MTOTO WA TAJIRI 🤔🤔

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Kijana Jack, anaefanya kazi ya ulinzi katika jumba la kitajiri.. Ndani ya jumba hilo wanaishi watu wa nne tu... Binti mrembo sana mtoto wa tajiri huyo, mke wa tajiri , tajiri mwenyewe pamoja na Jack mlinzi... Kizaa zaa kinakuja pale ambapo mama na mwana wanazama kwenye penzi na mlinzi huyo, basi inakua ni kutafutana hapo ndani... Sikilizi simulizi hii ya kusisimua utapata mengi ya kujifunza bila kusahau burudani ya kutosha..

ความคิดเห็น • 225

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr ปีที่แล้ว +2

    Nice story I really like it so much

  • @mercyklop100
    @mercyklop100 2 ปีที่แล้ว +3

    Nice stroy. I really like it so much

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 2 ปีที่แล้ว +9

    Waooo simulizi nzur sana hata anayesimulia ana sauti nzur sana

  • @mathiaslukenza6787
    @mathiaslukenza6787 2 ปีที่แล้ว +6

    dah simulizi hii zuri sana nimeipenda sana

  • @عهُد-ب6ظ
    @عهُد-ب6ظ ปีที่แล้ว +2

    Tamaa mbaya hasira mbaya pia ni hasara

  • @dennisyalomba9850
    @dennisyalomba9850 2 ปีที่แล้ว +5

    Simulizi ni nzuri na inamafundisho makubwa Sana

  • @lemamoleli4320
    @lemamoleli4320 2 ปีที่แล้ว +3

    namm nimeipenda sana story

  • @shadrackdeogratius3638
    @shadrackdeogratius3638 2 ปีที่แล้ว +3

    Ubaya ukifany unakalia utalud na utaumia🙏

  • @sadicksaid9773
    @sadicksaid9773 2 ปีที่แล้ว +2

    Mary uko vizuri kwakweli mtoto duh acha tu

  • @barakastantonmwakyoma1003
    @barakastantonmwakyoma1003 2 ปีที่แล้ว +7

    Simuliz nzur nzur kwel

  • @kiruhurajeremie8402
    @kiruhurajeremie8402 2 ปีที่แล้ว +6

    Nice story

  • @elizabethlucky8200
    @elizabethlucky8200 ปีที่แล้ว +3

    Hapa sasa Jacky anaokota sufuri kwa divah bila kujua Mary alipenda sana

  • @gidionelisha8892
    @gidionelisha8892 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali mkuu

  • @anithaferdinand7295
    @anithaferdinand7295 2 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo story imenifundisha mengi sana

  • @joycekazungu4003
    @joycekazungu4003 2 ปีที่แล้ว +9

    Mmmmh yani wanaume bwana

  • @kaitafondo7447
    @kaitafondo7447 2 ปีที่แล้ว +5

    Hio noma

  • @jackisonzacharia8357
    @jackisonzacharia8357 2 ปีที่แล้ว +4

    Nice inanihusu mimi kabs

  • @sophiamfikwa7340
    @sophiamfikwa7340 2 ปีที่แล้ว +12

    Story nzur nimejifunza pia

  • @pascalkingu9570
    @pascalkingu9570 2 ปีที่แล้ว +7

    Mbona wa kawida sana hana hizooooooo sifa unazo mpa

  • @allynjugu7510
    @allynjugu7510 ปีที่แล้ว +2

    Nime ikubali

  • @shomykrgtv4186
    @shomykrgtv4186 2 ปีที่แล้ว +2

    Ipo gud sana

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 2 ปีที่แล้ว +7

    Asante sana kwasimulizi zur

  • @zainabubahati5661
    @zainabubahati5661 2 ปีที่แล้ว +9

    Asante sana

  • @mpalanyiuganda7592
    @mpalanyiuganda7592 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimekosa ata neno la kusema but thankx

  • @ibrahimwilliam1732
    @ibrahimwilliam1732 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimeipenda

  • @almenkimbe558
    @almenkimbe558 2 ปีที่แล้ว +3

    Ubinadamu kazi Bora kufuga mbuz utakula mchuz

  • @jumberichardkilopa6465
    @jumberichardkilopa6465 2 ปีที่แล้ว +3

    Sitori ni tamu sana

  • @chazijohnsonhaule1878
    @chazijohnsonhaule1878 2 ปีที่แล้ว +2

    Nic to story

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz ปีที่แล้ว +2

    Jack good boy 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @amandusfrank9017
    @amandusfrank9017 2 ปีที่แล้ว +2

    Nzur san

  • @leydeblo2804
    @leydeblo2804 2 ปีที่แล้ว +2

    Nc story jack

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 2 ปีที่แล้ว +6

    Mmh sijui why mnaita simulizi fupi sijaelewa, japo story pia inaenda kwenye ambayo ni unbelievable jamanii duuh!

