Eco Travel Tanzania : Nyakyusa Ling'oma Traditional Dancers, Matema Beach, Kyela, Mbeya, Tanzania
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Livy Africa Presents Eco Travel Tanzania.
Have you ever seen the traditional Nyakyusa Ling'oma dancers?
We share the amazing performance by three groups of traditional Ling'oma Nyakyusa dancers at Matema Beach. Kyela, Mbeya, Tanzania in October 2021.
Edited by Godfrey Claud
Created by Livy Africa
Napenda Nyumban kwetu kyala Abhatule mweee
Hii ngoma muziki wake mzuri sana. Inatoka sehemu gani Mbeya na inaitwaje
Daah mnatufanya tukumbuke sana nyumbani tuliopo mbali na nyumbani ig'oma inyafu umwee.
Mama zanguu
Nakumbukaga hiyo ngoma 98,98 nilikua naichezaa sana duh aisee
Very good
Enzi hizo baba yangu alikuwa ananifurahisha sana
Utamaduni wa wanyakyusa ni Imara
Nimepamis home green city
Ngalamu mwakamogo
I’m a Nyakyusa in the diaspora. Hii ngoma inagusa mpaka rohoni mwangu. Asante sana kwa kuipost.
Ugonile!
wametsha knoma
Mweee mweeee bonge la utamaduni wa kwetu mwakaleli
Ndaga le mumogile
kali kuliko
Yikotofauti namalawi munashidwakabisa wayiteni wsmalawi wkawafundishe
hii ngoma inaitwaje. muziki wake mtamu sana.