MC PILIPILI "SIKUWAI KUPATA MZURI KAMA HUYU, NIMEZOEA KUZINGULIWA SITAKI TENA MAHUSIANO? NI SHETANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 321

  • @jacklinekimaro302
    @jacklinekimaro302 5 ปีที่แล้ว +17

    Jaman mimi nimempenda sana huyu dada sanaaaa Mungu awasaidie sanaa mc pilipili big up sana

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 5 ปีที่แล้ว +11

    Wow hongereni sana.Umepata mke mzuri sana muombaji sana Mungu awabariki.Je mrembo kama nakujua je unamfahamu mama Kemi ,baba Kemi na Kemi pia.Hongera sana nimefurahi sana

  • @sayfu9842
    @sayfu9842 5 ปีที่แล้ว +1

    thanks Blathar hongera kwako unaipepe rusha vizur Dodoma........

  • @cecyjohn9036
    @cecyjohn9036 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana mc pilipili Mungu awajalie ndoa yenye upendo na aman

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 5 ปีที่แล้ว +20

    Jamani wakati mwingine lazima tukubali kazi ya Mwenyezi Mungu, huyu dada ni mzuri, utukufu kwa Mungu katika kazi yake ya uumbaji, ni fundi katika uumbaji!, that is all, si kila kitu lazima watu mkosoe!.

  • @halimaomari7589
    @halimaomari7589 5 ปีที่แล้ว +8

    Masha Allah dada mrembo wa sura hadi maongezi yake anaonekana ana tabia nzuri

  • @enockkagomba1261
    @enockkagomba1261 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ailinde ndoa yenu Mc pilipili na dada Philomena

  • @monicaregina7792
    @monicaregina7792 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akusaidie sana Kaka yangu!

  • @ibubandana2228
    @ibubandana2228 5 ปีที่แล้ว +6

    Love this couple

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 5 ปีที่แล้ว +15

    Dah! ama kweli dada zangu wazuri kudadekiii, nani kasema wahaya wenye tabia nzuri na wanaokubalika hawapo?? Big up sana Mkodomi MC Pilipili

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      majigambo yapo kwl!

    • @robertevarist1595
      @robertevarist1595 5 ปีที่แล้ว

      Mnzava Chris majigambo ya kweli lkn bro so ya uongo

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Robert Evarist jadi yenu io siwezi chukuwa io kitu toka kwenu.

    • @robertevarist1595
      @robertevarist1595 5 ปีที่แล้ว

      Mnzava Chris Bro ni wajanja wa kutokea mikoa mingne wanaoweza kuotea watoto wazuri km huyo, ndo mwenzio kapata tayari haina namna inabidi ukubaliane na hali

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Robert Evarist wa kawaida bhana!

  • @gospelfiretv9667
    @gospelfiretv9667 5 ปีที่แล้ว +5

    Mmmh Kaka Millard uko vizuri . Unavomchimba dada!!!!!

  • @saddammandwanga1194
    @saddammandwanga1194 5 ปีที่แล้ว +15

    Unajua kuna interview inaamasa imenifanya niangalie up to end, Big up ayo pa1 na pilix2 na shemela pia mpo vizuri

  • @salvinahassan7478
    @salvinahassan7478 5 ปีที่แล้ว +7

    Tukajua ni shetani, mda mwingi nakuwa ibadani, tukaingia kwenye maombi, ni maneno ya mtu anaemjua Mungu, endelea kumtumaini Mungu Phenomena

  • @herminachrispas8858
    @herminachrispas8858 5 ปีที่แล้ว +4

    nimekapenda karangi kako mamy,,,,hongera!!

  • @yonasimrope4741
    @yonasimrope4741 5 ปีที่แล้ว +9

    Da mc pilipili umemsifia sana mke wako kupita kias awafai hao n nyoka wenye sumu Kali awana dhamana kabisa anayekubaliana na mm gonga like yako twende sawa

    • @gracedaudi6846
      @gracedaudi6846 5 ปีที่แล้ว

      Umezid

    • @gadikipenda7409
      @gadikipenda7409 5 ปีที่แล้ว

      Mc Pilipili unajua kufanya Interview za Mmeshibana... oohooo My, God!!!!

