EDNA PART 36 | WOTE WAKUBALI KUFUNDISHWA ILA, NANI ATABAHATIKA KUBEBA MIMBA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 213

  • @munnahali7566
    @munnahali7566 2 หลายเดือนก่อน +7

    Finally your here we missed you welcome back dude

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hatimae tupo pamoja tena wanafamilia,pole kwa changamoto na asanteee kwa kutuletea Edna 😊

  • @mariamathman3572
    @mariamathman3572 2 หลายเดือนก่อน +7

    Asante kaka Lucas na pole kwa mtihani tunakupenda

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 2 หลายเดือนก่อน +9

    Jamani niliimiss sana Edna 🇴🇲🇴🇲 woyoo shukran sana Anko Lucasi kwamwendelezo wetu wa Edna Love you somuch anko Lucasi 🇴🇲

  • @LeahIbrahim-ib4ss
    @LeahIbrahim-ib4ss 2 หลายเดือนก่อน +6

    Asante sana kaka Lucas

  • @TumuhamzaHamza
    @TumuhamzaHamza 2 หลายเดือนก่อน +7

    Wa 4 wadau nawapnda san na kaka lucas mungu azd kukubrki na kukulnda kpnz na twakupnda san mungu aklnd kwa kla hatua maishn mwako🎉🎉🎉❤❤❤

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 2 หลายเดือนก่อน +2

    Waoooo ubarikiwe sana tuliimisii sanaa

  • @bimkubwalangoni7639
    @bimkubwalangoni7639 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤ Asante kaka lucas

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 หลายเดือนก่อน +15

    Ooyoooo team Roma mpo poa jamani likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @BerthaMateru
    @BerthaMateru 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kak Lucas na pole Kwa mtihani tunakupenda sana🎉❤❤

  • @vailethmwakipesile6698
    @vailethmwakipesile6698 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kha ila hii simulizi haichoshi kuisikiliza ila uwe na haikili sema luka bhan kingeleza hicho hadi raha😊😊❤

  • @Jennysolange8989
    @Jennysolange8989 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wakwanza leo jaman❤❤🎉🎉

  • @JoyceNairaba
    @JoyceNairaba 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi nzuri

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 2 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks God hatimae imekua❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EuniceEunice-d4o
    @EuniceEunice-d4o 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wakwanza 🎉

  • @jasminmohagthari3730
    @jasminmohagthari3730 2 หลายเดือนก่อน +4

    Oyoooooooo nyieeee njoeni kipenzi chetu lucas anatuita ukuu🎉🎉🎉

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 2 หลายเดือนก่อน +3

    Doooh nilisubiri Hadi sikua na Raha aisai nilikua natazama kila mara kama kitu kiko taari 🎉❤

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ohoo kaka Lucas niliisubiri sana Asante

  • @YusraBadru
    @YusraBadru 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nimewah jmny🎉🎉🎉

  • @janekipsang425
    @janekipsang425 2 หลายเดือนก่อน

    Hey, you have made my day. I glad you are bringing Edna uninterrupted!🎉

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl 2 หลายเดือนก่อน +2

    Eeeh.mungu.asante.kwa.wema.huu🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 2 หลายเดือนก่อน +17

    Finally tumefikiw jaman Kam ulikuw umemmic Roma vs lanlan gong like hap 🎉🎉🎉🎉

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 หลายเดือนก่อน +3

    Woow subira huvuta heri asant sana mdogo wangu wacha tuangukee nayoo coments badae

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 2 หลายเดือนก่อน +10

    Me natak wte wasifanikiwe afanikiwe edna pke yke mna uyo roma kazinguw kwel sas ndo nn kufundisha michepuko bdala amfundishe edina pke yke

    • @fatumakama8760
      @fatumakama8760 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 ata mm ananichukiza xana uyu Roma kwa kushirikisha michepuko yake kwenye mambo ya msingi

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi naona hao michepuko watakuja kuuwawa mmoja bada ya mwingine mi yangu macho hapo mwenye atabakia ni Edna tu😂😂😂😂

    • @hdhjdh775
      @hdhjdh775 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 nabado michepuko inaogezeka

  • @TinaPhiri-hq5ue
    @TinaPhiri-hq5ue 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wooo I was waiting for it

  • @melissaivanyi
    @melissaivanyi 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kaka lucas asante ilibaki kidogo nikupigie simu kujuwa vpi EDNA

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Waooooooo hatimay lohoziturie mana tunacunguria mpaka ikahisi tumeacwa kwenye35 ju madame wetu wanatuwacaga kama Gobol Lukas💐💐💐💐nashukran🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💚💛💚💛💚💛💚

  • @TyT-h5l
    @TyT-h5l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante nawe pia

  • @SaeedhSaeedh-f6i
    @SaeedhSaeedh-f6i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmi namuombea edin awahi❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mungu akubariki papa ❤

