MFUMO WA 4-3-3 UNAFAA ZAIDI KUWATUMIA CHAMA, PACOME NA AZIZ KI KWA PAMOJA / JOB ACHAMBUA KWA UNDANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @RyanElias1
    @RyanElias1 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga anacheza 4-2-3-1

  • @rickiefisher1085
    @rickiefisher1085 หลายเดือนก่อน

    hujui kitu ww mfumo utakao waaccomodate ni 4 2 3 1

  • @bernardoleonard7331
    @bernardoleonard7331 หลายเดือนก่อน

    Ambangile kila Siku anawafundisha mfumo wa 433 n mfumo ambao upo well balanced na lazima uwe na wachezaji wenye sifa sahhi mfano kwenye viungo wako wa3 lazima wawe nasifa tofauti at least lazima uwe na natural DM, then unaweza kuwa na two 8s au one 8 ana no.10 mmoja.then uwe na front 3 yenye ma wings 2 na namba9 mmoja then na back 4 sifa ambazo yanga hakuna hivyo siyo suitable Ku accommodate 4-3-3

  • @kalulutv3638
    @kalulutv3638 หลายเดือนก่อน

    Hujawahi kuwa kocha wala kuucheza Leo unajadili wachezaji wanavyocheza 😂

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน

    Gamondi anajua jinsi gani atawatumia hata kabla chama hajaja.

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h หลายเดือนก่อน

    Katika kila mechi wageni wanatakiwa wangapi?.