RAIS SAMIA ALIVYOKATA KEKI ya 'BIRTHDAY' YAKE na KUWALISHA WANANCHI AKIWA ZANZIBAR...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • RAIS SAMIA ALIVYOKATA KEKI ya 'BIRTHDAY' YAKE na KUWALISHA WANANCHI AKIWA ZANZIBAR...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 58

  • @StellaA-n4i
    @StellaA-n4i 8 หลายเดือนก่อน +2

    Happy birthday to you mama yetu mzuri mwenyezi MUNGU akujaarie uzima na afya njema kipenz Cha watanzania na MUNGU azidi kukupigania Kila iitwapo leo na pia akujalie umri mrefu kipenz chetu binafsi nakupenda sana na nakuombea sana umetuheshimisha sana wanawake katika nchi yetu umewafanya wazazi waone umhimu wakuwasomesha watoto wakike na kupunguza ubaguzi katika jamii hasa za vijijini Mimi nakupenda Mama na nakuombea sana❤

  • @WilleMasangula
    @WilleMasangula 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutangulie mkuu wetu kiongozi wetu jacli wetu amina

  • @saumusongoro9793
    @saumusongoro9793 8 หลายเดือนก่อน

    hongera mama mungu akupe maisha marefu na afya njema. mama kilio changu ajira mama naomba na mm unijibu comment yangu

  • @PILILEDIO
    @PILILEDIO 8 หลายเดือนก่อน

    Happy birthday mama yetu kipenzi mungu akupe maisha marefu yenye heri na mafanikio tele

  • @LovennesTitus-lr5gi
    @LovennesTitus-lr5gi 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera mama yetu mungu akupiganie uishi maisha marefu

  • @AvrealKisoma
    @AvrealKisoma 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wao hawali keki yenu hawajui imepikwa wap 😢... IMANI ni jambo muhimu sana... All in all MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU RAIS WETU 🎉💐🎂🎂👑

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera,🍰

  • @nasramussadaudi
    @nasramussadaudi 8 หลายเดือนก่อน

    Happy birthday to you our mom allah akuekee , ila nnatatizo mojaa kama kuna njia ya kunisaidia

  • @AsheryAshery-id2zl
    @AsheryAshery-id2zl 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana rais wetu mama mungu akurinde

  • @DottoAbassiMwananyambo
    @DottoAbassiMwananyambo 8 หลายเดือนก่อน

    Hbd Mama mwenyezi mungu akuzidishiye umri mrefu uzidi kututumikia Mama etu

  • @hellenmassawe7284
    @hellenmassawe7284 8 หลายเดือนก่อน +1

    AKI YA MUNGU HAPPY BIRTHDAY MAMA YANGU MAMA maisha marefu kwako mama yangu nikumbuke mama yangu mtaji tuu mama ninadaiwa sana na benk

    • @zanzibamjimpya17
      @zanzibamjimpya17 8 หลายเดือนก่อน +1

      dawa la den ni kulipa kumbe ulikopo si ulifanyia mahitaji yako lipa

  • @MamaPuli-s9z
    @MamaPuli-s9z 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤mungu akupe maishaaaaa marefu mamaetu kipenz uenderee kupiga kaz

  • @fridamsami9708
    @fridamsami9708 8 หลายเดือนก่อน +1

    Birthday blessed Mamaa❤

  • @willowillo4627
    @willowillo4627 8 หลายเดือนก่อน

    It's a state government cake!!💙💙 Nzuriii💙💙

  • @salhakyande3905
    @salhakyande3905 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jajeee? Happy birthday mama Samia🎉! Trees 4all generations a & 4thecaming generations in perpetuity! Long life

  • @PriscaMsoke
    @PriscaMsoke 8 หลายเดือนก่อน

    Mama hongera Kwa kukata keki natamani NAMI ningekuwepo mama Mimi nipo simiyu naomba uniongezee mtaji nipo simiyu nauza vitenge asante mama

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujallie Afya Mama yetu kipenzi, miaka tele uishi

