@@AliMohamed-w3b Unataka kuniambia mababu zetu ambao waliishi miaka maelfu iliyopita hawakua na Mungu juu hawakua kwa hizi dini za saa hii? Hii fikira kwamba mungu wa hii dini ama ile ndio mungu pekee ililetwa na Waarabu na Wazungu. Ila naamini mungu ni wetu sote.
@afrihension tulikuwa kizani tukiabudu mizimu during those days, wazungu walikuwa ni mapagani na waarabu walikuwa kizani kuabudu masanamu ndiyo mungu akaamua kuleta mitume ili watuelimishe njia ya sawa ya kuifuata
@AliMohamed-w3b Hakuna kitu kama hiyo. Religion is man made. Ni njia ya binadamu kutaka kumfahamu mungu lakini haimanishi kwamba kuna dini inashinda ingine. Sisi wote ni wana wa mungu. Ndio sababu ametupea uhai sisi wote
Sasa wakeisto si wanasema Yesu ni Mungu na wanamuabudu zaidi ya Mungu, na waislamu wanamuabudu Mungu mmoja tuu muumbaji ambaye hajazaa Wala kuzaliwa Wala hana mshirika
@@fatmazullu4933 Hujanijibu dear swali ni je? wewe ukiulizwa mungu alyeumba wakristu na Waislamu ama muumba kila kiumbe jee ni tofauti? Kwanza jiulize wazungu na waarabu hawangekuja Africa nakufinyia hizo imani akilini mawetu am 100% sure hata hungekwa muislamu sugu hivyo😄😄😄😄 Kwa maarifa yangu binafsi Mungu ni mmoja tu,hizi mbwembwe ni za kutoelewa nafsi ya Mungu ndyo maana kuna imani tofautitofauti kuhusu mungu.
@@fatmazullu4933Hiyo yote tu ni kujitetea ndio Waislamu waonekane wazuri. Mungu ni mmoja. Unataka kusema mababu zetu wakiafrika kwa sababu hawakua Waislamu hawakua na Mungu?
Uspende kuingilia imani za watu,,,alishaambiwa ukweli aache mzaha toka siku alomtukana mungu hadharani,,,,kitendo cha kufikiria tu mungu ni jinsia gani hiyo ni kufuru,,,ameambiwa hata aachwe sio kazi yenu,,,tena we ndo fumba mdono wako,,,unatoka hadharani kumsifia mkeo kumbe unamng'ong'a unatiana na menina
Simpendi huyu Mwijaku ila kama ana busura zake kuhusu Dini,mpeni onyo kali mmakonde Mungu sio wa kutaka Kiki nae atalia siku utapata tatizo asijue Mungu yupi amuokoe
Jamani kwani kwenda kanisani Kuna shida Gani, mbona viongozi wanaalikwa na wanaenda lakini hausemi kwann hamo tu yule ni msanii kwenda hapo sioni tatizo, kama unawasema waseme mpaka viongozi basi
Kwani we ni Allah wake, kwa judgement za duniani fyuuh, ustar kweli mzigo, kuna litoto la sheikh niliviziaga eti hadi nisilimu, nilipokula mzigo, nikakula kona, aina maana ya kulazimisha watu, vitu vya kisenge, kwani izi dini zitufaidi nini? Imagine izi miskiti na makanisa yangekuwa viwanda 🤔🤔🤔vijana wavuta bangi kweli? Na kamari za buku buku
Na nani kwawa hambia muhamedi alitumwa na mungu nakini biblia inasema Jesus katumwa na mungu tumuo ngope mungu wa slam wa habudu mtu kama muhamedi na kama mukristo habudu pastor
Yan hamornazi shetani wa migu2..na siomuisilamu na ndiomana sasaiv karudya.kusema yye shabiki ake mungu na sio mjawake riemumba anamziaki aisee mtihan kwakweri dunia hii pesa izo za dunia zinawahadah
@monicasasi5496 unajuwa maana ya kafiri? Kafiri nimtu asiekuwa mwisilaam anaeabudu sanamu anaemzushia yesu kwamba ni mungu pia anaekula nguruwe namkinya hamnawi namaji mnatembea na mavi mkunduni sawa wewe kijuso nadhani umenielewa
Tuoneshe aliposilimu mohamadi na ni nani aliemsilimisha kwenye quran. Sasa km mtume wenu akuwai kusilimu kwa nini mtoto wa watu asilimu? Mnajifanyaga kama dini yenu ndo ya maana, upumbavu mtupu
Kwenda zako mhuni wewe unaejifunika ulichojifunza kabla hujawa mhuni .kwani Hamonise kaua? Katika makafiri wewe ndio kafiri mkubwa Acha kumtenga sababu ya kuingia kanisani kwani huko kunaabudiwa mashetani?
