Hii ni kiki kuna nyimbo iko njiani niko apa mtakuja niambia nchi yangu naijua vzr walimwengu wanapenda kiki kuliko kula na vitu aviendi bila kupeana stress 😂😂😂
@AngelRimoy kuna nyimbo nyengine atatoa yeye na hemedi sasa wanatuanda ili waongelewe sana afu chuma iachiwe unakumbuka ile ya lulu na nandy ya mganga wakatengeneza voice za uongo za mganga awa wasanii bhana wanatuchezea
Hemedi kaa mbali tuache tuenjoy na nyimbo za huyu da Lulu tunaenjoy balaa kama unataka zigo na mwenye zigo kazingua tafuta lingine usimsumbie dada yetu
Mimi ni mkenya but lulu diva nimzuri sana na anajuawa kiomba pia kuigiza sana so mwenye wivu aende kujinyonga tu si kuogelele mwenzake vibay na wivu wake hapa , so hemed sisi kama mafans wa lulu diva , tunajua lulu diva nimzuri na anajua Kila kitu vzuri sana na tunampenda sana ❤❤❤
Mmmh hemedi umezngua sanaaaa kukaa kimya pia ni jibu kuliko kuwa na maugonvi yasiyo na mbele Wala nyuma lulu nakushauri mkaushie Huyo jamaa hajielewi kimya ni jibu la mpumbavu mtangazaji na we usiwe mnafki kotekote upo
Uyo lulu na Hamed walikuwa na mahusiano kitambo..uyo lulu akamuacha Hamed..tatizo limeanzia hapo..ila hemed ana video wakiwa na lulu kwenye mavitu way back
Unajuwa mziki,anakutaka kuna tusi zautongozaji.😂😂😂wewe ni mrembo wasikudangenye. mimi mwenyewe nakupendaga mno ipo siku tutakutana.zivutiwagi na wasichana waupe. lakini visa vya huyu demu vinanifurahishaga.nakupenda dear.
😂😂 Belinda Mwakijambile hujui kuimba alaf HEMEDY PHD kwenye promo ya Muziki hazingatii akizingatia atafanya wasanii wasisikike, Yeyote aliyebisha mlango wa AM RECORDS amepita kuitwa msanii ni MASTER wewe wa kawaida tu hujui kuimba labda maigizo,. Tunataka kuina hizo DMS n kutupanga mnatupanga hapo hamna kitu
Hivi huyu Hened mnamuona yeye wa maana sana kwa kina mama kwa kipi alicho nacho. Ule weupe wa kihindi koko ndio anajiona handsome boy sana. Hemedi ana nyodo za kizamani sana na hana maana yoyote kwa yeyote labda wale wageni aliowazuzua enzi wakiwa na njaa za umaarufu. Twawajua wote visistaduu vyake ambavyo vingine viendawawazimu sk hizi na vjngine havipo tena duniani. Khaaa!!😢
Kiukweli hemedi talent kwenye upande wa movie na kuimba mnoma sana, ila div anaimba nyimbo za kutrend yan hit son lakn ,hemed nimeanza kusikiliza ngoma zake nying kali sana sana kama mtu anabisha ajaribu kumsikilza atanipa mauwa yangu , ila hii naamn wanatafuta kiki😂😂
Dada lulu mzuri sana naanaimba vizuri sana hata kuigiza yupo vizuri
Uyu mtangazaji nae mnafiki aiseee 😀😀😀
Sana
Uyu demu anajua kuigiza sana, angalia ile movie ya Rebeka. Anaweza sana
Hata jua kali ❤…ameplay part yako poa sana
I mean part yake
@@ClarisYoyotena jua kali kwenye umbea pale wee 😅😅😅
@ 🤣
Bhana weeeeee hata iweje lulu ni mzuri sanaaa na hiyo sagery imemtoa viby mnoooo
Wee mtangazaji noma sana😂❤yani unamuuliza kiujanja ili ufanikishe interview yako na uwo ujanja wako noma❤😂😂😂😂
Lulu anaweza, na lulu ni mtoto sana kwa Hemerd.
