Matema Beach Kyela | Mbeya Tanzania 😎🌊🌊

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2019
  • Matema beach ni beach nzuri iliyopo katika ziwa Nyasa huko wilayani Kyela mkoa wa Mbeya. Uzuri wa beach unachangiwa zaidi na milima ya Livingstone inayopakana vizuri kabisa na matema beach na kutoa mandhari nzuri sana. Hii ndo ile when the lake meets the land, it is magical.
    I hope utaenjoy na asante kwa kuaangalia :)
    Connect:
    Blog: www.dailylifetalk.com/
    Instagram: / janeshussa
    Twitter: / shussajane
    Music: TH-cam Library

ความคิดเห็น • 28

  • @Ba63828
    @Ba63828 11 หลายเดือนก่อน

    Matema beach is enigmatic

  • @boazmasiko8665
    @boazmasiko8665 6 หลายเดือนก่อน

    Much love from Uganda

  • @user-ks7tr1fd5d
    @user-ks7tr1fd5d หลายเดือนก่อน

    Jaman kyela-Ipinda ndo nyumban penda sana kwe2

  • @malililubasha8345
    @malililubasha8345 5 ปีที่แล้ว +5

    Wow, This is probably my nxt destination

    • @JaneShussa
      @JaneShussa  5 ปีที่แล้ว +1

      I will be happy to tag along... 😊😊😊

  • @stephanombamba2168
    @stephanombamba2168 5 ปีที่แล้ว +4

    Kukahja proud to live kyela mababu village

    • @JaneShussa
      @JaneShussa  5 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha ughonile nyambala😂😂😂

  • @NIZAHRTVTibaAsili
    @NIZAHRTVTibaAsili 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa makala haya. Eneo zuri sana. Kazi nzuri sana. HONGERA

    • @JaneShussa
      @JaneShussa  5 ปีที่แล้ว

      Asante sana kaka... I appreciate it

  • @benezethkahwa8845
    @benezethkahwa8845 5 ปีที่แล้ว +3

    Sawa sawa traveller kutoka Matema😂umetisha this is nice.

    • @JaneShussa
      @JaneShussa  5 ปีที่แล้ว

      Hahaha asante sana kiongozi 😊😊

  • @KIPEPE19
    @KIPEPE19 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni bonge moja beach. Na mwaka huu lazima nifike huko

    • @JaneShussa
      @JaneShussa  5 ปีที่แล้ว

      Kabisa...ni beach nzuri sana. Fanya uende aisee

    • @eliudmaster2175
      @eliudmaster2175 2 ปีที่แล้ว

      Vp ulienda ??

  • @humphreykarua5241
    @humphreykarua5241 3 ปีที่แล้ว

    The most curious,iam the happiest to hear from u madam,roughly how much it changes to get of an accommodation at a Mate ma be a CH,once iam really interest ing to visit down their on July 2021,urs most tale ntly,H

  • @humphreykarua5241
    @humphreykarua5241 3 ปีที่แล้ว

    The most incredible, I must yo visit at Nateka bech lovely,but ian so afaid against the crocodiles, urs most faithfully H

  • @ignaskaruhaweAquaculturist
    @ignaskaruhaweAquaculturist 5 ปีที่แล้ว +3

    Fanya uje Kigoma, kuna mengi ya kuandika pia

    • @JaneShussa
      @JaneShussa  5 ปีที่แล้ว

      Asante sana, Ignas. Nimeshawahi kuja lakini sikuwa na muda mwingi wa kutembelea sehemu nyingi. Bado nina plan ya kurudi. Naomba uwe mwenyeji wangu. Unaweza kuangalia video hii hapa nilipokuja Kigoma th-cam.com/video/hSz9zIRhX4M/w-d-xo.html

  • @haikaelmrema4294
    @haikaelmrema4294 5 ปีที่แล้ว +3

    this is so beautfull..i just love you

    • @JaneShussa
      @JaneShussa  5 ปีที่แล้ว

      Thanks babe... love you more, by the way mekumiss 😍😍😍

    • @ibrahimamida4023
      @ibrahimamida4023 3 ปีที่แล้ว +1

      woow! I'm very proud to be borned in kyela very nice love it more

    • @ibrahimamida4023
      @ibrahimamida4023 3 ปีที่แล้ว

      woow! I'm very proud to be borned in kyela very nice love it more

  • @lusekelolusajo1197
    @lusekelolusajo1197 4 ปีที่แล้ว

    Nzur

  • @humphreykarua5241
    @humphreykarua5241 4 ปีที่แล้ว

    Hi Jane Shusha?nimefurahi sana kupata maekezo ya Matema beach ,he ziwa lina eneo ,upana kina gani ,na we we ni tour guide!ni Mimi mdau wa utalii,asante HUMPHREY

  • @victormoshi880
    @victormoshi880 5 ปีที่แล้ว

    Janee jaribu pia kutumia camera drones project zako zitakuwa powa sanaa

    • @JaneShussa
      @JaneShussa  5 ปีที่แล้ว

      Asante sana, Victor... ngoja nijipange

  • @banshbansh2329
    @banshbansh2329 5 ปีที่แล้ว

    Karibu Rufiji uje kuona mto Rufiji kunamchanga kama huo

    • @JaneShussa
      @JaneShussa  5 ปีที่แล้ว

      Asante... itabidi uwe mwenyeji wangu..😊