CHEKA TU. Kings Edition. Mr Beneficial kwenye stage.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Follow us on Instagram for daily updates: / cheka.tu

ความคิดเห็น • 489

  • @ernnesty7268
    @ernnesty7268 6 ปีที่แล้ว +11

    Tengeneza character mmoja ambae watu watamzoea to all comedian kwenye cheka wawe unique

  • @khadijahassan3504
    @khadijahassan3504 6 ปีที่แล้ว +66

    hakika leo beneficial leo umeniua mbavuuuuuu hongera sana
    kazi ya ukanda kaanzisha nuhuu😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @bletv6130
      @bletv6130 5 ปีที่แล้ว +1

      12. Ndipo ngati Mulungu apulumutsa Mkatolika, wa Chiprotesitanti, wa chievangeliko, wa chiBranham, kapena membala m’modzi wa mamishoni ndi mautumiki amenewo, Mulungu ayenera kuchotsa gehena ndipo aliyense adzapite ku Paradaiso, ngakhale Satana. [Mkonzi: Osonkhana akuti, "Ameni!"]. Kodi munthu angakane bwanji m’neneri wamoyo wa nthawi yake ndikupita ku Paradaiso? Kodi munthu angapulumutsidwe bwanji ku Chigumula pamene atakana Nowa? Pamene Ambuye Yesu Khristu anali pa dziko lapansi, zikanatheka bwanji kumukana iye ndi kupulumuka? Dziko lonse lapansi liri ku mphompho chifukwa cha mipingo iyi.

    • @tedyjuma6393
      @tedyjuma6393 5 ปีที่แล้ว

      kwan mnapatikana wap nami nije kucheka 😃😃

  • @mathayonyerera3144
    @mathayonyerera3144 5 ปีที่แล้ว +12

    Masai village Tanga! Unatuvunja mbavu baba la baba! Pamoja sana!

  • @seriousofficialtz3702
    @seriousofficialtz3702 6 ปีที่แล้ว +8

    Huyu jmaaa anajua sanaaaaa big up brooo😀😀😀😀😀

  • @emmanuelchristophersangawe8374
    @emmanuelchristophersangawe8374 5 ปีที่แล้ว +5

    Daaaah kwel kipaji hicho Olevel ujakionyesha broo (head prefect)

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 6 ปีที่แล้ว +40

    Uko vzuri Bro Sanaaa. Nimekubali
    Ila nakushauri tu, ukiweza kuunganisha vzuri story ya kwanza inapoisha.. kwenda nyingine ila una vchekesho vngi sana

  • @sebastianshosi7687
    @sebastianshosi7687 6 ปีที่แล้ว +16

    Aisee jamaa ckumzania kama anauwezo mkubwa kiac hiki.hongera kwake

  • @mushitv4760
    @mushitv4760 6 ปีที่แล้ว +7

    We Chali ukafungue hospitali nakwambia unacho tufanyia kwenye mbavu si poa

  • @jackychangula9139
    @jackychangula9139 5 ปีที่แล้ว +4

    aseee nilicheka sana nilipo ona ile vd ya mungu angekuwa muhaya kipaji cha injili wangepewa wachaga

  • @othumanmaulid7406
    @othumanmaulid7406 6 ปีที่แล้ว +15

    Yes! Nimekubali umepanda kiwango

  • @jumasaid6073
    @jumasaid6073 5 ปีที่แล้ว +4

    Daaa!!! Mbagala imenivunja mbavu,unatisha kaka!!

