Thank mr journaliste Tanganika tv Malanga alikuwa mwana jeshi wakati raisi Jkk na alikuwa Capitain na tunawaombele yakutowa habari niku chunguza vizuri iyo habari thank you my love
Watu wa Kinshasa,UDPS, hawakutaka Kamerhe awe Spika.Kwa kuwa rais Felix hakukubaliana na watu wa Kinshasa kumzuia Kamerhe kuwa spika,walimpa dili Christian Malanga aweze kumuua Vitalis Kamerhe.
Nawaomba wacongomani muwe wangwana acte de sabotage siyo kitu ambacho unaweza kukitoa ili uzarahuu police ao jeshi la Congo.Hata Ossama alipiga Marekani.
Ok omari ww kama congo ina wana siasa basi ww peke yako ndo mwana siasa congo wengine hooooote niwa ranguzi ila nijambo jema kwa nn ukiangali kiundani utalia sana basi nibora nitowe kama mesali ya baibo ifatilie istoria warais wa laiberia alie katwa skio utaelewa kongo kunann ivi kisekedi baba aliwai kufanya nn kongo
hakuna coup de tat kwa sababu 1. mapinduzi ili yafanyike anayepinduliaa ni rais sio raia 2.wapinduaji lazima katika kundi lao kuwe na wanajeshi unless iwe uvamizi wa nje 3.waliopindua wanawezake kuja na kirekodi video wakati mapinduzi bado hayajakamilika 4.hakuna mapinduzi ambayo yanahusisha wale waliokuwa katika eneo la tukio wapo washirika wengine wengi hass kutoka jeshini (fardc) na idara ya usalama,tulitegemea watu hao wote wakamatwe 5.kungekuwa na hali ya kutokutoka ndani kinshasha kamata kamata ingekuwa kubwa sana 6.mkuu wa idara ya usalama na mkuu wa majeshi wangekuwa hawapo katika nafasi zao 6.concert ya moise mbiye kufanyika siku ya pili maana yake hakukuwa na hatari yoyote 5.
Ifahamike kwamba waliitafuta nyumba ya waziri mkuu Judith Suminwa wakamkosa Wakaja kwa Jp Bemba wakamkosa ndo wakaja kwa Kamerhe. Swala lakumtoa Kamerhe halingesababisha mtu atokee marekani ili kumuua kamerhe
Bravo wa ndugu, courage sana, tuna waunga mkono a 100%.
asanteni sana wa ndugu kwa analyze nzuli mu liye itowa asanteni tena sana sana tena sana
Safi sana kwa uchambuzi wenu muzuri na wakueleweka, from Cedar Rapids Iowa state USA.
Courage baba omari unaongeya ukweli ndugu. Goma RDC 🇨🇩
you are our hero thank you so much guys
Kbs ilenjo hakiyote Asante
Ndungu zangu aksanti sana kwa kuchunguza mambo yanaopitikana inchini congo ,mujikaze hiyi Tanganyika TV ikuwe direct visual mu east ya congo yoote ,
Watoto wa KIVU tujiunge mkono tujenge kivu yetu!! Aceni awawatu wa kin ba avanturier! Un kivu libre et solidaire!!! Separation oyeeeeee
Mzee. Omar bravo unasema vraiment ni kweli kabisa Asante sana ubarikiwe sana
Bravo wanduku nikweli kabisa yale Mnayo zungumuza bana kwa nazala zala maneno oh ivi ivi ile haikua cou d'etat
Thank mr journaliste Tanganika tv Malanga alikuwa mwana jeshi wakati raisi Jkk na alikuwa Capitain na tunawaombele yakutowa habari niku chunguza vizuri iyo habari thank you my love
Wandugu hongera sana andikeni namba
+61478905556
Njo mara kwanza nasikiya débat ya vrais wazalendo. Sikusikiya mambo ya kikabila ambayo ni virus itamaliza iyi region nzuri des grands lacs. Merci
Watu wa Kinshasa,UDPS, hawakutaka Kamerhe awe Spika.Kwa kuwa rais Felix hakukubaliana na watu wa Kinshasa kumzuia Kamerhe kuwa spika,walimpa dili Christian Malanga aweze kumuua Vitalis Kamerhe.
nikweli hatuna rahisi.
bwana OMARI aksanti
Kweli hiyo wasikiye kamere
Mulupango Sasa siyewarahiya
Nihatari nikutuuwa kama nzi
Ile ni Comedy ya Mapinduzi!!!
Nimanu goMa ikosahasikiyake kiswahiri mumwambiye
OGERENISANA
Ndugu zangu muna akili timamu sana
Balikua njo na mission ya kamerehe
jambo dungu aliwayi kuwa njeshi wa Congo captain
Ninawafatiia vyema kutoka 🇹🇿,mmekuwa kimya sana sijuwi kwann!?
