VIDEO: JAMAA AZUA GUMZO 'AOA' WANAWAKE WATATU KWA MPIGO "NILIACHWA NIKAOGOPA NILITAKA WANNE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Athumani Yengayenga (35) mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo.

ความคิดเห็น • 358

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 ปีที่แล้ว +12

    Masha'allah..wanawake wote watatu wako na mwanya warembo Sana ..na mama Yao mkwe Yuko na mwaya pia vitazaliwa vitoto cute Sana🤗🥰 masha'allah...mngu awape furaha na masikilizano ktk ndoa yenu ❤️

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj ปีที่แล้ว +9

    Huyu ndio mwanamme yani amejizatiti pongezi zote kwake 💐💐💐

  • @ismailshamte4429
    @ismailshamte4429 ปีที่แล้ว +7

    MASHA ALLAH, Allah amtangulie kwa kila jambo

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 ปีที่แล้ว +11

    Athumani ni mwamba wa kwanza kutokea tz Mashaallah tabaraka llah

    • @aishahasan7722
      @aishahasan7722 ปีที่แล้ว

      Lkn yaonekana km hawa mabint kawasilimisha pia kher😍🤲🏻🤲🏻

    • @khadejarajab8007
      @khadejarajab8007 ปีที่แล้ว +1

      @@aishahasan7722 angewasilimisha pia hilo angeliweka wazi

  • @winnie225
    @winnie225 ปีที่แล้ว +16

    Mungu wangu maumivu ya kuachwa yanafanya watu waoe watatu Kwa mpigo mmoja tyuu ilikuwa pasua kichwa ao watatu mmmmmh Aya kila la kheri

    • @jumaradhm3926
      @jumaradhm3926 ปีที่แล้ว

      Amesema :::hata akiachika na mmoja wao,wanabak wengne.

    • @winnie225
      @winnie225 ปีที่แล้ว +1

      @@jumaradhm3926 yaaan japo utakiwi kukosoa mawazo ya mtu yy kaoa Kwa lengo tofauti sio upendo kwamba akiachwa na mmoja anabaki na wengine DAAAH Aya sawa maana maisha hubadilika kwenye kipindi Cha ndoa mungu nae analetaga mitihani. Kupima uvumilivu

    • @ismailshamte4429
      @ismailshamte4429 ปีที่แล้ว

      Mambo yatkuwa mazur tu 7bu hakuna atakayeleta dharau

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว +3

    MAASHAALLAH MUNGU awafanyie wepec kwenye Kla ha2a Yao ❤

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js ปีที่แล้ว +6

    Mnafikiri hawa wanawake wanapendana au niunafiki tu ,duh huyu kaka mungu amlinde

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 ปีที่แล้ว +1

      rabda aache kazi afanye kazit yani namanisha hivi awaroge sana wawe kama mazombi, siyo aishinao kisaikolojia kama doctor mwaka atakuja kuachwa na wote kwa pamoja hapo ndo atajuwa hajuwa chezea mjegeje wewe binafsi siwezi hata kwa kurogwa na mwanaume

  • @MsauziOmary-vg6wj
    @MsauziOmary-vg6wj ปีที่แล้ว +15

    Ndio inavyo takiwa wanaume wachache wanawake wengi fateni pepo sio kuzini napogeza Sana huyo kaka 👏👏

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah mpk mama mkwe wote wana mwanya ❤ ndoa njema
    M

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha allah mwanaume wa kisilam ivyo ndio inavyo takiwa kuwaowa kwa pamoja raha sana kurio kuzin nimependa haswaa

  • @JazilaHassan-f8m
    @JazilaHassan-f8m ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Mashaallah kijana huyu ni mwamba.
    Wanaume wengine kuongez mke wa pili mpaka wa Tatu
    Mtunusuru wanawake

