KIFO CHA MWAMI WA ASILI YA KIBEMBE CHA UZUNISHA WENGI BÙMBÉ MATANGO ATIYA NENO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @muliamadi859
    @muliamadi859 3 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana ndugu zetu

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 3 หลายเดือนก่อน +3

    Eheeeeeee jamani poleni sana wapendwa mwami ameuliwaje jamaniiiiiii!!!! mshangao kweli kwani akuwa na walinzi?wabembe wivu autawafikisha muendako maana munasalitiana kweli mutashindaje huku mnageukana?

  • @BlackBenz997
    @BlackBenz997 3 หลายเดือนก่อน

    Ttv nawapenda sana

  • @masumbukojamesmajaliwa8205
    @masumbukojamesmajaliwa8205 3 หลายเดือนก่อน +3

    Rest in peace😢😢😢

  • @BlackBenz997
    @BlackBenz997 3 หลายเดือนก่อน

    Mwami kuhuwawa na risasi duuuuh wa bembe muko ovyo

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 3 หลายเดือนก่อน +2

    Niahibu wami kuuliwa kama popo ukuu wenu uko wapi wami?

  • @BlackBenz997
    @BlackBenz997 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kbs ni kweli mwami awezi kufa kwa risasi

  • @jonachanmijan
    @jonachanmijan 2 หลายเดือนก่อน

    MUJIFUNZE SIYASA NDUGU ZAGU WABEMBE kuhuwa wami niwatu ambaho wana penda kutawala kivu kwaku wahondowa ndo wana anziya kuhuwa wami wa asili muwemacho namambo ya siyasa tusije tuka sikiya kesho huna hitwa kishasa na huna henda uta pewa sumu

  • @sylvanosalumu5840
    @sylvanosalumu5840 3 หลายเดือนก่อน

    Mwami atakufaje kwa masasi kama kuku moja tu hivi,inamaana wazee walishindwa kumpiga EKYEMBWE?
    Bosenga bono,abenu!!!!

  • @LamaribamJumbe
    @LamaribamJumbe 2 หลายเดือนก่อน

    Mmhhh ngumu kumeza chungu kutema😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 AISSEH

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana kutoka Tanzania 🇹🇿

  • @BlackBenz997
    @BlackBenz997 3 หลายเดือนก่อน

    Kuwajulisha lundi joo siku ya mazishi ya mwami simbi naomba Tanganyika tv musikose kufika tuna waomba sn

    • @TanganyikaTV
      @TanganyikaTV  3 หลายเดือนก่อน

      Tutakuwepo kabisa 🙏🏽

  • @BlackBenz997
    @BlackBenz997 3 หลายเดือนก่อน

    Nawafata nikiwa fizi

  • @kizabushiri2082
    @kizabushiri2082 2 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba muwe mnaongea katika lugha yetu ya kibembe kwasababu watoto wetu wanafuatilia mambo ya kwetu na wanaitaji kusikia lugha yetu ya kibambe inasikika Duniani kote, sio kuongea katika lugha ya kiswaili.

  • @BlackBenz997
    @BlackBenz997 3 หลายเดือนก่อน

    Good sn

  • @BlackBenz997
    @BlackBenz997 3 หลายเดือนก่อน

    Good image ttv tv kubwa Duniani

  • @ClaverSelemani
    @ClaverSelemani 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kwa wabembe 😢