MY DAUGHTER | ep 3 |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv หลายเดือนก่อน +137

    Huyu Daughter ni Wa Moto, Kama Unamkubali Angel Gonga like hapa tuwape nguvu team Clam Vevo🎉🎉🎉❤❤❤

  • @user-Zadig
    @user-Zadig หลายเดือนก่อน +134

    Sisi wa Congo tuko ewani kumsubiria vevo ,wa kwanza apa lubumbashi DRC, naomba like kwa watu wa bongo ,❤kituiki

    • @deborahmidiburo3541
      @deborahmidiburo3541 หลายเดือนก่อน +2

      ❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @vianneymuhindo315
      @vianneymuhindo315 หลายเดือนก่อน +1

      🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
      @DekelvaSoujaboy-mb8ps หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa mwanetu uko Lubumbashi sehemu Gani Mimi Niko ruashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @JerlasMuhindo-o9q
      @JerlasMuhindo-o9q หลายเดือนก่อน +1

      🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪

    • @OnesmusMutembei-g8u
      @OnesmusMutembei-g8u 29 วันที่ผ่านมา

      Hi​@@deborahmidiburo3541

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p หลายเดือนก่อน +44

    Nimewai leo 200 asante mungu amjambo wapenzi tumpeni mauwa yake iclamu vevo wetu ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @abdulmutwi
    @abdulmutwi หลายเดือนก่อน +59

    Hi 🏆👑calm amenifungia sjui kwenye comment zke sipat like mm kbisa 😂😂🇹🇿🇨🇩🇰🇪😮

  • @RayvannyAli
    @RayvannyAli หลายเดือนก่อน +24

    Wa kwanza jmn naombeni like na mm ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉you too @Rayvanny 🐯🇲🇼🇿🇦🇹🇿🇲🇿💪💪

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 หลายเดือนก่อน +23

    Stepmother wako na kazi mzito sana, kazi safi Merisa 👍👍

  • @amanchuphichuphi4725
    @amanchuphichuphi4725 หลายเดือนก่อน +33

    Kazi nzuri Sana broo much luv from Kenya

  • @JaykhanMechack
    @JaykhanMechack หลายเดือนก่อน +26

    Kumbe watu hamkai kinyonge dak7 Big up kwa vevo❤❤❤

  • @BonithNimpagaritse-s4d
    @BonithNimpagaritse-s4d หลายเดือนก่อน +36

    Hahhaaaa acha kuchekacheka hovyo kaza, sio tabia nzuri😂😂😂😂😂😂

  • @ZebuuFilm
    @ZebuuFilm หลายเดือนก่อน +245

    Nakubali kàzi zako zote zipo sawa na kwa ubora wake kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉🎉

    • @IzackEdward-m2x
      @IzackEdward-m2x หลายเดือนก่อน +4

      🎉🎉

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 หลายเดือนก่อน +1

      Kp wa mchongo😂

    • @AliyMohd-l3u
      @AliyMohd-l3u หลายเดือนก่อน +2

      Kp huna maajabu. Peke ako ndo unauweka

    • @DelvinChepkorir-t1d
      @DelvinChepkorir-t1d หลายเดือนก่อน +2

      Nawe uko sawa kwa kazi zako🎉🎉

    • @KhadijaJohn-u1x
      @KhadijaJohn-u1x หลายเดือนก่อน +2

      Plan b vp bando linaisha Kila mda nachungulia🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga หลายเดือนก่อน +17

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo❤

  • @noeliddi82
    @noeliddi82 หลายเดือนก่อน +19

    Daaaah ivi ni kweli imeishaaaa aaaaah ongeza dakika ukoooooo🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂

  • @halifamkindi2102
    @halifamkindi2102 หลายเดือนก่อน +20

    Wa kwanza jmn naombeni like na mm❤❤❤❤

  • @AlphasweetbertAbayo
    @AlphasweetbertAbayo หลายเดือนก่อน +31

    Mwamba anajua sana kuandaaa maudhui yanayo izinguka jamiiiii🎉🎉🎉

  • @bhponlinetv5000
    @bhponlinetv5000 หลายเดือนก่อน +13

    We jamaa unajua kichizi Yan ni we jamaa ni 🔥🔥 unatisha sana ila tyu hii episode umechelewesha kidg naomba ujitahidi uwe unawahi kutupia kazi kwa wakati. Yote kwa yote kazi zako ni nzuri mno

