Alhahu Akbar yaani ninavyompenda huyu sheikh ni Mwenyezi Mungu pekee ndio anaejua Ila jamani mwenye mada isemayo maovu ya macho na ulimwengu wa maiti pamoja na ubaya wa kusengenya naomba atuwekee please Mawaidha yote hayo ni ya sheikh wetu SIMBA WA MIMBARI Nasor Bhachu rahimahu lhahu alayh
INNALLILLAH WAINA ILLAIH RAJIUN Allah amfanyie wepesi katika safar yetu hii.Bega kwa bega mpaka Firdaus
Allah amjaalie mahala mema kaburini yeye na wazazi wetu waliotangulia kwenye haki na sisi pamoja tuliokua hai Amin yarabill Allamin
Jazakallah hailla Allah akupe pepo kwa uruma wake Subuhana yani tunafaidika wallah
,,usiwatii wazazi katika kumuasi ALLAH SUBHANA HUWATAALLAH,,
Allah amrehem shekhe Nassoro Bachu.
Eeemola mrehemu shekhe wetu
Amiin
Aamiyn yaa Rahim
Allah amstili sana bwana nasoro
Naomba kiswatul miiraj
Mzungumzaji asheikh nassor bachu
Masha,ALLAH
ALLAH amuhifadhi sheikh wetu kipenzi na umeweke penye wema peponi ❤
Allah akurehemu ya sheikh
Masha Allah. Mawaidha mazzuri
8:32 mungu akupe janna
Sio muislamu ila huyu mzee nampenda sana R. I. P
Na amefanya niipende imani ya Kiislamu
Karibu ktk uislam ndio dini pekee ya manabii wote.maana wenzetu Hadi Leo wanaabudu masana wakadai ni yesu kumbe acter brayan. 5:3 Qur'an,k
Masha Alha karibu ktk uislamu ndugu yangu, kuna mengi mazuri sana ambayo yatakufungua macho zaidi
Allah ampe pepo shekh wetu
Amiin amiin amiin
Maashaalah
Allah amlipe heli
Allah anikutanishe nae peponi
اللهم ارحمنا جميعا
ALLAH AMRAHAM sheikh nassor abdallah
Plz eka volume zote za shuruti kubulu swala
Masha Allah
Yaarabii mjarie kira la kher shekhe uyu kaburin na akheraaa
Subhaanallaah
Alhahu Akbar yaani ninavyompenda huyu sheikh ni Mwenyezi Mungu pekee ndio anaejua
Ila jamani mwenye mada isemayo maovu ya macho na ulimwengu wa maiti pamoja na ubaya wa kusengenya naomba atuwekee please
Mawaidha yote hayo ni ya sheikh wetu SIMBA WA MIMBARI Nasor Bhachu rahimahu lhahu alayh
Mashallha
Shehe allah akulipe malipo unayostahiki mm umenitoa ktk kiza kikubwa ww ulikua fundi ktk haki