Kiukweli si vizur hata kidogo hajafanya poa hata kidogo na asifikir kuchoma gar ndio suluhisho angelifanyia maombi na mwisho wa siku angemrudishia mwenyewe na kumwonyesha hisia yake ya kulirudisha hapo ange shinda
Nyota huwa haichukuliwi ila bahati ndiyo inaweza kuchukuliwa nyota inilesiku ulio zaliwa au tarehe uliyo zaliwa kwa mfano inaweza ukachukua siku ya ijumaa ikawa jumapil
Huyu nae Mohammed na Devi wote ni wa Baba mmoja yaani shetani.Hiyo kazi nani kakudanganya kuwa kakupa Mungu alie ziumba mbingu na nchi? .Tambua kuanzia leo hiyo kazi ni ya ibilisi na wewe ni mfuasi wa jehanam.
Asante acha watu waendeelee kufunguliwa ile sio madhabahu
Umeongea kweli ile madhabahu ya G davi ni ya kishetani.
Nimekuelewa sana sheih nyota inacukuliwa usipo kua mkni
😂😂😂😂@@zepinashatibu5149
Haaaaa duuuu John misheto mchezaji mpya wa Yanga
Kweli
Shkhee iyo miti ni kinga kuvipi?????
Jmn jmn huyu kaka 😂😂😂 ngoja ninyamaze
Kiukweli si vizur hata kidogo hajafanya poa hata kidogo na asifikir kuchoma gar ndio suluhisho angelifanyia maombi na mwisho wa siku angemrudishia mwenyewe na kumwonyesha hisia yake ya kulirudisha hapo ange shinda
Yaan nyie nao ndo vichwa box kuelewa mambo mpaka Yesu akirud 😢😢😢@@RaphaelSwai-c6q
Vibanda vya ndege shingapi kimoja?
😂😂
Hahaaa 😂😂 hv mna nn kunavinja mbavi
Alipewa laana Sasa amejitambua😮
Imani ya kishirikina iyo
WABONGO KWA KUTAFUTA KIKI. SASA HAKA KAMUHAMMED MNAKAHOJI. NI KANANI?
MKAMUHOJI GEOR DAVIE AU GOOD LUCK GOZBERT MWENYEWE
WATU WANATEMBELEA TRENDS KUPATA VIEWERS NA SUBSCRIBERS
HIZI CHANNEL ZA KIBIASHARA HATA WEWE UNAWEZA KUMILIKI NA UKAWA
UNAPIGA MAKOPO TU UTAANGALIWA.
Geordave ni wakala WA lucuferi na upako wake ni kutoka kuzimu ni mpinga kristo ana nena maneno ya makufuru Satan is at work.
🎉❤
Haifai uuze kitu mbaya
Content creator acheni kiki😢
Nyota huwa haichukuliwi ila bahati ndiyo inaweza kuchukuliwa nyota inilesiku ulio zaliwa au tarehe uliyo zaliwa kwa mfano inaweza ukachukua siku ya ijumaa ikawa jumapil
Kama naiyona tunguli ileee!
Nyota ikishachukuliwa utairudisha vip?
Watachoma hadi nyumba walizojengewa wenye akili lakini
Nisaw kk
Nyoko
GEGEDU😂😂😂
Ayo matunguli vipi Jamanii acheni kumchezea mungu
I litsen i dont judge
Huyu ‘mtalaam’ ana nini zaidi ya kutafuta cheap money?
Huyu nae Mohammed na Devi wote ni wa Baba mmoja yaani shetani.Hiyo kazi nani kakudanganya kuwa kakupa Mungu alie ziumba mbingu na nchi? .Tambua kuanzia leo hiyo kazi ni ya ibilisi na wewe ni mfuasi wa jehanam.
Mganga naye anamajibu ya Mungu
😂😂😂 ndio bongo hiyo.
Wewe nimlongo
Hahahaha
Wajinga ndo waliwao…. Trump kalala na mamia ya wanawake, bado Billionaire na Rais wa nchi.
Ila Africa ndo tunaamini hizi takataka 🗑️
Acha uchochezi wewe
😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂
Imani ya kishirikina iyo
Imani ya kishirikina iyo