli

  • @JimmyVictoria-j3l
    @JimmyVictoria-j3l ปีที่แล้ว

    Ni wachache sana wanao Fanya ivo

  • @aidanMapunda
    @aidanMapunda ปีที่แล้ว +1

    Connection na huyooo dada plz brother

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 ปีที่แล้ว +1

    Mulipe herayake mwijaku

  • @aidanMapunda
    @aidanMapunda ปีที่แล้ว +1

    Washenziiiii nyieeeee😂😂😂😂😂

  • @azamazam3279
    @azamazam3279 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nyie

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +2

    Zawadi za kipumbavu za maboss wa KiTanzania sasa unampa IPhone 15 ili iwaje badala la kumnunulia hata kiwanja au kumpeleka kozi ya elimu fulani ili imfae maishani . Na Serikali mngepitisha sheria bila ya laki 350,000 au 4, 5 hamna kuajiriwa mfanyakazi wa ndani wanafanywa watumwa nchini mwao na wanatumika sana .

    • @saeedalyahmadi1738
      @saeedalyahmadi1738 ปีที่แล้ว +2

      Akitaka kiwanja si auze simu atayopewa hiii msipangie watu maamuzi kama sim bei ya kiwanja aiuzee

    • @bernadetamodest6170
      @bernadetamodest6170 ปีที่แล้ว

      Imekuuma? Kajinyonge kama imekuuma. Nini maana ya zawadi? Ni kitu mtu anakitoa kwa moyo wake bila kushurutishwa na mtu,kama wewe uliona kiwanja ndyo kinamfaa huyo dada bado yupo waweza kumnunulia wewe coz hiyo siyo plan ya boss wake

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      @@bernadetamodest6170 hukwenda shule na una IQ ndogo sana soma uelewe nacho discuss badala ya kukurupuka!

    • @bernadetamodest6170
      @bernadetamodest6170 ปีที่แล้ว

      @@kabwelasutiviraka4765 Yaan kama mimi IQ yangu ni 2 wewe yako ni sifur kaisa,nimewelewa sana ulichokiandika sijakurupuka,anayekurupuka ni wewe hapo na ambaye haukulionja darasa ni wewe hapo,Idioty

    • @isihaqkerdehaqker1403
      @isihaqkerdehaqker1403 ปีที่แล้ว +1

      Kuna boss kwanza wa kukupa Iphone 15 ishirini kwa mmoja

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 ปีที่แล้ว

    Mngemjengea tu nyumba masimu haya hayana maana yyt maaana kila siku matoleo mpya kama mwaka jana iPhone 14 huu tena 15 mwakani tenaa je .PAKULALA anapooo pindi atakapotoka hapo?

    • @JennyJma
      @JennyJma ปีที่แล้ว

      Kabisa anunuliwe kiwanja japo cha milioni mbili tu maana hzo cm za hiphone karibu milioni 3 au zaidi na kila siku matolea mapya

  • @cyberGhost-g3d
    @cyberGhost-g3d ปีที่แล้ว

    Hongera yake

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 ปีที่แล้ว +6

    Love her family 👪 ❤

  • @Keyjop
    @Keyjop ปีที่แล้ว

    Jmn barikiwa saana nandi❤

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy ปีที่แล้ว

    Niceee

  • @matdaud6257
    @matdaud6257 ปีที่แล้ว

    Ok, j

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS ปีที่แล้ว

    Kumlipa vizuri hakuwezi kumfanya apende mtoto ni mpaka awe na roho nzuri

  • @AgnessMsengi
    @AgnessMsengi ปีที่แล้ว

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +3

    Mshahara wenyewe ukute anamlipa elfu 60,000 ukiongezwa laki moja na 60 , Watanzania mbwa nyie mnafanyana watumwa sana na mnatumiana , Serikali ni lazima kulinda haki za wafanyakazi wa ndani

    • @mr.yahzadochuno7914
      @mr.yahzadochuno7914 ปีที่แล้ว

      Fact

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 ปีที่แล้ว +2

      Haikua na haja ya kutukana,ila kama ndiyo malezi ulio pewa na wazazi wako,hongera kwa malezi walio kupa.

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      @@kdloon2030 mpumbavu wewe mimi naonangea slavery wanaofanyiwa house maids unaleta vitu havieleweki

    • @bernadetamodest6170
      @bernadetamodest6170 ปีที่แล้ว

      Huna akili,I phone ni shilingi mia mbili mbwa wewe

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      @@bernadetamodest6170 baada ya kumnyonya na kumpa mshahara mbovu ndio ana mnunulia simu kumzuga, nani asiyejua huko Tanzania mnawatumia house maids hamna tofauti kubwa na waarabu nyie wanyanyasaji na mnawafanya house maids watumwa!

  • @SelemanMuhamed-ir5zl
    @SelemanMuhamed-ir5zl ปีที่แล้ว

    Jaman Nandy Mungu Akubarikiri. Nimejifunza kitu

  • @mamaabduly
    @mamaabduly ปีที่แล้ว +6

    Nandy ameamuacha MTT mapema YULE MTT wazazi wake wana muhudumia lkn amekosa joto LA. Mama.. Wanawake waliozaa. Wananielewaa... MTOTO MNYONGE YULE HAYUKO SAWA

    • @GapiMatata
      @GapiMatata ปีที่แล้ว +2

      Mmmh sio kweli bwana wale wanaozaliwa na mama zao wakafa inakuaje? sio kweli kbs tafuta sababu nyingine 😅😅iyo nimekataa

    • @Mayra574
      @Mayra574 ปีที่แล้ว +1

      Hasbiallah waneemar waakeer acha husda mtt yuko vizuri na yuko hearth

    • @francesmpangwa8801
      @francesmpangwa8801 ปีที่แล้ว +2

      Bangi ulovuta itakua imekaangwa mbwa ww punguza roho mbaya

    • @mamaabduly
      @mamaabduly ปีที่แล้ว

      Nendeni na kwa mange mkamtukane kwa alichoandika... Mxiew

    • @sarahandrew6506
      @sarahandrew6506 ปีที่แล้ว +1

      @@francesmpangwa8801 dah asee nimecheka kifala,😂😂😂

  • @PetraVirginia
    @PetraVirginia 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤𝓅𝓇𝑜𝓊𝒹 𝑜𝒻 𝓃𝒶𝓃𝒹𝓎😊