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD หลายเดือนก่อน +10

    Wow nani mwingine kafurahi kumuona kaka butua sombi amenawihi leo sio mlevi anapendeza ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @HUpendo
    @HUpendo หลายเดือนก่อน +48

    Kwakweli kuishi na mtt si wakoo alafuu akiwa jeulii yataka moyooooo yani moyooo

    • @SamweliJacob-bm2ij
      @SamweliJacob-bm2ij หลายเดือนก่อน

      nyie acheni roombaya zenu

    • @ShamsiMbago-n2q
      @ShamsiMbago-n2q หลายเดือนก่อน

      @@SamweliJacob-bm2ij s roo mbaya watt ndo hawashikiki sikuiz

  • @SummaiyaKassim-zv5nt
    @SummaiyaKassim-zv5nt หลายเดือนก่อน +96

    Hakuna siku mama wa kambo ataonekana mzuri😢 utajitolea kumpemda mtoto kama wako umrekebishe lakini bdo utaonekana unamuonea

    • @NeemaJames-r7l
      @NeemaJames-r7l หลายเดือนก่อน +1

      Kabsa hata ubinuke hawana shukran 😏😏

    • @eshaghambore6537
      @eshaghambore6537 หลายเดือนก่อน +2

      Hapo nayo dada siamini binafsi nmelelewa na mama wa kambo nampenda lkn yy vnye hutuongelea c vzuri

    • @ShamsiMbago-n2q
      @ShamsiMbago-n2q หลายเดือนก่อน

      Kwan nn tena?​@@eshaghambore6537

    • @AishaRashid-z8k
      @AishaRashid-z8k หลายเดือนก่อน

      ​@@eshaghambore6537ni kwel wengine hawana shida

    • @DaudiRajab-e5g
      @DaudiRajab-e5g หลายเดือนก่อน +1

      VEVO katufundisha kitu hapa

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 หลายเดือนก่อน +252

    Waliotegea my daughter part 3 tujuane jmn 😂team strong hoyeeeeeeeeee 😂😂 Niko apa km zubala ya warabu 🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪♥️

    • @HUpendo
      @HUpendo หลายเดือนก่อน +9

      Pamojaa shaghaalaa

    • @Iconkee
      @Iconkee หลายเดือนก่อน +3

      Nitafute tuangalie pamoja ...pin location

    • @OmarNzohabonayo
      @OmarNzohabonayo หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe tuko wengi 😂😂🇴🇲🇴🇲

    • @judithpendo9985
      @judithpendo9985 หลายเดือนก่อน +3

      @@OmarNzohabonayo bana weee 😂😂 ata nikiwa hamam lazma n watch

    • @OmarNzohabonayo
      @OmarNzohabonayo หลายเดือนก่อน +1

      @@judithpendo9985 😂😂😂💪

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo หลายเดือนก่อน +18

    Haya Sasa team strong tujuwane🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇧🇮

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 หลายเดือนก่อน +14

    Hili ni funzo kwetu sisi wanawake ❤cjui enjoy ataka kumfanyje mamke wa kmbo😢basi msaidie bbko arudishwe kazini😅

  • @KawtharKawthar1998
    @KawtharKawthar1998 หลายเดือนก่อน +10

    BUTUWA KApendeza sanaa🎉🎉🎉 kazi nzur

  • @BrigitteMelly
    @BrigitteMelly หลายเดือนก่อน +9

    Uyo mtoto anatisha sanaaaah aliye pigwa anauguliya maumivu 😂😂😂😂😂 watu wa DRCongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tujuwa kwenye like

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano หลายเดือนก่อน +19

    Mungu atubariki sote tunao fatilia series yetu nzuri,na kwa sisi Aslam tuna Sema inshallah ❤❤❤

  • @TigerGabrielsaint
    @TigerGabrielsaint หลายเดือนก่อน +13

    Kunawatu wana wayi kama mapepo 😂❤😂😂nime kuwa wa 3 Leo Kwa second 45 niatari

  • @FahimuFarao
    @FahimuFarao หลายเดือนก่อน +8

    Mama wa kambo Hana thamani😢😢 daah mi Bora niachike tuu niende kwetu akiona nipo sahihi atanirudisha

  • @AminaUjumbe
    @AminaUjumbe หลายเดือนก่อน +5

    Mama wakambo ata ampende vp mtoto wa mume bado ataonekana mbaya tu, hii ni kwajili ya watu kukariri maisha fulani 🎉🎉🎉🎉