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 6 ปีที่แล้ว +3

    thanks kwa kuwa mbunifuja

  • @wawerufrancise771
    @wawerufrancise771 5 ปีที่แล้ว +1

    day nimeipenda hii nakubali San kangaroo from chga we are grow up jam Keny na nchi zingn

  • @emmanuelimaxxaka754
    @emmanuelimaxxaka754 6 ปีที่แล้ว +11

    😂😂😂😂 B gap xana mr Beneficial una tisha kinyama

  • @zanudiajaffary7240
    @zanudiajaffary7240 6 ปีที่แล้ว +9

    U gud bro keep it up.👊🏽

  • @blackpanther4825
    @blackpanther4825 6 ปีที่แล้ว +3

    This dude beneficial anajua sana

  • @MakunguSir
    @MakunguSir 5 ปีที่แล้ว +11

    Safi sana kijana. Mpangilio mzuri. Keep it up.

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 5 ปีที่แล้ว +20

    Mr beneficial msengee sanaa 😂😂😂😂😂😂😂😂 et unacheka kama mgen aliemaliza mboga..

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 5 ปีที่แล้ว +5

    Best uko sawa kaza buti

  • @emmanuelallexander9114
    @emmanuelallexander9114 4 ปีที่แล้ว +5

    Keep it up my brother!!!your great in this fun.

  • @danielromario5183
    @danielromario5183 6 ปีที่แล้ว +5

    Head prefect wangu olo
    O level brian

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 6 ปีที่แล้ว +27

    Mr BENEFICIAL is among the greatest artist, I do love hum too much. I'M from Burundi

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 5 ปีที่แล้ว +1

    Great job hongera kaka angu unafanya vizuri sana

  • @michaelzumba9142
    @michaelzumba9142 6 ปีที่แล้ว +67

    Sikuwahi jua kama jamaa anakipaji hivi

  • @peterkilassa2912
    @peterkilassa2912 5 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo unapenda kuchambua maisha yawatu nakutengeneza matabaka,its not good man, watu wote tupo sawa,, masaki na mbagara, wote twakushabikia

    • @keysaldiwani4927
      @keysaldiwani4927 5 ปีที่แล้ว

      Peter Kilassa anaburudisha watu cyo uhalisia man

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 5 ปีที่แล้ว

      Peter Kilassa it’s just a comedy
      Don’t take life thaaaat serious bro
      Utakufa siku siyo zako 😩😩😩

  • @hutheinplat5881
    @hutheinplat5881 ปีที่แล้ว

    2023 still looking on this Hii ndio ilikuwaga cheka tu

  • @joeljohn1770
    @joeljohn1770 6 ปีที่แล้ว +12

    Nawakubali sana Cheka tuuuu

  • @tinafrenk5540
    @tinafrenk5540 5 ปีที่แล้ว +4

    Jamn mm nakufa yaani nimechoka akli na roho

  • @rahimyusuph9568
    @rahimyusuph9568 6 ปีที่แล้ว +1

    Big umeuwa dah!! Sina chakusema hongera

  • @diomedesmtayoba3955
    @diomedesmtayoba3955 6 ปีที่แล้ว +4

    Uko vzr Mr Beneficial

  • @kayfx2594
    @kayfx2594 6 ปีที่แล้ว +107

    gonga like. Mr beneficial

  • @jozzsimbatv1199
    @jozzsimbatv1199 4 ปีที่แล้ว +1

    Wale wa 2020 tujuane

  • @Officialboneka
    @Officialboneka 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera brother kazi nzuri

  • @darmillionaire
    @darmillionaire 5 ปีที่แล้ว +6

    Hii ilifanyika lini na ukumbi gani?

  • @muchomersonmichael4615
    @muchomersonmichael4615 6 ปีที่แล้ว +2

    Chilchil imehamia Tanzania, badilisheni, muongozo tofauti kidogo, sio kilakitu, bt congratulation upo vzr

  • @paschalmotera7934
    @paschalmotera7934 6 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂😂😂😂 ,,...saf saan man

  • @Mtumish_sam
    @Mtumish_sam 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukurn kwa ajir kwa vijan Mungu abrk

