CHANZO CHA UKOSEFU WA AMANI CONGO DRC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @nc8038
    @nc8038 7 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa shida yenu kama hamjui au nini , mpunguze uongo Rwanda hawawezi kumtumkia mzungu kwa sababu wazungu hawapendi Watusi mpaka wakawafanyia genocide mkitaka ukweli muanzie kwenye zama za wafalme wa Rwanda muangalie vizuli history kutoka zamani.
    Mashariki ya Congo sehemu kubwa ni ya Rwanda wafalme wa Rwanda walikua wanapaongoza , milima mabonde yana majina ya kinyarwanda, lugha na mila ni kinyarwanda sasa wazungu waliwapa hio ardhi kwa sababu waliona kuwa hamna akili.
    Viongozi wa Wahutu wengi walifanya kazi na wazungu wakasaidia wazungu kuiba na division ya Afrika.
    Angalia ma Raisi wa afrika kama Mombutu , habyarimana, Kabila mdogoo, Kayibanda , Bongo, na wengine wengi

  • @mushishinkunduwayo6599
    @mushishinkunduwayo6599 7 หลายเดือนก่อน

    nakumbuka Jessica let 1986 hukomoba bere vertical kutoka Katona walikimbiya waasi muchana pepper nilikuwa kufika kalemie kilicotokea nikopola wanaichi Hilo nijeshigani

  • @UwimaniduhayeIldephonse
    @UwimaniduhayeIldephonse 6 หลายเดือนก่อน

    Acha ni waambie ndugu fikili Kwa vita ilio gombanisha wanyarwanda na wakoloni ilio itwa rucuncu, nataka TU elewane pamoja kabla yawakoloni Ile Kivu ya kaskazini Ile udongo niya congo au niya Rwanda,

  • @mugishacyizaeric628
    @mugishacyizaeric628 7 หลายเดือนก่อน +7

    Siku RDC ili kubali kuwakaribisha wa FDRL ndiyo shida ilingiya kwa Congo. FDRL ni virus kwa Congo.

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 7 หลายเดือนก่อน

      Believe or not kagame anaanguka na FDLR watarudi kutawala taifa lao rwanda itarudi kwa wahutu
      na hapo tutsu watakimbilia uganda

    • @adoumpmoussah939
      @adoumpmoussah939 7 หลายเดือนก่อน

      Be intelligent my son, you are chassing and killing FDRL mpaka Kinshasa and Make General Kabarebe chef d,etat major...

    • @YannickEdmond-in9de
      @YannickEdmond-in9de 7 หลายเดือนก่อน

      acha uongo bwana, Rwanda haije congo kutafuta fdlr, inakuuja kuiba kupitiya njiya ya uuwaji. Tusidanganyane bwana Mugisha, mnajifanya hamjuwi lakini mnajuwa. Fdlr ni motif tu

    • @cestlaviecestlavie4073
      @cestlaviecestlavie4073 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@emmanuelchiza7733hiyo ni kama ndoto...

    • @YankurijeVestine-r1z
      @YankurijeVestine-r1z 6 หลายเดือนก่อน

      🇷🇼 ok

  • @Johnjohn-dt2tn
    @Johnjohn-dt2tn 7 หลายเดือนก่อน +2

    You’re talking nonsense, without invidence

  • @LameckOtuomameshack
    @LameckOtuomameshack 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi siwapendi sana hao WATUSI kipindi cha utawala wa kikwete wlitaka kuleta fujo TANZANIA ni kweli wangekanyaga moto KAGAME angeshakufa au kukimbilia UGANDA.