  • @BlessOfficial-i7h
    @BlessOfficial-i7h หลายเดือนก่อน +37

    Naona taratibu dakk zinapungua tajiri yetu wakat ulikua unakimbiza sna kwnye dakk to mtazamo wangu Bora ukae wiki mbili ila ikija unadakk 30 kama snakebiy

  • @SARAJIDIKU
    @SARAJIDIKU หลายเดือนก่อน +8

    Mm enjo kapendezea sana kwenye hii movie km mm yake kweli ❤❤❤❤

  • @Gloriarespiki
    @Gloriarespiki หลายเดือนก่อน +177

    Ww unaesoma comment hii mungu akupe kla hitaji la moyo wako❤

  • @MarathonMuziki
    @MarathonMuziki หลายเดือนก่อน +14

    Najikuta nikitamani Nyashi ya Sara 😅😅😅 duuh VEVO unafaidi sana mkuu😅😅

  • @SHALKIM-zk1df
    @SHALKIM-zk1df หลายเดือนก่อน +7

    🎉haya jaman tunae mkubar mtoto wa boss nae niboss tumpe maua yake hapa tujuane❤

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz หลายเดือนก่อน +3

    Neema ukiwa nayo huiyon ikiondoka ndio waikumbuka🎉🎉🎉🎉 safi sana clam Vevo 🎉🎉🎉🎉

  • @Mariamsalim-u7t
    @Mariamsalim-u7t หลายเดือนก่อน +8

    Nilikataa mapema kutokana na mtoto nilie mkuta alikuwa kiboko ili kuepusha matatizo nikataa ndoa ivi ivi 🙌Kuna watoto watukutu jaman unaweza pata kesi ivi ivi

    • @DavidTiwe-lr5gs
      @DavidTiwe-lr5gs หลายเดือนก่อน

      Nakupenda siwezi kuishi bila wewe

    • @visitDar2011
      @visitDar2011 หลายเดือนก่อน +1

      sasa hivi huko wapi kwenye ndoa au ndo tukuache ?

    • @Mariamsalim-u7t
      @Mariamsalim-u7t หลายเดือนก่อน

      @@DavidTiwe-lr5gs 😂😂😂

    • @Mariamsalim-u7t
      @Mariamsalim-u7t หลายเดือนก่อน +1

      @@visitDar2011 np nyumban 😆😆😆

  • @SaijaHare
    @SaijaHare หลายเดือนก่อน +24

    Mungu amlinde Sana angel na amuepushe na mizimu hii iwe Tu. KAZI jamani mm naeza ogopa ata kumsongelea😂😂

    • @aniphualmas8695
      @aniphualmas8695 14 วันที่ผ่านมา +1

      Unaombea had maigizo😂

    • @SaijaHare
      @SaijaHare 14 วันที่ผ่านมา

      @aniphualmas8695 wengine huandamwa kweli na mizimu mfano WA Yule mama aliye igiza saladi tafuta story yake ndo utaanini ninacho ombea kwa huyu mtoto

  • @HusnaChelicheli
    @HusnaChelicheli หลายเดือนก่อน +4

    Watu wanajua jamani dah 🎉🎉🎉🎉 hongera zen team CLAM VEVO

  • @JaneThuo-w2r
    @JaneThuo-w2r หลายเดือนก่อน +16

    Kazi nzuri vevo ❤❤❤🎉 3:41 3:42 3:43 3:43

  • @WitnessMbotwa-d2m
    @WitnessMbotwa-d2m หลายเดือนก่อน +13

    Kicheko cha Angel kinamkwaza kipala Wana man😂😂😂😂

    • @EshaChama
      @EshaChama หลายเดือนก่อน +1

      Sio kipara ata mm😂😂

    • @WitnessMbotwa-d2m
      @WitnessMbotwa-d2m หลายเดือนก่อน

      @@EshaChama kanakela sana kale katoto😂😂😂🌚

    • @leonardmazoya
      @leonardmazoya หลายเดือนก่อน

      hongera vevo,naenda nyumbani

  • @LydiaErnest-t7m
    @LydiaErnest-t7m หลายเดือนก่อน +18

    Vevo jitahidi kuongeza dk kidogo vipande vifupi sana 😮

  • @Faru808
    @Faru808 หลายเดือนก่อน +15

    Now kiwango kinashuka , mbna like hupat nyingi, kwa mda mfupi kama muv ya snake boy na best friend pamoja na big boss

    • @alitante4279
      @alitante4279 หลายเดือนก่อน

      Saiv chado ndo anatikisa

    • @EginithaMazengo
      @EginithaMazengo หลายเดือนก่อน

      Kabisaaa ​@@alitante4279

    • @hajindeka1511
      @hajindeka1511 หลายเดือนก่อน +1

      SIO KILA KITU KITAKUWA KAMA MNAVYOTAKA

  • @ShafyRadjabu
    @ShafyRadjabu หลายเดือนก่อน +3

    Courage vraiment, kazi nzuri clam vevo. Tunakufata kutokeya GOMA, DRC

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 หลายเดือนก่อน +13

    Clam punguza huu upuuzi wa matangazo ya dawa za kienyezi.

