EDNA PART 32 | KIZWE KAWA MTAMU, ROMA AJIPANGE | EDNA ATUMIA MBINU YA YEZI KUMNASA ROMA KIMAHABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 130

  • @MariamuMussa-b1c
    @MariamuMussa-b1c 3 หลายเดือนก่อน +13

    Jamani nimecheka sana yani edina anavo deka na roma 😂😂😂😂😂😂nimepena sana nani kacheka kama nilivo cheka 😂❤❤❤❤

    • @RehemasiryaKabahasha
      @RehemasiryaKabahasha 3 หลายเดือนก่อน

      @@MariamuMussa-b1c 🤣🤣🤣 Niue basi

    • @saumunyadzua
      @saumunyadzua 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅Edna ata muua roma jamani

  • @user-zx8bh5nn4d
    @user-zx8bh5nn4d 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimechelew kdg lkn kuanzy Leo bwana wng ntamwita hubby ♥️

  • @siliminamachao3485
    @siliminamachao3485 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hii simulizi iko vizuri sanaaaa

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 3 หลายเดือนก่อน +23

    Haya ndio manenl yenyewe sasa wachana na hizo simulizi nyengine 😂subiria niwape.likes wapenzi ama vip🎉🎉🎉hayo kwa lucas lumbasi na mwandishi wake

  • @jasminmohagthari3730
    @jasminmohagthari3730 3 หลายเดือนก่อน +11

    Nyieeee mko wapi tunaitwa ukuu😊😊😊🎉🎉🎉🎉

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hatimaeeeeeeee🔥🔥🔥🔥❤😍🥰asantee kaka lucas😍❤

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 3 หลายเดือนก่อน +10

    Ooooh kumekucha wapenzi Edna kashawasili tena huku karibuni like zenu pls twangoja Mr lekcha kwa hamu

  • @AzizaTanzanya
    @AzizaTanzanya 3 หลายเดือนก่อน +7

    Jaman wasita leo

  • @queencleaningservice
    @queencleaningservice 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wakwanza jmn ,

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 3 หลายเดือนก่อน +11

    Hiyo chioma vip mpaka tusahau jamn sio poa ivo

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 3 หลายเดือนก่อน +6

    Bismillah baby Minah wake roman😘😍

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 3 หลายเดือนก่อน +8

    Enhee twende kazi atamfanya nini kizwe bro tujuze tuko apa😊

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 3 หลายเดือนก่อน +5

    Waoooo🎉🎉🎉🎉

  • @SylviaBoisabi
    @SylviaBoisabi 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wow ❤❤❤❤❤

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 3 หลายเดือนก่อน +5

    Edna & Roma ni 🎉🎉🎉🎉

  • @SarahKwekwe-dt9zx
    @SarahKwekwe-dt9zx 3 หลายเดือนก่อน +6

    Watano🎉🎉🎉🎉🎉

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 3 หลายเดือนก่อน +3

    Japo nimechelewa IA niponipo shukran kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤❤

  • @asmajuma-kp8jq
    @asmajuma-kp8jq 3 หลายเดือนก่อน +6

    asnte kwa simulizi nzr kla sku 😊😊

  • @Fatmacharo-t2r
    @Fatmacharo-t2r 3 หลายเดือนก่อน +5

    🎉🎉🎉

  • @haluwaharuni4564
    @haluwaharuni4564 3 หลายเดือนก่อน +5

    Woow wakwanza leo

  • @جيهانسالم-ج3خ
    @جيهانسالم-ج3خ 3 หลายเดือนก่อน +5

    nimefika jamani ila nimecherewa jamani kupata burudani nimeshinda kinyonge uku saudia ila kwasasa napumuwa

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 3 หลายเดือนก่อน +8

    Wakwanza jamani naombeni likes zenu team Roma 🙏🙏🙏❤❤❤❤ ❤️❤️❤️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 3 หลายเดือนก่อน +3

      Ssa.wataka kupewa likes na hata we mwenyewe unashindwa kujipea.kilio na mwenyewe dear.anza na wwe

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 3 หลายเดือนก่อน

      @@MwanatumuJumaa-rj4fg asante sana mwanatumu

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nakujipea likes mwenyewe hizo Sio likes mwenza weee ciao

  • @sallyomar8930
    @sallyomar8930 3 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤❤

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wa kumi10❤❤🎉🎉🎉😂😢

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน +2

    😮❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹utamu kolea,asante Mungu kutufikisha leo🙏

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 3 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂 Duuu... Edna unanichekesha sana unafanya roma kutojiamini

  • @JoyceMusolo-mw9sq
    @JoyceMusolo-mw9sq 3 หลายเดือนก่อน +4

    Asant kaka kwa hii simuliz nzuri ya EDNA, vip ya chioma kak? tumeisubir sana

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tunasubiri kwaamu

  • @Joycetatu
    @Joycetatu 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wauuu😂😂😂

