Wewe Dada Mungu akubariki sana nyimbo zako nilikuwa nazitafuta kwa muda wa miaka 10 sasa. Toka 2014 hatimaye umetuletea Mungu akubariki sana yaan unanibariki sana nakumbuka nilipokuwa secondary nyimbo zako tulikuwa tunakusikiliza tukiwa wanaAssa Tosamaganga Iringa miaka kama 10
Kijitonyama Choir m'barikiwe!!! Kaka Joshua nina maoni, Hii nyimbo ya Bam Bam mngeiingizq kwenye mtandao wa spotify, Pamoja na ile ya "Ingia Zizini uwe mmoja wa kondoo" hazipatikani spotify, spotify zipo "Ingia zizini" zingine ila sio hio nlioitaja hapo juu!!! Ubarikiwe kaka Joshua!!!
❤❤❤ Kule Miaka ya 2004/5/6 nilikuwa bado mdogo lakini baraka kutoka kwa wanakijitonyama haikuwa ya kupimika. Mbarikiwe popote mliko nyie na watoto wenu. 🎉

Back na days,,when life used to be sooooo good and fun
Huuu wimbo ndio uliniponya hongeren sana kijito nyama
Mliifanya kazi ya Bwana kwa Nafasi yenu mbarikiwe sana hz nyimbo zinaishi aisee....
Muko wapi wapendo wangu tuko namitafuta, Angola 🇦🇴!!
Kijitonyama Choir m'barikiwe!!! Kaka Joshua nina maoni, Hii nyimbo ya Bam Bam mngeiingizq kwenye mtandao wa spotify, Pamoja na ile ya "Ingia Zizini uwe mmoja wa kondoo" hazipatikani spotify, spotify zipo "Ingia zizini" zingine ila sio hio nlioitaja hapo juu!!! Ubarikiwe kaka Joshua!!!
Amen Amen.
Ahsante sana.
Nitalifanyia kazi.
Rudini Wapendwa tena muifanye kazi ya BWANA❤❤
You made my primary school entertainment time worthy. Much love and blessings from Kenya.
❤❤❤ Kule Miaka ya 2004/5/6 nilikuwa bado mdogo lakini baraka kutoka kwa wanakijitonyama haikuwa ya kupimika. Mbarikiwe popote mliko nyie na watoto wenu. 🎉
Nmefuraha sn kumuona Mwl Mwakasege
Mbarikiwe sana wana wa Mungu
Awwww nimeitafuta hii nyimbo Kwa muda ❤❤❤❤
Uzidi kubarikiwa
💓💓💓💓💓💓✅✅🙏🙏💯
In love with this song
Tumewamiss
We love u guyz
Brother Joshua uko wapi
This songs reminders me of my dad has favourite
Nilikuwa natafuta hiyo nyimbo tangu zamani nilikuwa niki iona nikiwa mtoto kidogo.
Mbarikiwe sana. Nibarikiwa na huu wimbo
Naupenda huu wimbo...God bless you mightly
Nikisikia nyimbo hizi nakumbuka nilivyo okoka . yesu ameniokoa kupitia nyimbo hizi
Wonderful 👍🔥🔥🔥
Always enjoy your wonderful work
Jamani Kijitonyama hua na wapenda sana
Nimekumbuka mbali sanaa ase
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana Yesu.
Amen Amen
Nabarikiwa Sana mungu awarudishe kundini.
Wao😊😊😊😊
Ameni Ameni
KUG rudini jamani,au fanyeni hii album upya live recording
God bless you abundantly ❤❤❤
Nice song
Mbarikiwe wateure
Hallelujah 🙏🙏❤❤
❤❤❤❤❤
Mbarikiwe sana
God bless you.
Amen Amen.
Be blessed...
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kaka Josh tuwekee huu wimbo audiomak
Tayari upo AUDIOMACK
Very perfect
Joshua upoooo???
Nipo kabisa...!!!
Leo nimebarikiwa sana kupata kusikia nyimbo hizi zilizo badilisha maisha yangu toka dhambini mpaka uzimani
Hii ilikuwa funga kazi miaka hiyo,,. Balaaa