  • @HamisiMsami-ol3zk
    @HamisiMsami-ol3zk 8 หลายเดือนก่อน

    Happy birthday our mama samia

  • @NassorSalumMengi-jj1nf
    @NassorSalumMengi-jj1nf 8 หลายเดือนก่อน

    Mung adhid kukupa fadhira zake na uishi miaka mingi na adhidi kukupa afya njema amiin

  • @SamweliFelix-ij2pc
    @SamweliFelix-ij2pc 8 หลายเดือนก่อน

    Mama naomba nionane na wew nahitaji unisupport kipaji changu niimbe pleaseeee

  • @mehboobkarmali5211
    @mehboobkarmali5211 8 หลายเดือนก่อน

    Happy birthday Madam President ❤❤❤❤❤❤

  • @AishaNasoro-e2l
    @AishaNasoro-e2l 8 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah mayangu kwamarayakwanza nakoment nakuomba mayangu laiswa ngu kipenzi changu nakuomba unijengee nyuma ata vyumba viwili tu na mimi nisikie kilio changu mwanao

  • @vannymokoca358
    @vannymokoca358 8 หลายเดือนก่อน

    Aujuwi imepikwa wap ??? Sasa mbona unakulisha awo wanajuw kwenye imepikwa ? 😅😅😅 u funny anyway more blessings and success make sure kila mtazania unamulinda vinzuri nawapate aki yawo kama wenye inchi🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fredrickkaaya
    @fredrickkaaya 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi hatuli Keki yao kwani hatujui imepikwa wa😂😂😂😂😂

  • @AbdulmalikFedrick-ct7nb
    @AbdulmalikFedrick-ct7nb 8 หลายเดือนก่อน

    Mashalhaaa Alha akufanyieni wepesi amjalie laisi wangu umli mlefi wenye kumjua mungu

  • @sharifamuhd4554
    @sharifamuhd4554 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe Maisha marefu

  • @hakuzwebirinda
    @hakuzwebirinda 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mama.mimi siyo mutanzania alakini nakuombea tena ushinde uchaguzi tena.

  • @kasindejonathan978
    @kasindejonathan978 8 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia hongera sana wewe ni pacha wangu kasoro miezi michache tu nakupenda mama unajituma sana kwa ajili yetu watanzania mimi pia pacha wako najituma sana nimeanzisha kiwanda kidogo cha utengenezaji wa chaki ni nzuri sana na za rangi pia zipo ndoto yangu ni kufungua kiwanda kikubwa mkoani kwangu Tabora manispaa ili nisambaze chaki mashule yote mama pacha wangu..nisaidie kutimiza ndoto zangu naomba uniongezee mtaji mama rais wangu nina mengi ya kusema lakini haya yanatosha nisaidie kutimiza ndoto yangu.😂 ❤tbr

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 8 หลายเดือนก่อน

    Hbd mama samiah

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 8 หลายเดือนก่อน

    Dah noma sana brand Haina bahati Kwa mfalme

  • @AbdulmalikFedrick-ct7nb
    @AbdulmalikFedrick-ct7nb 8 หลายเดือนก่อน

    Mama mcheshi una upendo
    Unauluma ndomana Alha amekupa uongozi kwakujua wewe ni mwenye
    Upendo nakupenda sana laisi wangu❤❤❤

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq 8 หลายเดือนก่อน +1

    NimefuraiaUPANDAJI wa Miche ya miti Nifikla nzuri Kwa watakao kuwepo Siku za kesho ONGERA Kwa Siku ya kuzaliwa MUNGU AWAPE MAISHA MAREEEEFU 😍🥰🍰🌲🌲

