WOMAN MATTERS :HIVI WANAWAKE NDIO HAWAJUI UONGO WA WANAUME AU WANAUME NDIO WATAALAMU WA UONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 95

  • @hildacolleta4969
    @hildacolleta4969 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzee you 💯% on point I salute you! Facts! Facts! Facts!👌 Lots of love from 🇰🇪

  • @shamkrause4169
    @shamkrause4169 3 ปีที่แล้ว +3

    Wao Lili Leo nimefurahi sana from Germany 🇩🇪

  • @fatnahsaleh860
    @fatnahsaleh860 3 ปีที่แล้ว +6

    Wooooow my favorite women matters 🔥

  • @medicalphysicsbiomedicalen1707
    @medicalphysicsbiomedicalen1707 3 ปีที่แล้ว +1

    Much love from Italy🇮🇹🇮🇹 nawapenda woote, pia huyo dada mgeni ni ❤❤

  • @samirarashid8186
    @samirarashid8186 3 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda saaaana kipindi kizuri 💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว +3

    Omisigala umeongea point 💯👍

  • @blessdmum.7380
    @blessdmum.7380 3 ปีที่แล้ว +4

    From kenya,tuko pamoja.

  • @zainabtumba1186
    @zainabtumba1186 3 ปีที่แล้ว

    🇺🇲/🇹🇿Kipindiii Maridad With Mzee Onni Sigaraa in houseeeee 👏👏👏 Usipotee. Yaaniii Super Powerful reality talks... Antiii Sadaka and I smile kama zoteee!! He is my favor person on this show I enjoy today table talks 💯 ❤🙏

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 3 ปีที่แล้ว +4

    Wanaume ni waongo na uongo ni tabia ambayo ukomaa. Na mtu muongo ni mtu ambae hajiamini ni matatizo ya akili. Wanaume ni wabinafsi sana watafanya lolote wawezelo ili kumtumia mwanamke.

  • @Raya171
    @Raya171 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa hii show

  • @abc41
    @abc41 3 ปีที่แล้ว +2

    I don't agree .. responsibility ya uwongo iko Kwa mwongo. Na uwongo mpaka lini . A guy knows ana mke he is cheating na akili timamu. Kuto heshimu ndoa yake his duty and responsibility. We can't justify cheating and lying . Period.

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante aunt sadakha 👍
    Mi na kuelewa😍

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 3 ปีที่แล้ว +6

    Vai yuko wap😢😢msemaji wetu wa kizazi kipya😀😀😀

  • @owlbig
    @owlbig 3 ปีที่แล้ว +8

    Uyu mzee uyu nishida 😂😂🤣🤣🇧🇮🔥

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Vai leo hayupo 😥😥, Lily wajina....show bila Vai jamaaniii 😥😥 tena hili somo leo lilihitaji sana uwepo wake.

  • @ibinyoma8067
    @ibinyoma8067 3 ปีที่แล้ว

    I like this program. Ningependa kualikwa iki nichangie

  • @KataliwaComicSeries
    @KataliwaComicSeries ปีที่แล้ว

    Naona the obvious answer ni 'They want to have their cake and eat it too'; and they will NEVER admit to this.Lakini ndio maana Mungu ametupa wanawake INTUITION jamani, tuitumie.

  • @abbasomarabbas4359
    @abbasomarabbas4359 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah leo father kaingia mjengoni safiiii sanaa

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว +1

    Unapo ingia ktk mahusiano na mwanaume jua kuna mwenzio, kama si wewe kumkuta'basi atakukuta wewe,tujifunze kuingia na kutoka hulazimishwi kama yamekushinda ondoka,lkn usilazimishe wewe kuwa ni wa pekeako,wanaume ni wachache,tuzowee tu, tuache kujimilikisha wanaume