    • @Maconcepty
      @Maconcepty ปีที่แล้ว

      Nikuonaga kwa mpemba comedy ndg na uku upo😃😃

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mabruk uyo mwanaume ataki dhambi ya zinaa Allah ampe faraja amani na upendo alee familia yke ssa wwe owa mmoja nje uwe bdo unafukuzana na vdda ni swa kufuta zero uka andika o

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 ปีที่แล้ว +2

    Wasoma comment tujuane
    Mashallah sheikh ochu

  • @alextweve
    @alextweve ปีที่แล้ว +8

    Mimi Tanzania siami duuuh 🙄 ongela sn ila ulifanya maamuz mazuli good brother

    • @lakaspamedia
      @lakaspamedia ปีที่แล้ว

      "Harusi ya Kipekee: Binti Mzazi Anatokwa na Machozi ya Furaha"th-cam.com/video/g1SqZKOBBhk/w-d-xo.html

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj ปีที่แล้ว +3

    Ma sha Allah Halali vzr wallah

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 ปีที่แล้ว +13

    Uwe na hela bro ukidhi mahitaji yao la sivyo ni lazima upate msaidizi

    • @ahmadbadawi9664
      @ahmadbadawi9664 ปีที่แล้ว

      Nahisi we hujatulia kwenye ndoa yako,mumeo ajipange

    • @mariamabubakar7072
      @mariamabubakar7072 ปีที่แล้ว

      Wengi wafanyao hivi hawana hela. We huoni hata sura yake haijakaa kipesa.

  • @joyceangoma7752
    @joyceangoma7752 ปีที่แล้ว +2

    Na mimi moja nashindwa kipigwa ndoa kila siku zinifu watu utoa wapi pesa mungu niondole muzigo wa uzinifu😢😢😢😢😢

  • @farajasallah2338
    @farajasallah2338 ปีที่แล้ว +7

    Kuoa sio shida, huduma hapo kakaa

  • @nth3512
    @nth3512 ปีที่แล้ว +6

    Baada ya kuona wanacheza mziki, aaah hapo hamna kitu. Dini iko kwenye mavazi

    • @KATOPE1
      @KATOPE1 ปีที่แล้ว

      Kabisa hamna dini hapo rumba linakatwa ivyo😢

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 ปีที่แล้ว +11

    Utasikia aaaah wanaume tunakufa sana kumbe wanataka wenyewe.

    • @SalhaSalim-sq7zo
      @SalhaSalim-sq7zo ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @shakilaabdallah7890
      @shakilaabdallah7890 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 ปีที่แล้ว +1

      Hakika watakufa sanaaaa tuuu kabla ya wakati wao

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 ปีที่แล้ว +1

      Na pia ndoa si sherehe, Ni maisha

  • @SalimOmary-w8j
    @SalimOmary-w8j 11 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifathi ndugu athumani

  • @zuenaswalehe
    @zuenaswalehe ปีที่แล้ว

    Mashalla kakaumejaribu

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 ปีที่แล้ว +3

    Mke wa kwnz ni perfect kabisa na ndo real love iwoo wengn ni uzizi TU!

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 ปีที่แล้ว +5

    Mtu mwenyewe hana maisha alafu kaoa wanawake watatu. Nyie wanawake wote machizi

    • @mshambaused3840
      @mshambaused3840 ปีที่แล้ว

      Chizi wewe

    • @mshambaused3840
      @mshambaused3840 ปีที่แล้ว

      Chizi wewe

    • @celifpower4993
      @celifpower4993 ปีที่แล้ว

      @cdeleo9336. Unasema Hana maisha kwani anakula kwako ima hao alio waowa atamlishizia nao? Ww mwenye maisha unamiliki wangapi?