  • @pascalchipuza3836
    @pascalchipuza3836 หลายเดือนก่อน +8

    Nilichokugundua malezi ya watoto ni muhimu sana katika familia zetu😢

  • @leconse
    @leconse หลายเดือนก่อน +7

    Kazi kubwa sana toka kwa Clam Vevo, nawapenda sana toka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 หลายเดือนก่อน +11

    My daughter inazidi kua yamoto sana umetisha sana clam vevo 🔥🔥🔥🙌

  • @tabithamutisya6664
    @tabithamutisya6664 หลายเดือนก่อน +2

    Butua mambo !......i love you my best actor....kama unamkubali Butua ngonga like tukisonga

  • @Hulkamani1960
    @Hulkamani1960 หลายเดือนก่อน +23

    Leo nipo wa kwanza naomba mnipe like japo kumi tu imetosha.

    • @Hulkamani1960
      @Hulkamani1960 หลายเดือนก่อน +1

      🇨🇩🇨🇩🇨🇩👆🏽🙏

  • @LauditMavugo-f2t
    @LauditMavugo-f2t หลายเดือนก่อน +9

    Ep3 Haina story itakayo sababisha mtuu Imvutie saana kuangalia ep4😢😢😢😢

  • @Shukurubigirimana-g5s
    @Shukurubigirimana-g5s หลายเดือนก่อน +11

    Mtoto wa Boss yeye si boss

  • @JaphetRichard-x7h
    @JaphetRichard-x7h หลายเดือนก่อน +2

    Ivyo ivyo kaka clam vevo nakubali sana❤❤❤❤❤

  • @NjunaboyFire
    @NjunaboyFire หลายเดือนก่อน +10

    Mimi wakwanza kutazama hii naomba lake yangu njuna boy froom Congo 🇨🇩 sub

  • @ThomasWilliam-k5h
    @ThomasWilliam-k5h หลายเดือนก่อน +2

    Clam kazi zako nzuli ndugu hongera sana ukikaza kishundu utafika mbali sana 🙏🙏🙏🙏

  • @JosephomariMaishaniyamungu
    @JosephomariMaishaniyamungu หลายเดือนก่อน +5

    Clem Vevo brow nakukubali sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Mubakhan-o8x
    @Mubakhan-o8x หลายเดือนก่อน +14

    Big up sana VEVO nilikua naisubili kwaham sanaa hii kazi by mubakhan kiuka

  • @MistamaliliboyJidisoncomédie
    @MistamaliliboyJidisoncomédie หลายเดือนก่อน +8

    Tuna ngonja episode 4 mimi nipo Congo 🇨🇩🇨🇩

  • @obedimwakagali7755
    @obedimwakagali7755 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu bibi sijui alimjambia kipara mbona kapiga chafya🤣🤣gudenaaa

  • @FortiMtolela-xl2nb
    @FortiMtolela-xl2nb หลายเดือนก่อน +12

    Tunao angalia hii episode tukiwa na furaha tujuane HAPA

  • @Mark-k2m3s
    @Mark-k2m3s หลายเดือนก่อน +3

    Vevo unazingua kinoma,tunasubiri mdaa tu alafu wewe unaangusha dakika 13,so freshii

  • @RamadhaniRajabu-ty5ui
    @RamadhaniRajabu-ty5ui หลายเดือนก่อน +22

    Mungu awabariki wote na awafungulie milango ya riziki wote mnao ikubali movie hii gonga like hapa

  • @ValentimSantos-cv7oj
    @ValentimSantos-cv7oj หลายเดือนก่อน +7

    Mim wa kwanza kutoka msombiji 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 naomba like zangu