  • @upendomkude5390
    @upendomkude5390 3 ปีที่แล้ว +4

    Vai msemaji wetu wamama waleo I wish ungekuwepo hapa

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 3 ปีที่แล้ว +2

    Unaweza kukaa na mwanaume na usijue Ana mwanamke mwingine. Tena nimejionea mwenyewe hapa Italy. Baadae mwanamke ndio anajua

  • @saidkale6465
    @saidkale6465 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jama na LEGEND wa wanaume wote 😂

  • @saidkale6465
    @saidkale6465 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa dunia hii unadanganywaje na mwanaume mwenye mke wake na watoto kwa miaka mitatu. Kama mume utakuwa na muda gani aende kazini , muda wa familia yake ..wanawake amkeni mtumie akili mtaaishiya kuzalishwa

    • @veronicaenock7292
      @veronicaenock7292 3 ปีที่แล้ว +1

      Hapo mwenyewe nimejiuliza sipati jibu navyojua kwa hiyo miaka3 ina maama huyo mume alikua analala kwake siku zote asiende kwa mkewe na watoto kweli tuamke wanawake

    • @snapkingtv6793
      @snapkingtv6793 3 ปีที่แล้ว

      Lili je wale wadada wanaowahudumia wanaume KWA kuwalipia Ada na mwisho wa siku wanaachwa tatizo ni Nini hapo???

  • @officialcarolyne2985
    @officialcarolyne2985 3 ปีที่แล้ว +1

    Oh my God 😔 I think I have the same problem like this one

  • @swahilipopup
    @swahilipopup 3 ปีที่แล้ว +2

    📌 Sigara, mheshimiwa una hatari sana 🥇🇹🇿😂

  • @lesusi7872
    @lesusi7872 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu bb namkubali anapoint

  • @neema3807
    @neema3807 3 ปีที่แล้ว +1

    Jambo dada Lyly . Nawafata sana kila mara na piya napenda topic zote munazo ongeleya. Niko muzaliwa wa Congo ila naishi Marecani kwa sasa. Nilitaka kuuliza kuhusu wale wa mama wengine wa tatu mulikuwa pamoja tangu mwanzo kwa nini hawa participate tena?

  • @nadrasalim
    @nadrasalim 3 ปีที่แล้ว +2

    Aunty ety subhallah🤣🤣🤣..... Bitter truth

  • @vicknessngenzi6146
    @vicknessngenzi6146 3 ปีที่แล้ว

    please Lilian Mwasha jitahidi one day umlete MR DAVID MBAGA wa mahubiri tv on youtube tutajifunza mengi naww utatua mambo mengi..

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 3 ปีที่แล้ว +2

    Oni sigala hujajibu ukweli kabisaa, hamjawahi kuuona ukweli wa watu wanavyoishi kwa kudanganywa

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 3 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo ukipenda na kumtegemea mwanaume ndipo unapodondokea

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 3 ปีที่แล้ว

    Thanx👏👏

  • @naythardarling1115
    @naythardarling1115 3 ปีที่แล้ว +3

    Jaman wanaume waongo yaan waongo mm mume wng ni muongo jaman yaan katika maneno 10 akiniambia naamini theluthi tu tena kwa utata sitaki kuficha yaan simpendi simpendi mume wng kwa uwongo simpend jaman simpend 'imechoka na uongo wake jxt i hate him alot niko kwa sabbu ya mtt wng tuu na sina haja ya kuzaa nae tena wallah i hate him

    • @chunanachu2529
      @chunanachu2529 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli dada uwongo unakera sana vumilia watoto wako lakn mwambie mume wako hupendi tabia ya uwongo ajue kuwa inakukera labda atabadilika

    • @veronicaenock7292
      @veronicaenock7292 3 ปีที่แล้ว +2

      @@chunanachu2529 Mwanamke akichoka kachoka kila kitu 🤔yaani ni kuvumilia kwa ajiri ya watoto huyu mdada ana mengi hadi kusema hampendi mumewe tena.Hawa viumbe wazito saana jamani