Huku kwetu haknaga zihaka kila kitu kimewekwa wazi ndomana waislam tuko straight forward harmonise ni Christian not muslim tena ni kafiri asitake kupotosha ummah wa kiislam
Jamani mungu n mmojatu alieumba mbingu na ardhi navyote vilivyomo tatizo landugu zetu wakristo wanaabudu nimungu mitatu ndani ya mmoja nahapo ndipo wanapokosea maana mungu hawezi kua mmoja ndani ya wazungu 3 baba mwena na roho sasa huyu mwana alizaa nanani? Kwani mungu anamuomba au anazaa au kunavingine kavizaa na vingine kavizaa??
Some time nampenda Mwijaku na mapmgezi yake yanakuwa mazuri kabisa maa sha Allah 😍👌🏼
Nuru inamkaribia ukijua kweli hiyo kweli itakuweka huru, tunaokili njia ya kweli hatunaga maneno mengi Mungu wetu anatenda
Well said kaka Jazakallah Khairan
Hapo wazi kabisa Bro ❤
Mungu ni mmoja dini Kama njia ya kufika kwake mfano ukienda kariakoo anaepitia jangwani na karume wote watafika kariakoo tu.
Mungu ni mmoja na njia ya kumfikia yeye ni moja ambayo ameiweka yeye. Huwezi kumfikia Mungu kwa njia asiyoiweka Mungu. Keep it in your mind
@@bassurintertainments1546So njia lazima ikue ya Kiislamu?
Kabisa mwijaku Allah akupe jannatul naim nasah nzuri mashallah
HAKIKA KAKA Allah Akuhifadhi n akuogoe
Allah akuongoze na ww uache kumuachia mkewo asiende uchi
kweli hapo umenena
Mzee wa Kazuramimba upo vizuri
Mm nadhani hatima ya mtu Iko Kwa Mungu na Mungu ni zaidi ya dini
We mwijaku fanya maisha yako hutakufa na harmonize
Mwijaku nakupenda upo vizur kusema ukweli kuusu dini...ata awe mtu wako au tajiri yako
Harmonize ni mnafik na sio muislamu, ameweka matatooo, ameita mungu mwanamke, na sasa anaabudu makanisani, hela zinammwehusha na kumkufurusha
Mungu ni mmoja. Nani alikuambia mungu ni wa Waislamu pekee. Waarabu walikudanganya hivyo? Hakuna dini itapeleka mtu binguni.
@afrihension kwa hivyo hata dini yako haitokupeleka mbinguni, basi ni bora utoke uwe paganism ubaki bila ya dini
@@AliMohamed-w3b Unataka kuniambia mababu zetu ambao waliishi miaka maelfu iliyopita hawakua na Mungu juu hawakua kwa hizi dini za saa hii? Hii fikira kwamba mungu wa hii dini ama ile ndio mungu pekee ililetwa na Waarabu na Wazungu. Ila naamini mungu ni wetu sote.
@afrihension tulikuwa kizani tukiabudu mizimu during those days, wazungu walikuwa ni mapagani na waarabu walikuwa kizani kuabudu masanamu ndiyo mungu akaamua kuleta mitume ili watuelimishe njia ya sawa ya kuifuata
@AliMohamed-w3b Hakuna kitu kama hiyo. Religion is man made. Ni njia ya binadamu kutaka kumfahamu mungu lakini haimanishi kwamba kuna dini inashinda ingine. Sisi wote ni wana wa mungu. Ndio sababu ametupea uhai sisi wote
Achen usenge nyny kila mtu yuko huru ju mungu n huyo mmoja tu cha zaid sana n iman yko tu
Kweli kabisa mwijaku❤
Kwani mungu alyeumba waislamu ni tofauti na mungu alyeumba wakristu?
