Ya rabbi nakuomba mja wako waondoshee adhabu za kaburi masheikh wetu na ndugu zetu waislamu waliotangulia mbele ya haki, naomba uwaondoshee ya rabbi kwa sababu nikiomba uwapunguzie adhabu hatuna uwezo wa kustahmili adhabu zako hata theluthi ya rabbi hivyo tunakuomba utuondoshee kabisa na utujaalie mwisho mwema sisi wengine, amiin.
ALLAH amjalie jannatul fridausi sheikh wetu , leo hii ayupo Dunia lkn Allhamdhullillaih bado tunamkubuka na tunafaidika na mawaidha yake na nasah , ALLAH Akbar ALLAH Akbar

MashaAllah Allah akuhifadh ktk pepo yake ulamaa wetu sheikh nassor [r,a]
Inshallah mada mzuri Sanaa Allah shahidi kwakila ulicho tutendea sheikh nassor bachu pepo ndo mahari yako Allah atakulipa amin
Maashallah kila nikisikia mawaidha ya Shekhan nasor namuombea allah ampe jannat
mungu atupe umri ulikuwa mwema na tukae kwa wema na wazazi wetu wake zetu tukae nao kwa akili
Allah mjaalie pepo sheikh wetu pamoja na waumini wote inshaallah
M/muungu amrehem Sheghe wetu Nassoro Bachu.
Allah atujaliye mabakio yetu baa da ya mauti bc haya ndio iwe kumbu kumbu km hizi dah Allah mpe kheri inshallah shekh nassor
ALLAH amjalie jannatul fridausi sheikh wetu , leo hii ayupo Dunia lkn Allhamdhullillaih bado tunamkubuka na tunafaidika na mawaidha yake na nasah , ALLAH Akbar ALLAH Akbar
Allah atujaalie tukutane fir daus shekhe wangu kipenzi
Amiin kaka kwel kabisa hata mm huyu sheikh kipenz chang
@@albahry2280 g
@@ramadhanimkoma5349 naaam sheikh ramdhan
hakika kila KIUMBE kitaonja umauti na amali yako ndio itakayokusaidia mashallah
Allah amlipe firdaus
Mashallah mawaidha mazuri sana.
Subhana llah Alla avinusuru vizazi vyetu
Allah akurehemu
Ma sha allah
Allah akurehemu sheikh wetu
Umetuachia mawaidha mazuri
Allah subhana wataala Akupe nuru in shaa Allah katika kaburi lako
Mashaa Allah mawaiza mazur alhamndulilah Allah amrehem shekh wetu
Allah akurehem shekh nassor bacho
Allahumma barik
ALLAH AMJALIE MAKAZIMEMA AKHERA
Kwani malipo yako kwa Allah bwana wa viumbe
ALLAH HUMA GHFRLAHUM WAALSKANA FIL JANNA
Allahu Akbar
Mashaallah
Masha Allah
Khamis haji haji
MASHAALLAH
😭😭😭😭😭😭
MashaAllah
Mashaallah