  • @mushishinkunduwayo6599
    @mushishinkunduwayo6599 7 หลายเดือนก่อน +2

    ubaguzi ndio installation inching setup tunabaguwa hata wanajeshi siasa baya hatuja fundishwa kupenda inchi

  • @SifaMasoka-h4e
    @SifaMasoka-h4e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Semeni kwanza labda wana weza kusikiya ngoja nitowe mfano nchi kama Tanzania mawa ziri wakileta hujanja wana fukuzwa hanza rani kula mwana nchi amuhone fisadi tuna homba Mungu kila siku Congo yetu hipate amani zidini kusema na Mungu hazidi kuwa wezesha tuna Congo yetu sana asante sana ndugu zetu

  • @chrismugisha-w2s
    @chrismugisha-w2s 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu hatakubari mubaguwe batusi nabo nikwabo kama munawafukuza mupe naaridi yawo mukubari banyamurenge mukubari batusi bamasisi brobleme munayipita pembeni muwace kukata wenzenu namukiendereya kuwawuwa

  • @jumaomary4189
    @jumaomary4189 6 หลายเดือนก่อน

    Magufuli kafa tz kzaliwa Congo sheme tsekedi

  • @LameckOtuomameshack
    @LameckOtuomameshack 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana TANGANYIKA TV nawapata sana vizuri mko safi sana , mshirikiane kumfukuza adui KAGAME na MUSEVEN wanashirikiana kushambulia KONGO tafuteni ufadhili hata CHINA na RUSSIA mpate silaha za kisasa. Ili kupambana sana.

  • @nc8038
    @nc8038 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mipaka iletwa na wakoloni mnapashwa kurudisha ardhi ya Wanyarwanda mliopewa na wazungu kutoka berlin conference from 1884- 1885

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania angalieni Mungu atupe upendo tupendane

  • @JohnDeus-v3e
    @JohnDeus-v3e 7 หลายเดือนก่อน

    Hamjui chochote Tena nyie ni wajinga Tena wapimbavu. Tatizo limeanza kabisa colonial era. Kugawanya Africa

  • @safindabarinze1737
    @safindabarinze1737 7 หลายเดือนก่อน +1

    Munakatara watusi alakini watawavuruga mpaka mwisho yadunia.

  • @albertmushambarhwa6416
    @albertmushambarhwa6416 7 หลายเดือนก่อน +2

    Maneno ya mikataba ni mupago ya adui Rwanda ,sitaki ni taje umoja wa ulaya wana tumikisha Rwanda , Rwanda naye anatiya mpele wa tutsi.Muzungu hataki Congo ishimame .IKi shimama Africa njoo ina Shimama. Jibu nimoja ni kushikana mukono. Makossa nimingi alakini siku izi nikusahU yote nchi kwanza.

  • @ferdinandkamandi9028
    @ferdinandkamandi9028 7 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo, kumvukeni tena kukaribishwa kwa FDLR na kuwekwa karibu na mupaka ya inchi waliyofukuzwamo wakiwa na silaha zote!

  • @Nate-y3h
    @Nate-y3h 7 หลายเดือนก่อน +1

    Integrating FDLR and allowing their ideology in congo has destroyed Congo so bad and now is hard to separate them with actual Congolese.
    Congolese has to take responsibility and stop blaming others cause they are the one who started the issue and they are the one who have a solution.

  • @LaurentKYEMBWA-pv8ft
    @LaurentKYEMBWA-pv8ft 7 หลายเดือนก่อน

    Ongera kwa wote. Kweli chanzo cha fujo ni bad contract.

  • @LaurentKYEMBWA-pv8ft
    @LaurentKYEMBWA-pv8ft 7 หลายเดือนก่อน

    Naleta mfano wa Yuda Iskarioti aliyesaliti Bwana Yesu. Yeye alikuwa tuu kilalo kimoja. Lakini mpango wa Mungu ni kwamba Yesu ni mwana kondoo atakaye mwanga damu kwa kuondoa zambi za ulimwengu. Hata bila jina la Yuda mpango wa Mungu unge endeleya hadi mwisho. Kwa kifupi, hata bila Laurent Désiré KABILA mpango wa Wazungu ungeendeleya kama kawaida.

  • @saidausi9917
    @saidausi9917 6 หลายเดือนก่อน

    MTANZANIA Og kaeni mezani mmalize bila hivyo vizazi vinaangamia raia Wana kufa utaongoza nini?

  • @BM-jw9ti
    @BM-jw9ti 7 หลายเดือนก่อน

    Chanzo cha vita ni wudongo ya Rwanda iri pewa DRC na wakoroni, rakini Congo inataka wudongo, rakini ayitaki watu warikuwa epo. The Kingdom of Kongo, it is not in Eastern DRC. Eastern DRC was under the Rwandan territory and Kingdoms. Chanzo cga vita ayiko mikatara, ni mipaka.