Sasa wakeisto si wanasema Yesu ni Mungu na wanamuabudu zaidi ya Mungu, na waislamu wanamuabudu Mungu mmoja tuu muumbaji ambaye hajazaa Wala kuzaliwa Wala hana mshirika
@@fatmazullu4933 Hujanijibu dear swali ni je? wewe ukiulizwa mungu alyeumba wakristu na Waislamu ama muumba kila kiumbe jee ni tofauti?
Kwanza jiulize wazungu na waarabu hawangekuja Africa nakufinyia hizo imani akilini mawetu am 100% sure hata hungekwa muislamu sugu hivyo😄😄😄😄
Kwa maarifa yangu binafsi Mungu ni mmoja tu,hizi mbwembwe ni za kutoelewa nafsi ya Mungu ndyo maana kuna imani tofautitofauti kuhusu mungu.
MUNGU MUUMBAJI NI MMOJA TU ILA WATU WANA MIUNGU YAO WANAYIIABUDU KINYUME NA ALIYEUMBA WENGINE WAO WANAABUDU MPAKA NGO'OMBE
@@fatmazullu4933Hiyo yote tu ni kujitetea ndio Waislamu waonekane wazuri. Mungu ni mmoja. Unataka kusema mababu zetu wakiafrika kwa sababu hawakua Waislamu hawakua na Mungu?
Harmonize anaritadi mara ngapi kwa huu mwaka peke yake wakati Br Cassypool alisilimika na kuenda UMMRAH عُمْرَة
Alhamdulillah for being a Muslim🤲☪️🇰🇪
Kaka ameongea haki❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwenjaku Leo unasema kweli Allah akulipe kilalaheri
Mwijaku 🙌
Mmmmh aiseee
Uspende kuingilia imani za watu,,,alishaambiwa ukweli aache mzaha toka siku alomtukana mungu hadharani,,,,kitendo cha kufikiria tu mungu ni jinsia gani hiyo ni kufuru,,,ameambiwa hata aachwe sio kazi yenu,,,tena we ndo fumba mdono wako,,,unatoka hadharani kumsifia mkeo kumbe unamng'ong'a unatiana na menina
Simpendi huyu Mwijaku ila kama ana busura zake kuhusu Dini,mpeni onyo kali mmakonde Mungu sio wa kutaka Kiki nae atalia siku utapata tatizo asijue Mungu yupi amuokoe
Sahihi
Kwan Mungu si ni mmoja??...
Ustaa ni siri jamani
Huyu mtt kishazoea maana mwanzo alisema mungu mwanamke leo tunamuona kanisan anazalilisha uislam Sana
😂😂😂😂 mwijaku et apokee sm kutoka mburahati😮
Sasa subiri Pastor Kapola atakavyomsuluhisha Harmo na Kajala,, na Atawaozesha ndio Utaongea vizuri zaid 😂😂😂😂
Jamani kwani kwenda kanisani Kuna shida Gani, mbona viongozi wanaalikwa na wanaenda lakini hausemi kwann hamo tu yule ni msanii kwenda hapo sioni tatizo, kama unawasema waseme mpaka viongozi basi
ukisoma utajua tu
Amonaizi analana ya mungu uyu. Sijui ananini uyu laanatu llaha
Matako ww
@@BarakaHarrison-l4t kamimi matako wwe kibamia kwani uwezi komenti mpaka utukane we govi nni
@@BarakaHarrison-l4t tena iwemwanzo na mwisho ukinion nakome mmi pita mboro wwe
Ujuaji nwingi
Kwendeni uko, ni nyakati za mwisho tunaelekea malipo salama kwa mwenyezi MUNGU!!
