Tupendane - Joshua Mlelwa & KUG

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 เม.ย. 2023
  • เพลง

ความคิดเห็น • 33

  • @BlessFaustine-lu8pq
    @BlessFaustine-lu8pq 26 วันที่ผ่านมา +1

    Ndugu tupendane ...2024 ❤ ... Sauti inanikubusha mbalii mno

  • @user-hy2yk1db8m
    @user-hy2yk1db8m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka 2007 post violence now 2024 i thank God this far

  • @PharesKigongwe
    @PharesKigongwe 4 วันที่ผ่านมา

    Tunawashukuruni sana kwa hizi nyimbo zenu. Mungu awabariki

  • @user-ki3td8es1d
    @user-ki3td8es1d 7 หลายเดือนก่อน +6

    Hii track inanikumbusha nikiwa mdogo sana mwaka wa 2006 mpaka Leo 2023 soon rahisi ni MUNGU👍🇰🇪

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa759 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka hapo mwaka 2005 niko form 2 kudadake walileta sinema kijijin mkesha wa xmass

  • @wagerezanin2k896
    @wagerezanin2k896 หลายเดือนก่อน

    Kweli upendo usipo mpenda jirani je mungu ambaye umuoni itakuaje
    Love this song all time in the my life

  • @tamadunifanstv3367
    @tamadunifanstv3367 หลายเดือนก่อน +1

    jumbe zinazoishi miaka yote

  • @deborakamsi
    @deborakamsi 9 หลายเดือนก่อน +4

    My favourite Gospel artist since I was 10 years until now I still love this song

  • @simas.a1003
    @simas.a1003 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo za hawa ndugu zinaujumbe wakila nyanja. Halafusasa melody da!. Na hazichuji. Mungu awabariki kwa vipawa alowapa.

  • @user-fs9ph5hq7p
    @user-fs9ph5hq7p 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nyimbo inanikumbusha mbali sana barikiweni jamani ilikuwa 2003🙏

  • @edommwakalinga2146
    @edommwakalinga2146 2 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @jameskinyanjui_
    @jameskinyanjui_ ปีที่แล้ว +3

    Sifa kwa Yesu! Nimekua nikuutafuta Wimbo huu kwa muda namshukuru mungu nimeupata!!
    Much love from 🇰🇪

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      Amen Amen.!
      Uzidi kubarikiwa.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa Mliimba Na Roho Mtakatifu kabisaa

  • @happinessjeremiah4150
    @happinessjeremiah4150 ปีที่แล้ว +2

    Huu mimbo unabariki sanaaaa na hasa pale tuliufanyia praise church ulibambaa baraaaa

  • @user-wf7lx9px9x
    @user-wf7lx9px9x 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tupedane tuwena umoja

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 ปีที่แล้ว +3

    Amina kwa yesu milele

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo ndo Mnanipatia

  • @stevenmfumbilwa2109
    @stevenmfumbilwa2109 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukwelii mko vizuri mno napateje hizi nyimbo watumishi wa BWANA?

  • @Mima-theboss
    @Mima-theboss 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nabarikiwa sana na hizi nyimbo 🙏🤝

  • @lucyziri4960
    @lucyziri4960 10 หลายเดือนก่อน +1

    Very poweful message...kenya following

  • @Accountantlady
    @Accountantlady 5 หลายเดือนก่อน

    Napenda nyimbo za hawa watu... Wanaimba uhalisia cio ya sasa ivi

  • @mdabemdabe7829
    @mdabemdabe7829 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki nakumbuka mbali sana nabarikiwa kupitia nyimbo hizi

  • @user-qz8qb3ch1y
    @user-qz8qb3ch1y 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤Waw powerful

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 5 หลายเดือนก่อน

    Nakumbuka 2002 nilikuwa na mapito sana

  • @jamesmwamba315
    @jamesmwamba315 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @user-xi2uo9ch8t
    @user-xi2uo9ch8t 10 หลายเดือนก่อน

  • @MichaelAumaathome
    @MichaelAumaathome 10 หลายเดือนก่อน +1

    Can you post, "Nieleze siri yako ya ushindi wee...." 2nd last song in this album.

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  10 หลายเดือนก่อน +1

      It's there already,
      Titled MAMBO SAWA.

  • @gospelman3720
    @gospelman3720 ปีที่แล้ว +2

    Legend, zile Flash zenye Album za Kijitonyama Bado unazo?

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว +1

      Flash Zipo. Nicheck Kwa Whatsapp namba 0714 237 524.

  • @simas.a1003
    @simas.a1003 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo za hawa ndugu zinaujumbe wakila nyanja. Halafusasa melody da!. Na hazichuji. Mungu awabariki kwa vipawa alowapa.

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      Amen Amen...
      Barikiwa zaidi