  • @erickruhamya5129
    @erickruhamya5129 7 หลายเดือนก่อน +1

    Chanzo cha vita ni hawa wa Congolese ambao wana sema lugha ya Kinyarwanda ambao wa na nyanyaswa

  • @CosubuBurundi
    @CosubuBurundi 7 หลายเดือนก่อน

    Kuitwa mzalendo amezaliwa congo ni mzalendo na hao watutsi niwazalendo

  • @josephdusingizimana8784
    @josephdusingizimana8784 6 หลายเดือนก่อน

    Mada hiyo si nzuri siku ni siku tena giza ni giza. La leo nami kesho nile. Sababu gani mn apenda niwe mkimbizi myaka zaidi?Nitagombana kwa kuleta uhuru kwa kila mtu yoyote ili apate amani.M23 Songa mbele...

  • @jacquelinetuyisenge249
    @jacquelinetuyisenge249 7 หลายเดือนก่อน

    Je,ni lengo Gani Magashi yenu ya Tzd wanapoteza Maisha Yao?

  • @MoiseMuzigirwa-vk8ye
    @MoiseMuzigirwa-vk8ye 3 หลายเดือนก่อน

    jambo papa munaongeya vizurisana tunawafwata sana

  • @gamukamaali9477
    @gamukamaali9477 7 หลายเดือนก่อน

    kibaya yenyu wacongomani munayunga fitina zenu na wanyarwanda kwa inchi zingine! ouganda siyo Rwanda bwana!! piganeni vita vyenu mukaimalize mwache kulaumu majirani bure.

  • @habimanajulien
    @habimanajulien 6 หลายเดือนก่อน

    Kabla hamija itika mutusi Anaye ongea kinyarwanda kama mu congomani mungali nashida

  • @LaurentMatigili
    @LaurentMatigili 7 หลายเดือนก่อน

    Nasikiliza hii historia ya DRC had nataman kulia😢.,hakika unyonyaj unaofanywa na nchi za magharbi masharik y Congo na Africa kwa ujumla unasikitisha san.

  • @KaidenKayz-qc2mj
    @KaidenKayz-qc2mj 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyerere alokuwa amelipatia tatizo la congo mstari lakini mama Samia amewutenga akaenda kupiga wanao pigania rights zao na sofikiri ndio solution mzuri

  • @higirovedaste1898
    @higirovedaste1898 6 หลายเดือนก่อน

    Matatizo yacongo inatokana na madivision na mauwagi anaongozwa na viongozi wa DRC sasa na waVictime wanainchi wakaanza kujigombania wasimaliziike

  • @MILK52899
    @MILK52899 6 หลายเดือนก่อน

    Twache kujisumbuwa kule tumeliwa kwa sabatu hangalia Sirayeli na gaza ilikuwa ya gaza Iła walikubali wawape wengine unaona sirayeri ilivyo tawala gaza

  • @GordienNtawuyamara-k4o
    @GordienNtawuyamara-k4o 7 หลายเดือนก่อน

    Kit naweza kuongezaya nynyi acongomani piga adui atok kingine mujiunge mfano angarieni waisiraeli sasahivi wamejiuunga nanynyi mufanyeni hivyo

  • @emmanuelamonique7308
    @emmanuelamonique7308 6 หลายเดือนก่อน

    Nafikiri mzozo wacongo sio mikataba sababu ichi zote duniyani wafanya miktaba ilikupata sululisho. Sababu bila mazungumuzo namikataba vitasiyo sululisho ya kumaliza vita Bali shida la congo ni ubaguzi wamakabila

  • @higirovedaste1898
    @higirovedaste1898 6 หลายเดือนก่อน

    Rwanda ilingia Congo kwa managani ???? Fafanua , Congo ikafanya makosa kama mubutu , Rwanda itaingia tena mutaona

  • @triphonkwizera7832
    @triphonkwizera7832 6 หลายเดือนก่อน

    Vip njia Gani nitatumia Ili mnitangalize vyashal

  • @LaurentKYEMBWA-pv8ft
    @LaurentKYEMBWA-pv8ft 7 หลายเดือนก่อน

    Ni bad lakini nina nyongezo hapo na mumeigusia kidogo.