    • @seharjan8523
      @seharjan8523 ปีที่แล้ว

      Tuko na malengo tafauti kwake yy all na mjemgo na anapata riziki hahitaji mambo kibao Kia jifkiriw ww unataka maisha gani hayo mpya ambayo hatuyajui

  • @nkamangi4707
    @nkamangi4707 ปีที่แล้ว +11

    Shida mbaya mke wa kwanza mzuri kweli akipata mkaka atakayempa maisha atasepa nduki

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @fatumajumanne5961
      @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว +1

      Ukiachana na kupewa maisha Aman ya Moyo ndio shda. 😂😂😂😂

    • @nkamangi4707
      @nkamangi4707 ปีที่แล้ว

      @@fatumajumanne5961 lol una moyo huo?

    • @jumaradhm3926
      @jumaradhm3926 ปีที่แล้ว

      Jamaa kashajpanga.pesa ipo

    • @fatumajumanne5961
      @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว

      @@nkamangi4707 Ncweze kwa nn Kwan nawabeba Hao wenzangu yaan cku hz umetaka hujataka utaletewa yaan bora ukubal kwa hyar maisha yaendelee.

  • @sihabahusseinmdee1102
    @sihabahusseinmdee1102 ปีที่แล้ว +3

    hii safi sana ndio uislamu huo

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @SalamaNauthary-ip4iy
    @SalamaNauthary-ip4iy ปีที่แล้ว

    Mashaallah Kheir

  • @dottohami
    @dottohami ปีที่แล้ว +7

    Mm bado najiuliza usiku wakwanza wa ndoa atalala chumba gani 🤣mwamba huyu hapa 💪wanaume nanyie fanyeni kama mwenzenu ili wajane wapungue majumban

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 ปีที่แล้ว

      😂😂😂, umewaza mbali kama mimi

    • @dottohami
      @dottohami ปีที่แล้ว

      @@evertheobald1811 umeonaee

    • @Ummu-Nauthar98
      @Ummu-Nauthar98 ปีที่แล้ว

      Nmeona nikushtue uje kuangalia interview ya Leo na milard uje kupata jibu ya swali lako 😂😂😂

  • @chaggatv818
    @chaggatv818 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa anaonekana alikuwa anapenda sana mwanamke mwenye MWANYA maana kaowa wote watatu Wanayo😂🙌🏾

    • @abudosaide7896
      @abudosaide7896 ปีที่แล้ว

      N ww umiliona ilo🤣🤣🤣kweli

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 ปีที่แล้ว

    Sema Hali ya maisha ngumu hao wanatafuta ramani wakipata mwelekeo wewe utaelewa tuuu,hakuna ndoa hapo,huna uwezo wa kuwatunza

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn ปีที่แล้ว

    Masha allah tabaraqallah

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +8

    Maisha ndo yanavyo kwenda bc soon ndoa zitakua adimu wadada saivi niku shere akuna namna🤣🤣🤣

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 ปีที่แล้ว

    Allah awariki Ktk ndoa yako maana wenye pesa zao wanazini tu lkn ww kidume 3 wanawake unapata ajira kwa Allah

  • @omytifa6403
    @omytifa6403 ปีที่แล้ว

    MashaALLAH kila la kher

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tabaraka llah 😂😂safi saana

  • @saluyaadamz
    @saluyaadamz ปีที่แล้ว

    Maashaallah ALLAH awalinde na fitina

  • @Melini-f7t
    @Melini-f7t ปีที่แล้ว

    Mh! Mpaka Dunia ije iishe tutaona mengi ila iwe heri Yako hongera

  • @rahmaomary2270
    @rahmaomary2270 ปีที่แล้ว

    Mshallah

  • @rosethomaslugendo-mf8ec
    @rosethomaslugendo-mf8ec ปีที่แล้ว +1

    Hongera na dini inaruhusu

  • @maryamshija566
    @maryamshija566 ปีที่แล้ว

    mke.wa kwanza mzuri sana

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 ปีที่แล้ว +1

    Vizur sana na awapige dua mana fitna wengi na husda

  • @stellamwasha1409
    @stellamwasha1409 ปีที่แล้ว +6

    Hapo kwa mwanyanhuyu kaka kaweZaaaa❤

  • @dottokulwa7075
    @dottokulwa7075 ปีที่แล้ว +19

    Hahahahaha huyu mwamba hahaha nimecheka ila namuombea kwa allah kwakua yuko ndani ya sheria ya kidini allah awalinde