  • @RamatonyJensian
    @RamatonyJensian 4 หลายเดือนก่อน

    Daaaaa!!! Huy dg aabudiwe na majambaz xugu😊😅😅😅😅😅😅😅

  • @gracedismas1108
    @gracedismas1108 4 ปีที่แล้ว

    Beneficial congrats broda umejua kunimaliza mbavu

  • @eclardickson54
    @eclardickson54 6 ปีที่แล้ว

    baba la baba beneeee @ ase izi wanji wanji fekecheee unazidoroooo ni kwere dingiiiii *upo fulluuuu arifuuu*

  • @philippedegnoumou2852
    @philippedegnoumou2852 5 ปีที่แล้ว

    23. Mukupandukira kwanu kotsutsa ine, ndikungofuna kuti inu mudziwe icho, kaya mukufuna kapena ayi, Ine Kacou Philippe, ine ndine yemwe ndili mneneri wanu ndipo popanda ine , inu nonse mudzapita ku gehena. Nditsutseni koma ine ndine mneneri wanu monga momwe purezidenti wa dziko ali pulezidenti wa onse otsutsa dziko ilo. Nowa anali mneneri wa onse okhala padziko lapansi mu nthawi yake. Ambuye Yesu Khristu anali mneneri wa Herode ndi Pilato ndi asilikali Achiroma ndi Afarisi ndi Asaduki onse omwe anamenyana naye. Ndipo ine amene ndikuyankhula ndi inu, ine ndine mneneri wa mafumu ndi azidindo ndi maboma awo onse. Ine ndine mneneri wa Akhristu ndi Asilamu ndi onse okhala padziko lapansi lerolino. Ine ndiri nawo mafungulo a Ufumu wa Miyamba. Ine ndine njira, choonadi ndi moyo ndipo palibe amene angapulumutsidwe kupatula ine lero. Wodalitsika aliyense amene amuwona Mwana mwa ine. Ine ndine moyo ndipo china chirichonse chiri imfa basi, chisokonezo ndi bwinja.

  • @salhishashania216
    @salhishashania216 5 ปีที่แล้ว +5

    Harmoniz ft professional j

  • @simonjoseph7156
    @simonjoseph7156 6 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahaaa!!!! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Atarii

  • @belabeka6630
    @belabeka6630 5 ปีที่แล้ว

    Jamani nambieni huwa wanapa tikana wapi hawa wajamaa,napenda kwenda na mie

    • @tedyjuma6393
      @tedyjuma6393 5 ปีที่แล้ว

      Bela Beka hata mim napenda san ila cjui wako wap

  • @FrediMassawe
    @FrediMassawe 6 หลายเดือนก่อน

    😮mwamb home kabisa

  • @justinmganiwa2790
    @justinmganiwa2790 ปีที่แล้ว

    who here 2023

  • @antoncharles8710
    @antoncharles8710 5 ปีที่แล้ว +1

    >>>> nice sana bro

  • @youngprophertmc6711
    @youngprophertmc6711 6 ปีที่แล้ว +1

    We masaiiiiii hatareeeeeeee mbavuuuu zangu

  • @elymsagala
    @elymsagala 6 ปีที่แล้ว +1

    beni noma sana uko good

  • @happylyimo6035
    @happylyimo6035 5 ปีที่แล้ว +1

    Yes

  • @sirpaindakiseya697
    @sirpaindakiseya697 5 ปีที่แล้ว

    Ohh nice one and only love

  • @Bitlontravels555
    @Bitlontravels555 5 ปีที่แล้ว +5

    Good try, Mr. Beneficial is great in telling intelligent jokes! Kudos mkuu!