    • @KIB-JSANLEY
      @KIB-JSANLEY หลายเดือนก่อน +1

      Nimekupeya like na wewe nipe🎉

  • @Basheer-p7e
    @Basheer-p7e หลายเดือนก่อน +8

    Nakukubali clam vevo ❤❤💕💕🌹🥀😍

  • @MasauShida
    @MasauShida หลายเดือนก่อน +7

    Kazi nziri sana Clam vevo🇹🇿

  • @BarakaHammy-b4e
    @BarakaHammy-b4e หลายเดือนก่อน +8

    Unazngua vevo mwone chado masta ana Fanya vizur kifup then sielew tuh III mbovu

    • @brokaofficial
      @brokaofficial หลายเดือนก่อน

      Ya kwako nzuri Iko wapi

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂kibonge unachekesha jamani kazi nzr sana tim vevo wote 🎉🎉🎉

  • @MajaliwaJuma-c5g
    @MajaliwaJuma-c5g หลายเดือนก่อน +3

    Kunaendelea kunoga sana kazi nzur sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Nojabz
    @Nojabz หลายเดือนก่อน +1

    Clam huna akili kabisa, eti mtt asi gusweeeeee! From drc butembo

  • @HarunaDanielmbanzeofficial
    @HarunaDanielmbanzeofficial หลายเดือนก่อน +6

    Muwe mnatuwekea kipande kimoja moja mkisha maliza movie ndipo muyiunganishe yote sasa

  • @HalidMponda-n9e
    @HalidMponda-n9e หลายเดือนก่อน +18

    Aiseee Moja kati ya movie mbovu ulio wai kutengeneza hii ndo mbovuu mnoo clam kiukweli humu ongeza usiliazi na pia huyu mtoto ndo anahalibuu mnoo sehemu zake yni hovyo

    • @bestforever-q2w
      @bestforever-q2w หลายเดือนก่อน

      Hii movie ina mafunzo sanaa ww unataka iweje labda mwenzetu ucheze ww bas

    • @josephmolel-p3s
      @josephmolel-p3s หลายเดือนก่อน

      Acha wivu

    • @sharonzena1973
      @sharonzena1973 หลายเดือนก่อน

      Ila binadamu wengine bana

    • @NeemaPaulo-iw3gi
      @NeemaPaulo-iw3gi หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣Itakuwa huyu shabiki wa simba

    • @tiffaommy846
      @tiffaommy846 หลายเดือนก่อน

      Jmn wana simba msi comment mkiwa na makasiliko ona sasa mwenzenu huyu ingiza wew sasa tuone 😂😂😂😂

  • @SalmaRajab-m9g
    @SalmaRajab-m9g หลายเดือนก่อน +3

    Naipenda iyo sauti inayoimba OO Oooooo Ooo ooooooooo❤❤❤❤❤❤ clam unajua

  • @Jacknho10
    @Jacknho10 หลายเดือนก่อน +12

    Oy clam jitahidi kuongeza dakik ndg San kama morning speach

  • @JuliasKabula-q4d
    @JuliasKabula-q4d หลายเดือนก่อน +20

    Wa kwanza mimi depuis Congo rdc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ChafimMajaza
    @ChafimMajaza หลายเดือนก่อน +5

    Mista big big kazi unao 😂😂😂😂

  • @benedictionbekakambula
    @benedictionbekakambula หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri clam acha kwanja nikupongeze brother

  • @matunzojr4862
    @matunzojr4862 หลายเดือนก่อน +7

    Watching from Eastern Cape Republic of SA🇿🇦

  • @RAJUBAIBAHUBARI
    @RAJUBAIBAHUBARI หลายเดือนก่อน +10

    Unyama 2 wanangu kwa vevo au sio

  • @freddywizzyTz255
    @freddywizzyTz255 หลายเดือนก่อน +5

    Angel acha kucheka cheka ovyo kazaaaaa😂😂😂 like kwake

  • @JohnJohn-z4j
    @JohnJohn-z4j หลายเดือนก่อน +2

    Bibi mugomba bongo yote kweny sehem ya uchawi unaogoza kbs🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NamuinjidyaNhamueziBoytuga
    @NamuinjidyaNhamueziBoytuga หลายเดือนก่อน +3

    Leo wakwaza mimi jamani naombeni like zangu from Mozambique 🇲🇿🇲🇿

  • @GilbertBranic
    @GilbertBranic หลายเดือนก่อน

    Nakukubali kweli kaka Clam Vevo😊😊❤❤🎉
    Jamani like basi namimi

  • @riosingingandmore8224
    @riosingingandmore8224 หลายเดือนก่อน +9

    Hapo kwenye maji ya moto ili ilibidi ufikilie kwanza vizuri haiwezekani mtoto amwagiwe maji ya moto alafu akae kimya bila kulia au kugalagala chini 😅😅😅😅😅😅 au kuonyesha Athali za moto 😅😅😅😅😅