Lulu diva mzr mashaallah n amenikosha ktk filamu yake rebeka👌❤
Surgery sijui, ila kuimba hajui kuimba hajui. Na sio yeye tu shilole giggy money hamna kitu.
Wapo wanaoona anajua kuimba!
Kila mtu na mtue
Ma boxi boxi
umependeza shoga angu lulu❤❤
Hii ni kiki kuna nyimbo iko njiani niko apa mtakuja niambia nchi yangu naijua vzr walimwengu wanapenda kiki kuliko kula na vitu aviendi bila kupeana stress 😂😂😂
Lulu kutoa wimbo
@AngelRimoy kuna nyimbo nyengine atatoa yeye na hemedi sasa wanatuanda ili waongelewe sana afu chuma iachiwe unakumbuka ile ya lulu na nandy ya mganga wakatengeneza voice za uongo za mganga awa wasanii bhana wanatuchezea
😂😂
@@nasraabdallah8566 mimi kitambo sana nilishtukia iyo kiki
Nyimbo yenyewe inatwa belinda mwakijambile
Nakupenda my sister lulu❤❤
Eti Hemedy Kazeeka anatafutia pa kufia😂😂😂
Hii ni tamthilia acheni ujinga 😂inaanza kuruka trh 18 nov st swahili plas achani kukariri nyie😂
Mm sielew hemed wala huyu Belinda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
dada angu lulu achana na huyo mjinga atakupotezea muda kuimba unaweza sana
Lulu kapendeza❤❤❤
Ila hiki kiRoja kinafiki nyie😂😂😂😂 kinavyochochea daah😅😅😅
Kiki mnaitengeneza vzr lulu
Hemedi kaa mbali tuache tuenjoy na nyimbo za huyu da Lulu tunaenjoy balaa kama unataka zigo na mwenye zigo kazingua tafuta lingine usimsumbie dada yetu
Mimi ni mkenya but lulu diva nimzuri sana na anajuawa kiomba pia kuigiza sana so mwenye wivu aende kujinyonga tu si kuogelele mwenzake vibay na wivu wake hapa , so hemed sisi kama mafans wa lulu diva , tunajua lulu diva nimzuri na anajua Kila kitu vzuri sana na tunampenda sana ❤❤❤
Ila uyu dada toka amekufia mama yake kabadiliia sana sana Tena zaidi ya sana
Tatizo Moja tuu mnatucheleweshea xn kutoa episode ya mbele baada ya kuisha nyingine
Hemen ni mwanaume mjinga, Lulu mzuri sana. Na ana busara hana shida dada watu.
Nunuweni vifurushi vya décoder 😂😂😂😂😂😂 série inakuja
Kwa jinsi lulu anavyoongea iyo ni kiki 😂😂😂😂😂😂
Yes
Kumbee
Hapa mnapo kitu 😂😂😂
Nakupenda mwaya dada angu achana huyo Malaya wa sokoni
Aliyozoeeka ni wewe LuluDiva Hemed mdogo sanaaa kwako
I love lulus song ft mr blue ❤
Roja mnafiki wewe kheeee 😂😂😂😂
Mmmh hemedi umezngua sanaaaa kukaa kimya pia ni jibu kuliko kuwa na maugonvi yasiyo na mbele Wala nyuma lulu nakushauri mkaushie Huyo jamaa hajielewi kimya ni jibu la mpumbavu mtangazaji na we usiwe mnafki kotekote upo
Phd angemtak lulu mbna hamtongozi..nikuita tu njoo hotel.. kwishaaa😂😂
Watu wako serious na kiki jmn😂😂😂
Kwa maajabu gani alonayo huyo hemedy?