  • @kingbtz.8752
    @kingbtz.8752 3 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤😊😊

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +10

    ❤❤ Edna itatutoa kwato c kwmbio hz🏃 haya Edna maadui niweng Roma anajitahid kukupambania ila unamkatisha Tamaa jaman si umonee hurumat atajilekebisha nambo yatakua sawt🌹🌹🏃

    • @TamaAbdulazizi
      @TamaAbdulazizi 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kiranja mkuu

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +3

      🎉​​Duuh jaman😁 Asante bhana sikuoni misitalin me napitisha zawad kwa ote❤​@@TamaAbdulazizi

    • @TamaAbdulazizi
      @TamaAbdulazizi 3 หลายเดือนก่อน +3

      Mm ni kiranja mkuu wa kuhesabia watu like zao

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +3

      @@TamaAbdulazizi Hakka🤝

    • @ReginaJumanne
      @ReginaJumanne 3 หลายเดือนก่อน +3

      Nilifikil nimwkuwah kumb

  • @FalidaRahma
    @FalidaRahma 3 หลายเดือนก่อน +6

    Makubwa

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sauti jamani Boss

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 3 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa Ankojay wewe hizi course za majini ulisomea Wapi. Naona sasa ni elimu za kijini tu sisi wengine hapa we are Totally lost 😞

    • @Melaninmengi
      @Melaninmengi 3 หลายเดือนก่อน

      Lucas Lumbasi

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 3 หลายเดือนก่อน +9

    Sijawai lkn nimefika like mashabiki wa lucas lumbas 😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 หลายเดือนก่อน +7

    Yy aeleweke lakini Edna asieleweke!. Similizi inavutia ikiwa ina uhalisia na videndo vyetu binaadam. Hakuna mwanmeke mwenye pesa hata akiwa hana pesa akiwa nimwenye kujitambuwa hawezi kuwa na mwanaome kama huyo. Unavyo muelezea Edna kwenye hii simulizi hawezi kuambiwa na bwanaake eti ana michepuko wazi wazi eti mwanake amvumilie kisa nn!

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉

    • @OdethaTesha
      @OdethaTesha 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana hii simuliz inaendelea Kwan ww upo kwenye moyo wa Edna ujue anawaza nn kwenye moyo wake ndio maana hauwez jua mwenzio anakuwazia

    • @AmbaMelly
      @AmbaMelly 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nimekubal❤ kwel

    • @sakinapili1569
      @sakinapili1569 3 หลายเดือนก่อน

      Bishiya nafsi yako dada panawengine wanatapa mpaka michepuko ya waume zawo unaskiya iyi safari mume wangu amepata mwanamke mzuri ukipata mwanaume mwenye achepuki shukuru Mungu

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน

      @@sakinapili1569 nikweli kabisa nauktaka ndoa hasa Dili na ktu heshima akueshim nakukujal mengine huwezi kudri nayo

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤hii ni zaidi ya 🔥 🔥

  • @NasraShaaban-sw2jd
    @NasraShaaban-sw2jd 3 หลายเดือนก่อน +3

    😊

  • @RebecaJoseph-t9j
    @RebecaJoseph-t9j 3 หลายเดือนก่อน +2

    Waooooo

  • @MaishaMnanga
    @MaishaMnanga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman nimechekaaaa sana Edna apana

  • @Fatum112
    @Fatum112 3 หลายเดือนก่อน

    Singano jr..... na anko lucas bigup sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tuko pamoja gays

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 3 หลายเดือนก่อน +5

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 3 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani muda mfupi TU watu wameujaza uwanja daa hii Edna itatuua

  • @SaadaNguo
    @SaadaNguo 3 หลายเดือนก่อน

    Love from Rwanda

  • @lucywangesh4208
    @lucywangesh4208 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @aishatakiya1274
    @aishatakiya1274 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wamwisho 😂😂😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂😂looooo kumekucha dakika mbili watu 18 loo

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haya kaka tuko pamoja ❤❤❤❤❤

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 3 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AmbaMelly
    @AmbaMelly 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ila Loma mmbea siku juwa bwana

    • @RehemasiryaKabahasha
      @RehemasiryaKabahasha 3 หลายเดือนก่อน

      Masikio yamemsimama kama ya sungura🤣🤣🤣

  • @SusanNeema-re3hr
    @SusanNeema-re3hr 3 หลายเดือนก่อน +4

    Edna❤😂😂

    • @TamaAbdulazizi
      @TamaAbdulazizi 3 หลายเดือนก่อน

      Mgao wa like jaman njoeni❤

    • @SusanNeema-re3hr
      @SusanNeema-re3hr 3 หลายเดือนก่อน

      @@TamaAbdulazizi 🤓🤓🤓

    • @TamaAbdulazizi
      @TamaAbdulazizi 3 หลายเดือนก่อน

      Nimejua hiyo miwan ni ya mbao​@@SusanNeema-re3hr

  • @FatumaRamadan.Mwalim
    @FatumaRamadan.Mwalim 3 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @AmbaMelly
    @AmbaMelly 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ila Lucas una vituko

