HOUSE GIRL EP 25 | S3 | Love Story 💕💞

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024
  • HOUSE GIRL SEASON 3

ความคิดเห็น • 383

  • @geraldcrispini
    @geraldcrispini 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +46

    Chiko hana akili kabisa wanaompa big up tasha like kama zote

    • @aishahamis1609
      @aishahamis1609 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tupoooooo

  • @GloriaNahimana-x8p
    @GloriaNahimana-x8p 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +39

    Tunao furahia doa ya zatiti na Tacha tujuane 🎉🎉

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +18

    Honger tash kwa tabia nzur uliyoonyesh kwa wakwe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 🎉🎉🎉🎉Tash tulio furahia tash kusifiwa na wazazi WA zatit tujuan kweny comment

    • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
      @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tasha ameweza sana eshima kitu kizuri

    • @user-Ambani
      @user-Ambani ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Mariam-vg6wt
    @Mariam-vg6wt 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +28

    Nimewahi leo jaman toka nianze kuangalia sijawai pata hata likes mbili 2 😊

  • @Saumu-lm7nt
    @Saumu-lm7nt 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Sania Kama nakuona ulivyo Kama kimdori na kitumbo kikitoka Kama mtungi 😂

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +37

    UTAKAYESOMA HII COMENT MUNGU AKILINDE WW UZAO WAKO INSHALAA🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

    • @Farthun
      @Farthun 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Amiin inshaallah kwako pia

    • @finedichengula6816
      @finedichengula6816 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Amina mtumishi

    • @shaniabdallah9993
      @shaniabdallah9993 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      In shaallsh nawe pia

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Allahumma Amiin 🤲 YAARAB 🤲

    • @MwanashaHemed-w3r
      @MwanashaHemed-w3r ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amiin inshaallah 🤲

  • @fammamaboko6543
    @fammamaboko6543 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    Dakika 3 jameni nimewahi
    N'a Mimi Léo nipewe like hâta 10😂😂😂😂

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +74

    Nimewahi kutoka Kenya 🇰🇪 Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu yoyote atasomo comment hii Mwenyezi Mungu amfungulie milango ya baraka 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @mwanaisha9462
      @mwanaisha9462 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amina

    • @JescaYusuph-m4y
      @JescaYusuph-m4y 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amina

    • @LucyelijaKadalida
      @LucyelijaKadalida 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amin

    • @AminaKavuo-gj3oc
      @AminaKavuo-gj3oc 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amen mim pia nimetoka Kenya

    • @mwanaisha9462
      @mwanaisha9462 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SaumuJumwa-u4v mm pia natokea kenya

  • @veronicahmomanyi
    @veronicahmomanyi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +34

    Team zuu siku hiz mnamuona zuu hako Sawa jaman

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nahis ana mimba kweli huyu

    • @pendochacha1326
      @pendochacha1326 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      ​@@Fathasssane-vs2thhii itakuwaa mimba kweli sio maigizo ila sasa kiuhalisia ni ya Kai au nani nisaidieni kiuhalisia lakn😂😂😂😂😂

    • @Frola-r9z
      @Frola-r9z 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😅😅😅😅 jamani

    • @veronicahmomanyi
      @veronicahmomanyi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Fathasssane-vs2th kbsa Yani yupo yupo to

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@pendochacha1326 kai 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Tasha hongera zake ameweza kukaza kla Aina ya tusi kutoka kwa wazaz wake zatiti, lkn mwshon kapata asilimia 💯

  • @niyaofabian5483
    @niyaofabian5483 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +23

    Baba zatiti amuita mama zatiti, mama tasha😂❤❤ kuigiza kazi kunamazoea aseeee

    • @jonnyfranco5318
      @jonnyfranco5318 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 duh walishindwa kuedit

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Mm nmeelewa kamkubali kijana na ndio maana kamuita mkewe mama tasha

    • @dianadiana2958
      @dianadiana2958 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Chiko anadharau ya high standard 😅😅😅

    • @MwanahijaMwachanga-q3n
      @MwanahijaMwachanga-q3n 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hamna kwa xaxa kashakuwa mama Tasha

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@MwanahijaMwachanga-q3n true

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Wenye tunasubiri harusi ya mr tasha na zatiti mikono juu ❤❤❤❤

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Safi ngonde mapenzi umempende Sania 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Ngonde umemuweza tujuane hap chin tulio furahia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kumbe chiku ww wuna sifa mbaya ukweni. Pole