    • @naythardarling1115
      @naythardarling1115 3 ปีที่แล้ว +1

      @@chunanachu2529 nishamwambia tena sana tuu sana tuu ni muongo muongo na mgombanish jaman hata sijui nisemeje ila namchukia namchukia kwa uwongo wake jaman ni muongo muongo muongo muongo sina hata mapenz na yy trna xabbu ya uwongo wake

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 3 ปีที่แล้ว +1

      Wanaume kati ya 10000 basi mmoja ndo mkweli wanaume wengi ni waongo sana tena wa Tanzania ndo wamezidi

    • @naythardarling1115
      @naythardarling1115 3 ปีที่แล้ว +1

      @@rose_Winchester86 😭😭😭umeonaeeh nafsi yang imechoka na uyu mume yaan nimechoka nimemchoka kwa uongo wake nimechoka nimechoka 😭😭

  • @officialcarolyne2985
    @officialcarolyne2985 3 ปีที่แล้ว +3

    Wanaume huwa hawakubali ukweli

  • @salumpamba1227
    @salumpamba1227 3 ปีที่แล้ว

    Onny sigala...the legend kabisaaa

  • @homkwetukikwe2kwe265
    @homkwetukikwe2kwe265 3 ปีที่แล้ว

    mzee yupo sahihi maana unapo mtongoza mwanamke huwa na maswali mengi na hayo maswali huwa yanatupelekea sisi kuongea uwongo kwasababu nikimwambia ukwer hato amini wakati mimi namtaka lazima.apo nimdanganye tu kivyovyote

  • @emilykai7866
    @emilykai7866 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume nowajeuri kumbe.unapata umejua ukweli unsmuuliza anakujibu eti ushajua kwahivyo unataka nini.aii majibu hayo

  • @franklaurent4042
    @franklaurent4042 3 ปีที่แล้ว +1

    Hennesy tu tushaingia mkataba umetisha mzee wangu

  • @mariamwaisaka3349
    @mariamwaisaka3349 3 ปีที่แล้ว +1

    Oni Sigara ni mkandamizaji jaman sijui mnamuwekaga wa nn kwa kweli ni mbabe

  • @neema3807
    @neema3807 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba Onesigale nimejuwa mtu moja ambaye ameaminisha mumewake kama mama yake na mume na jamaa lake nibwa lozi na alisema aliambiwa na waombaji kumbe uongo hataki mausiyano yao na jamaa lake. Hata waka hamiya mahali pengine

  • @apolinemalungano9155
    @apolinemalungano9155 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣huyu baba yangu yuko vizuri

  • @fillvalerian2652
    @fillvalerian2652 3 ปีที่แล้ว

    onisigala.. Hatari sana unakili nyingi

  • @amanially8866
    @amanially8866 3 ปีที่แล้ว +1

    Mada hii ipo vzr kwli

  • @edinambwambo4847
    @edinambwambo4847 3 ปีที่แล้ว

    Huyu dingi namuelewaga sanaaaaa....wanawake tufanye kazi.Pia tuache kujirahisisha.

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa lugha nyepesi au rahisi wanawake wenyewe hupenda kudanganywa

  • @ndayisimiyeakram1871
    @ndayisimiyeakram1871 3 ปีที่แล้ว

    Sasa jamoniiii nauliza je mwanaum akija akakwambia ukwel kuwa yupo na mke na watoto je ni sahihi kuwa nae kwenye mahusiano???

  • @benbenedict2720
    @benbenedict2720 3 ปีที่แล้ว

    Omi Sigala anawapa wanawake hapo mezani zile doz halisi za uongo vidume wanazogawa kwa wanawake zao mtaani.
    Yani anajua kbs hapa hakuna pa kutokea lakini kidume kakomaa hadi wanawake wanaanza kutafakari utopolo 😄😄😄

  • @zenasmjema4050
    @zenasmjema4050 ปีที่แล้ว

    Ukiingia kwenye Huba tunasahau ila nasi pia tunawakomesha nasi tuna uongo wetu matata sana 😅

  • @michaelwillombe1794
    @michaelwillombe1794 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Kweli sisi wanaume woooote ni wakweli kwa hakika nimeamini. Mzee upo sawa sawa kabisa twna wewe mzee upo timamu na kamili sana.