  • @AdolphMnambuka
    @AdolphMnambuka 6 หลายเดือนก่อน

    Istilia ndo tatizo wao niwakaidi mwalimu alitaka waafilica tuungane tukaazia Zanzibar wao wkajiona wajanja wakapewa josefu wakapewa mifumo Tena ni yakitanzania wnazingu Sasa munaua adi vimbilikimo.

  • @erickruhamya5129
    @erickruhamya5129 7 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo bwana, mikataba gani? Acha kuwadanganya wana inchi bwana

  • @patrickchapwe8778
    @patrickchapwe8778 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mukongomani lakini ndugu zangu wakongomani ni fake

  • @ArafatSekatawa
    @ArafatSekatawa 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tafadhali request kipindi hiking bola zaidi kabisa

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 7 หลายเดือนก่อน

    Apo ni kweli bro lkn washindwe wazungu na vibara wao weusi

  • @nyarwakaaline1362
    @nyarwakaaline1362 7 หลายเดือนก่อน

    Ukomukubwa lakini maneno yako nikama yawatoto wachanga, wakongomani tukona ubaguzi mingi ndomaana inchi isha haribika, hakuna inchi ina kabila moja duniani. Ulisha ona inchi yawa mbebe tu, ama ya watusi tu? Uyojinga utowe kwakicha yako iyo no unjinga.

  • @lema3669
    @lema3669 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asanti Sana Tanganyika Tv
    Nimewafata Kwa Makini Sana .inaomba Sisi wato wote WA inchi tusimame Kwa kupigania inchi yetu naishi New Zealand.

  • @habimanajulien
    @habimanajulien 6 หลายเดือนก่อน

    Robert ni mujinga sana ana ongea vienye hajuwe naye Ubaguzi inamujaa ndani

  • @fatumaabedi3788
    @fatumaabedi3788 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi kama Muzalendo
    Na washukuru kwa kipedi kama
    Hichi cha walaze fo T.V. Asante
    Sana kwa fikra nzuri saana

  • @Mellissa-z6s
    @Mellissa-z6s 6 หลายเดือนก่อน

    ❤ NI KWELI KABISA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HappyForestTrees-gc6hs
    @HappyForestTrees-gc6hs 7 หลายเดือนก่อน

    Wa congo munapenda ushoga sn piganeni vita I nchi dogo inawapiga vp nyie

  • @anithanininahazwe4589
    @anithanininahazwe4589 7 หลายเดือนก่อน

    M23 💪💪💪💪💪❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰

  • @GordienNtawuyamara-k4o
    @GordienNtawuyamara-k4o 7 หลายเดือนก่อน

    Ili mpige aduui ayishakabisa

  • @triphonkwizera7832
    @triphonkwizera7832 6 หลายเดือนก่อน

    Tunawasikiya hapa Burundi

  • @ChalesPik
    @ChalesPik 6 หลายเดือนก่อน

    Pambaneni Munguatawasaidia

  • @emmanziza5133
    @emmanziza5133 7 หลายเดือนก่อน

    DR Congo should not discriminate against your people , M23 are Kinyarwanda speaking Congolese, with discrimination and tribalism DR Congo will never have peace and it will always fight loosing wars. First blame the colonists who demarcated boarders, if the DR Congo doesn't want to accept them, it should chase them together with their land. It seems some people are just haters, jealous and against the rapid and success development taking place in Rwanda as a country.

  • @scoviamusoni4353
    @scoviamusoni4353 7 หลายเดือนก่อน

    Waca FDLR siku moa itawamaliza batabamaliza .

