KIATU CHA VIDO CHA MTOA MACHO FRIDA, MILLARD ATAKA USHAHIDI, NAI ALIPUKIWA NA SIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @HawaSwabra
    @HawaSwabra 4 หลายเดือนก่อน

    Frida kucha hazijakukaa bhn hujapendez ila ww nimzuri Masha Allah nawapend wote wato milivo hapo

  • @SalumMayunga-en9nf
    @SalumMayunga-en9nf หลายเดือนก่อน

    Ayo we ni noma

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 ปีที่แล้ว +2

    Hayo makucha Frida hapana sikushauri Tena cz ni marefu Sana punguza kidogo

  • @rehemashabaniameen
    @rehemashabaniameen ปีที่แล้ว

    I'm watching from Dubai 🎉

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 ปีที่แล้ว

    Mwamba milerd nakukubali Sana big up.

  • @alvinmbugua9830
    @alvinmbugua9830 ปีที่แล้ว

    Nairobi kenya tuko rocked...nawapenda sana

  • @jonathankonee5053
    @jonathankonee5053 ปีที่แล้ว +1

    Love you guys neko from kenya ayo tv trust your content

  • @JenifaJohn-k5d
    @JenifaJohn-k5d ปีที่แล้ว

    Mmetisha nawasikiliza kutoka dubai.....pamojaa

  • @hamisihassankengejr4375
    @hamisihassankengejr4375 ปีที่แล้ว

    Hiyo sio kweli ya kuoigwa faini mtu kisa uraia kwa kupita red light bila polisi kukukamata sio umetuchapa

  • @MAKABIISHARA
    @MAKABIISHARA ปีที่แล้ว +2

    Nita mpeleka Frida Dubaï atulie

  • @NgimeGroup-xi2gw
    @NgimeGroup-xi2gw ปีที่แล้ว +1

    Nawapend sana

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 ปีที่แล้ว +1

    Ndo huku 🇺🇸 kulivyo mimi kwanza huwa naona sitaweza kuendesha Tanzania mana ni vurugu tu, hamna utaratibu barabarani alafu taa njiani kama hakuna mana huku tumezoea taa nyingi pia nidhamu inatawala sana ukiendesha njiani ndo ninachopenda huku 🇺🇸

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 ปีที่แล้ว

      Mshamba kweli atabaki kua mshamba,na hivyo ndivyo yaelekea ulivyo,waongea hivyo huenda hata driving licence huna,unatumia learner permit,sheria za barabarani wajifanya wazijua na hali ya kua huenda 5 hours class hujapitia,wala defensive drive course hujasoma.Eti mataa au mataa wewe umeanza kuyaona USA?still una slave mind.

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 7 หลายเดือนก่อน

      ​@kdloon2030 it looks like you're very stupid mind and you don't understand when someone trying to explain something. What vido said is very correct. There is no rules in the Road and you don't see a lot traffic light also there people they don't rules on street everyone want to go fast. you can't compare
      with usa and Dubai. The problem you don't travel to other country to see how the Roads looks Highway and tollway. Anyway I don't Blame you mana tangu umezaliwa hujawahi toka nje ya Tz utayajuria wapi?

  • @salamahchirume5552
    @salamahchirume5552 ปีที่แล้ว +3

    vido na milad munasema ukweli kwa Sheria huku zinafuata kikamilifu san

  • @musajuma5364
    @musajuma5364 ปีที่แล้ว

    This is more than kipind jmn
    Ila naomba muwemna rusha live jamn kipind chenu

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 ปีที่แล้ว

    Nimemuelewa Sana ...frida ....Yani!!!!!!

  • @ayrunyjtayruny279
    @ayrunyjtayruny279 ปีที่แล้ว

    olha Frida você me faz rir com seus comentários 😄

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 ปีที่แล้ว

    Eti Namuona Live😂😂👏.

  • @maryamhilal9820
    @maryamhilal9820 ปีที่แล้ว

    Huku Iraq kama bongo polisi kama wote

  • @manoramatv858
    @manoramatv858 ปีที่แล้ว

    Millad huyu jamaa ungemuita vidox ingependeza sana, nisome Rama au baba lujaina from manzese dsm.

  • @zainabibrahim9734
    @zainabibrahim9734 ปีที่แล้ว

    Frida usijali Ni muda tuu,, wengine tupo huku, mungu Ni mwema

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 ปีที่แล้ว

    Hata Saudia ndio hivo hivo

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 ปีที่แล้ว

    Hayo makucha uliyofuga dada wala siyo sawa sasa ukitaka kusafisha kule mgodini inakuwaje au ndio mwendo wa kutumia toilet paper.

  • @ElenaJackison
    @ElenaJackison ปีที่แล้ว

    Frida nashida na no yako mamy tafadhar

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp ปีที่แล้ว

    Frida ukitaka kwenda toilet unavua kwanza kucha au inakuwaje, unajisafishaje? Wape darasa warembo watumie njia gani kujisafisha baada ya kutoilet kama wana mikucha kama hiyo

  • @hassansaid3833
    @hassansaid3833 ปีที่แล้ว

    Mmmh hakuna lolote la zaidi ya usalama tu na pia maduka ya pombe ni mengi mno

    • @babamarry6350
      @babamarry6350 ปีที่แล้ว

      Sisi tupo huku tunalewa kila siku mapombe yapo mitaani kama yote

    • @PendoNyiti-n1h
      @PendoNyiti-n1h ปีที่แล้ว

      ​@@babamarry6350😂😂😂

    • @PendoNyiti-n1h
      @PendoNyiti-n1h ปีที่แล้ว

      ​@@babamarry6350😂🎉