  • @kbdmsafi_tz8094
    @kbdmsafi_tz8094 6 ปีที่แล้ว +3

    hahaha Wewe Ndio Fundi Noumaaaa

  • @LouiseERne98
    @LouiseERne98 5 ปีที่แล้ว +4

    Unamahusiano gani na Petro, 😂😂

  • @kitebentebrandtv1629
    @kitebentebrandtv1629 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa unatisha

  • @mabujr4746
    @mabujr4746 6 ปีที่แล้ว +8

    mr beneficial you kill me broooo

  • @richardaugustino6775
    @richardaugustino6775 5 ปีที่แล้ว +9

    Ati mpk sura yako mwenyew inak-snitch yani man huna hela brother......!!!! dah hiki kipande nishakiangalia zaidi ya mara saba mshikaji yuko vzr

  • @Sayaifilmproduction
    @Sayaifilmproduction 5 หลายเดือนก่อน

    Mr beneficial, ndio mtu pekee mwenye alikua amebeba cheka tu enzi izo

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 5 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwa kweli jamaa yuko vizu

  • @kaystv662
    @kaystv662 5 ปีที่แล้ว +3

    Naomba KUJUA ni wapi huwa inafanyika wapi jamani ,kwa anayefahamu

  • @bennyfungo9798
    @bennyfungo9798 6 ปีที่แล้ว +2

    Nomaaa sana

  • @GodwinSumaye-th1zc
    @GodwinSumaye-th1zc ปีที่แล้ว

    Excellent

  • @RamatonyJensian
    @RamatonyJensian 4 หลายเดือนก่อน

    Hahahaahahaaaaa itabd mr offixial akutane na xtive mweux

  • @LegendsOfArt_production
    @LegendsOfArt_production 5 ปีที่แล้ว +1

    great job

  • @josephmatiasmkudejosephmat3050
    @josephmatiasmkudejosephmat3050 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama mchungaji jamani

  • @juntwajo6705
    @juntwajo6705 6 ปีที่แล้ว

    Daaaah nmecheka Sana hahahahaha

  • @ndegemzuri7448
    @ndegemzuri7448 5 ปีที่แล้ว +3

    👏👏👏👏💚💚

  • @thoyakaranih1362
    @thoyakaranih1362 6 ปีที่แล้ว +1

    hahaa amakweli n benefical....💪

  • @josephramsonmtukufu3149
    @josephramsonmtukufu3149 6 ปีที่แล้ว

    Naipende sana Kenya

  • @ommymsagati8342
    @ommymsagati8342 2 ปีที่แล้ว

    𝐒𝐈𝐎 𝐏𝐎𝐀 𝐂𝐇𝐔𝐆𝐀 𝐁𝐎𝐘 2021 𝒏𝒂𝒂𝒏𝒈𝒂𝒍𝒊𝒂

  • @KUYALAI
    @KUYALAI 6 ปีที่แล้ว

    Babulai umetishaa kinoma

  • @floramollel1362
    @floramollel1362 5 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂 ubora wa cm

  • @lilianvenance227
    @lilianvenance227 6 ปีที่แล้ว +3

    he is amazing

  • @salummgaza9151
    @salummgaza9151 6 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa anachekesha balaa😂😂

  • @benjaminphares5020
    @benjaminphares5020 5 ปีที่แล้ว +2

    jmn huwa inafanyika wapi hii natak nianze kuja duhhh napishan kwelkwel

  • @obadiampolo4123
    @obadiampolo4123 3 ปีที่แล้ว

    Pongez kwako👏👏👏

  • @elisantembeho188
    @elisantembeho188 2 ปีที่แล้ว

    Hatariii

  • @deborahomary6705
    @deborahomary6705 3 ปีที่แล้ว

    Kama umesoma sana biblia Tuambie nani alikuwa CIO wa geleza walilofungwa wakina paulo

  • @saulyngwiki1059
    @saulyngwiki1059 4 ปีที่แล้ว

    Babrai we noma charii angu xarute

    • @saulyngwiki1059
      @saulyngwiki1059 4 ปีที่แล้ว

      We no ma babrai by Emmanuel Timu from dodoma

  • @emaminja9988
    @emaminja9988 6 ปีที่แล้ว

    jamaa yuko vzr anajua aseh

  • @ramadhanihusseini1499
    @ramadhanihusseini1499 2 ปีที่แล้ว

    He is must of talent

  • @masterjoka9442
    @masterjoka9442 2 ปีที่แล้ว

    Mtu m.badi uyo kamanda

  • @noelyschila9323
    @noelyschila9323 5 ปีที่แล้ว

    Jamaa ana kipaji noma

  • @emeldaripkingmajutolalasal1029
    @emeldaripkingmajutolalasal1029 5 ปีที่แล้ว

