SIKU 10 ZA MAOMBI | BALI WEWE USALIPO .... | PR. DAVID MMBAGA | SIKU YA TISA (09) | 16.01.2025
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Karibu katika Siku Kumi (10) za Maombi! Tunaamini kwamba maombi ni chimbuko la uamsho wa kweli. Mungu amekuwa akitutendea miujiza mingi tunapomtafuta pamoja kwa kufunga na kuomba.
Mada Kuu katika Siku hizi kumi (10) ni "Bali wewe usalipo..."; Na Fungu Kuu linasema; "Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao". ~ 2 Mambo ya Nyakati 7:14
Mhubiri Mkuu: Mchungaji David Mmbaga
Ubarikiwe sana mtumishi Asante Kwa ujumbe mzuri
God bless you
Mungu atukuswe kwa mambo makuu nimeona makuu kupitia mahubiri nimeona mungu nimejua nguvu ya msalaba
Amen
Omba kwa ajili ya kijana yangu ambaye anaugua ugonjwa wa ubongo pastor tafadhali
Pr ubarikiwe sana Mungu zaidi kukupa nguvu barikiwa xana
Asante sana Kwa mibaraka ya kipekee na Mwenyezi Mungu awabariki pia
Nyumbo nzuri mungu apewe sifa
Dada mwenye kinguo cheusi umeimba vizuri, na umependeza ila nguo fupi mno Bwana, Mungu aendelee kukutumia kama apendavyo yeye.