    • @lakaspamedia
      @lakaspamedia ปีที่แล้ว +1

      "Harusi ya Kipekee: Binti Mzazi Anatokwa na Machozi ya Furaha"th-cam.com/video/g1SqZKOBBhk/w-d-xo.html

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว +3

      Tumuombee tu , lla kipato chake sasa, kinagawanyika kwa wote na kikatosha? Uwanjani inawezekana akawa vizuri, je kimaisha? Alafu wa 3.

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani huo ndio udume wala hawatagombana

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 ปีที่แล้ว +1

    Ayomagauni ndio tangazolenu apo akuna ndoa ALLAH akufanyieniwepesikatika upambanajiwenu

  • @rozlysara-cy8qi
    @rozlysara-cy8qi ปีที่แล้ว +2

    Weslam wote mbinguni mtapasikia duuuh 🤔 Mungu atupe mwisho mwema 🙏📖🙏🤔

    • @nasrahamadi7570
      @nasrahamadi7570 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣 Kama wew ndo mungu sawa Ila kama ALLAH yupo tunaenda peponi sote waisalm

    • @zuhuramwanafuno1851
      @zuhuramwanafuno1851 ปีที่แล้ว +1

      Kwanini tupasikie wewe ndiyo mtoa pepo

    • @vumiliayasini1274
      @vumiliayasini1274 ปีที่แล้ว

      @rozascola-cy8qi
      Kwanza hata mbingu huijui mnaabudu binadamu yesu Na kumuacha aliekuumbeni dhulma kubwa mnaifanya kisha hivi wadhani suluhisho ya wanawake wengi Na wanaume kuwa wachache ni nini!?? Kila mtu akioa mwanamke mmoja basi wengine watabaki mali ya jamii ikiwa ni wewe utataka lipi kuwa mali ya jamii kama madada poa au mke mwenza mwenye haki zake stahiki
      Japo si kwamba na sapoti yoote yaliyofanywa na huyu jamaa maana inaonekana ana maarifa machache mno ya dini ndio sababu lakini kuoa mke zaidi ya mmoja ni jambo halijazuka tu uislam bali lilikuwepo tangu Na tangu uislam umekuja weka mipaka mwisho wa nne biblia haithibitishi mke mmoja mwisho pekee kwenye maandiko,

    • @rozlysara-cy8qi
      @rozlysara-cy8qi ปีที่แล้ว +1

      Ubatili mtupu tu 📖✊🙏sina chakuongezea ila samaani kama msemwa uo umewakera mana kila mtu anaongea kwamtazamo wake

    • @rozlysara-cy8qi
      @rozlysara-cy8qi ปีที่แล้ว +1

      @@zuhuramwanafuno1851 mtoa pepo nimungu pekeeh ila utoa kupitia watumishi wake,napia kwenye comments yangu sijaongelea neno pepo naona mtakuwa mnajiisi kuwa mnamapepo mnapaswa kuombewa nakuokoka kwajina layesu ✊Amen 🙏📖🙏

  • @sumafrank2422
    @sumafrank2422 ปีที่แล้ว +2

    Niwahuni wanne waliokubaliana kuishi pamoja

  • @MudathiriMahr-df2wg
    @MudathiriMahr-df2wg ปีที่แล้ว +3

    Kaka Athuman nikija kuw mkubwa nitakuw kma ww

  • @cosmascastory9193
    @cosmascastory9193 ปีที่แล้ว +12

    Duuuuh wanawake wote wana mwanya safii sana

    • @sergebaleke695
      @sergebaleke695 ปีที่แล้ว

      Aisee nime rudi video marapili ili nione mwanya

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @bafaqurish9018
    @bafaqurish9018 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwamba kuna hela kapiga mahali sasa inampa wazim 😂😂😂