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 หลายเดือนก่อน

      Kwaiy ulitaka amwagiwe kweli co😂

    • @MadingaMadinga-140
      @MadingaMadinga-140 หลายเดือนก่อน

      🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

    • @TausRaj
      @TausRaj หลายเดือนก่อน

      ​@mohammedkidody5618😂😂😂😂😂😂

    • @riosingingandmore8224
      @riosingingandmore8224 หลายเดือนก่อน

      @@mohammedkidody5618tunataka hualisia wa kitu 🤣🤣 sio kweli 🤦 SI maedit yamejaa tele jamanii 🙌🤣

  • @hillarywekesa7936
    @hillarywekesa7936 หลายเดือนก่อน +2

    Though Nimechelewa ila nimetua kwa hii pia 🎉🎉🎉noma sana kaka🫡🫡

  • @stellamwakyusa7929
    @stellamwakyusa7929 หลายเดือนก่อน +5

    Ona sasa ushaambiwa kaza na mwanao unachekacheka kama punga

  • @the.black.smart_255
    @the.black.smart_255 หลายเดือนก่อน +2

    Namkubali sana huyu jamaa.
    From 🇲🇿 Mozambique 🫂

  • @Barackjumah
    @Barackjumah หลายเดือนก่อน +6

    Congratulations clam kw kumchukua kulangaso😊

    • @qaseemayoub6758
      @qaseemayoub6758 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo ni butua nasio kilangaso

  • @aganzeroger
    @aganzeroger หลายเดือนก่อน

    iyi ume ongea ni kweli mwanadamu akiwa na neema awonake umuhimu safi kabisa🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @imaxshine2210
    @imaxshine2210 หลายเดือนก่อน +4

    Ila A ngle unamwambiaje mzee wako akaze aisee😅😅😅

  • @KashideneKizakashindi
    @KashideneKizakashindi หลายเดือนก่อน +1

    Endeleya brother,jipe moyo, Mungu atakufanikisha

  • @KabemboThaddee-f6c
    @KabemboThaddee-f6c หลายเดือนก่อน +13

    Wakwanza Léo kutoka Congo DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @MguphNikodemu
    @MguphNikodemu หลายเดือนก่อน +2

    Nakubari san kazi zako mwamba ila nilikua naoni moja tuuuu epsod usiwe unachelewesha laha ya supu iliwe bado ya moto

  • @TonyCristy-j6e
    @TonyCristy-j6e หลายเดือนก่อน +3

    Jamani wakwanza kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🙏✍️🖥️ nipeni like 👍.

  • @benedictionbekakambula
    @benedictionbekakambula หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri clam acha kwanja nikupongeze brother❤

  • @youngtiger_official
    @youngtiger_official หลายเดือนก่อน +13

    Move dakika mbili imetoka ina dk 15 lakn comment 128 sjui watu wanacomment nn na move haijaisha 😂😂

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y หลายเดือนก่อน +2

    Jamni samahanin uy mtoto suda yanga au cye na iv kinavocheka kam kikuku 😂😂😂😂

  • @BaziramwaboEugenetj-zm8rb
    @BaziramwaboEugenetj-zm8rb หลายเดือนก่อน +3

    Ni hatari kabisa inafurahisha sana

  • @MerineAnyango-q3b
    @MerineAnyango-q3b หลายเดือนก่อน +1

    i just love this. there is alot of teachings in it.

  • @GloriaMtana
    @GloriaMtana หลายเดือนก่อน +3

    Mmmmmmh ila wewe clam unajua sana dah❤❤🎉🎉🎉

  • @AlbertoAlberto-u6f
    @AlbertoAlberto-u6f หลายเดือนก่อน +2

    Shida yako Mr Clam uwa unachelewa Sana! Mpaka Kuna kipindi tuna hanza kukusahau

  • @SnapBoy254
    @SnapBoy254 หลายเดือนก่อน +10

    Wale wanaotamani kua nauezo mkubwa kama VEVO. Ebu eka like tujiesabu😱tuache ubinafsi uyu jamaa nimkali

  • @bindra8622
    @bindra8622 หลายเดือนก่อน +2

    We Kenyans , tumefurahishwa na kazi safi ya clam vevo na team yake

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp หลายเดือนก่อน +3

    Big up kwa Clam vevo 🎉na Team Yake ..
    Attention sana tuendelee kutoa Support 🎉❤❤