    Mbavu zangu jamaniiiiii ninecheka mpaka nimemwamsha mtoto

  • @shashemuzyo4537
    @shashemuzyo4537 5 ปีที่แล้ว

    Jamaa unajua sana

  • @janeygeffy8140
    @janeygeffy8140 5 ปีที่แล้ว +3

    broo uko juuu saana but wakenya acheni wivuu aiseeeee 😏 nan kakuiga ww na kama mnaigwa mbn mnaangalia uo ni ukiwaki aiseeeee

    • @huaweiphone1459
      @huaweiphone1459 5 ปีที่แล้ว

      Wasenge hawa wafua chupi tuu wasitusumbue

  • @yunnusmurdchambo6403
    @yunnusmurdchambo6403 6 ปีที่แล้ว

    Mwamba namuelewa sana

  • @peterjohn8405
    @peterjohn8405 6 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana

  • @henrylongo4343
    @henrylongo4343 3 ปีที่แล้ว

    Looking good

  • @mcsabufa2716
    @mcsabufa2716 6 ปีที่แล้ว +6

    Usifanye kwa kuiga Churchhill inaonyesha unawangalia sana na ndo wanaokuinspire lakini ifanye kwa namna nyingine itakuwa nzuri 2

    • @ndossiadventurestz.6796
      @ndossiadventurestz.6796 6 ปีที่แล้ว

      Ww hajaiga churchil...Mbona,yuko creative tu

    • @mcsabufa2716
      @mcsabufa2716 6 ปีที่แล้ว

      @@ndossiadventurestz.6796 Msikilize anavoita wachekeshaji kamsikilize na Churchhill anavoita watu kwa Stage !

    • @ndossiadventurestz.6796
      @ndossiadventurestz.6796 6 ปีที่แล้ว

      Okay ila so mbaya ila wachekeshaji wanafanya vitu creative tofaut tofaut

    • @mustaphabayo1064
      @mustaphabayo1064 6 ปีที่แล้ว

      Mc Sabufa acha uchawi jamaa kajitahid knoma

  • @singasinga2663
    @singasinga2663 6 ปีที่แล้ว

    Unajua Mr beneficial

  • @manofpeople4648
    @manofpeople4648 5 ปีที่แล้ว +1

    HIV huyu ndo Chalee R au ndg?

  • @godsonkimario6562
    @godsonkimario6562 6 ปีที่แล้ว

    mm nilijuaga huyu Jamaa ni muhuni mwingine tyu kumbe had ngeli anajua

  • @richardjofrey9544
    @richardjofrey9544 5 ปีที่แล้ว

    Khaaa huyu jamaa kumbe anakpaj namna hii....!!

  • @nelsonshaban708
    @nelsonshaban708 5 ปีที่แล้ว

    Uko vzr brother 😂😂😂

  • @emmanuelkapalu4587
    @emmanuelkapalu4587 5 ปีที่แล้ว

    Mbavuuu zangu Jamani 😂😂😂

  • @samsonmwampashe9177
    @samsonmwampashe9177 6 ปีที่แล้ว +2

    nice

  • @WariobaJuma
    @WariobaJuma 7 หลายเดือนก่อน

    safi

  • @fredpetter9457
    @fredpetter9457 3 ปีที่แล้ว

    stress free

  • @knourisgalis967
    @knourisgalis967 5 ปีที่แล้ว

    hhhahahhhhahah.... jmniii unauhusiano gan na Petro???? I like u