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    😂😂😂😂😂😂 ngonde asante sanaa kwa kumpenda sania 😂😂😂😂😂😂😂😂😂sania piskali imeisha...rehma kazi unayo machozi ya zatiti nawe utalia tuuuu😂😂😂😂😂😂😂mr tasha unaenjoy kweli hongera busat tv❤❤❤❤❤❤❤

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +23

    Wenye wanangoja Harusi ya Sania na mganga na masozi na Tisa tujuane 😂😂halafu Rahma ubaya ubwela 😁chenye Ulimfanyia Zatiti naona kiko karibu kutimia kwako 😂😂lazima ukubali uke wenza upende ukatae Kama wakubaliana na mm gonga likes 😂😂😂😂😂

    • @shamimtv254
      @shamimtv254 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂 siyo tisa ni chisa

    • @MwanamisiMunnah-x3v
      @MwanamisiMunnah-x3v 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Asssaaaanteee😂😂😂😂

    • @SaumuJumwa-u4v
      @SaumuJumwa-u4v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@shamimtv254 aaaah oooh majina mengine niya laana 🤣🤣😂😂😂😂

    • @SaumuJumwa-u4v
      @SaumuJumwa-u4v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@MwanamisiMunnah-x3v 🤣🤣🤣🤣hapo hua kunanipunga

    • @DorothyAldo
      @DorothyAldo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Asaaaaaanti😂😂😂😂🎉

  • @ChimammyMummy
    @ChimammyMummy 19 นาทีที่ผ่านมา +1

    🤣🤣🤣🤣🤣chikoo jamenii ety hata kama tumejifunzaa Kwamba maji hayana rangi lkin sikwa Hali hiyoo nmechekaa

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Mganga ngonde amepta maaidizi sania😂😂😂. Ila chiko kwa kweli unionyesha makosa sana kwa kina zatiti ery ugali wa mhogo n ulimbo😂😂😂😂😂 wake like kwa chisa n nawake zake yaan round hii chisa lazima asema 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @AdveraElias
      @AdveraElias ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na bado hajasema 😂😂😂😂😂😂

  • @symochanji6896
    @symochanji6896 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +18

    Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪 wapi likes sa Busati tv Kwa kazi nzuri wanaofanya jamani

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉kazi nzuri sana ila sania kubali uwe mwana maji wa ngonde kimamula

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Ngonde kimamula utanivunja mbavu,umempenda sania,ndoa tunaigonjea na musicheleweshe,alfu ss Tasha kaenda kuishi ukweni😂😂😂,hivi ndo episode nzima iwe kumbukizi za chiko😢😢

    • @TheresiaMoses-g7w
      @TheresiaMoses-g7w 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwacheni Mr Tasha anazoe mazingira ili aepukane na majanga ya chiko

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tasha umepata asili💯💯zote Kwa wakwe zako wallah Hila hyoo chico unajishau bore kwen masasi yup kama hvyo acha zarahau mchi inawejewe kina p Didi 😂😂😂

  • @ميريالشمري-ح9ب
    @ميريالشمري-ح9ب 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ila rahma ikopowa❤❤❤ unapenda watoto 😂😂tulia saniya uzae namizimu yangonde achashombo😢😢eti msaidiye ngonde kutibuuu😅😅😅

  • @DominPallangyo
    @DominPallangyo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    BUSATI TV FOR HAPPIEST LIFE ❤❤🎉🎉 Mungu azidishe nguvu na maarifa kwenu wana Busati 🙏🙏🙏💕

  • @FunnyBanjo-xm8cz
    @FunnyBanjo-xm8cz ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hhhhhh chko nakuchukia vibaya yayayaya nampenda mista tashaaa aishimiweeez

  • @AdassaMsafiri
    @AdassaMsafiri 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Naombaa like hata mojaa jamanii nimewahi

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    270,Sania kushwa habari yako.tuzaliye huyo mlic mama 😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Kama🎉 wanaamin tasha ataenda lima kwa mzee mkolon km mm gonga like ndugu❤❤❤❤❤❤

    • @HonorX5-o1h
      @HonorX5-o1h 36 นาทีที่ผ่านมา

      Mimi ninamni ataenda❤

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kumbe chiko anamadharau sana ,kwa familia ya wakwe zake

  • @Elizabeth-p3d
    @Elizabeth-p3d 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Jamn na mimi nime wahi leo makofi kwangu haijawahi tokea😂😂😂😂 wazima lakn

  • @babysister4th
    @babysister4th ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jamani leo nimependezwa na Rahma ❤❤