Kwani we ni Allah wake, kwa judgement za duniani fyuuh, ustar kweli mzigo, kuna litoto la sheikh niliviziaga eti hadi nisilimu, nilipokula mzigo, nikakula kona, aina maana ya kulazimisha watu, vitu vya kisenge, kwani izi dini zitufaidi nini? Imagine izi miskiti na makanisa yangekuwa viwanda 🤔🤔🤔vijana wavuta bangi kweli? Na kamari za buku buku
Msameheni mwijaku kwani hajui alisemalo
Na nani kwawa hambia muhamedi alitumwa na mungu nakini biblia inasema Jesus katumwa na mungu tumuo ngope mungu wa slam wa habudu mtu kama muhamedi na kama mukristo habudu pastor
Tena huyo jamaa Hamo kakosea sana na anatakiwa atowe shahada upyaa
achen ubagizi nyie mungu ni mumoja huo uchochez huo
Eti kafriiii mwija ni k tu
Yan hamornazi shetani wa migu2..na siomuisilamu na ndiomana sasaiv karudya.kusema yye shabiki ake mungu na sio mjawake riemumba anamziaki aisee mtihan kwakweri dunia hii pesa izo za dunia zinawahadah
Ata Diamond anasoma bibilia wanajua kwa Mungu nipo salama!! Ukweli unauma
😂😂😂😂😂mwijaku
Izo iman zenu ni kuamini usicho kijua harmonize yupo sahihi
That guy he's lost
Ebu Acha ubaguzi wako wa kinafki wewe na kichwa chako kama tikiti maji,mungu ni mmoja tu
kila dini ina sheria na utaratibu wake, huo ndo utaratibu wa kiislamu.. hakuna kuficha ficha maneno
LINAPOKUJA SWALA MUNGU MWIJAKU NAKUWA VIZURI
Mbona niffer alikua akenda huko kanisani na kuomba wala hajasilimu tena mh....
Pia huyo sio Muslim tena
Wewe ni Aisha kafiri au Aisha Muslims tuanzie apo, maana kama ni Muslim usirudie tena kuuliza maswali ya kipumbavu
@@ramahkesh9360Mjomba jina sio Dini
Huyu Mwana music mnafiki kila kitu yy anachezea Dini sasa Baba yk anamfundisha nn huyu achee ushamba
Lazima atoe shahada upya sasahv yeye kafiri kama makafiri wengine tu
Kafil ni nyie mbwa wakubwa , nguruwe nyie mnawaitaje wenzenu kafili paka nyie
@monicasasi5496 unajuwa maana ya kafiri? Kafiri nimtu asiekuwa mwisilaam anaeabudu sanamu anaemzushia yesu kwamba ni mungu pia anaekula nguruwe namkinya hamnawi namaji mnatembea na mavi mkunduni sawa wewe kijuso nadhani umenielewa
😂😂😂😂@@monicasasi5496
Hapa mimi nawasubiri kina Kishki na wenzake jee watasemaje kuhusu hili?
Umechelewa mbona wamishaongea wamesema kama alivyosema Mwijaku
Harmonize hawezi kupigwa kofi na Mungu kwani aliyemkimbilia ndiye Mungu aliyejuu ya yote acheni kumtisha nyie washirikina
Ndo mumeanza kumpangia kumuuwa ah nyie nikama freemason
Harmonize hajawahi kuwa na akili
Unabwabwaja tu, chawa mkubwa
Acha ujuaji wewe
Tuoneshe aliposilimu mohamadi na ni nani aliemsilimisha kwenye quran. Sasa km mtume wenu akuwai kusilimu kwa nini mtoto wa watu asilimu? Mnajifanyaga kama dini yenu ndo ya maana, upumbavu mtupu
Kwenda zako mhuni wewe unaejifunika ulichojifunza kabla hujawa mhuni .kwani Hamonise kaua? Katika makafiri wewe ndio kafiri mkubwa Acha kumtenga sababu ya kuingia kanisani kwani huko kunaabudiwa mashetani?
Huku kwetu haknaga zihaka kila kitu kimewekwa wazi ndomana waislam tuko straight forward harmonise ni Christian not muslim tena ni kafiri asitake kupotosha ummah wa kiislam
@@KA-yz2ld you must be fool mugu
Well spoken
Ndio huko kwenu mnaabudu masanamu hakuna mungu sanamu ndio maana nyinyi mna dini yenu nasisi tuna dini yetu nyinyi ni manaswara sisi ni waislaam
Jamani mungu n mmojatu alieumba mbingu na ardhi navyote vilivyomo tatizo landugu zetu wakristo wanaabudu nimungu mitatu ndani ya mmoja nahapo ndipo wanapokosea maana mungu hawezi kua mmoja ndani ya wazungu 3 baba mwena na roho sasa huyu mwana alizaa nanani? Kwani mungu anamuomba au anazaa au kunavingine kavizaa na vingine kavizaa??
👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽👀👀👀
Pumbavu wewe
Na wewe ni kafiri