Iyo sadaqa sio kama wanatoa alfatah hapana ila inatowelewa na watu wengine ila wanachokifanya alfatah ni yale ya mafanikio ya waislam juu ya wezao kuwaonesha sio kama ria kwao ila ni kuwapa moyo waislam ili watoe zaidi.
Lengo si kujionesha bali lengo ni kuwaonesha kuwaonesha wengine wenye uwezo wa kusaidia ili wafike hapo na vizuri wameweka namba zao. Hata km wao wana dhamira ya kufanya hivyo(kujionesha)mm na ww sio kazi yetu kukukumu Allah anajua vilivyo ndani ya nafsi zao.
ALLAH AKBAR, ALLAH AKBAR, HAKIKA WAISLAM TUNA KHERI NYINGI ZA KUFANYA, AL FATAH TV ALLAH AWAJAZE BADALA NA KHERI TELE.
MashaAllah tabarakaAllah Allah awalipe walo jitolea nisi Allah atujalie tuwe miongon mwawo walo jitolea Allah akujalie umri mrefu kaka yetu😍😍😍
🙏🙏 hakika tuna uhitaji mkubwa sana shukrani alfatah TV🙏 Allah ni mkareem na anaupendo kwa waja wake
Kabisa...natunaomba atuongoze
Mashaallah Allah awalipe kila la kher aminn inshaallah
Allah awaifadhi Alfataha
الله نور قلبك بالقرآن يا شيخ راشد
لا حول ولا قوة الا بالله
نسأل الله أن يسهل اموركم و يساعدكم في مهمتكم العظيمة .
Tuwekeeni account tupate khery zamwezi huu waramadhani ktk masiku haya yaliobaki,kwachochote kdgo kikubwa
hainamana kuwatowa kwenye tv haiwezekani usitowo
Iyo sadaqa sio kama wanatoa alfatah hapana ila inatowelewa na watu wengine ila wanachokifanya alfatah ni yale ya mafanikio ya waislam juu ya wezao kuwaonesha sio kama ria kwao ila ni kuwapa moyo waislam ili watoe zaidi.
Allah ameruhusu kutoa kwa sirri na dhahiri Soma tena qoran
radhi hazipati kani kawa kujionesha kwani unapotoa mkonowa kulia wakushoto usijue sasa ulimwengu wote ujuwe nn mmefanya
Lengo si kujionesha bali lengo ni kuwaonesha kuwaonesha wengine wenye uwezo wa kusaidia ili wafike hapo na vizuri wameweka namba zao. Hata km wao wana dhamira ya kufanya hivyo(kujionesha)mm na ww sio kazi yetu kukukumu Allah anajua vilivyo ndani ya nafsi zao.
Ww umesoma wapi au sio mwenzetu unajua Kuna watu hawajui kama Kuna wengine wanashida kama hizi kwahio na wengine wanapata kuona hali ya watu
Pia dini inaruhusu kutoa Kwa Siri na zahiri
Inategemea mazingira Gani unayotaka kutoa kiufupi kama nimwenzetu kwanza kasome na kama upande mwengine tafuta yanayokuhusu
UTAWALA WA CCM NA RAIA WAO
Hee machozi yananitok wallwh jmn Kuna watu Wana maisha magumu jamn
@@nasrajuma3160 😭😭😭😭
Rizqi mkuu si jukumu la chama hii ni qadar ya allah mkuu
@@mohamedisimai
Kwani sheria ya kiislamu mwenye jukumu la kuwatazama raia ni nani!?