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 7 หลายเดือนก่อน +2

    We love 🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤❤❤ from Burundi 🇧🇮 Lives in cape Town 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ibrahimnkurunziza8198
    @ibrahimnkurunziza8198 4 หลายเดือนก่อน

    Asante vizuri sana naelwa

  • @NdatabayeLouis-gs4ij
    @NdatabayeLouis-gs4ij 6 หลายเดือนก่อน

    Naishi ostrariya odonga

  • @Salambwe
    @Salambwe 7 หลายเดือนก่อน

    Kuma yabamamayenu mutumwenye urireta mukoshi kongo ni fdlr

  • @YankurijeVestine-r1z
    @YankurijeVestine-r1z 6 หลายเดือนก่อน

    🇷🇼 ❤ chida munapenda efdlr

  • @bwenge5332
    @bwenge5332 7 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi ba congoman kama amujaona abo bahutu ba nterahamwe,FDRL ni babaya banaletea shida uko congo amutapata amani je mbone munabatiya kuenu mukabakamata kama bacongomani ju ya nini amujuwe abo batu baliwuaka batu rwanda abo ni adui yareanda sasa rwanda mutaishi amani na rwanda mufukuze abo batu mupate amani

  • @jacquelinetuyisenge249
    @jacquelinetuyisenge249 7 หลายเดือนก่อน

    Pale nchi Congo

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mabeberu ndio tatizo kaka la africa na viongozi bahashi yao wanafiki ndio canjo

  • @NdatabayeLouis-gs4ij
    @NdatabayeLouis-gs4ij 6 หลายเดือนก่อน

    Tukonanyunyi

  • @AliMasudi-td7gy
    @AliMasudi-td7gy 7 หลายเดือนก่อน

    Acheni uhuni

  • @Ugandaourmotherland
    @Ugandaourmotherland 7 หลายเดือนก่อน +1

    Very true my brother I'm from uganda but I'm in total agreement with what you're discussing my the Almighty God upend the eye of our brothers

  • @kaggwajoseph6047
    @kaggwajoseph6047 7 หลายเดือนก่อน

    MUNTU AMBAYE MUNAOWONA SIKU HIZI SIYE KAGAME KUWANGA KAGAME ARIKUFA MALA 3 INAYOPITA

  • @lema3669
    @lema3669 7 หลายเดือนก่อน

    Asanti Sana Tanganyika Tv
    Nimewafata Kwa Makini Sana .inaomba Sisi wato wote WA inchi tusimame Kwa kupigania inchi yetu naishi New Zealand.

  • @emmanuelmagida824
    @emmanuelmagida824 6 หลายเดือนก่อน

    Wakongo tuamue tupigane ndani ya Rwanda naye apate machungu

  • @rizikichantal651
    @rizikichantal651 6 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭🙏🙏🤝

  • @KanyebaMutambaidris
    @KanyebaMutambaidris หลายเดือนก่อน

    Fantastique

  • @TitoKasongo
    @TitoKasongo 7 หลายเดือนก่อน

    Haja sahini mikataba kabila
    Mzee, aliye sahani ni kiongozi
    Wa chama kisasu Ngandu
    Mkuu wa majeshi ni mnyarwanda aliye kuwa ana itwa Masasu Nyindaga kwa jina marufu Toto Nyindaga
    Kabila Mzee ndiye aliye wa huwisha wote wa wili (2).
    Jems kabarebe aka kuja na fasi ya Toto karma mkuu Amri
    Jeshi, Asanteni

  • @dominiquedunia253
    @dominiquedunia253 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤you’re the best,Sydney nde makambu 🎉🎉🎉

  • @freddydiwa3357
    @freddydiwa3357 7 หลายเดือนก่อน

    Mes freres, defendez le territoire national
    Le Congo vit les douleurs de l'enfentement, la délivrance est la. C'est juste une question de temps.
    Le jour ne se leve pas a midi. Tout commence par les crepuscules du matin

  • @Mocha_211
    @Mocha_211 7 หลายเดือนก่อน

    Abahutu bo muri Australia babaye aba Tanzania.

