This is what is being witnessed across the globe now. Economic melt down Signs of end times. Tujiandae kwenda nyumbani kwa uhaki na utakatifu kwa toba. Amen
This is what is being witnessed across the globe now. Economic melt down Signs of end times. Tujiandae kwenda nyumbani kwa uhaki na utakatifu kwa toba. Amen
Yeyote anaebarikiwa na yimbo hizi 2025 ?
2025 ,nazipenda sana
Mungu abariki hawa walioimba nyimbo hizi pamoja na familia zao yaani Huwa zinanifariji sana waliimba wakiongozwa na Roho Mtakatifu. Amina Amina
Nyimbo naipenda nawaimbaji bila unafiki God bleess our people all
Ukweli uovu unapozidi kila kitu huaribika
Kutoka Rwanda ,muda wa miezi mbiri tu ya kuaskia ,
Napenda Sana nyimbo zenu kalibu zote kbs!
Wazee Haooooo! Na nyi nyote mukue na nguvu kabs
Nyimbo nzuri kwekweli ,Hakika tunashuhudia changamoto 😢
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
AMEEEN. AMEEEN. Hali ya maisha is affecting us here in Kenya seriously,,, God in Heaven rescue us from this government
Mbalikiwe nyimbo nzuri.
Waimbaji wa Sasa wajofunze kwa hawa
Nimejipata nikidodoka machozi jamani
Powerful songs.Mungu awalinde
Wariongozwa na roho mtakatifu.
Exactly what is happening in Kenya
Please how many who are alive?
Ameeen. Ameeen. Congratulations.
God bless you.
True. Hakuna hasara katika Bwana Yesu. Nimwokozi
This is what is being witnessed across the globe now.
Economic melt down
Signs of end times.
Tujiandae kwenda nyumbani kwa uhaki na utakatifu kwa toba.
Amen
Kweri kabisa.
Twaomba Mwenyezi atusitiri
Amen 🙌🙌
Nyimbo zenye mafunzo sana. Mungu awabariki Muungano choir
Wimbo nzuri Sana! Be blessed!
God bless hii choir for their good and true prophetic words
AMEN. AMEN.
Ameeen. Ameeen. Powerful Sermon items. Congratulations.
May God blessed the choir family members I gain a lot and always you song amen
Jaman hawa watu wapo mkoa gan
Wapo Mwanza.
Amen 🙏
❤❤❤❤
Nyimbo hizi ziliimbwa mwaka gani? Mungu awabaliki sana
Tangu 1980 mpaka leo
Wow
👏👏👏👏
This is what is being witnessed across the globe now.
Economic melt down
Signs of end times.
Tujiandae kwenda nyumbani kwa uhaki na utakatifu kwa toba.
Amen
Bible based songs
They were not after monetary