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂edina bhna 😂😂😂😂🎉🎉

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 3 หลายเดือนก่อน

    Wamwisho Leo mie 🇴🇲🇴🇲 ilann anko Lucasi. Naomba bac like yako Toka niaze kucomment hii simulizi sijaona like yako hatamoja nitie moyo bac Kwa like yko Anko Lucasi 🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 3 หลายเดือนก่อน +6

    ᴰᵘᵘ ⁿᵃᶻᵃⁿⁱ ⁿⁱᵐᵉʷᵃʰⁱ😅😅😅

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +2

      Watu hamlali iktoke simliz saa8 uciku utakuta wapo😂 maana ndo klevi chet😂😂

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@TeklaNdekeja ⁿⁱᵗᵃʷᵉᵏᵃ ᵃˡᵃʳᵐ😂😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@Kellyperry947 weka ikumbukwe

  • @EdinaEdina-tn4go
    @EdinaEdina-tn4go 3 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤🎉🎉

  • @faithndenge-cz8pe
    @faithndenge-cz8pe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kizwe anamtu alie tengenezwa na......

  • @FauzaFauza-d2h
    @FauzaFauza-d2h 3 หลายเดือนก่อน

    Edinaaaa yani toka hii simulizi ianze cjawahi Cheka Kam kipande hiki edinaa utaumiza watu watu mbavu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @milkaboaz1244
    @milkaboaz1244 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii simulizi mbona imejaa majini mwanzo mwisho duuu

  • @Munira1044
    @Munira1044 3 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Lekcha ni mpelelezi alie jificha.

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 3 หลายเดือนก่อน

    Edina bado sana

  • @salmarajabu1626
    @salmarajabu1626 3 หลายเดือนก่อน

    Edna jitahidi kuwa mke safi

  • @ZawadiAli-o8t
    @ZawadiAli-o8t 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani hapa ndio mwisho maana tokea juzi sijaona mwendelezo ama kuna shida

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Watu mushafika munalala umu awo? Haya dupate yariomo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 mbuzi kafia kwa muuza supu😂😂😂😂

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน

    Mh,huyu Kizwe anafaa kuitwa Kizwe Kisasi,daa! kwa roho mbaya anatisha😔😔

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 3 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NeyMarco-b8g
    @NeyMarco-b8g หลายเดือนก่อน

    Lekcha huyo ni asikar mpelelezi

  • @Mapenzisafari-lj1mo
    @Mapenzisafari-lj1mo 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤❤😂😂

  • @NeyMarco-b8g
    @NeyMarco-b8g หลายเดือนก่อน

    Huyo ni mpelelezi,, na ana pesa nyingi tu

  • @faithndenge-cz8pe
    @faithndenge-cz8pe 3 หลายเดือนก่อน

    Edna kumekucha😂😂😂

  • @SonsShop-o1j
    @SonsShop-o1j 3 หลายเดือนก่อน

    Roma edna🎉🎉🎉

  • @nancybendera9011
    @nancybendera9011 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂edna

  • @FloraManeno
    @FloraManeno 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo lekcha nahisi atakuwa moja kati ya miungu kumi na mbili na anavita na Roma😠😠😠

  • @NeyMarco-b8g
    @NeyMarco-b8g หลายเดือนก่อน

    Hapana huyo sio mtu wa kawaida huyo lekcha ni moja kati ya miungu watu

  • @sakinapili1569
    @sakinapili1569 3 หลายเดือนก่อน

    Uyo kizwe bisasi bitamfikisha pabaya amesha muuwa mama yake Edna akini atosheki

  • @Sur-v9s
    @Sur-v9s 3 หลายเดือนก่อน

    Mamb ni moto jamn edna atagawa kitumbua asa ivi tuu jamn haya twende nalo tutajua uko mbele

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅🤔

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 3 หลายเดือนก่อน

    Bhn mi navurugwa ko roma ni jini au

  • @DsHu-x9g
    @DsHu-x9g 3 หลายเดือนก่อน

    Ya 33

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 หลายเดือนก่อน

    Muokota makopo ukute na asiliyskina roma mumebamxigo lkn nyuma.yapaxia mtu mkubwaa.kizwaa kisasi anatakilipa vip wakati video zake zipo mikononi mwanunda roma🤣🤣🤣🤣🤣

  • @RahimaHamisi-z3i
    @RahimaHamisi-z3i 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤😂😂😂

  • @NeemaOtieno-q2u
    @NeemaOtieno-q2u 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 3 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @lucyibla
    @lucyibla 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤😊😊

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl 3 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤😂❤❤

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