    • @ChristianMukarwego
      @ChristianMukarwego 7 หลายเดือนก่อน

      Ingengabitekerezo y'ivangura Moko irakumaze

  • @richardmuyango9157
    @richardmuyango9157 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa mm nmefatiria hizi nchi mbili congo na Burundi hamkai nchini kwenu ss ninani ambae atamaliza migogoro yenu jamn

  • @kazefiacre8392
    @kazefiacre8392 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mi kama murundi inabidi tupambane iri manyanyasi ya kagame asimame juuu wakongomani siyo jirani tuu ni nduguuu

  • @desirerivuzimana5854
    @desirerivuzimana5854 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi kama raia wa Burundi nawasihi enyi wakongomani msimame imara mlifanye liwezekanalo mpiganie nchi yenu msikubali ichukuliwe na yeyote yule.shirikianeni ninyi wenyewe bila kutegeana

  • @mushishinkunduwayo6599
    @mushishinkunduwayo6599 7 หลายเดือนก่อน

    maoni yangu mimi nikuagawa inching Mara inner kila province inajitawala bila kutowa report kinshasa

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kwa uchambuzi wenu muzuri, nawasalimu wazee wangu wa Camp, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸

  • @AliMasudi-td7gy
    @AliMasudi-td7gy 7 หลายเดือนก่อน

    Tanganyika TV nie niwauni ndomana mnaingia na makapitula kwenye media shenz

  • @sadikibernald9519
    @sadikibernald9519 7 หลายเดือนก่อน

    Wenzangu asantesana miminisadiki nawezajye kuwasirianananyinyi asante

  • @titonsungu1178
    @titonsungu1178 7 หลายเดือนก่อน

    Vita ya congo itamalizika kama , tuna tambuka Kyle Rwanda

  • @JeanPaulNdereyimana-tq5vd
    @JeanPaulNdereyimana-tq5vd 7 หลายเดือนก่อน

    Very thrust congo niya wa congomani not Uganda na gwanda

  • @mushishinkunduwayo6599
    @mushishinkunduwayo6599 7 หลายเดือนก่อน

    Juan hatuna Jessica hata likilipwa vizuri

  • @MussaEzekiel-jn8hj
    @MussaEzekiel-jn8hj 7 หลายเดือนก่อน

    Nikupigana hadi kileweke

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi sio mkongomani ila nyinyi ote mnaongea ukweli

  • @Nzohabonayojerome
    @Nzohabonayojerome 7 หลายเดือนก่อน

    Agsante!!!

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 7 หลายเดือนก่อน

    🤙💞

  • @AlfaninakayaBukuru
    @AlfaninakayaBukuru 7 หลายเดือนก่อน

    Maoni yangu mimi nikwamba. Inatzkiwa Congo tujitayarishe kupigana 'arwanda serikali inuniwe mifumo yakujilinda nakuunda wapelelezi kila 'kijiji ambao kazi Zao itakuwa nikutowa Tarifa kwaserikali husikz ili kujuwa anaye ingia Congo n'a aneyetoka hilo litatusaisia

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 7 หลายเดือนก่อน +1

    Rachid anajitahid kufanua na niivo ivo kila taifa la ulaya ni Shamba lao

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ma rais wengi wa africa swala la congo wanalijua ila unafiki tu

  • @leonmusanabera12
    @leonmusanabera12 7 หลายเดือนก่อน

    Wait watatu wote hakuna ata moja iko na akili? Munalewa bangi akili yenu iko ku niveau ya cini ya kiyato ndio maana
    Congo hayitapona ,watu watatu munafanya kipindi ca saa nzima munazungumuza mambo ya ujinga .

  • @RodaTina
    @RodaTina 7 หลายเดือนก่อน

    Kama hamungewua mamadu adara congo ingekuwa afueni,

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 7 หลายเดือนก่อน

    Nikweli umoja wa mataifa ndio ndio wa fazila wao Nikweli africa viongozi wetu wengi wao ni vibaraka

  • @ByamunguDjuma-e6u
    @ByamunguDjuma-e6u 7 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi Sana Mada nzuri Sana nduguzangu wamezungumza maswala muhimu

  • @esterimirimo9168
    @esterimirimo9168 7 หลายเดือนก่อน

    Jechi ya uganda wapokeya muchaara ya 100s

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 7 หลายเดือนก่อน

    Rais wenu atizame mfano kwa Burkina faso

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 7 หลายเดือนก่อน

      kweli lakini dugu congo sio burkin faso ....congo naweza SEMA ni pumuzi ya Dunia ...pili wa burkin faso ni wazalendo sio kama wa congo

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 7 หลายเดือนก่อน

    Nakutazama nikiwa usa papa dodo

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 7 หลายเดือนก่อน

    Jamboree papa dodo