Masha Allah, sheikh kishki hata wajaribu kumchafua sisi tuko tayari kumsafisha yeye, sheikh Kishki kanyooka, Allah amuhifadhi kutokana na maneno ya ya kifeduli ya kumchafua, sisi tuko na ww sheikh kishki na tunakupenda Kwa ajili ya Allah +254
Jamani tznia kumejaa Shkh matapeli tena ni majambazi hasa!hlf shk kishk baada kupinga feki wale matapeli wajitia eti wapo na Kishk!! Allah awafedheheshe Yarrab🤲Bakwata fatilieni wanawaibia watu tunawachukia wanaidhalilisha dini wanafiki njaa tupu!!
Wanajiita masheh ikisha wanasema maneno machafu ya nguo wazi mara matako machuchu mara mwanamke akiwa machuchu yamesimama na matako ss hayo yanahusiana na udhalilishaji kwahio asiekua na machuchu yaliosimama ndio siomke
Mimi nipo pamoja na masheikh wote ambao wanapingana na matapeli ambao kwa neno lingine tunawahita masheikh bandia waganga washirikina hao Allah atawahazibu hao.
Yule alikua mjinga tu mm nasema ktk mashehe wt kishki kwnz hatoi matusi na wala hazalilishi wanawake na hili shekh wetu kishki tunakuomba uwambie mashehe wasitoe maneno machafu kwa wanawake
Wako wapi wakumpa pongezi wakati masheikh wote wa Bakwata wanamsapoti sharifu Firdausi hadi masharifu wa Lamu wote, kina sheikh Alhatmy wako na sharifu Firdausi.
Jamn me nilivyomuona et anasmomea watu nilishangaa sana sikuamin sababu miaka 3 nyuma tulikuwa kwa group wote tukijifunza quruan sote na quruan yake ilikuwa ya kawaida tu et leo ajiita sharifu na kusimama kuwaombea kweli inasikitisha na tulioko kwa group la quruan mpk leo hawakuamin kwa hili kwa kweli
Sheikh kishki upo kwenye haki ucjali ...mjukuu wa mtume Al imam hussayn ibnu aliy alikwahi kusema ukweli haunaga rafiki na mara nyingi ukisimamia ukweli na haki utajikuta umesimama peke yako.
Hivi sisi waislam tumepatwa na nini hivi mtu kujiita shariff tatizo liko wapi? Kwani atakuwa shariff kweli au mtu kujiita kishiki ni kweli ni kishiki ilihali tunajua kishiki ni mwarabu na wa kweti mzaramo hakuna shida hivi mtu akitwa Mohamedi ni mtume au mtu Abdullah Khadija.mambo mengine tunakuza tu.mwacheni mtu ajiite tu. Kuna watu wanaitwa Rasul hii unaiinaje.kulikuwa hakuna haja ya mambo mengine. Hilo ni jina tu
Pole sanaa Shekhe Nurdin Kishki kwa matusi uliyo tukanwa na wale wasio muogopa Allah. Allah atakulinda Shekhe wetu endelea kusimama ktk haki.
Tunamshukuru sana shekh KISHKI kwa kuipambania dini yetu M/Mungu ampe umri mrefu na asichoke kutupambania na M/Mungu kwa hili atakulipa
Allah azidi kuwapa subra na faraja masheikh wetu wanapodhulumiwa, aamiin yaa Rabb Al a'alamiin
Allah atuongoze kwenye haqi ummat wa muhammad
Sheikh Abdillah mborio Allah akuhifadh kaka yetu naona Umeamua kujitoa katika da'awa
Nimependa tabasam lashekh kishki mashallah allah apee furaha ktk maisha yadunia nakherah pia allah amfariji kwakumpa pepo yafrrdaus
Sadaka hiyo
Amiina
Masha Allah, sheikh kishki hata wajaribu kumchafua sisi tuko tayari kumsafisha yeye, sheikh Kishki kanyooka, Allah amuhifadhi kutokana na maneno ya ya kifeduli ya kumchafua, sisi tuko na ww sheikh kishki na tunakupenda Kwa ajili ya Allah +254
Kishiki allah akupe kila yenye heri . Kishk pole sana kazi uliyofamya sio ndogo Allha atakulipa
Pole sana shkh WETU kes yooteumepitia kwa huu muda
Mashaaallah ❤❤❤❤😢😢mashaaallah 🎉🎉🎉🎉
Masha'Allah tabarack allah.
Ma sha Allah Tabaarakallah 😍 Allah Akuhifadhi
Shekh Allah akupe subira usirudi nyuma na msimamowako tukopamoja nawe shekh kishki
Al,hamdulillah,,,hakki na batwiri zimejitenga rasmi🙏
Jazakrllah khaillah shehe
Allah akubareek
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏
Hakika Mungu hamuachi mja wake, wale wote walomtetea yule fridaus watadhalilika 2 Mungu amlinde sana shekh wet kishk na kila baya
BISMILLAH mashaallah ❤
MashaAllah
Shaikh ambaye amesimama katika taqwa ni huyo tu Nurdini kisky Allah S. W amjalie umri mrefu azidi kutuletea faida InshaAllah❤❤❤
Saf sana sheikh kishki🎉
MashaaAllah
Sheikh Kishki angefanya mihadhara huku Vikindu wanakuja sana kuwatapeli mama zetu
Na hii njia suluhisho ya utapeli huu.