  • @Moraadianaa-o2wys
    @Moraadianaa-o2wys 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Wa kwanxa naombeni likes kutoka Kenya ❤❤

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kumb chiko tabia yako na chafu mpak wakwe uliwatukana na Mke umekosa jaman tumzomee chiko aliweka mwany toka Zaman jaman hapo chin chiko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hzi kumbukumbu za chiko daaa zinakera kwa kwel yaan anaongea bila hta hofu,,ninaimaan watampenda snaa Mr Tasha kwa hekima zake.Yaan kaaa matusi vile sijapenda kweli mm

  • @user-Ambani
    @user-Ambani ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    My fellow kenyans🇰🇪 hizi mboga anazotengeneza mama zatiti sini matawi ya muogo au mm macho mabaya😅

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ndio mboga hiyo kisamvu tunaita

    • @user-Ambani
      @user-Ambani ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@zainabzain3434 Natamani kujua taste yake

  • @DorcasNasimiyu-g4e
    @DorcasNasimiyu-g4e 55 นาทีที่ผ่านมา

    Sania Mrs mganga😂😂😂😂 hapo ume patikana. I love you guys. Good job🎉🎉🎉

  • @moonGirl-t1i
    @moonGirl-t1i 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ndani ndani from Kenya nawafuatilia sana Tasha pongezi kwako kq heshima ya wazazi wa zatiti lakini hiyo Chiko na madharau yake kwa wazazi C viema

  • @AishaKombo-n5f
    @AishaKombo-n5f 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wakwanza mm kufurahi kumuona rahma àmeikubali mimba ya mume wake kwa mwanamke mwenzie ❤❤❤❤❤

  • @Leilajepmtu
    @Leilajepmtu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂😂😂😂 mnganga jukua Maua yako 💐💐💐💐💐💐💐💐 saniya umekua kierere Sana dada 👍👍👍👍👍

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Cisa jua kuyaoga ayo maji uluyacemusha pekeako😂😂😂😂

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kijiji chakishamba,mtandao wakishamba nakila kitu chakishamba

  • @celestinekakai1981
    @celestinekakai1981 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Makofi kwa ngonde👏👏👏👏👏👏👏😂😂😂😂😂
    Sania utasaidia kupiga dawa wateja wa ngonde

  • @Frola-r9z
    @Frola-r9z 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani hongereni sana kwa kazi nzuri tunajifunza mambo mengi kupitia kipindi hiki 🙏🙏

  • @fatmahaji7639
    @fatmahaji7639 53 นาทีที่ผ่านมา

    Jamani Nimeumssss huo ungali wa Muhongo nawapenda wote nakupateni vizuri oman

  • @EnjoyJosephElikana
    @EnjoyJosephElikana 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Lahima nimekupenda umekua nahuluma namwenzio nakupa🎉🎉🎉🎉 mauwa kwahuluma nimwanamke unayejua uchungu

  • @DominPallangyo
    @DominPallangyo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jamani mimi nina ombi kwa mashabiki na watazamaji wa Busati na house girl kwa ujumla....naomba msiombe like kabla hamjatoa maoni na ushauri juu ya movie....like tuwape walioigiza ndo waliofanya kazi nzito maana kama tunaishia tyu kuomba like wao watajuaje walipokosea? 🙏🙏🙏Ni hayo tyu❤❤ nawapenda na Asanteni ❤❤🎉🎉🎉 BUSATI TV FOR LIFE ❤❤❤

    • @mauamshindo2558
      @mauamshindo2558 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wanakela sana baada ya kutoa maoni wanataka like tuh😂

    • @DominPallangyo
      @DominPallangyo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@mauamshindo2558 me mwenyew kwel inanikera maana wakupewa like ni waigizaji sisi tunatakiwa tutoe maoni ya movie ila mtu kaingia tyu et nipeni like 😏😏😏😏

    • @SakinaMuba
      @SakinaMuba 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      wajinga sana

    • @FaisalAlrefai-u2y
      @FaisalAlrefai-u2y 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@SakinaMubaKweli kabisa

    • @RehemaMwakisyala-k9u
      @RehemaMwakisyala-k9u ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwan izo like wanalipwa? naomba kujua mi mgen jaman

  • @coolboymicky3651
    @coolboymicky3651 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Chisa kautaka 😂😂😂kazi anayo wake wawil

  • @MwendeMunyao-zi1iy
    @MwendeMunyao-zi1iy 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Nimewai jamani naoba like kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @MwanakomboNassor
    @MwanakomboNassor 5 นาทีที่ผ่านมา +1

