CHA KUTUMAINI SINA TENZI No.15 By DANIEL SIFUNA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Cha kutumaini sina,
    ila damu yake Bwana
    Sina wema wa kutosha,
    dhambi zangu kuziosha
    Kwake Yesu nasimama,
    ndiye Mwamba ni salama
    Ndiye Mwamba ni salama,
    Njia yangu iwe ndefu,
    Yeye hunipa wokovu
    Mawimbi yakinipiga,
    nguvu zake ndizo nanga
    Damu yake na sadaka,
    nategemea daima
    Yote chini yakiisha,
    Mwokozi atanitosha.
    Nikiitwa hukumuni,
    rohoni nina amani
    Nikivikwa haki yake,
    sina hofu mbele yake
    God bless you more and more
    Mungu awabariki zaidi na zaidi.

ความคิดเห็น • 185