    • @happymhinga1213
      @happymhinga1213 5 ปีที่แล้ว

      Yonasi Mrope hata wanaume ni nyoka waliopitiliza

    • @ebenezergodfrey2517
      @ebenezergodfrey2517 3 ปีที่แล้ว

      Wapi wewe nenda Sasa wewe. Ukaolewe bc japokwa wewe ni mwanaume

  • @kigwisimulindwaclemo8541
    @kigwisimulindwaclemo8541 5 ปีที่แล้ว +26

    BMW kirefu chake ni Be My Wife, all the best love from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 3 ปีที่แล้ว

    Naipenda sn hii couple Mungu awa bariki sanaaa

  • @dianajavana9435
    @dianajavana9435 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka utabli wangu kwa jinsi ninavo ona mtaish sana mtadum na mkeo

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda jmn Dada ulivyomtu wa sala mwaaaa hongera sana Dada

  • @Mothermarlon
    @Mothermarlon 5 ปีที่แล้ว +2

    True Love!,, mungu awajalie… mwapendeza sana👍🏾👍🏾👍🏾

  • @rogerzmoleli633
    @rogerzmoleli633 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana Mc, wish you both all the best

  • @nessa4899
    @nessa4899 5 ปีที่แล้ว

    Congratulations May God protect your marriage

  • @luizaenock9948
    @luizaenock9948 5 ปีที่แล้ว +10

    Ni vizuri kukisifia chako, kila mtu anamzuri wake.

  • @joelmutegeki4605
    @joelmutegeki4605 5 ปีที่แล้ว +17

    Pilipili umepata kweli mrembo

  • @e.j.starelia5672
    @e.j.starelia5672 3 ปีที่แล้ว

    Hii ni nzuri sana

  • @luchekayoohy
    @luchekayoohy ปีที่แล้ว

    Couple Safi sana hiyo

  • @elieereka8744
    @elieereka8744 5 ปีที่แล้ว +6

    Ni mzuri kweli

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 3 ปีที่แล้ว +1

    Dini haziamini mambo ya Mizimu, ila Mungu awabariki

  • @jackilinechengula2659
    @jackilinechengula2659 3 ปีที่แล้ว

    Dah unaongea vizuriii wee kadada nakupenda Sanaa dada angu

  • @dianacornely8666
    @dianacornely8666 5 ปีที่แล้ว +4

    Nice sana mnapendeza

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 ปีที่แล้ว

    Saf pilipili mke nadhif mnaendana karembo 🔥🔥🔥♥️🙏🙏🙏

  • @gladysngami9685
    @gladysngami9685 4 ปีที่แล้ว

    Am kenyan, i dont both of them but she is Naturally beutuful no makeup and mature upstrairs

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 5 ปีที่แล้ว

    Kweli hongera shemeji

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 5 ปีที่แล้ว +6

    Mwanamke ni mwerevu hadi Adam akala tunda. I wish you guys all the best

    • @majdkhald5813
      @majdkhald5813 5 ปีที่แล้ว

      Duka gani la posta ambalo linauza pete kwa USD😊

  • @dianajavana9435
    @dianajavana9435 3 ปีที่แล้ว

    Daah Kimdada kinapenda kuflah sn

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 5 ปีที่แล้ว +8

    Binti mzuri❤️ chaguo zuri👌🏾

  • @castrogodfrey508
    @castrogodfrey508 5 ปีที่แล้ว +10

    Nawapenda sanaaa Msisikilize watu songeni mbele

  • @rashidsaid1092
    @rashidsaid1092 2 ปีที่แล้ว

    Ni mzuri Ila stara ya mwili mbaya...bado uzuri wake haujampendezesha mungu bila ya kujistiri

