Wapi kelele za wake wenza rahma na daa masozi 🎉🎉🎉❤❤❤❤ sema chisa kushtuka kuona tukio😂😂😂😂. Ila kweli sinia n mphilipino😂😂😂😂😂😂weka like kwa busara y mr tasha ❤❤❤🎉🎉🎉
Yaani watu tunaojiita muslim tuna kiburi dunia mzima Kusalimiwa tu Bwana Yesu asifiwe na tuitike,,tutapungukiwa na nini 😔 Acha dharau,wenzetu wakristo wana upendo wanatuzidi.
jmn mtu mmoja ajitokeze anisaidie kumwelewesha bibi kuwa hata ukifuta sms ya mpesa hela zake bado zipo maana amewaka kinyama anasema nimetoa hela kwenye simu.😭😭
Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu yoyote atakaye somo comment hii Mungu ampe maisha marefu
Amina
Amina
Unasalimia Muslim kwa jina la Yesu
Hawa watu Wana kiburi na hicho ndicho kitakacho wapeleka Jehanamu
nipo mbwa mm silali like za baba zatiti kma unakubaliana nae maamuzi yke yakuwaozesha from 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Singelala bila hii❤❤❤ kenya damu
Wa kwanz kutoka kenyaLeo na me nimewahi jamn like zenu nioneeeni huruma bas
Wa Kwanza Leo naombeni likes 😂😂
😀😀😀
Wakwanza jaman mnipe like zangu 😂😂😂 nawapenda bure kai achana na candy imeniuma sana
❤❤ mambo ni 🔥
Wapi kelele za wake wenza rahma na daa masozi 🎉🎉🎉❤❤❤❤ sema chisa kushtuka kuona tukio😂😂😂😂. Ila kweli sinia n mphilipino😂😂😂😂😂😂weka like kwa busara y mr tasha ❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂ʏᴇʏᴏᴏᴏ
Zatiti ma Mr Tasha must shine❤❤❤ MashaAhallah
Nimewahi kutoka Kenya 🇰🇪 kma ulikuwa waomba Sania apate mimba gonga likes tukisonga 😂😂
Sania 😮 mke wa ngonde mimba imekupendeza na miwan yakooon❤❤❤❤❤
Aki Kai na mama Tasha wamenibooo.ukweli husemwa haaaa😊😊
ZATASH (ZATITY&TASHA)❤THE BEST COUPLE IN HOUSE GIRL
Leo busati mmetufurahisha 🎉
😂😂😂Uku gulf kulala maybe tulaliwe ❤❤❤❤ tuko rada kabisaa gonga like nyie wajinga wezangu
Chonjo kabisaa😂😂😂
Tupo kipenzi 😂😂😂😂❤️
Rahma alifanyia zatiti vibaya imefika time yake😂
Sania mama ki jacho na baba ki jacho wake😅😅
Ira Saniya Nahuyu Muganga Ni Noma Kbx 😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Sania Mrs mganga ngonde kula chuma izo tuzalie zombi😂😂
Rahma moto unakuwakiaa 😂😂 yamekurudiaa ulichokifanyaa kwa zatitii jmn usitukanee mambaa kablaa ujavukaa mtoo
Rahma kubali tu Masozi muwe wake wenza 😂😂😅😅kma wakubaliana na mm gonga likes 😅😅😅
Leo naomba like nzangu ❤❤❤❤❤
Leo yamemkuta alie mtimua zatiti
Sania mkaza ngonde bado hujasema tulia utuletee kitoto cha kurithi kilinge 😂😂😂😂😂 team wifi tupo chonjo
Yaani nimesema sita lala mpka niione,wakuomba like mko wapi niwapee, ndio kuingia leo nime wai jaman❤❤❤❤❤
Number one today I need like
wakwanza leo nikiwa south Africa🇿🇦
Mrs mganga in town😂😂😂😂😂
Huyo wa wigi ka cabbage ameenda kwa honeyyy😂😂😂 anahaha tu 😊...kuwaza ka ng'ombe,nmecheka jaman sania kawezwa uku😢
Mapemaaa
nimewahi leo jamin🎉🎉naomben like zenu .😂😂ila sania kilimramba mimba y ngonde😂😂
Round hii Sania amepatikana 😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂mimba ya konde akumbali kuolewa tu na konde 😅😅😂😂😂
Mrs mganga hana chake uyo😂😂😂😂
Weeh Leo nimewahi jmn jmn Mashallah teqm Kulala Leo kuamka Leo mpooo❤
Tupoo
Tupoo
Tupoo
Amen
Shukurani Sana habibitys
😂😂😂😂 mdanganyi kaingia mkono wa mganga chisa anafanya wanaume wenye ndefu waonekane waajabu
Saniya na Muganga Ngonde wakiwa pamoja 😂😂😂😂😂wananivunja mbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimewahi nipewe maua yangu ❤
Yaani watu tunaojiita muslim tuna kiburi dunia mzima
Kusalimiwa tu Bwana Yesu asifiwe na tuitike,,tutapungukiwa na nini 😔
Acha dharau,wenzetu wakristo wana upendo wanatuzidi.