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 2 หลายเดือนก่อน +2

    Roma ndaniiiii ya house🎉🎉

  • @Mapenzisafari-lj1mo
    @Mapenzisafari-lj1mo 2 หลายเดือนก่อน +5

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤❤wow wakwanza

  • @AïshaUwera-f3w
    @AïshaUwera-f3w 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante sana lucas hatimae Edna 36 imefika

  • @aminah9557
    @aminah9557 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dhaaa leo mimewahi jamani😢😢

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 2 หลายเดือนก่อน +5

    Roma ameiharibu hii simulizi

  • @marykabuto
    @marykabuto 2 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks for you lukas. Hatimae tunaskizana tena

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hatimae tumekutana tena kama familia ya lucas lumbas simulizi glory to God.tulieni nawape likes

  • @SelinahMakenz
    @SelinahMakenz 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kunauwezekano wa wote kukosa iyo mimba na Edina akapata😅😅

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 2 หลายเดือนก่อน +8

    Msiwe wacoyo wa like wadau nimewai tafazali🎉

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Edna naona sasa mambo unayanongesha, mpee mahaba huyo Roma mpaka akikutana na hao michepuko aone sura yako😊😊😊

  • @Yasminemuthoni
    @Yasminemuthoni 2 หลายเดือนก่อน +2

    🎉 ❤❤❤❤

  • @anthobarengeke3200
    @anthobarengeke3200 2 หลายเดือนก่อน

    Tuliingoja sana. Hongera kuendeleya .

  • @Salhah-v9h
    @Salhah-v9h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hatimae umetukumbuk daah sio kwakututia ugonjwa 😂😂😂🎉🎉❤asante kwamuenderezo

  • @BlessedMwajuma-x6l
    @BlessedMwajuma-x6l 2 หลายเดือนก่อน

    Good ❤

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 2 หลายเดือนก่อน +1

    I'm late but no worry 🎉❤❤❤

  • @KhadijaKhadija-f7q
    @KhadijaKhadija-f7q 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka lucas lumbas

  • @AïshaUwera-f3w
    @AïshaUwera-f3w 2 หลายเดือนก่อน +2

    Samahani sana muendelezo usichelewe sana

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow finally imeletwa waa❤❤❤❤🎉🎉

  • @MwanaishaSuleiman-g7t
    @MwanaishaSuleiman-g7t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana,Mungu mkubwa 🎉

  • @TERESIAYOHANA
    @TERESIAYOHANA 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kaka ❤❤❤❤🎉

  • @lucywangesh4208
    @lucywangesh4208 2 หลายเดือนก่อน +1

    Thanx lucas kwa turudia follow wako tena na kuwajali bila kujali maneno ya vidomo vyio vivobu wasahame sana bro mungu endelea na kazi yako vila kujali maneno yao nakuwaelewa tuedelee na simulizi yetu be blessed 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @jamilanahimana-wc4nd
    @jamilanahimana-wc4nd 2 หลายเดือนก่อน

    Asante san kaka lumbasi

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 2 หลายเดือนก่อน +1

    Finally kaka yetu leo umetukumbuka ubarikiwe mnooo❤❤❤

  • @BlessedMwajuma-x6l
    @BlessedMwajuma-x6l 2 หลายเดือนก่อน

    Is good ❤

  • @BimukubuwaMusa-hd9np
    @BimukubuwaMusa-hd9np 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka Lukas itabidi Utuletee Edina Kila Siku😊

  • @خديجه-و1خ
    @خديجه-و1خ 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani na vyeny tumeimiss edna❤❤

  • @sakinapili1569
    @sakinapili1569 2 หลายเดือนก่อน

    Asante ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Roma iyo mimba abebe Edna tuu baba iyo michepuko iburudike yenyewe tuu muda wawo ukiisha watuliye chini wamuache mwenye ndowa yake aitumikiye maana apo nikuangaika kwa tamaa za mwili wa Roma juu mkee ajampa

  • @ashalwamba8286
    @ashalwamba8286 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana tena sana.

  • @ibrahimummu5127
    @ibrahimummu5127 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wawah atimae tunaendelea mc team roma and edina wote

  • @hilydanguzo6969
    @hilydanguzo6969 2 หลายเดือนก่อน +10

    Mauwa kwa kaka lukasi ❤❤🎉❤ umetukumbuka Leo like kwa luca

  • @OmariMbaraka
    @OmariMbaraka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hatimae tupo pamoja ashukuriwa mungu

  • @EdinaEdina-tn4go
    @EdinaEdina-tn4go 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waooooo, hatimae imetoka

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 2 หลายเดือนก่อน +2

    Lucas umetupunguzia masaa mbna unatuonea jmn

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 2 หลายเดือนก่อน

    Tulikumisi sana kaka hongela ubalikiwe hata kazi azeendi❤❤❤❤❤❤

  • @mumbikibathi7036
    @mumbikibathi7036 2 หลายเดือนก่อน +4

    VIP Mumbi Wa Naivasha ako Ndani wapi likes

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน +2

    Waooo♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💃

  • @PerpetualWanyama
    @PerpetualWanyama 2 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana kaka Lucas kwa hii simulizi mungu akulinde kesho utulete ingine ya Edina nikupe maua🎉🎉🎉