  • @emmanuelsamwel741
    @emmanuelsamwel741 ปีที่แล้ว +2

    Athumaniiiiiiiii 😂

  • @OmanOman-ns3iw
    @OmanOman-ns3iw ปีที่แล้ว +1

    Daah yahitaji moyo kwakweli mimi mwenyewe nikija plea nataka mume wangu niwenae mda wote

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 ปีที่แล้ว +1

    Hao warembo mbona wazur sanaa

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 ปีที่แล้ว +2

    Athuman baba angu mungu akutangulie sana😍😍😍

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 ปีที่แล้ว +11

    Njaa mbaya, unakubali kudhalilishwa sababu ya njaa mume mwenyewe kama jinga😏ndomana wakwanza aliliacha senge ili

    • @omarmasuke2768
      @omarmasuke2768 ปีที่แล้ว +1

      Dada jina lako la Aysha ni mke wa mtume Muhammad s.a.w na jina la Hussen ni jina la mjukuu wa mtume. Ila koment yako mbona kali sana?. Nilifikiri utawaombea dua ili Allah awajaalie maisha yenye masikilizano na yenye baraka tele.

    • @ayshahussen7452
      @ayshahussen7452 ปีที่แล้ว +1

      @@omarmasuke2768 Mungu alimuumba mwanadamu na moyo 1 na hapo mwanzo alimuumba Adam mmoja na Hawa mmoja kipenz hao wengine waliokuja kujitokeza ni tamaa zao za kingono tu mm wala sipo nao🤨

    • @omarmasuke2768
      @omarmasuke2768 ปีที่แล้ว

      @@ayshahussen7452 kwa sisi waislam sheria inaturuhusu kuoa wake mpaka wanne, nilipoliona jina lako nilifikiri na ww ni muislam.

    • @ayshahussen7452
      @ayshahussen7452 ปีที่แล้ว

      @@omarmasuke2768 kesho kwa Mungu tutaona mengi ww shadadia ujinga tu, Mungu amesema wapi acheni maisha ya kuiga Mungu anatupenda sana tena kwa usawa sio wanaume wala wanawake Mungu hakusema wanawake tuumie mm ni islamic girl but huyo mnae muiga zilikua ni tamaa zake za kingono tu,

  • @FatoomahMohammad
    @FatoomahMohammad ปีที่แล้ว

    Mashallah ilawamefanana sana adilaha

  • @lucykebacho3446
    @lucykebacho3446 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa hilo

  • @sylvesterjoseph4575
    @sylvesterjoseph4575 ปีที่แล้ว +2

    Safi sanaaaaa

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

    Mhm sasa leo utaanzia kulala wapi upuuzi tu

  • @PrincePrince-mh5qh
    @PrincePrince-mh5qh ปีที่แล้ว +1

    Na unapangisha?

  • @jumaradhm3926
    @jumaradhm3926 ปีที่แล้ว +2

    Hapo ni kupambania na NGUVU ZA KIUME tuu.
    Maana jamaa keshajpanga hadi KUACHIKA.

    • @Mina.15
      @Mina.15 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @hyacintagugu7
      @hyacintagugu7 ปีที่แล้ว

      Hahaahah

  • @chiaseeds6919
    @chiaseeds6919 ปีที่แล้ว +1

    Maana kulitafuta means kulipata

  • @EstherLyatuu
    @EstherLyatuu ปีที่แล้ว

    Kuoa sio kazi kazi kuwalea kwahiyo angalie asije akasaidiwa

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว

    Wa 2 mmmh

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +2

    Kwani anamiliki migodi au?