  • @conasmalale1073
    @conasmalale1073 2 ปีที่แล้ว +4

    story imejaa matusi nimeshindwa kuisikiliza kbs

    • @rusenge2406
      @rusenge2406 2 ปีที่แล้ว +1

      Sasa umejauaj kama ni matusi na hujasikiliza

  • @djamilanahimana7425
    @djamilanahimana7425 2 ปีที่แล้ว +8

    Uyu jack naye anatama

  • @cizajackson8663
    @cizajackson8663 2 ปีที่แล้ว +6

    Jack ni mjinga sana kwa alicho kifanya yani

    • @LEAHLIZO
      @LEAHLIZO 2 ปีที่แล้ว

      Kwa nini?

  • @barakambisse2028
    @barakambisse2028 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi Sana

  • @mirriamingosi5242
    @mirriamingosi5242 2 ปีที่แล้ว +9

    Hi nisimlizi Kali Sana inatufunza mambo makuu Sana baba na mwana mlinzi na mama mara na mtoto

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu askar gongo naye dah! Alikuwa napenda dodo sana🤣🤣🤣

  • @thomasalphonce4248
    @thomasalphonce4248 2 ปีที่แล้ว +6

    Nice

  • @raphaelmtoris4472
    @raphaelmtoris4472 2 ปีที่แล้ว +3

    Kak store nzuri sana

  • @jeremiahbaraka6606
    @jeremiahbaraka6606 2 ปีที่แล้ว +2

    Aki jamani yaani jucky alitoka kwa kina Merry tena yanayoendelea anayajua,kivipi

  • @cimpayeriziki5035
    @cimpayeriziki5035 2 ปีที่แล้ว +6

    Asante san

  • @nyamwinukankwera3749
    @nyamwinukankwera3749 2 ปีที่แล้ว +4

    Hahaha ulimi mlefu kama wa kinyonge jamani saluti

  • @youngmastauganda9007
    @youngmastauganda9007 2 ปีที่แล้ว +2

    Vraiment njo ville

  • @jaydenkariuki6595
    @jaydenkariuki6595 2 ปีที่แล้ว +7

    Daah endelea vivyo hivyo

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 2 ปีที่แล้ว +8

    Loh hataree😅

  • @sofiaahmad1926
    @sofiaahmad1926 2 ปีที่แล้ว +7

    Story ni mzuri, I really like it.

  • @elibarikikweka5712
    @elibarikikweka5712 2 ปีที่แล้ว +2

    What a provocative story

    • @wilsonkitundu8835
      @wilsonkitundu8835 2 ปีที่แล้ว

      Story hii ni babu kubwa cn jack hanna makosa ila yy kaitiwa huo uhondo hat ungelikuwa ww ucngl acha

  • @fatumakidoa4006
    @fatumakidoa4006 2 ปีที่แล้ว +6

    I like it

  • @amirykahera1525
    @amirykahera1525 2 ปีที่แล้ว

    Nimeipend iyo hatr

  • @sheilarmusabi5358
    @sheilarmusabi5358 2 ปีที่แล้ว +7

    Waaaa mungu wangu Kuna maneno

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 2 ปีที่แล้ว +10

    Ivi hakuna basata wamshukuwe uyu muandishi, ata kuja kusababisha tuna bakwa jamani uwiii

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +1

      Ushetani tu huu wa story hii

    • @mporipori99
      @mporipori99 7 หลายเดือนก่อน

      Nicole pole mrembo njoo nikupe ulinzi na kila ukipendacho😊❤

  • @sophiakasana2937
    @sophiakasana2937 2 ปีที่แล้ว +8

    Mmmmhhh

  • @malk8152
    @malk8152 2 ปีที่แล้ว +10

    Hahahaaa ni vizuri sana kwa simulizi hii.

