MSALABANI PA MWOKOZI TENZI NO. 77. BY DANIEL SIFUNA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ก.พ. 2024
- 1.Msalabani pa mwokozi,
Hapo niliomba upozi,
Akaniokoa mpenzi,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Akaniokoa mpenzi,
Mwana wa Mungu.
2.Chini ya mti msumbufu,
Niliomba utakatifu,
Alinikomboa kwa damu,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Alinikomboa kwa damu,
Mwana wa Mungu.
3.Aliniokoa dhambini,
Ikawa kunikaa ndani,
Aliponifia mtini,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Aliponifia Mtini,
Mwana wa Mungu.
4.Damu ya Yesu ya thamani,
Huniokoa makosani,
Huniendesha wokovuni,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Huniendesha wokovuni,
Mwana wa Mungu.
5.Hicho kijito cha gharama,
Leo jivike kwa kuzama,
Kwake uuone uzima,
Mwana wa Mungu.
Mwana wa Mungu,
Mwokozi wangu,
Kwake uuone uzima,
Mwana wa Mungu.
God bless you.
Mungu awabariki zaidi na zaidi.
call or support 0746298853
Amen amen amen ❤ 🙏
𝘽𝙖𝙧𝙞𝙠𝙞𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙣 𝙤𝙛 𝙂𝙤𝙙
Amen every time husikiza nyimbo zako hunituliza moyo wangu,,🙏🙏🙏🙏🙏
Aky hii wimbo imenibariki sana natamani hata nije tuimbe na wewe
Amen karibu sana
Halleluyah Halleluyah Halleluyah Amen Amen Amen 🙏
Mungu muweza yote🙏🙏🙏
Kwakweli nahisi kupokea mibaraka juu ya wimbo huu Munge wetu Mbinguni awabariki wote mnaosikiliza wimbo huu wa kukutia nguvu namna alivyojitoa kwa ajili ya maisha yetu
Wote na tuseme ashukuriwe Mungu wetu kwa zawadi hiiii🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen amen amen ❤
Amen 🙌🙌🙌🙌
Very strong and touching may u be blessed
Aminaa🙏🙏🙏
Am blessed brother with these song as I remember Jesus on the cross amen
Ameen. He saved me from my iniquities and trespasses by His blood.
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu, umegusa moyo wangu sana
Je suis béni de cette chanson
Am saved by the Grace of God. Hallelujah
Amen
Mwimbo wakutia moyo
Very blessing chorus
Ameen ameeen barikiwa Sana♥️♥️
Amina wimbo mzuri mno mungu na asidi kukuonekania huwa unanibariki sana na nyimbo zako
Barikiwa sana mtumishi wa mungu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤amen
Amina.
Amen Mungu aibariki kazi yako
Am blessed 🙏🙏🙏
Na mungu azidi kukuinua hallelujah
Halima edson
Nabarikiwa saana mungu ainue mtumishi wake
Amina
Hallelujah Hallelujah bwana apewe sifa😊
Amen, blessed more pst
Ubarikiwe sana ndugu
Lord Jesus I love you all my heart. You are my best friend. You are my Lord. You are my saviour. You are my friend. Amen🙏
Amen dear mungu azidi kuachilia upako wimbo mtamu
Barikiwa sana ndugu 🎉
Amen akika yesu ni mwana wa mungu mungu aziti kukupa kibali unapo endelea kuimba mtumishi wa mungu
Amen be blessed my brother
Nyimbo nzuri sana
Hallelujah Hallelujah
Amen amen hallelujah
Man of God..barikiwa sana
Barikiwa bro❤
Amen Amen 🙏🙏
Amen ,je suis beni de cette chanson, je suis un haitien 🇭🇹🇭🇹🙏🙏🙏
❤ God bless you my brother’s
Amen! Cette chanson me donne chair de poule louange pour le seigneur.
🎉🎉❤🎉❤ blessings man of God
Barikiwa sana
Nice work,,,,,barikiwa san
I'am blessed good job
Amen.the song has upliftedy soul.blessings
Be blessed to the fullest as you continue with this great work.
I like your language
It's really sweet melody bravo
Nice bi bless🎉🎉🎉🎉❤❤❤
I love your song amen Amen be blessed my brother
Amen God bless you and continue raising you to high level
Hallelujah 🙏
Very original, very blessed.
Glory and praise be to Him who lives for ever and ever... May He bless you abundantly man of God 🎉
Our PCEA song church but we sing it in Kikuyu I like it🙏🙏💃💃💃💃💃
Amen❤❤❤🙏
Amen 🙏🙏
❤🎉🎉Amen God bless you
Hallelujah ❤❤❤
Amen❤❤
God will bless you more ❤❤❤
Wow so much bro God bless you and your family
Amen 🙏
Amen🙏🙏🙏
Hallelujah hallelujah nimebarikiwa
Powerful song🙏🙏🙏
You really bless me barikiwa bro
Am blessed with this song. Kazi nzuri sana. Keep touching people souls man of God.
Alaleluya🙏
Amen Amen blessed man of God❤❤❤ ....you're songs is very powerfull
Amen 🎉❤
Natamani nikifa niimbiwe huu wimbo naupenda sana du!
Hakika najipata Yerusalem,nikiwa Kenya❤❤
God bless you ❤
Amen am so much touched with the worship of Swahili brother welcome to kisii Kenya tubarikiwe na nyimbo Sako.
Amen amen nitakuja
Glory to Almighty GOD wow! Blessings 🙏🙏 God bless man of God 🙏
Amina,,,mungu akubariki
Wooow nice song God bless you bro
Amen amen amen❤❤
Amen and Amen barikiwa sana Mtumishi 🙏🏽
Aaaaamen
I love your work mtumishi..... Be blessed
💙💙
❤❤❤❤
Barikiwa sana man of God 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
God bless you 🙏🎉
From Burundi 🇧🇮 nawepanda sana mubarikiwe mwenyezi mungu awabarika sana
Aaaamen amen
🙏🙏🙏
Baraka baraka baraka
🎉🎉🎉
Be blessed
Amen, amen how great is our lord Jesus Christ,,,new subscriber love from India Nagaland ❤❤❤
Aaaaamen amen
Blessing
Amen amen❤❤❤
Amen you have done well for bringing the real worship be blessed
Amen amen amen🙏🙏🙏🙏🙏❤
You have amazing voice . Kazi poa sana ❤❤❤❤❤.
Amen
Amén
On the way to christ
Nmebarikiwa xna
Amen
Naxkia raha xn
Kindly let me know how I can get this song coz I can't download it
wimbo poa 😅
Sana