  • @Sppah697
    @Sppah697 ปีที่แล้ว

    Ni uzalilishaji wa wanawake tunashushwa kibinsdamu tuchukuliwa kama fungu la nyanya! Fungu moja la wanawake watatu moja wanne ni thamani ya mwaname mmoja!😊

    • @goodteam7890
      @goodteam7890 ปีที่แล้ว

      Hakuna udhalilishaji hapo kuwekwa kimada mchepuko ndo kudhalilishwa

    • @seharjan8523
      @seharjan8523 ปีที่แล้ว

      Huyu na bado atachepuka tuu nje hkna udhalalishaji wowote bali ni sawa na bado mmja akamilishe Mabrouk kaka

  • @rehemaomary3493
    @rehemaomary3493 ปีที่แล้ว +6

    Huyu ndo mwamba sasa. Cyo nyie mnao jiita mwamba hata. Mchumba hauna

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 ปีที่แล้ว +8

    Atakuwa nduguye Abdulrazak wa Diva huyu🤣😂

  • @barackawithokiswaga2686
    @barackawithokiswaga2686 ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli, wengi wata kuunga mkono katika hili lakini, kusema kweli kwa Nyakati tulizo nazo hivi leo, sidhani kama utamudu kugawa kiasi sawa cha upendo" ni jambo rahisi kuwafurahisha watu lakini mwisho wa siku ni wewe utakaye baki kuyatimiza majukumu yako kama mwanaume. Sasa swali ni kwamba utamudu kwenye kutimiza majukumu yako?
    Kamuulize Doctor mwaka, na Haji manara😁😁😁 Tuache jokes, ila all in all ikawe heri kwenye maisha yenu sio shari"

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 ปีที่แล้ว

      huwa tunashea mazungumzo na nderemo kama huzi ila asikwambie mtu tukifika kwenye neno utamu😳😳😳😳😳😳 tutapishana majengo hapana chezea kushea dude wewewewewewe nimeitaja mala nyingi binafsi sina kifuwa kifuwa hicho

  • @cosmascastory9193
    @cosmascastory9193 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh huyuu jamaaa ataweza kuwafikisha kileleni kweli

  • @aldeamasuki6196
    @aldeamasuki6196 ปีที่แล้ว +3

    Siwezi huo ujinga

  • @jackisonkapingo1199
    @jackisonkapingo1199 ปีที่แล้ว +2

    Halafu asiache pesa ya natumiz sijui kama nitamuwwa maana utakuta maisha mabovu

    • @jumaradhm3926
      @jumaradhm3926 ปีที่แล้ว +1

      Keshajipanga.kama n nyumba ipo.kama n makazi y hao wengne,taari keshaandaa.hapo ni NGUVU ZA KIUNE tuu.

    • @hamidahamadi
      @hamidahamadi ปีที่แล้ว

      ​@@jumaradhm3926😂😂😂😂😂😂😂

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 ปีที่แล้ว +2

    MMEGUNDUA KITU....???? JAMAA ANAPENDA WANAWAKE WENYE MIANYA..... WOTE WATAU WANYA MWANYA ) KWENYE MENO ... Kila la kheri bro...

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 ปีที่แล้ว

    Kwa maisha hayo !!!,☹️☹️☹️☹️☹️0+0=0

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 ปีที่แล้ว

    Vzur sanaa aisee

  • @mwajumakweli
    @mwajumakweli ปีที่แล้ว

    Mmmh

  • @tomaBulush
    @tomaBulush ปีที่แล้ว

    Kaz nzuri, ila waume wengne cjui wanaogopa au nini 😅

  • @ranayuhase1405
    @ranayuhase1405 ปีที่แล้ว

    Mtu anifafanulieee mwenye kwenda honey moon nani au ndo chomoa hapa weka hapa uuuh

  • @dianacharles8147
    @dianacharles8147 ปีที่แล้ว +2

    Apimwe akili😅

  • @SamweliMwasomola-ey1eg
    @SamweliMwasomola-ey1eg ปีที่แล้ว

    Upuuuuzi huo

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 ปีที่แล้ว +3

    Mwanaume aongeze mwingine kwa maisha gani

    • @maulidimassanga4183
      @maulidimassanga4183 ปีที่แล้ว

      Wenzio hawalichips kama wewe arf huwenda wanakipato kuliko ww kwahyo, isiwe kikomo kwa wengine ndgu kikubwa ni kuombeana heri tu bas