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni kwa nini wanawake tuna tengeneza sheria kuwadhibiti wanaume?kwa nini tuna wapangia wanaume na kuwalazimisha wawe na mke mmoja?hali ya kuwa hata ki dini,Islam inawaruhusu mke zaidi ya mmoja,kwanini tunalazisha na kujimilikisha wanaume hawa ni wetu pekee?wapi sheria inamkataza mume asimiliki mke zaidi ya mmoja

  • @bukuruaviva5417
    @bukuruaviva5417 3 ปีที่แล้ว

    Port 2

  • @amanially8866
    @amanially8866 3 ปีที่แล้ว +1

    Omy sigala upo vizur

  • @mussanaftari870
    @mussanaftari870 3 ปีที่แล้ว

    Baba uko sahihi

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 3 ปีที่แล้ว

    Kwanza hakuna mtaalamu wa uongo kwasababu kila mtu anaweza kuwa muongo. Hii mada inaonyesha kuwa inazungumzia siri zaidi kuliko uongo. Kwahio nahisi ishu ingekuwa kuhusu siri, nani msiri baina ya mwanamke na mwanamme?

  • @judytombo4171
    @judytombo4171 3 ปีที่แล้ว

    Ooomisagala dume ya zote 🔥🔥🔥

  • @mazaraamisi4186
    @mazaraamisi4186 3 ปีที่แล้ว

    Jambo mama uyo mke anadanganya

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว

    Mwanaume akijua unataka kumkiliki awe Mali yako 'basi jua utadanganywa tu

  • @immtm4930
    @immtm4930 3 ปีที่แล้ว

    Ukitaka kuumiza kichwa, mwambie mwanamke ukweli.

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 3 ปีที่แล้ว

    Oni kiboko anawambia ukweli wanawake wanakasirika😀😀😀

  • @officialcarolyne2985
    @officialcarolyne2985 3 ปีที่แล้ว +2

    Patamu hapo mkataba 😂 lol

  • @ramlajuma1598
    @ramlajuma1598 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumekucha 😊😊🤣🤣🤣

  • @atuhuvyekayombo9722
    @atuhuvyekayombo9722 3 ปีที่แล้ว +1

    AACHE KUJIDANGANYA.

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 ปีที่แล้ว

    Mwanamke atabaki kua mwanamke tu na mwanamme mkitaka msitake yupo juu tu na ndio mana tukaambiwa na allah mwenyewe alietuumba kua wanaume ni wachunga wa wanawake

  • @officialcarolyne2985
    @officialcarolyne2985 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzeeee niuogo hapo

  • @chibandamwende3676
    @chibandamwende3676 3 ปีที่แล้ว

    Omisigala leo hujajenga

  • @HansBwoi
    @HansBwoi 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee mpe kinywaji ntalipa

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว

    Kuwa na mke haimzuwii mwanaume kuto kuwa na mke mungine

  • @ashuraselemani5979
    @ashuraselemani5979 3 ปีที่แล้ว

    Babu kiboko 😃😃

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 3 ปีที่แล้ว

    Sigala umeongea points tupu

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli nishida tupu

  • @snapkingtv6793
    @snapkingtv6793 3 ปีที่แล้ว

    Muongo huyo

  • @festochimulimuli8229
    @festochimulimuli8229 3 ปีที่แล้ว

    Dar Tazama kisa Chakusikitisha
    th-cam.com/video/SydX47AxyRE/w-d-xo.html

  • @festochimulimuli8229
    @festochimulimuli8229 3 ปีที่แล้ว

    Tazama Yanga Wachana Na GSM
    th-cam.com/video/SydX47AxyRE/w-d-xo.html