  • @wazirally1791
    @wazirally1791 8 หลายเดือนก่อน

    Maza Kasema "HATULI KEKI YAO, HATUJUI IMEPIKWA WAPI" tuliosoma KIUBA tushaelewa

  • @bhmeela
    @bhmeela 8 หลายเดือนก่อน

    Mate yananitoka uku jamani bimkubwa🎉🎉

  • @ModestaMduda-n9s
    @ModestaMduda-n9s 8 หลายเดือนก่อน +1

    safa sana mama

  • @JosephMuro-s4m
    @JosephMuro-s4m 8 หลายเดือนก่อน

    RAIS na mama yangu uishi miaka mingi iliojaa NEEMA

  • @suleimansoud2783
    @suleimansoud2783 8 หลายเดือนก่อน

    Safi President Mama Samia

  • @AishaNasoro-e2l
    @AishaNasoro-e2l 8 หลายเดือนก่อน

    Nakuombea kwa allah unisaidie mm atachumba mbilitu

  • @mageolomi3735
    @mageolomi3735 8 หลายเดือนก่อน

    Hbd MH. miaka kama 304.

  • @EmmanuelAlberto-f3g
    @EmmanuelAlberto-f3g 8 หลายเดือนก่อน

    Mama.nisaidi.niwezeshe.kupata.bajaji.

  • @deborahgodda7052
    @deborahgodda7052 8 หลายเดือนก่อน

    Heri ya siku yako ya kuzaliwa mama yetu tunakupenda sana

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 8 หลายเดือนก่อน

    Why a such comment in public .dah

  • @JumaDea
    @JumaDea 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hatuli cake yao😂😂😂😂

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 8 หลายเดือนก่อน

    HBD MAMA YETU

  • @maryhadei3443
    @maryhadei3443 8 หลายเดือนก่อน

    ❤️❤️❤️👏👏🙏🙏

  • @HappinessLawrence-f6g
    @HappinessLawrence-f6g 8 หลายเดือนก่อน

    Vitu vimepanda bei nyie mnafurah mtuache kidogo

  • @rukiamohamedi5905
    @rukiamohamedi5905 8 หลายเดือนก่อน

    Mama samia mwanake mchapazi mwenyezi Mungu akupe umri mrefu yaani unaweza na Mungu akulinde hata mimi nampambana ila msingi ndio unasumbua natamani ningekuwa dungu yako wa damu yaani ungeona jinsi ninavyo pambana najua ungefurahi nakunipushi nasema kisimani veve ni ndugu ya umetuheshimisha allah alibariki sana

  • @mr.daisamdaisam1319
    @mr.daisamdaisam1319 8 หลายเดือนก่อน

    Zingatia sisi hatuli cake 🍰 Yao hatujui imepikwa wapi 😂😂😂😂

  • @msangibongimichael6209
    @msangibongimichael6209 8 หลายเดือนก่อน

    Namm nataka keki ya samia

  • @KIDORBOYS
    @KIDORBOYS 8 หลายเดือนก่อน

    fucking things unashindwa kizinduwa miradi mikubwa na kutokomboa ww ndy unatuzamisha God bless 🇹🇿

    • @lilotz-we7xq
      @lilotz-we7xq 8 หลายเดือนก่อน +1

      Njaa inakusumbua wewe

    • @THEQUILLSTORY
      @THEQUILLSTORY 8 หลายเดือนก่อน

      Umeona huyu jamaa hajielewi . Ndoo maana Hana akili. Unahic rais alizaliwa kifungua miradi tu . Na yeye anaprivate life . Acha uboya wew muone mpumbafu mkubwa saana wewe

    • @THEQUILLSTORY
      @THEQUILLSTORY 8 หลายเดือนก่อน +1

      Alaf ue unajiheahimu . MUONE MJINGA MKUBWA . Wee wazazi wako unawaheshimu kweli ama upo kama mavi tu tasiokua na faida . Huyu ni rais na ni mamaako . Acha ufala unagongwa nini wewe

    • @THEQUILLSTORY
      @THEQUILLSTORY 8 หลายเดือนก่อน +1

      MPUMBAFU MKUBWA WEWE USIRUDIE. NYAU NA MAVI WEWE

  • @ajgasharia1247
    @ajgasharia1247 8 หลายเดือนก่อน

    Upuuuzi mtupu

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 8 หลายเดือนก่อน

    Kakosa kazi mwisho ataenda kitchen party