    Chiko kanivunja mbavu apo kw ugali wa mihogo😂😂😂😂😂

  • @shadya-gi8br
    @shadya-gi8br 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ila Sania ety ngomde kimamula mganga wa kienyeji😂😂😂😂😂

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani wameni tamanisha ugali wa muhogo. Sie tuliokua nje ya TZ chakula adimu hichi jamani. Chiko anakidharau.🤤🤤😋😋

  • @leahfwimi5917
    @leahfwimi5917 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Nipen like nimekuwa wa kwanza❤❤❤

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wa 42. Nami pia cjachelewa saana jamani leo. From 🇴🇲. Nawapenda saana Busati TV. Kazi nzuri. Na kl la heri.❤

  • @MwajumaAthuman-wv9mo
    @MwajumaAthuman-wv9mo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Chiko untk chipsi. Nd auna ng.....😂😂😂

  • @floramacheva5855
    @floramacheva5855 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kumbe dharau ya chiko ilitoka kitambo 😢😢😢😢 kweli Zatiti hukustahili kuishi na chiko kabisa 😢

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbona maji nikama ya singida😅😅😅ila chiko siyokwakuchamba huko😅😅😅

  • @JaneMhango-yl7xo
    @JaneMhango-yl7xo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hata mm sijachelewa sana pa 25 seconds mm kutoka 🇿🇲

  • @AishaAbdoullah
    @AishaAbdoullah 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani Busati TV kuweni mnapunguza kumbukumbu msiwi mnaifanya ndefu

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Penzi paja kwa kaka chinsa na dada rahma masonzi umedanganyika na wakina kendy kukudanganya na mimba umepewa jamani duu ongereni sana sana mie mnazidi tu kunifurahisha

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Rahma umenifirahisha sana kumbe kuna muda una utu ❤❤❤❤

  • @marymele9714
    @marymele9714 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Sania kula chuma icho na babakijacho wako😅😅😅😅

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli Zatiti kumbe iyo ndoa ya kwanza ulikosea kabisaa,,,,, heri tuh Sasa umempata Tasha wako❤❤

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂CHIKU bwana ulimbo maji yameekwa sabun

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chisa kautaka chisa kauliy wap baba vijacho chisa na ngonde ngonde maua 🎉🎉🎉 bad msr Tasha

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jaman chiko ulikua najipa laan tmwenyew toka zaman sas zinakuendesha w huna adabu chiko

  • @HalimaAli-e4w
    @HalimaAli-e4w 33 นาทีที่ผ่านมา

    Jamni chiko kumbe alikuwa mjingaa sana jamni 😅😅wapi like❤🎉za tashaa wetu

  • @buru1235
    @buru1235 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Chisa kumbafffff Sana ww Yani ww n nyoka mkubwa Sana wallai Yani nakichukia Sana 😢

  • @BeatriceMvaty
    @BeatriceMvaty 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nikajua bas nimewah kumb duuhh Aya hongereni ❤❤❤

  • @NgalamnyaziScolasticah
    @NgalamnyaziScolasticah 23 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu rahman ata hamfikii daa mazozi mwenyewe anakaa km kitukutuku vile ila king'ang'anizi na sumbua tu kam kakake na chiko tu,ila Tasha ukarimu wake na busara zake zimewafanya wazazi wa zatiti kabadili majina badala ya mama zatiti ni mama Tasha sasa hongera mzee mkoloni kwa kumuozesha Tasha mwanao❤❤❤

  • @aishaabeid8106
    @aishaabeid8106 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Sania acha kumkazia Mr aasanteee😂😂😂

    • @user-Ambani
      @user-Ambani ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ila.mie kitu sijapenda kendy kurudi kuongeya na kayi zuu angeanza kipata raha namume wake bana mana kateseka sana mwanzo

  • @KevinRioba-v8t
    @KevinRioba-v8t 29 นาทีที่ผ่านมา +1

    Chisa ningekua wewe naachana na movie juu mwanamke hawezi niendesha

  • @VumiliaAmina
    @VumiliaAmina 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwa huu muchezo Rahama namupenda sana

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chisa acha kujifanya unamkana mtot wew

  • @RukiaJuma-kh2ed
    @RukiaJuma-kh2ed 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamn saniya kashakuwa pis ya gondeee😂😂😂😂

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leo chiko umenichekesha sanaaaaaa😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥huu siulimbo kabisa jamani

  • @AminaBakari-oy9eb
    @AminaBakari-oy9eb 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sania tulia mgaga kashafanya yake😂😂saii tukiz pisi kali namimba ya mizimu😂😂😂