    • @hamisahamisa5896
      @hamisahamisa5896 ปีที่แล้ว

      @@maulidimassanga4183 hayo yote uliyo yasema siyajui mm ila tunaangalia siku za badae wakibeba mimba wapate watoto unajua kumiliki wanawake watatu kazi sana 😭😭 mmoja tu unaweza ukakosa matunzo Je watatu

  • @AliciaMwalimu-ce2qt
    @AliciaMwalimu-ce2qt ปีที่แล้ว +4

    Huyo wa mwisho hakai anawanyari wenzie

  • @annajustin1945
    @annajustin1945 ปีที่แล้ว

    Jamani kwa hiyo huyu kaathirika kisaikolojia..kwani anawaza akiachwa na mmoja wengine watabaki.. duuuh haya bana '' wadharura

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 ปีที่แล้ว +1

    Sasa usiku wa kwanza itakuaje,atalala nao wote kitanda kimoja?

  • @edithmwasulama7005
    @edithmwasulama7005 ปีที่แล้ว

    Ushetani wanajifanya dini
    Na hao wa mama wa huu upande
    Wengi wanapenda kuhudumiwa ninwavuvu na sio wapambanaji

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q ปีที่แล้ว +2

    Jini mahaba!

    • @neemakamgisha2951
      @neemakamgisha2951 ปีที่แล้ว

      Subiri sasa upikwe upikike maana watakusumbua mpaka utachemusha injini watakuua na kwa taarifa yako watafundishana

    • @neemakamgisha2951
      @neemakamgisha2951 ปีที่แล้ว

      Unamapepo Yesu akusaidie ukutane nae

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว

    Kuoa rahisi, mahitaji sasa, weee!! Aya.

  • @ZawadiJoel-tk4vo
    @ZawadiJoel-tk4vo ปีที่แล้ว +1

    Aongeze wengineee

  • @FatmaHamid-uj7bj
    @FatmaHamid-uj7bj ปีที่แล้ว +1

    Huyu km ni muislamu basi haujui uislam

  • @nuratmokiwa1636
    @nuratmokiwa1636 ปีที่แล้ว

    Kazi kuwatunza

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 ปีที่แล้ว

    Oweni munaowapenda wawili.watatu au wanne mkishindwa kufanya uadilifu baki na mmoja .Ndugu yangu nikuulize swali uadilifu unao au umekurupuka tu kwakua uliachwa na mkeo wakwanza???

  • @muniromar4927
    @muniromar4927 ปีที่แล้ว

    Dr mwaka mwenyewe kashindwa😂

  • @chezatv9842
    @chezatv9842 ปีที่แล้ว

    Huyu amevunja rekodi,kuna tajiri alioa wake wawili miaka kadhaa iliyopita....sema kijana usioe kwa matamanio ndoa ya wake wengi inahitaji uadilifu na imani la sivyo utavuna mabua na utapata madhambi.

  • @fahmiaali8601
    @fahmiaali8601 ปีที่แล้ว

    Saf ilabjama kanipita mm mlioa wawil walipishana mwezi mmoja

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 ปีที่แล้ว

    Kaah kuna watu wana moyo mie hata mmoja tu hapa...a

  • @husna34562
    @husna34562 ปีที่แล้ว +2

    Muhimu uadilifu uwepo usifurah tu maana hiyo ni amana tunakuomba maskizano

  • @Lillian-bu3ik
    @Lillian-bu3ik ปีที่แล้ว

    Hiyo ni kawaida kwa waislam wengi kuoa wake wengi. Uwezikumwona mwislam anazeeka na bi mkubwa tu, bila bi mdogo.

  • @marthababere2444
    @marthababere2444 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo mwamba ameolea maselaaa💔🤣 basi sawaaaaa

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 ปีที่แล้ว

    Hakuna kitu hapo