  • @Jonasmemruti
    @Jonasmemruti 3 ปีที่แล้ว

    Clear

  • @jamesmligo9251
    @jamesmligo9251 3 ปีที่แล้ว

    #presenter wa dunia nakubal sana mr count down

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 5 ปีที่แล้ว +19

    Acheni wivu.dada wa watu mzur wa sura mpka umbo.mc kajua kuchagua

  • @annkirethi3812
    @annkirethi3812 5 ปีที่แล้ว +2

    Lovely, , wish you well in your next life, ylu are going far...sijawahi kuangalia such a long interview...its appealing

  • @babyscosh5459
    @babyscosh5459 3 ปีที่แล้ว

    Jaman adi raha

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 3 ปีที่แล้ว

    Mko vizur mpaka Raha😘😘😘😘

  • @janesuma2193
    @janesuma2193 5 ปีที่แล้ว +4

    hongereni sana sana muowane muanze maisha yenu ya ndoa yawe mazuri

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +2

    Mc hapo umewahi yani mke mrembo 💪💯anyway wish you the best

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 ปีที่แล้ว +4

    Wanao mchamba pilipli eti anasifia umbo nakadhalika mko wrong, coz kitambo MTU ajikute amependa nikutokana na umbo na sura. Tabia utaijua ktk ile mdaa mtakua pamoja, ama kweli kuna msemo huwa inasema ishi na mtu ndio ujue tabia yake, kwaiyo pilipili uko sawa penda kaka tabia niyakuelewana Tu,

  • @tabithaikwabe3624
    @tabithaikwabe3624 4 ปีที่แล้ว

    Very nice

  • @afrarugakingira5862
    @afrarugakingira5862 5 ปีที่แล้ว +5

    Nawapenda

  • @hassanmwambene1193
    @hassanmwambene1193 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo sa saf sana mc pilipili hapo ndoa to hed to hed

  • @danielrichard5737
    @danielrichard5737 5 ปีที่แล้ว +3

    Ayo nakupenda bureee aiseee una maswali matamu Sana

  • @siwemamichael690
    @siwemamichael690 5 ปีที่แล้ว

    Mc mungu anakuona

  • @munguaibarikitanzanianawat9254
    @munguaibarikitanzanianawat9254 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah mpendane daima

  • @oscarkalekwa6239
    @oscarkalekwa6239 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwel kabisa MTU chake,lakini kiukweli ni wa kawaida sana

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 ปีที่แล้ว +8

    Ni mzuri kwa MC pilipili sio kwa kila MTU , ila mpenzi wako ni X kwa mwingine

    • @leahjoseph6072
      @leahjoseph6072 5 ปีที่แล้ว

      Sana kaka ang mi dem namuona wa kawaida piah ni x wa mwngne

    • @shamimasalim6912
      @shamimasalim6912 5 ปีที่แล้ว

      Leah Joseph 😀😀😀mapenzi upofu jaman moyo ushazamA

  • @mohamedmchopa2254
    @mohamedmchopa2254 5 ปีที่แล้ว +6

    Dah,ndoa muhimu hadi maombi.

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 5 ปีที่แล้ว

    Nmeikubali interview saafi

  • @dorahmbunju9964
    @dorahmbunju9964 5 ปีที่แล้ว +20

    Dada apo uwezi nuna, 😂maana umepata mume asieweza kununa.

  • @gladyivan4462
    @gladyivan4462 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awatangulie, msisikilize maneno ya watu

  • @latifaomary
    @latifaomary ปีที่แล้ว

    Wazuri wapo wengi zaid ndo hvy umpate mkweli

  • @e.j.starelia5672
    @e.j.starelia5672 3 ปีที่แล้ว

    Pc Kali kinyama ....pambana bosi BMW imekusave pakubwa...ungekuwa hauna sijui ungepitia wap

  • @agricolambilinyi8794
    @agricolambilinyi8794 5 ปีที่แล้ว +11

    kama umeona mofaya tupia like hapo

  • @edwinekahatano8472
    @edwinekahatano8472 4 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @ludwigwilla7153
    @ludwigwilla7153 5 ปีที่แล้ว +5