Ngonde na sania wamenifurahisha leo😂
Next plz ❤❤❤❤😂😂😂 mzima yakonde
Nice movie ❤❤❤❤🎉🎉
Natumai nmekuwa wa kwanza 🎉🎉🎉 like jamani
Hongera sania tunakuja kulea😂😂😂
Hoyeeeee likes zangu mie😂😂😂😂😂
Sania kawezwa adi kapoa😮😢😂😂😂
Nakwambia amepatikana
Rahma amanifurahisha leo👏👏👏
Chisa chisa God anakuona ety n mwongo ayii wanaume wengine sijuhi mbona walizaliwa kumbafffff Sana zangu😢
Mazuzi kavurugwa. 😂😂😂😂
Nipee 🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂 daa masozi kavurugwa na mimba ya uzeheni
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
wakwaza leo from Kenya
Sania kubali kurithi mikoba😅😅😅ngonde kiki na box🎉🎉
💃wa kwanza leo mwenyeweeee kucomments nipeni mauwahanguuu😂😂😂
Kila MTU ako Na mimba uku ndani next Ni zatiti wetu sasa
Sania ni Filipino😂😂😂 komsata mabutu
Weuweeee 🎉🎉 six minutes ago ❤❤😂
Hivi??kwni kila mtu ni wa kwnza humu ndani 😂😂🤭 aya mie wa mwisho naomba like nikamtandike kai kwa upuuzi wake 😂😂🙌
Na mm je gonga like hapa 🎉🎉🎉
Nmewah leo❤❤❤
Mko aje nyinyi lasima kila siku mnitangulie jamani ila nawapenda sana jikueni maua yenu 🎉🎉🎉🎉
Sania anata tuleteya katoto cha mganga😂😂😂😂
Wa kwanza leo
Wakwanza mimi leo
Misukule ishachagua sania basi 😂😂😂
Sania mimba ya mganga unayo nautatamba nayo😂masozi lea mimba chisa atakutafuta mwenyewe rahma na kaka yake chiko wagumba hawazai😅
Mapema ndio best like kwa wingi 😂
Sania kz unayo tulia.utuletee sinduna😂
🎉🎉🎉
Wa kwanza leo ni mimi
NICHOLAUS MATELEPHONE kitokea iringa
Chisa ww vyenu umenywea hiyo mimacho ka ya mwizi aliyekamatwa😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😅😅😅😅😅
🥰🥰🥰
Mama p ❤
Nimewahi leo na mm
Kumbe wengi tupo macho
Taratibun mbele kuna folen uku
Sjalala nipo naww khai mpk wakuue na umbea wako kuacha kulala na mkeo kuhangaika usiku hujui km ni mtego umenikera san😡😡😡
Wa kwanza
Mh nyie watu hamlali
🎉🎉
Naisi kumchukia Kai sjuw nnamimba😅😅
Labda ya ngondeee😂😂😂😂😂😂
Kwani unamimba yake 😂😂😂😂
Wa 49 nipe like zangu nikalale❤
Sania kilanga chose kimemuisha
Nimevhelewa leo
Rahma 😂pole mwaya ila umeonyesha uungwana kwa mwanamke mwenzio 😂😂
❤❤❤❤
Sania mphilipino😂😂😂
Sania mkolea mkolea mfilipino😂😂
Aki jamani nipeni likes na mimi
Jamn sania alitakiwa aishi wap mniambie wapendwa
Leo ni wa kwanza
🎉🎉🎉🎉
Baada ya kutembea tu na ww kitu na box 😂😂😂😂😂😂 sania pisi kali kwisha habari yako 🤣🤣🤣🤣
❤️❤️🥰
Chisa uso umemshuka shuuu hadi hadi anashindwa kuuchota😂😂😂😂
jmn mtu mmoja ajitokeze anisaidie kumwelewesha bibi kuwa hata ukifuta sms ya mpesa hela zake bado zipo maana amewaka kinyama anasema nimetoa hela kwenye simu.😭😭
😂😂😂😂
Mungu wangu mie nacheka sana kweli 😂😂😂😂😂
Sania😅😅😅😅
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sania kayatimba
❤❤❤
Mrs mganga samwalekum 😂😂😂
Dah pole tu sania ila ndo tujifunze😢