Jinsi ya kuendesha gari aina ya Manuel gari ya mizigo ton 3
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
- Tunaendelea kujifunza udereva ,napenda kuwashukuru wote mlio subscribe Chanel yangu namimi ninawaahidi kuwaletea vitu vizuri zaidi kupitia hapa ,pia napokea maswali ,maoni ,ushauli nk karibuni sana.
Asante kaka tunatambua uwepo wako enderea kutupa darasa mungu akubariki
Napenda kuendesha gar.! Ntaenda shule
The same maah😂 nimelipa ada j 3 naanza na nahitaji lesen kubwa
Uko vzur Sana bos...nimekueewa sana
Nimependa totorial yako mkuu safi tena sana nimetazama maramoja nanimejua maramoja mungu akubaeiki
Wewe
Shukrana kwa mafundisho mazur nimefurahia hii huduma umetufunza mazur
Wow
Asante sana. Unafunza vizuri sana.
Thank you my friend
Jamaa. Ni mwalimu mzur sana
Umetisha mwamba
Pamoja
Uko vizuri sana mr,
Awesome frm Kenya
Kaka sifa Yako lazima nikupe..unajua sana kufundisha gari ..tena manual adi Raha mkuu.. Mungu Akubariki Mkuu 🔥🔥✨
Asante sana broo
Asante sana bossi nmekuelewa;
Kumbe kuendesha gari ni rahisi hivi.
unakanyaga brake taratibu gari ikisimama ndio unakanyaga crach ili kutunza moto na engine ibaki katika mzunguko
Safi
Uko sawa bro , # instructor Steve premier driving school where learner's become a competent driver's 🛣️🛑 Kenya
Asante kaka Kwa kunikumbusha kuendesha gari
Bro shukran sana unaelekeza vzuri sana
Asante
Bro ukovizuri nimejifunza kwako shukran
Natamni sna kuendesha gari
Utaendesha
thanks for sharing
Uko vizur San bro 💪👍
Asate sana kaka
Mwalimu mzuri ,nimefurahi kujua nanma ya kuendesha gari .
Asante
Nipe nmb yk boss
Uko vizuri sanaaaaa🔥
Kawaida tu nduguyangu
Kama ungekuwa N I T HAKUNA MWANAFUNZI AMBAE ANGE FELI KINADHARIA✅
@@fatmabahero3971 mbona nafundisha kawaida tu jamn
ahsante yohana nakupata vip
Safi teacher umeeleweka vyema
Pamoja
Nakupaataje bosi
yeah
Asant sana kaka
Safi sana kiongozi
Somo zuri sanaaaaa
Thank you
Mwalimu safi mnoo
Weweni mnoma aisee
Hongera sanq
Nimekuelewa rafiki wewe siyo mchoyo safi sana
Sooo niceeeeee
Thanks 😊
Mungu akubariki sana mm kime baki kupata resen tuu hapa
Good
Kazi nzur
Asante boss
Vp mzee kigugumizi kingi sana kaz nzuli
Safi sana tutaweza tu
Asante sana brother
Yohana asante sana naomba namba zako brother
0684543304
inaeleweka bro
Sawaa sawaaa Boss
leo ndio mara ya kwnz kujifunza kuendesha gari na nimeshajua kumbe mtelezo tu sasa kilichobaki kukata leseni tu nikachukue coaster nibebe abiria game over 🤸🤸
😁😁😁😁😁😁😁
😂😂😂😂😂😂😂
😮
Upo simple and clear kaka 👊 nimeelewa lkn Sasa unapo badilisha gear kwa kukanyaga clutch mafuta yenyw unaendelea kukanyaga
unaachia mafuta mpk gear uingize
Unapatiak wapi bro
Nimejifunza kitu Asante
Asante
Sasa ukikanyaga brake tu bila krach unafanyeje
asante bos unapatkana wap
Nzuri mwalimu
Mm nimeelewa apo nipewe gari nitembee nakatarama
❤❤
asante
Mimi ni dereva wa Lori lakini nahitaji kujifunza mitambo excavator mashine nahitaji maelekezo
Nime kupata
Asante sana
Okay
Kwan ukiwa unachange gear lazima mguu uwe kwnye gas I mean ex selecteer ???
Huwez ukaachia kidogo then unachange gear alafu unaendelea
Nice
🤝🤝
Ikaacs
Hamna dereva apo angalia miguuni kavaaje?
😂🤣unachekesha kiongozi
😇
Ujaelekeza Kama inatumia upepo
Nimeshndw kuangalia mbk mwisho nimeona namaliza MB zangu mwl mwenyewe haujakamilika kwanza umevaa open shoes
Unajua sana
@@yohanasungo9401 asikuwazishe huyo Kwan unafundisha kuvaa viatu hapa... Salut kwako nimekuelewa sana
@@jamilakidirya5532 hanisumbui ,maana yeye anayejua kafundisha wangapi?
Nimekuelewa aisee ongera kwa moyo wako endelea kutupa darasa kaka
kaz mzuri je na kufundisha kwa vitendo unafundisha?
Natamani sana kufikia kiwango hicho chakuwafundisha watu kwa vitendo ,lakini Kwasasa sijawa na gari ya kufundishia ,
Unatufundishagari lakiniumevaa ndala
Uko wapiiii now
Mimi naishi dar ,salasala
Daaaaah nipo Dodoma nilitamani xnaaa nipate training ata kwa mwezi mmoja ata kwakulipiaa
@@reganisangana8404 lakini kama una gari naweza kuja kukufundisha hukohuko mkuu
Ttzo ilo sina mkuu nipo apa katika shughuli zangu gari lipo mkoani yaniii napata tabu anaendesha dereva tu....
We unadelay sana,,,,,
Sawahani sana ,kuna mambo yalikua hayajakaa sawa hapa kati
Okay,,
Wewe kwa vile unaelewa haraka, unaona ana delay sana.
Tuache sisi vichwa vya panzi tuelewe taratiibuuu.
Yohana kazi mzuri mwayaa. Asanteee
@@marykarebeti9410 kweli kwa sie twaona hii ndo Sawa.. Ndo ninasiku mbili tokea kujifunza ila hapa nmepata kuelewa vitu vingi
Kuendesha gari na hivyo viatu ni makosa
Mambo vip unapatikan mkoa gani
Dar es salaam
Kwanza wewe mwenyewe upo kwenye makosa uwezi endesha gari umevaa viatu vya wazi uko nyuma.
Good