Masha ALLAH!! Mungu upenda watu wanao tambua makosa yao kidundo wallah mungu akuzidishie ilimu ili uzidi kutufunza mengi tusiyo yajua❤❤❤❤siyo kila mja anatambua kila kitu APANA wengine tunajifunza elimu kwa TH-cam
Nipo mbali na home ila kidundo ukiekti moves tumia lafuzi zetu ndipo utatusu maana tz upande wa dar wanapenda sana kuskiliza lugha ya kipemba wanafatilia
Mashaallah ❤❤❤

Asante beka h
Kidundo mungu akuzidishie yaani huwezi amini gemu ishakuelekea iyo kitatange aanze kukutafuta Sasa kaza baba mungu akupe kila la kheri
Jaman Nina ushauri tutengenezeni group LA wasapu ili tupate izii movie jamni
Mashalla
Beka h uko vizuri
Safi
Beka H wavijuwa vitambwiii
Mnaweza
Ujumbe mzur
Ert Nshachambia Karai🤣🤣
Beka H lafudhi uliyotumia kwnye hili nimeipenda kuliko ilee ya kuiga
Saut mbona hamna
Mie nata ufike sungo sungo
Mbona hapo mwanzo Hakuna Sauti au mumekimbiza Copyright sound?
Nice
Nipo mbali na home ila kidundo ukiekti moves tumia lafuzi zetu ndipo utatusu maana tz upande wa dar wanapenda sana kuskiliza lugha ya kipemba wanafatilia
kidundo mjomb ufanyayo si halal
HahaHaaa
😂😂😂
Sauti vp jamn
Sauti ipowapi
KATIKA WASANII WAPEMBA NAMKUBALI KIDUNDO. UKO VIZURI ACTORS
Tuseme mashallah kwa KIDUNDO
Mashaallah
Ujumbe umfk
Napenda sana lahaja yetu ya Kipemba inapotumiwa kwenye michezo
Kwl
Ujumbe umfk
safi sana New star Nipo Ottawa canada
safi sana New star Nipo Ottawa canada nawapata vyema San'a