Maswali suguu utawajua na swali sunni utawajua mashehe mnaradiana mitandaoni inalilah
Maashaa Allah
Wao wanajifanya mashehe na ndio wanasababisha udhalilishaji kwa watt wao hawana mada nyngne zaid ya matusi shekh wetu kw hili tusaidie
Shekhe kishki usibweteke na hili ulilolifanya Bali ongeza bidii ukiona haki usisite Tena Tena kuitetea Allah akulipe Dunia na aakhera
Jamani tznia kumejaa Shkh matapeli tena ni majambazi hasa!hlf shk kishk baada kupinga feki wale matapeli wajitia eti wapo na Kishk!! Allah awafedheheshe Yarrab🤲Bakwata fatilieni wanawaibia watu tunawachukia wanaidhalilisha dini wanafiki njaa tupu!!
Sheikh Nurdin Kishki sisi tulio Europe tunakupenda na Allah Akuhifadhi dhidi ya waovu.
Maskini sheikh mwenyewe alikia hata hajui pongez ya nini anashangaa ALLAHU AKBAR
Wallahi kweli
Masharifu feki hata kwetu lindi wanakujaga, halafu pia ni warongo,,,sharifu anakua mrongo?Allah akuhifadhi sheykh kishk.
Cjui sana lkn kwa imani yangu naona sh.kishki ukiendelea kuwa na moyo huo bc pepo yako iko wazi
Hakika 😢😢 tumuombeee inshaallah 🙌
Amiin Amiin Amiin
Allah ameubainisha uwongo wa watu
Wanajiita masheh ikisha wanasema maneno machafu ya nguo wazi mara matako machuchu mara mwanamke akiwa machuchu yamesimama na matako ss hayo yanahusiana na udhalilishaji kwahio asiekua na machuchu yaliosimama ndio siomke
🎉🎉🎉🎉🎉❤
Sheikh Nurdin Kishki pole sana kwa matusi na jeuri unayofanyiwa na wajinga akiwemo Lida Rwambo. Mtume Muhammad alitukanwa hivyo usihuzunike.
Mimi nipo pamoja na masheikh wote ambao wanapingana na matapeli ambao kwa neno lingine tunawahita masheikh bandia waganga washirikina hao Allah atawahazibu hao.
Yule alikua mjinga tu mm nasema ktk mashehe wt kishki kwnz hatoi matusi na wala hazalilishi wanawake na hili shekh wetu kishki tunakuomba uwambie mashehe wasitoe maneno machafu kwa wanawake
SH KISHK NAKUKUBALI SANA
Kiukweli tupo pamoja na shekhe kishki
KUMBE SHEIKH UMESHAJUA RAI,BASI HAINA HAJA YA KUMKASHIFU SANA HUYU KIJANA.NI WAKUMWITA AU KUMWENDEA HUKO MKAMFAHAMISHA ILIVYO
Anae nisikitisha ni Sheikh Mazinge..tuna muheshim ila ..,😢
Wako wapi wakumpa pongezi wakati masheikh wote wa Bakwata wanamsapoti sharifu Firdausi hadi masharifu wa Lamu wote, kina sheikh Alhatmy wako na sharifu Firdausi.
Kwani wewe hujui kwamba mashekhe wa bakwata wanaunga mkono ushirkina
Shekh simama dua zetu ziko nyuma yako
Shekh kishk na huyu shehk ni wapi inaonekana ana madini mengindana
Maxinde mdandia dini kaficha sura kwenye kwapa au?anatafuta umaarufu kwa uongo?
Jamn me nilivyomuona et anasmomea watu nilishangaa sana sikuamin sababu miaka 3 nyuma tulikuwa kwa group wote tukijifunza quruan sote na quruan yake ilikuwa ya kawaida tu et leo ajiita sharifu na kusimama kuwaombea kweli inasikitisha na tulioko kwa group la quruan mpk leo hawakuamin kwa hili kwa kweli
Sheikh kishki upo kwenye haki ucjali ...mjukuu wa mtume Al imam hussayn ibnu aliy alikwahi kusema ukweli haunaga rafiki na mara nyingi ukisimamia ukweli na haki utajikuta umesimama peke yako.
Ss wale masheh waliomkubal ni wanafik wanajiskiaje ss hapo irdin na wenziwe
Hivi sisi waislam tumepatwa na nini hivi mtu kujiita shariff tatizo liko wapi? Kwani atakuwa shariff kweli au mtu kujiita kishiki ni kweli ni kishiki ilihali tunajua kishiki ni mwarabu na wa kweti mzaramo hakuna shida hivi mtu akitwa Mohamedi ni mtume au mtu Abdullah Khadija.mambo mengine tunakuza tu.mwacheni mtu ajiite tu. Kuna watu wanaitwa Rasul hii unaiinaje.kulikuwa hakuna haja ya mambo mengine. Hilo ni jina tu
Kwani nani kapinga mtu kujiita sharifu ???? Kinachopingwa ni Yale matendo maovu ya huyo anaejiita sharifu ,AU UNAJITOA FAHAMU
Huo sharifu feki mbon anawapelekesha ma sheikh?afutwe kabisa hajuwi lolote
Ma sha Allah Tabaarakallah 😍 Allah Akuhifadhi
Mashaallah
Mashaallah