@@salmaalimusa6809shangaa
@@salmaalimusa6809waambie hulight skin unasumbua watu
We nini wewe we mwenyewe akikukonyeza tu kwisha😅@@salmaalimusa6809
Roja fanya kazi yako uchawa achia mwijak na b levo ba mwakijambile nae ajifunze kujieleza😂
Fanya kazi sister,
Unajituma sana
Joyce Wowowooo.... Huna ishuu maboksi ayooo😂😂😂
Waze lulu ni mzuri sana🎉🎉🎉🎉
Unaweza dada tena unaweza juakali hainogi kama ww haupo
Niwazi. Kwamba hapa kuna Kiki usishangae kwamba wanakutana
cute lulu
I can't imagine, ety mtu aje kwangu halafu aanze kuniulizauliza habari za ovyo.
Katika kuigiza lulu the best
Ila rojaaa😂😂😂wewe si ndo ulikuwa unachochea jmn 😂😂
Mnafki😂😂😂
Anajua kila kitu huy dada huyo hemed zero 😊
Ni mzuri, anajuakuimba, anashepu ,mwacheni
Huyu ndo Joyce wowowo
Mwarabu koko yani ukoko wa mwisho😂😂😂😂
Kotongwe moja huyo,nyumba kota
Wanawake bna mtu anakukana mtu jamani ahsant mungu kwa kutufunza kuishi na hawa watu kwa akili🙏🙏🙏🙏🙏
Lulu she's the best 🎉🎉🎉
Nimependa Lulu Alivoichukua Microphone 😂😂
Honestly I can say the truth about lulu & hemed phd jamaa anajua kuimba vibaya mno 😅😅😅
Kwa mtazamo wako na Lulu anasema mashabiki wake wanaona anajua 😂
Daaah uyu mpenzi mtakazaji ni noma sana 😂😂😂😂
😂😂😂 0:42
😂😂😂😂 nimecheka alipooneshwa dm
😅😅😅
Wewe Rulu usifananishe nyimbo zako na Za Hemedy acha kabisa 😂
No problem ila umependesa love ❤ata kama umefanya marekebisho ya mwili uko hot love ❣️
Nalo neno
Alikosewa kwahyo akaenda kufanyiw marekebisho?kufuru ilioje
Dad lulu nakukubali sana Archana na maneno ya watu
mama nagupenda bule ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Huyu kaka mmbeyaa! Khaa!
Sema ududu anachekesha sana 😂😂😂
😂😂😂😂kiki mbaya
Anaupwelo siumpe iyo sambusa acha maneno❤❤😂
Awa amn lolote lulu muangalieni na mskilize Kwa akiri sn utajua nikiki2 afu uyu car nifala2 ndomaana atufatiliah
Ila huyu mtangazaji hapana😂😂😂😂😂😂
Jamani lulu diva mbona anajua sana❤
Huyu roja(mtangazaji) ni mnafiki sana 😂😂
Yy mbona hakushinda project fame mpudhuko
Ata Kwa muonekano Tu...hawa wako na Jambo lao...na soon tutalithibitisha😅
😂😂😂😂😂😂😂 hemedi wivu
Kalialia kame lia 😂😂😂😂
Alivyostuka huyo mtangazaji2 ndo nimegundua ni kiki😀😀
Mwandishi wa habari kuma la mama Ako umeshindwa hata kustuka umeruka km umechomekwa ubooo
Acheni matusi ndugu zangu. Unajipatia dhambi tu.
