Lady Jaydee - Shamba
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2013
- Angalia nyimbo zake, Shamba ya Lady Jeeydee, muingizaji mkuu akiwa ni Elizabeth Michael (a.k.a Lulu). Hizi nyimbo ni sehemu ya muziki wa Mseto Wahapahapa. "Zao la mwenzio ni kama lako. Si kusema cha mwanzio sio chako".
--------------
One of the Mseto Wahapahapa music videos produced by MFDI Tanzania and directed by Jordan Riber. Mseto Wahapahapa is a album and music video DVD featuring Tanzania's leading musicians such as Banana Zorro, Lady Jaydee, Mzee Yusuph, Flora Mbasha and many more. - เพลง
Who is watching with me 2020
☝🏿
Etii, siku hizi lulu kawa sawa na lady jay dee, ndo mjue watoto wakike ni km mchicha atiii duhhh
walio tazama huu wimbo baada ya Lulu kupost tujuane 🥰🥰
Tuko hapaa😂😂
😂😂😂😂✋🏼
Eti saaizi kawa mm G ,.Mungu ni mkubwa👏👏
Watching 2020, from Congo Kinshasa
Two wonderful angels endowed differently. One with a voice, the other with beauty!
Who is watching with me 2023
MAMA IS MAMA, SOUL AND LOVE OF MOTHER IS PURE😍
who is watching with me in 2019...
Lulu nimudogo ila anamambo yakikubwa
kama lulu amekufanya kuangalia hd mwsho like plz
20 years of legendary Jay dee much appreciate my sister
Aki nimelia! True love come from Mother, no one like her.
Hii inanikumbusha mama yangu sana. Nililia. Hii ni video mzuri!
Mahinda leo kawa Mrs Majizo 😍😍😍😍
Kalulu nakapendaga kabla hata sijabalehe. Jamani acha tu.
Da Joysi wewe ni msanini halisi Tz na ninamba 1 kw wanawake. No one like you hongera sn nyimbo nzur.
surely ones God bless no one cant ? ones born a star always a star it can shine on every darkness, mola awashinde wote walio na wanao didimiza bint huyu na nuru imuandame
Kwa walomis wahapahapa
Jaman zaman nyimbo sina mqfunzo
Nyimbo za wahapahapa
ZOBA
Shamba
Chqnganya
Jamani huyu vedeovix sondo mke wa majizo sa🤣😂💪🌍arikuwa mkari ata utotoni🌍🐘🦣🦣💪💪💪🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Masoud 🔥 since day one kipanya wetu
Enz hizo lulu alikuwa hajashindikana 2019
Kabla hajafunguliwa sio.
Ndy
🤣🤣🤣🤣
Hivi ambao hawajafunguliwa wanapatikanaga wapi. Nimechoka kutafuta mie.
😂😂😂😂😂😂
Kalulu kalikuwa kadogo, kumbukumbu hii LULU
Wimbo mzuri...una ujumbe mzuri saaana hasa kwa wale wa2 hupenda kutesa watoto bila kujua watakuja kua kina nani mbeleni
lulu mzur sana kajiaribu ila bonge la demu atakuoa unaoa ila ndio ivo amechomwa sana
Dada J umenikumbusha mbaliii. Zile nyimbo zako za zamaniii
2019 anyone😍
Kuelekea miaka 20 ya Jide
Asante Dada unajua sana njoo uimbe Gospel
Lulu looking good since
2019 tujuane
Uyu n mwanamzk nasiyo msanii
Wimbo mzuri una mafunzo. Tnx jdee
2019 pamojaaa
The young girl anamfanana Lulu Elizabeth
Ni lulu huyo
Ni yeye mwenyewe Elizabeth Michael "lulu"
WooW amazing
Movie kwa nyimbo mbili kutoka kwa Enika-Changanya na Lady Jay Dee-Shamba
Thanks for the massage in the song
still watchin this in 2022 October
Nasikia manjonjo ya dunga 😀😀😀😀
who is watching with me 2022 Aug 20th
lovely!
Forever this is my best song from u dada mkubwa
fantastic song
Lulu 🔥 since day one
Kalulu jamani kadoogooo 3-2-2019
Nampenda lulu
uuu wimbo unanilizaga eti kila nikiuona
nlikua siufahamu huu wimbo atii. Then I'm seeing lulu here jmanii
Ata mimi
Kanumba sijui aliwaza nin
Lulu nimdogo sanaaaa jamani m
Jaman Lulu enzi izo jaman kadogoo more love from 🇰🇪
Kalulu kalikuwa kadogooooo
Who's is watching this in August 2020
Masudi kipanya hidaya njaidi Elizabeth Michael na Jay dee ndio ninawajua kazi nzur kitambo sana
Wimbo una ujumbe mzuri sana.
Nakupe sana Jide tena sanaaaa
Hapo sawa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Km unamkubali dada wakishashi nipe like
Hbr sstr! Mungu amekupa kipaji cha uimbaji, nashauri uingie kwenye Gospel music ya kuabudu.
Alikua anaimba gospel mbna
Kwa kwel atabamba
Nan ako anamcheck mama g 2022
watching 2019
I love it
Fikiria angekuwa wako nyimbo nzuri
Safi sana hâta sasa
Best of the best for the best
upo juu my sister
Hili wimbo nifunzo kwa wazazi jamani
Safi
my best song
nimeipenda
Ujumbe safi huu
👍👍👍👍..... Kwa Jide
naupenda huu wimbo
Ujumbe toxha xanaaa
Way back
MZIKI WA ZAMANI UNAVITU VYABKUELEWEKA
Masoud kipanya!😀
Hapa nahisi lulu alikua hajafikiria kumsukuma kanumba
nikweli hongera xana red
Ujumbe ushafika.
HUU NDIO USANII
Am watching in 2022
mama diamond
Nice song
Daaaah ila dada yetu anajua sio siri
2 may 2021 na mahinda😋
2019
Qué buen video!!Alguien habla español ?
Hua napendaga haka ka musiki
😍😍😍
Nani anayetazama kipindi hiki cha rais Samia
Mimi
Nzuri
nice
Jdee unazeeka n saut y dhahabu
nyc
2019 🙄
👌👌👌
Dada unajua kuimba wewe
Yani kuna mtu kafanya nikaja kuutazama huu wimbo huku nalia
Hizi ndo zilikua nyimbo bhana. Wahapahapa kujenii tena 2019
Kwann unakuliza