  • @ASHANDEGWA
    @ASHANDEGWA 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kwanza Chisa waendana na Masozi huyo Rahma aaah

  • @lovenessmallya816
    @lovenessmallya816 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Ja'mani natamani sania ageuzwe nyoka na Mganga a.k.a Baba kija 😅😅😅😂😂

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Astaghfirullah, mhurumie😂😂😂 mlitaka mimba akapata...sai nyoka! Aaaaweeeeh 😊

    • @TeresaSefu
      @TeresaSefu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @user-Ambani
      @user-Ambani ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Haaa😂😂

  • @daphinekemto3094
    @daphinekemto3094 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri wana busati na mungu awabariki❤❤

  • @OtiliaExavery
    @OtiliaExavery 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kumbe chiko dharau ni za kwake tokea zamani duuuh

  • @Jenniffer-m9k
    @Jenniffer-m9k 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    nimewahi jaman .naomben like zenuu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @امينهاا-ق4ف
    @امينهاا-ق4ف 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤jaman mauwa ya mama zatiti hayo🎉🎉🎉❤

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 39 นาทีที่ผ่านมา

    Jamani wanaomba chisa amuoe masozi mke wa 2 gonga like hapo chini kweli Zatiti umepata mume kumbe chiko kawazalilisha wakwe kipindi cha nyuma😂😂 sania kubali kuwa na mganga n'gonde kimamula kwanza ni mhandisome sema Yuko kilingeni 😅usijifanye hazi zako kuolewa nawatu wakubwa 😅hata huyo n'gonde kimamula ni mtu mkubwa hongera Tasha kujuwa kukaa vizuri na wakwe

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chiko 😂😂😂huna lako Tasha kakula pawa si kwavituko ivyo ulivyokuwa navyo ukweni😢Cisa umeyatimba unajuwa vizuri mkeo nimkali alafu unajitowa akili😂😂

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Maji asilia ya kijijini nayapenda hayana dawa

  • @Maryam-e2x8p
    @Maryam-e2x8p 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Chiko afai katika hii familiya majidevu tu 🇸🇦 🇸🇦

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chisa mwenyewe Sasa Anaegombaniwa😂😂😂😂😂

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Xaxa sania apo cjui unabixana nn na ngonde apo we bebatu mimba ya mganga uo mdomo utaisha tu nijambo la mda

  • @RemmyOmmy
    @RemmyOmmy 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mganga sania😅😅😅😂

  • @EstherMzungu-b4n
    @EstherMzungu-b4n 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eeeeh lakini chiko umeweza leo kilakitu kwako sumu😂😂😂

  • @MinnahPetra
    @MinnahPetra 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uyu masozi naye si umeambiwa mimba italelewa vip tena wataka kuolewa ama watak pia iyo mimba uilee pekeako kama kuna mwenye kukubaliana na mm gonga like

  • @MariamHamisi-ti9vb
    @MariamHamisi-ti9vb ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jmn mama na baba zatiti mumenikumbusha kijijini kwetu ugali km huo na maji hayo yalivyo tamu 😢😢😢😢nakumbuka mbali sana

  • @ميريم-ط1س
    @ميريم-ط1س 45 นาทีที่ผ่านมา

    Chiko kama chiko kitu kama huwez siunaacha tu kulko uongee Huna haya wee kwa wakwe waongea ww tu 😂😂Ila hayo maji mmmh pia mm singeweza kunywa 😂😂

  • @Hapygideon
    @Hapygideon ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwan rahma anateseka na Nini hasa yeye kama anakizalio siangezaa,ulimdhalilisha zatiti sasa kimekugeukia,,,waaaah natamani chisa na masozi nao wakamilishe jambo,,,rahma ukonde huo mwili😂😂😂😂

  • @Fredmsemw
    @Fredmsemw ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani mpumbav mwenzangu kapoa kweli

  • @MarikiaMbombwe
    @MarikiaMbombwe 25 นาทีที่ผ่านมา

    We mshenzi chiko unavotuzalilisha we fala kwiyo cc wandengereko washamba sawa bwan

  • @AAl-r1s
    @AAl-r1s 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    chiko ugali unasema ni ulimbo😂😂

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chiko kumbe toka mwanzo hakuwa mume sahihi Ila kwa Tasha sasa ndio ndoa sahihi ❤❤

  • @AgnesMiyi
    @AgnesMiyi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nikweli baba zatiti tasha ni mwanaume bora sana kwa mwanao