😂😂😂😂😂😂😂😂Hana ishuuu uyoooo Belinda Mwakijambile 😂😂😂😂😂😂Joyce Wowowooo😂😂😂
😂😂😂😂
Wanawake Bhana
Hem wasikusumbue diva wangu uwe umebadilijina au hujabadili hayawahusu achananao mafala tu kama mafala wengine
Uyo lulu na Hamed walikuwa na mahusiano kitambo..uyo lulu akamuacha Hamed..tatizo limeanzia hapo..ila hemed ana video wakiwa na lulu kwenye mavitu way back
Harmonize Mzee Popo ni Laana kwenye Sanaa yetu...Kazi ni kuroga nyimbo na shows za Diamond na Wasanii wake... Aibu Tanzania 💯😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
yani his comment duh 🤣🤣🤣🤣
Leo hii unasema humjui na kwenye Mr.right ulisema kabisa ni crush wako 😅😅 wanawake wanafki sana 😂😂
Hata mimi nimeitazama mara 3 alimkaribisha yy mwenywe
Unajuwa mziki,anakutaka kuna tusi zautongozaji.😂😂😂wewe ni mrembo wasikudangenye. mimi mwenyewe nakupendaga mno ipo siku tutakutana.zivutiwagi na wasichana waupe. lakini visa vya huyu demu vinanifurahishaga.nakupenda dear.
lulu nakupenda
Aaaaaa et kasha zeeka 😂😂😂😂😂 izo hasila
Huyu mtangazaji alivyostuka dahhhh 😂😂😂😂😂 mtu hajamaliza kuonesha message yy kashastuka
pole xna lulu wanaume wa sku hizi ukishamkataa anaongeaa xna
😂😂 Belinda Mwakijambile hujui kuimba alaf HEMEDY PHD kwenye promo ya Muziki hazingatii akizingatia atafanya wasanii wasisikike, Yeyote aliyebisha mlango wa AM RECORDS amepita kuitwa msanii ni MASTER wewe wa kawaida tu hujui kuimba labda maigizo,. Tunataka kuina hizo DMS n kutupanga mnatupanga hapo hamna kitu
Mtangazaji man of the match😂
Kwahyo wew ni mchochezi au mbn hauelewek umetoka uku unapeleka uku
Kuna wimbo unataka kutoka hapa, nishashtuka......... 😏
Aaah😂 mwakijambile acha hizo bhana
😂😂😂😂😂😂😂
Lulu Anaimbaa banaa since day 1😂 sema ni kiki…! Hii ata sura yake inaonekan
Hemedi anajisikia sana
Rangi inampa ujinga anahusi kila mwanamke anampenda
Kwel kabisa uyudem ajui kuimba
Uyu mtangazaji nae ni mnafki😅
Watangazaji wambea sana, uyo hajui kuimba kweli. Si mumuambie ukweli. Joyce wowowo 😅😅😅
Huyo mtangazaji sasa khee😂
Mwakijambile😂😂😂😂😂nilikuwa sijui kumbe lulu jina lake mwakijambile nahamsemi jmn uwiiii 😂😂😂😂😂😂😂
Kutongozwa kutongoza ni vitu vya kawaida
Haiwezi kuwa sababu ya haya yanayoendelea
Lulu kukaa kimya utakuhishimisha zaidi kuliko hivi ufanyavyo
ila kweli kila mtu na mtazamo wake hata diamond anajuwa kuimba na kwa wengine pia hajui
Ila kweli divas anajitaidi hapa ni mziki mzuri napenda km hapa
Roja rojaaa mungu anakuonaaa
😂😂😂😂😂 nacheka tu mm
Yan phd amtongoze lulu diva af lulu akatae😂😂😂//af mbn phd sio type ya diva...😂😂
Hivi huyu Hened mnamuona yeye wa maana sana kwa kina mama kwa kipi alicho nacho. Ule weupe wa kihindi koko ndio anajiona handsome boy sana. Hemedi ana nyodo za kizamani sana na hana maana yoyote kwa yeyote labda wale wageni aliowazuzua enzi wakiwa na njaa za umaarufu. Twawajua wote visistaduu vyake ambavyo vingine viendawawazimu sk hizi na vjngine havipo tena duniani. Khaaa!!😢
@@Brunn-mh2bqnawashangaaa siju I weupe ule maana sionagi uzuri wake
Wote mnamtamani haooo😂
Nasubiri Bomu kutoka Kwa Hemed 😅😅😅