    Hapooo wapoo gudaaa

  • @witneywilly
    @witneywilly 5 ปีที่แล้ว +2

    Sitak kuamin Kaduma tuko mpaka Nigeria

  • @zainabomar5512
    @zainabomar5512 5 ปีที่แล้ว +15

    Sio wivu ila ukweli wa mung huyu dd hana uzur wowote sema t mt ukipenda unaona hakuna kama yy ila wakawaida sana

    • @gggjjahhhh9419
      @gggjjahhhh9419 5 ปีที่แล้ว +2

      Shoga umeonaeeeh nilijua namimi tu

    • @annastaziammary600
      @annastaziammary600 5 ปีที่แล้ว +2

      Yuko kawaidaa af mbele ya camera na makeup kibao

    • @salmayusuph3469
      @salmayusuph3469 5 ปีที่แล้ว +5

      Zainab Omar onyesha wako acha roho mbaya

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      @@salmayusuph3469 bora n ww umknye!

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      @Jenny Jma ww umemzidi!

  • @angellamwanri8414
    @angellamwanri8414 5 ปีที่แล้ว

    So nice

  • @merrymakuli7132
    @merrymakuli7132 5 ปีที่แล้ว +4

    Hii couple inapenda siifa

  • @mligombuma2287
    @mligombuma2287 5 ปีที่แล้ว +2

    Ila MC Pilipili anamasifaa jaamaaniii hahajaaa uuuuwiiiii mbn kaziii

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 3 ปีที่แล้ว

    Hii sura cyo ngeni . Naikumbuka niliwahi kumnunua uyu Dada nikamla😅😅😅

    • @enocksuleiman2420
      @enocksuleiman2420 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha kutafta kk shobo hizo

    • @kpetres2872
      @kpetres2872 3 ปีที่แล้ว

      @@enocksuleiman2420 anaetakiwa kusoma comment na kuzijibu Ni Millard Ayo. Mwenye shobo Ni wewe, nna was was na marinda yako

    • @richardsaidi2448
      @richardsaidi2448 2 ปีที่แล้ว

      Ni mawazoo yakee

  • @felistermbunda8171
    @felistermbunda8171 5 ปีที่แล้ว +7

    yaan pili pili hata sauti yenyewe tu inachekesha

  • @tricemakau980
    @tricemakau980 5 ปีที่แล้ว +2

    yote mia ni sawa ila bwana harus sifa zako jmn zimezid hao waheshimiwa umewatamka sana tunaelewa una marafiki wakubwa ndio pumguza sifa bwana umezid

  • @rosewilliam6985
    @rosewilliam6985 5 ปีที่แล้ว

    Pilipili Mungu anakiona

  • @neemanavaranaa4672
    @neemanavaranaa4672 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani makanisa ya sikuizi. Umevaa nguo ya uchi ivyo ndo mana kanisa

  • @biglion2674
    @biglion2674 5 ปีที่แล้ว +10

    sijapenda mdada anavyomuita mc kila muda huyu everytime huyu! ! jaribu ata kumuita honey

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 5 ปีที่แล้ว

    Yaan nacheka paka bac.

  • @ebenezergodfrey2517
    @ebenezergodfrey2517 3 ปีที่แล้ว

    Niko 😀😀😀 na BMw yangu apaa

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 5 ปีที่แล้ว +39

    Millard tunataka na ww tumuone wifi sio kila siku unahoji wenzio tu

    • @angelntandu4648
      @angelntandu4648 5 ปีที่แล้ว +1

      Anae wifi sema ataki miosho kama wengine anafuata maisha ya boss Ruge

    • @naamohamed9964
      @naamohamed9964 5 ปีที่แล้ว +1

      @@angelntandu4648 na kweli yupo makini sana millad

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      ww w kwko je

    • @naamohamed9964
      @naamohamed9964 5 ปีที่แล้ว

      @@mnzavachris5423 Kwan wangu mie humjui

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      @@naamohamed9964 najitazama hapa, najiuliza na sisi twaenda lini kwa hiki kipindi?!