    • @PerpetualWanyama
      @PerpetualWanyama 2 หลายเดือนก่อน +1

      Jamn mnakubaliana na Mimi kua atakaye batik a kubeba mimba n Edna mnipe laiki zenu na.kamaua kisi nyi mashabiki wa Lucas plz🌾🌾😬

  • @SalmaSalma-cb2pl
    @SalmaSalma-cb2pl 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mpaka tumeisahau

  • @neemamwachepha213
    @neemamwachepha213 2 หลายเดือนก่อน

    Yap lkuwa twasubir Haswaa asante sana Lucas lumbasss, chukua 🎉🎉🎉🎉

  • @allykhatib8557
    @allykhatib8557 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ukifikwa na shida gani ndugu

  • @ElizabethIsaya-io2bn
    @ElizabethIsaya-io2bn 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nimewahii jamaniiii nipeni likes zangu

  • @Nattyjay294
    @Nattyjay294 2 หลายเดือนก่อน +2

    🎉

  • @Sherry-b3u
    @Sherry-b3u 2 หลายเดือนก่อน

    Wow

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nafurahishwa sana na aina ya maisha anayoishi Roma,yaani hahangaishwi na mambo ya duniani isipokuwa anaelewa kama anafanya nini kwaajili ya nini,kweli huyu mwamba namhusudu sana💪💪

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 หลายเดือนก่อน

      Najinsi alivyo wapanga hao michepuko yake sipati picha jinsi watauwana wao kwa wao kwawivu wao,sasa nawa china wameingia mkenge😂😂😂😂😂😂

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน

      @@Evelynmoreen3655 😂😂michepuko ya mfalme haiwezi kuuana,siunaona anavyowapanga kwa busara na inaonekana kila mtu ataijua nafasi yake,nina hamu sana yakujua kama mfalme Pluto atakuwa na darasa lake,na hao wachina tusubiri vitu🤣🤣🤣

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 หลายเดือนก่อน

      @@avelinabaluhya2804 hakika 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @pilifarhani6049
    @pilifarhani6049 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani dkk17 tu nimekuwa wa50 ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @سيدا-ص1ز
    @سيدا-ص1ز 2 หลายเดือนก่อน +3

    Haka katoto nikazuri sana jamani wacha tuseme ukweli tu

  • @lizzygabriel9601
    @lizzygabriel9601 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sema leo umetupunja utamu lucas

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 2 หลายเดือนก่อน

    Tunakupenda Lucas jamani na uvumilivu wetu❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @fatumakama8760
    @fatumakama8760 2 หลายเดือนก่อน

    Wasema kaka Lucas lalan misosi sindio

  • @SofiaKhamis-o1k
    @SofiaKhamis-o1k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sijachelewa sana 😂❤❤❤❤

  • @merry486
    @merry486 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani jamani uhhhh asante sana 😘🇲🇿

  • @rahimaomarybabu1808
    @rahimaomarybabu1808 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka lucas lumbas inshallah kesho❤

  • @zuhuraomar-dw4hg
    @zuhuraomar-dw4hg 2 หลายเดือนก่อน

    Alihamdulih🤲🤲

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bismillah❤❤ Mimi ndo baby minah wake Roma❤❤❤

  • @FalidaRahma
    @FalidaRahma 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 hatimaye tumefikiwa Jaman woyeeee edna

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @SylviaBoisabi
    @SylviaBoisabi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow kameingi🎉

  • @MishiMshihiri
    @MishiMshihiri 2 หลายเดือนก่อน +1

    Woooh nimewahi leo😂

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hatimae imekuja aki Alafu lanlan nae na nyama aki😂😂

    • @elizabethkatoko8867
      @elizabethkatoko8867 2 หลายเดือนก่อน +1

      acha niwape likes hata kama hamunupeangi😢

  • @candidamushi-se9mb
    @candidamushi-se9mb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuu hatimae jmn nilimiss sana

  • @FestoMasunga
    @FestoMasunga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mpo moto mara hii tu mshajaa ❤❤❤

  • @annahnyansiaboka451
    @annahnyansiaboka451 2 หลายเดือนก่อน

    Atimae jamani tumefikiwa Asante mungu

  • @mariegorethkanteyineza122
    @mariegorethkanteyineza122 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bora umetukumbuka

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🎉

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante lucas

  • @MmNm-ww1xw
    @MmNm-ww1xw 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani asante lukasi

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 2 หลายเดือนก่อน +2

    Anko Lukas nipe namba nikutumie pesa za ahadi ya juzi mm n mkenya nipe maelekezo

  • @MwanahamisMbega
    @MwanahamisMbega 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh hatimae

  • @sophiaibuma9947
    @sophiaibuma9947 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤🎉 Asante

  • @leilamussa-6919
    @leilamussa-6919 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nilisubili sana