  • @evodiuswilly1883
    @evodiuswilly1883 2 ปีที่แล้ว +5

    Story tamu kinyama broo

  • @joycemahabi8626
    @joycemahabi8626 2 ปีที่แล้ว +10

    Duh! Jacky kama jacky 😅😅😅

  • @shabaniladebe3076
    @shabaniladebe3076 2 ปีที่แล้ว +4

    Uyo mtoto ajui mambo

  • @emanueljeremiachafu4847
    @emanueljeremiachafu4847 2 ปีที่แล้ว +9

    asante simulizi mix

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 ปีที่แล้ว +5

    Waaoo anko j

  • @acklessyally76
    @acklessyally76 2 ปีที่แล้ว +4

    ❤✌

  • @jeremayaClassicPhoto
    @jeremayaClassicPhoto 2 ปีที่แล้ว +5

    ila Jack akili hana na hana msimamo bora kwa kilichompata maan aliyataka

  • @vero756
    @vero756 2 ปีที่แล้ว +17

    Nani wa kulaumiwa sasa jamani duuuh

  • @uwimanaberyse4rgh502
    @uwimanaberyse4rgh502 2 ปีที่แล้ว +8

    Shukurun san simurizi mix

  • @moodymuzungu5158
    @moodymuzungu5158 2 ปีที่แล้ว +3

    Mmmh stimu iziiii

  • @irenewilfred7767
    @irenewilfred7767 2 ปีที่แล้ว +6

    Maisha Aya jmn

  • @mwanahamisidaudi5424
    @mwanahamisidaudi5424 2 ปีที่แล้ว +2

    Waaoooooo

  • @josephouma4359
    @josephouma4359 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimekumbuka msemo usemao usiteme bgj kwa karanga zakuoja🤷

  • @santaali5821
    @santaali5821 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwanamume mwenye tamaa mpumbavu hanamaana mshenzi

  • @claudetuyirate7000
    @claudetuyirate7000 2 ปีที่แล้ว +2

    Is that true

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @khadijamtepa3508
    @khadijamtepa3508 2 ปีที่แล้ว +4

    Simurizi

  • @nyotamsaamba7829
    @nyotamsaamba7829 ปีที่แล้ว

    Nice ❤️ 🥰

  • @gregoryntandu8471
    @gregoryntandu8471 2 ปีที่แล้ว +6

    Laana hio

  • @deusrobart8181
    @deusrobart8181 2 ปีที่แล้ว +5

    Bikra anyonye 😂😂😂

  • @juliasmoshii789
    @juliasmoshii789 2 ปีที่แล้ว +3

    hahahaha xiamin

  • @juliasmoshii789
    @juliasmoshii789 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah amakwel ni hatar bro

  • @geralddasius5732
    @geralddasius5732 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaaaah

  • @kemuntojackline2267
    @kemuntojackline2267 2 ปีที่แล้ว +11

    Anaitwa jack ama Jackson mm asiitwe jina langu 🤣🤣🤣🤣

    • @leekiss5602
      @leekiss5602 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaaaaaaa atakuwa Jackline huyo

    • @kemuntojackline2267
      @kemuntojackline2267 2 ปีที่แล้ว +1

      @@leekiss5602 HAhAHahahaha 🤣🤣🤣 gai apana hahahahaha duuu nitaitwa n mm James ama Jackson

    • @mwanahawahamis1321
      @mwanahawahamis1321 2 ปีที่แล้ว +1

      @@leekiss5602 m.lmmm.ml.mm l .ml.l .... . mmkmĺl

    • @jamilamanariyojamila1487
      @jamilamanariyojamila1487 2 ปีที่แล้ว +1

      unaogop?😂😂😂

    • @abelfrancis2265
      @abelfrancis2265 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @godwinjuma2015
    @godwinjuma2015 2 ปีที่แล้ว +3

    jamani 😂🙆🙆kula MTU jack

  • @issaibrahim7771
    @issaibrahim7771 2 ปีที่แล้ว +3

    mary huyu huyu mtoto wa mzee nguno, anaeuza mama ntilie hapa fery?