  • @princesstabby6226
    @princesstabby6226 5 ปีที่แล้ว +1

    safi sana

  • @emilipaul9474
    @emilipaul9474 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 5 ปีที่แล้ว +6

    Mc unaongea Sana, mpaka unaboa

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 5 ปีที่แล้ว +6

    Naipenda couple hii bala wameendana

  • @superwoman6180
    @superwoman6180 5 ปีที่แล้ว

    Mc pilipili kidogo afanane na benpol

  • @emmanuelgastine9826
    @emmanuelgastine9826 3 ปีที่แล้ว

    Akina emma ni balaa kwa kutongoza midemo anaitaga Bambo

  • @sf2tv
    @sf2tv 5 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @manyaramrema6531
    @manyaramrema6531 5 ปีที่แล้ว +35

    Unafikiri ndoa ni rahisi karibu ndoani, wanawake bwana eti mimi nina misimamo yangu, wakati hata bikra hana!

    • @tumainimango8140
      @tumainimango8140 5 ปีที่แล้ว

      Ndoa ya mitandaoni

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 5 ปีที่แล้ว +2

      Hahahahahahahahahahahahahahahahahhaha

    • @metiliole7189
      @metiliole7189 5 ปีที่แล้ว

      Jobless Billionaire hapo sasa

    • @asiahmariam3942
      @asiahmariam3942 5 ปีที่แล้ว

      😂 😂 😂 😂

    • @g360-b7h
      @g360-b7h 5 ปีที่แล้ว +3

      Kwani bikra ndo msimano

  • @gadikipenda7409
    @gadikipenda7409 5 ปีที่แล้ว

    Mc, Pilipili unajua kufanya Interview za Mmeshibana??????, Oohooo My. God!!!!!!

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 3 ปีที่แล้ว

    Najipa moyo tu lkn.....

  • @mongeramatondo416
    @mongeramatondo416 5 ปีที่แล้ว +1

    Tofautisheni kati ya uzuri na urembo,

  • @rukiamshihiri4911
    @rukiamshihiri4911 5 ปีที่แล้ว

    Haa shetani

  • @ibrahimsheha215
    @ibrahimsheha215 4 ปีที่แล้ว

    Kamanimimi nilieona picha alafu ninampango wakumuowa yange ishiya hapo mapenzi yetu nisingeweza kabisa

  • @naymahh3504
    @naymahh3504 5 ปีที่แล้ว +2

    Jmn msituangushe ninavyowapenda ntafurahi nikiona mnaowana

  • @neemaroger961
    @neemaroger961 5 ปีที่แล้ว +1

    Midomo mizuri mena

  • @adventlema6389
    @adventlema6389 5 ปีที่แล้ว +2

    🔥

    • @aminachakwanza8786
      @aminachakwanza8786 4 ปีที่แล้ว

      Unakumbuka hata cku tuna graduate Eckerford ,mama alilia baada ya kutuburudisha
      Na kukumbuka sana na wimbo wa Ichilindulindu
      Big up mwl Emanuel

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 ปีที่แล้ว +1

    Mdada mzuri sana hongera pilipili

  • @kweliumesemailanaowangetul1933
    @kweliumesemailanaowangetul1933 5 ปีที่แล้ว +7

    Wewe sema umempenda n a ndio ulio pangiwa namungu usoponde uliko pita wakati walikustiri na ulikuwa mshamba nao ulikopita wazuri kushinda huyo namuona wakawaida

  • @chalsnick4601
    @chalsnick4601 5 ปีที่แล้ว

    Good

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 ปีที่แล้ว

    He

  • @elieereka8744
    @elieereka8744 5 ปีที่แล้ว +1

    Maiki imelowana na mate MC pilipili anaongea sana

  • @jujulizzy283
    @jujulizzy283 5 ปีที่แล้ว +2

    nimeitamani hiyo mooooo faya