LIVE: RAIS SAMIA ANAZUNGUMZA NA WANANCHI WA LITOLA - NAMTUMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024
  • ‪@millardayoTZA‬

ความคิดเห็น • 21

  • @AbrahmanAli-q4v
    @AbrahmanAli-q4v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama piga kazi Allah yupo pamoja nawe na inshallah kwa uwezo Wake yeye Basi ww utakua Rais wa Mfano Hapa Tanzania kwa kuingoza miaka 14 Allah akutunze na akupe nguvu za kututumikia wananchi wako kwa hakika tunakupenda Sana Mama yetu❤❤

  • @FattiHassan
    @FattiHassan หลายเดือนก่อน

    Napenda mama samia kukuombea dua allah akupe wepesi katika mizinguko ya ziara yako Allah akupe wepesi. Rabbanaa aatinaa fi dun yaa hasanatan wa fil aakhirati jasanatan waqinaa adhaaba nnari wa adkhilnaal jannata maal abraar yaa aziizu yaa ghaffaaru yaa rabbal aalmiina wa swalla llahu alaa sayyidinaa na Muhammad wa alaa aalihi wa swahabihi wa sallam

  • @MsatiOne
    @MsatiOne 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tupo pamoja 0:43

  • @iddiabdallah7352
    @iddiabdallah7352 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama wananchi wakichoka jeshi alifui dafu sasa salamu kwako mama kuna masela hao hawaelewi wameshafulugwagwa kitambo fanya vyema kuweka systeam yako vyema ili maisha bora na salama tupate wote na sio wachache kwanini mama tunabaguana kwani hii nchi ni ya akina nani sio lazima tufanane kipato ila tulizike na kipato tukipatacho tuwe satisfy

  • @FattiHassan
    @FattiHassan หลายเดือนก่อน

    Mama samia mungu akuifathi yote kwa yote tunaona mambo mazur mama tunakupa hongera sana mama yetu kipenzi

  • @iddiabdallah7352
    @iddiabdallah7352 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama kwa heshima kubwa nakuita mama mimi pia nilikuwa na kafariki 2008 hakuna mama km mama yangu ktk kutembea kwangu anaweza akawepo ila sijakutana nae na sio wamama wanaosema mtoto wa mwenzio pia ni mtoto wako sio kwani nao ni maneno wanayatoa kwaajili ya siasa na si km wanamaanisha

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 2 หลายเดือนก่อน

    IRON LADY ❤

  • @iddiabdallah7352
    @iddiabdallah7352 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama acha kushikwa masikio na watu wapembeni fanya maamuzi wewe km wewe yakikushinda omba msaada kwa mkuu wa majeshi kuna maafsa usalama chagua vijana wenye ueledi ili wakusaidie uwape mpango kazi wako wenye tija kwa wananchi wako ili ulete manufaa kwao kuna usalama sio wazalendo hakuna kitu kinaniudhi mzazi anasema mwanangu nimemchoka la hasha hao wote ni vijana wetu wanatakiwa wawe kipeumbele ktk mustakabali wa maendeleo ya yao na yetu vijana wafundishwe uzalendo na usitumie viongozi walikuwepo ktk madaraka uliyopo wao walikuwepo ila walishindwa mama fuata mawazo yangu ukifeli niamishe na ninyanganye uraia nipe uraia wa canada

  • @davidjohnmakundi6204
    @davidjohnmakundi6204 หลายเดือนก่อน

    Sisi walimu tunakila sababu ya kumshulkuru mama ssmia na rais kikwete ndio mrsisi walio badili uchumi wa walimu mungu awape maisha marrfu pia wamemthibitisha mungu wao

  • @kigodathecreator
    @kigodathecreator 2 หลายเดือนก่อน +2

    KAZI IENDELEE KARIBUNI KUJIFUNZA KWENYE TH-cam CHANNEL YANGU NAMNA YA KUJIAJIRI MTANDAONI 🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MwasitiMasauni
    @MwasitiMasauni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona naona walinzi2 😢

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 2 หลายเดือนก่อน

    Kaz kusifia rais tu kod tutowe cc asifiwe rais huo c ufala huo

  • @emmanuelmbwambo6571
    @emmanuelmbwambo6571 2 หลายเดือนก่อน

    Mama la mama 😂💞🌷♥️🌹🔥🔥🙏✔️

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 2 หลายเดือนก่อน +1

    Katka tawala ambazo hazjawah kueleweka n pamoja na hii

    • @HassaniUlenge-j5j
      @HassaniUlenge-j5j 2 หลายเดือนก่อน

      @@ponsianomnyaru9140 umenikosha Sana ndg na umesema kweli haswa maana hii nchi haieleweki na utawala wake haueleweki unafanya nn lakn wenye macho ya fikra pevu wataona ni kweli

  • @HassaniUlenge-j5j
    @HassaniUlenge-j5j 2 หลายเดือนก่อน

    Mhhh!!! Sijui anaongea nn maana sijawahi hata kuelewa uwepo wake katika nchi ambayo imejawa utajiri lakn wameifanya wao kuwa Mali yao kwa ajili ya gang lao la ccm

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 หลายเดือนก่อน

      FANYA KAZI HAKUNA MIUJIZA 😢😢😢😢

  • @iddiabdallah7352
    @iddiabdallah7352 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😅mama pole sana naona unatumia nguvu sana ni jinsi gani inaonyesha bado una wablackmail wananchi,unafki mbaya sana kuna mbunge mmoja anakushukuru kwa kugalagala nini ili iweje uwezi kumshukuru mtu bila ya vitimbwi hivyo

    • @IsayaKanuya
      @IsayaKanuya 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mama pole sana hongera kweli mengi tumeona umeyafanya hatuna shaka na ww

  • @iddiabdallah7352
    @iddiabdallah7352 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama kwa heshima kubwa nakuita mama mimi pia nilikuwa na kafariki 2008 hakuna mama km mama yangu ktk kutembea kwangu anaweza akawepo ila sijakutana nae na sio wamama wanaosema mtoto wa mwenzio pia ni mtoto wako sio kwani nao ni maneno wanayatoa kwaajili ya siasa na si km wanamaanisha