  • @nelsonmkwizu6380
    @nelsonmkwizu6380 2 ปีที่แล้ว +6

    Sasa hapo inamaana huyo Mama Merry hakupelekwa polisi

  • @mzurirubeaunapatikawpujeun3101
    @mzurirubeaunapatikawpujeun3101 2 ปีที่แล้ว +1

    Mie napita sms ZENU tu 😄😄

  • @j4lumambe392
    @j4lumambe392 2 ปีที่แล้ว

    Nice story 👏💖💓

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 2 ปีที่แล้ว +5

    Eeeeeh jaman Nyiee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @alicebutoyi3615
      @alicebutoyi3615 2 ปีที่แล้ว +1

      Eeeeeee. Baraaaaa jamani

    • @abelfrancis2265
      @abelfrancis2265 2 ปีที่แล้ว

      Eti miss wabuza 🤣🤣🤣

    • @mkasijuma8970
      @mkasijuma8970 2 ปีที่แล้ว

      @@alicebutoyi3615 🤣🤣🤣🤣

    • @mkasijuma8970
      @mkasijuma8970 2 ปีที่แล้ว

      @@abelfrancis2265 🤣🤣🤣🤣

  • @omarymwangia7976
    @omarymwangia7976 2 ปีที่แล้ว +9

    Hw

  • @Shuu.A
    @Shuu.A 2 ปีที่แล้ว

    Story nzuri sana asante unaesimulia tumejifunza kitu...ila mtoto wa kike hutosheki labda utiwe mchi au aingie humo ndani ndio utatosheka🤔🤔

  • @mwanamisirama1836
    @mwanamisirama1836 2 ปีที่แล้ว

    Huyo msimulizi nae hajambo..

  • @godfreysimfukwe86
    @godfreysimfukwe86 2 ปีที่แล้ว +3

    Ww ni mwongo bhana mtu Aishi masaki mara police stakishari,geto la jack lilikuwa tandale police walitoka stakishari mmmmm ongeza ubunifu

  • @SamsonMzehe
    @SamsonMzehe 4 หลายเดือนก่อน

    Kwann mnaita mguu wa mtoto

  • @musanestory584
    @musanestory584 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah! It's a sensitive story but there is a something i have learnt.and this tendency happens in our societies so carefulness is needed duh!

  • @barakajacobmwalyepelo8491
    @barakajacobmwalyepelo8491 2 ปีที่แล้ว

    Kijana musa

  • @jumamanga5023
    @jumamanga5023 2 ปีที่แล้ว +1

    👏👏

  • @davidijames1246
    @davidijames1246 2 ปีที่แล้ว +2

    innalilaah waannalilah hakika kila nafsi itaonja umauti wake daima

  • @SamsonMzehe
    @SamsonMzehe 4 หลายเดือนก่อน

    We ankoj mbna unajisifia sana au unataka tuhamie kwako

  • @thomasalphonce4248
    @thomasalphonce4248 2 ปีที่แล้ว +9

    Nimejifunza kitu kupitia hii stori ni vitu ambavyo vinatokea kwenye jamiii yetu
    Ira Mama merri amekosea Sana mapenz ayalazimishwi
    Wara kuchaguliana
    Mume wa kuoa au mke wa kumuoa

  • @agnesnduku1193
    @agnesnduku1193 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Kijana Hakuwa Na Msimamo Na Alifanya Makosa kufuta Namba Ya Mery Akasau Mery Ndiyo Aliyomupa Simu Na Alivyomutetea Police Na Kusema Ni Bwana Yake kisha Akashikana Na Huyu Delvin Na Akamufukuza Akaws Amechelewa Alipomitafuta Hakumupata

    • @agnesnduku1193
      @agnesnduku1193 2 ปีที่แล้ว

      From Kenya Akutumia Hekima Alipoenda Akakosa Kununuliwa Gari Heri Angen.ukumbuka Mery Na Kuenda Kumutafuta Kesho Yake Angejaribu Kuenda kumulizia Hapo Kwa Jirani Na Amutumane Angemupata Kama Anataka Kuhama Na Angejua Kila Kitu

  • @naijapatson6774
    @naijapatson6774 2 ปีที่แล้ว +6

    Inatia ham bwana mambo gani haya

    • @LEAHLIZO
      @LEAHLIZO 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli

    • @mporipori99
      @mporipori99 9 หลายเดือนก่อน

      Hahah umetega sikio mwenyewe

    • @mporipori99
      @mporipori99 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@LEAHLIZOhutaki raha

  • @catherinemaroa8415
    @catherinemaroa8415 2 ปีที่แล้ว +1

    Akinhii story Ina mafunzo mingi walai

  • @guguaman393
    @guguaman393 2 ปีที่แล้ว +10

    skuizi kaka mkubwa sioni ukini invite inbox