NAFATILIA VIZURISANA MJADALA
NIKWEL KABISA WAJIGANIWAO KAGAME AJAGI KONGO KUWAITA
ILAWAOWAJIGADIYO WANAENDAKWAKE WAJIGAAO
VIFARASAVYAUPUMBAVUDIVYOWANA KALIA TU
SS BAKONGO TUMUOMBENI PUNTN ATUSAIDIE
UKOPOA
❤
Baba twache utimu tshisekedi alikuwa amesha djuwa kila kitu kilichokuwa kinaedzlea
Ulinzi tosha ulikuwa hapo...ila kilicho fanyika ni stratégie, repris stratégique !!!
Christian Malanga ni Jeshi wa kongo..un capitaine
отлично !
Nikwe omari. Maneno yako niyakweli. Hatuna raisi Congo
Ok
AHOWATUNIWAJIGASANA ICHI IPOKWENYEATARI NYIYE MNARUUSUTAMASHA OTENIWAJIGA
Nawaomba wacongomani muwe wangwana acte de sabotage siyo kitu ambacho unaweza kukitoa ili uzarahuu police ao jeshi la Congo.Hata Ossama alipiga Marekani.
Kobaya chawa congomani nikusikiya Habari wanakosa uchambuzi munawaza will ngoma mambo anayosema siyondoto niyakweri
Wewe bwana Omari umsema coup d'etat haiwezi fanyiwa ku office , ile ni uwongo wako ; basi mzee kabila aliuwawa wapi ? Haiko officini ?
IYO NISEREKALI BOVU TENA BOVU
Ok omari ww kama congo ina wana siasa basi ww peke yako ndo mwana siasa congo wengine hooooote niwa ranguzi ila nijambo jema kwa nn ukiangali kiundani utalia sana basi nibora nitowe kama mesali ya baibo ifatilie istoria warais wa laiberia alie katwa skio utaelewa kongo kunann ivi kisekedi baba aliwai kufanya nn kongo
Tatizo nimweye ba kongomanioooo
Kama I kichwa Cha habari ni mapinduzi aliyofanya MALANGA lakini mnatwambiya mambo ya Sasa ya congo.Tuwaeleweje?
Nyie mipaka Sasa hanaga jeshi nawaasi ktk jeshi Sasa kama nyie wabembe wara vichwa vya mikeke mtapata wapi hakiri yakuishi
hakuna coup de tat kwa sababu 1. mapinduzi ili yafanyike anayepinduliaa ni rais sio raia
2.wapinduaji lazima katika kundi lao kuwe na wanajeshi unless iwe uvamizi wa nje
3.waliopindua wanawezake kuja na kirekodi video wakati mapinduzi bado hayajakamilika
4.hakuna mapinduzi ambayo yanahusisha wale waliokuwa katika eneo la tukio wapo washirika wengine wengi hass kutoka jeshini (fardc) na idara ya usalama,tulitegemea watu hao wote wakamatwe
5.kungekuwa na hali ya kutokutoka ndani kinshasha kamata kamata ingekuwa kubwa sana
6.mkuu wa idara ya usalama na mkuu wa majeshi wangekuwa hawapo katika nafasi zao
6.concert ya moise mbiye kufanyika siku ya pili maana yake hakukuwa na hatari yoyote
5.
Papa dodo
Kwanza hio musemi eti congomani kwa baba na mama ni upotevu na ubaguzi .
Kwanza nyie mpigwe sisi tunakumbulia kwenu mulitunyanyasa eti tunafukuzwa nawatu wachache nsnyie Sasa munagukuzwa natu wangapi?
Namunagani mutu atoke. America afike Kinshasa namunagani hakuna warinda usarama hapo kin. Congo hakuna murango ikowazi
Ifahamike kwamba waliitafuta nyumba ya waziri mkuu Judith Suminwa wakamkosa
Wakaja kwa Jp Bemba wakamkosa ndo wakaja kwa Kamerhe. Swala lakumtoa Kamerhe halingesababisha mtu atokee marekani ili kumuua kamerhe
Asante sana
Ninyi wapumbavu kuleni mikate ya hapa marekani na uraya mambo yenu nyie wabembe niziro
Wewe uko tribiliste tu aime pas le Baluba du kasai
Wakingomani nyie ni wapumbavu na wajinga watupu hata nyie wenyewe ni waaaliti moja kwa moja mnaisaliti serikari yenu kwa yayo yayo mnai yaongelea
Bravo wanduku nikweli kabisa yale Mnayo zungumuza bana kwa nazala zala maneno oh ivi ivi ile haikua cou d'etat
Nimanu goMa ikosahasikiyake kiswahiri mumwambiye
OGERENISANA
Ndugu zangu muna akili timamu sana