JIFUNZE GARI ZA MFUMO WA "Push To Start" ZINAVYOIBIWA - Mr Sabyy
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024
- Usibonyeze Link hii chini 👇👇👇 kama huna ROHO NGUMU juu ya MAGARI ....👇👇👇
/ @mrsabyy
Ndugu mtazamaji magari yote yanatotumia Mfumo wa push to start yamewekewa namna ya kuizima na kuiwasha Sensor yake (Key FOB) ili kuizuia isitume taarifa lakini watumiaji wengi wamekua hawafahamu njia hiyo na kuona gari iko salama kwasababu milango imefunga na mwisho wengi wamekua wakiibiwa magari yao pasipo kujua wezi wameweza vipi kuiwasha ikiwa Sensor anayo mmiliki.. Jifunze na mwambie mwenzio ajifunze ili darasa huru liwafikie watu wengi. ENJOY
Huduma zangu...
1: Kuagiziwa GARI JAPAN/UK/DUBAI
2: kutolewa Gari yako Bandarini ( Clearing & Forwarding ) kwa wateja waliokwisha nunua Gari
3: Msaada wa kutafutiwa Gari mtandaoni na kupigiwa hesabu ni BURE
4: Msaada wa kuagiziwa bidhaa mbalimbali nje ya nchi
5: Kusafirishiwa Gari yako popote ndani ya Tanzania
Tumia mawasiliano haya chini.
NB: Tunafanya kazi na watu binafsi /Makampuni / Taasisi zote
--------------------------------------
Social media handle
Instagram: / mr_sabyy
Whatsapp link : wa.me/message/...
☎️DM/Piga/Text 0653953900 /
☎️Whatsapp +255 653953900
📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
🏢Company: Mofaz movers Ltd
📍Location: PSSSF HOUSE, Ghorofa ya 9, Wing A-Room 4, Samora Avenue St.
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA NI BURE🙏
All copyrights reserved under CAIRO PROMOTIONS © 2022
--------------
#MrSabyy #Clearing_and_Forwarding #WiziWaMAGARI
#Clearing_And_Forwarding
#Clearing_And_Forwarding_Agent
Please kama umependa elimu hii weka "LIKE" 👆👆 na Acha "COMMENT" yako 👇👇 ili iwafikie watu wengi, pia unapo subscribe unatupa moyo zaidi hivyo hakikisha una view na ku subscribe. Asantee
naomba kujua...rimot yangu nkirock mlango lakn nkishika to inafunguka lakn mwngne awez fungua hii ainashda au imrkaaje
Hakuna shida hizo zinaitwa door sensor inakuwa inatambua alieshika remote ni nani
Kakaangu leo umenifunza kitu muimusana Asante
Nitakutafuta Sabby
Karibu. WhatsApp 0653953900
Big up sana kaka.. imesomeka hiyo
Asante na ubarikiwe
Ubarikiwe...
Amina, usisahau ku subscribe na kushare link kwa wengine🤝🏻
Shukran mzee
Asante umenipa elimu kubwa sana mkuu
Asante na karibu
Thanks Mr🤝
Thanks too, usiache ku subscribe
Asante sana
Ubarikiwe, usiache ku subscribe
Naomba nisaidie gari yangu imejirock na funguo nimesahau ndani ya gari aina ya BMW please nisaidie jmn ninashida
Hello, naomba nichek Whatsapp 0653953900
Trick hii ni hata kwa kampuni za Nissan au ni Toyota tuu??
Toyota tu
❤❤
Mbona nimejaribu hivyo na bado nikigusa tu gari inafunguka
Basi funguo yako inakua haijazima so unapokua nayo karibu gari bado unapokea signal na kufunguka